GAZA 2035: NETANYAHU aonesha MUONEKANO wa GAZA itakavyojengwa baada ya VITA kumalizika

  Рет қаралды 27,016

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 220
@user-zm8nq6xv8o
@user-zm8nq6xv8o Ай бұрын
Wameuwa watu wengi sana laana ya mungu iwe juu yao
@raymrash
@raymrash Ай бұрын
Hamas je!?
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 Ай бұрын
@@raymrash israel wameshauwa watu 35000 hujui
@allahisone6386
@allahisone6386 Ай бұрын
​ 🤔
@bokimmwamba2322
@bokimmwamba2322 Ай бұрын
Wana Ibrahim hao ukilaani inatarudi kwako ni ahadi ya Mungu kwao ya milele Mwanzo 12:3 nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Sawa, Hamas je​@@hassanmsangi4149
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 Ай бұрын
Dj smaa upo vizuri sana kwenye Geopolitics
@allykwaya
@allykwaya Ай бұрын
Huyu Dj Sma anachambua kwa maono na Fact sana. Kila nikifuatilia naona vitu vingi sana alivyosema mwanzo
@ramagwama
@ramagwama Ай бұрын
Kabsaa
@allahisone6386
@allahisone6386 Ай бұрын
​@@ramagwama🎉
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Ай бұрын
zaidi na zaidi ni kama lebanon israel walitoa southern lebanon under security reason Hezbollah wanaviolate hakuna mtu anayewa warn Hezbollah israel amesema vita inakuja lebanon na watachukua tena southern lebanon lakini makosa ni ya walebanoni sio wengine coz wanaona kunawatu wanaleta shida haiwaambii
@allykwaya
@allykwaya Ай бұрын
@@thomassalvatory8303 big knowdge.
@gasparmpoma3860
@gasparmpoma3860 Ай бұрын
Big Up Dj SMA all time favorite Analyst
@jasminmdimi6059
@jasminmdimi6059 Ай бұрын
Big up Dj Sma nimekuelewa vizuri sana. Pale amani haitopatikana milele.
@abdallahnamuha3357
@abdallahnamuha3357 Ай бұрын
Big up sns,,,, brother Sky kwa kuongezea nguvu ya geopolitics analysis, pia dj sma nakukubali kwasababu unaniongezea kitu
@mussafaki5865
@mussafaki5865 Ай бұрын
Hiii kitu hakiwezekana ,maana hata hao watoto wanaozaliwa hatakaubalina na waliofanyiwa na wayahudi.
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
Daima hawatakubali na ndio kutakua zaidi ya hamas
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 Ай бұрын
Hata niwe Mimi siwezi kukuabali
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Ай бұрын
Pamoja​@@abdullahmanalex2306
@jamesraphaelmdima4729
@jamesraphaelmdima4729 28 күн бұрын
Islael anaenda kushinda hii vita,ila Islael na Palestina wote wamefanya makosa, Palestina pia lengo lao halikuwa jema kwa maana waliua laia,wakafanya ubakaji,wakachinja watu na kuchoma wengine wakiwa hai. Mungu ni upendo,sasa wao wanamuwakilisha Mungu yupi anaekubaliana na hayo?
@Awatee
@Awatee 28 күн бұрын
@@jamesraphaelmdima4729 ulikuwepo wakati wakibakwa 😳nyie mumeona tukio la tarehe 7 la hamas wazayun walianza kuwaua wapalestina muda mrefu hakuna alie sema leo hamas wamejitolea kuwasaidia wengine wasio weza kujitetea kila mtu mdomo mrefu kama kuua watoto wanawake ndio ushindi basi wacha tuone nusra ya ALLAH itafika tuu hajaghafilika na madhwalim hata kama makafiri mutakasirika lkn ushindi utakuja na Masjid Aqswa itakua mikononi mwa waislam ALLAH hana ahadi za uongo
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Allahu yaalam..mwenyezimungu ndo anayejuwa ...haitakuwa
@amazitv2899
@amazitv2899 Ай бұрын
Watu kitu wa fahamu ni kwamba vita ya Isael na Gaza hitoisha hata siku moja kwa sababu hata kwenye vitabu vitakatifu vimo kwamba hata wakufe wote mtoto atakae kuwa ataendelea na vita mpaka siku ya kiama,kweli ukitaka kusikia news za kweli tembelea SnS kupata ufafanuzi wa kweli bila uongo hongela SNS maana tuna pata vigongo vya kweli hata content zenu hakuna uongo ni ukweli hongela sana ❤❤❤❤
@nduwimanahafsa4611
@nduwimanahafsa4611 Ай бұрын
Maashallah inshallah Allah aweke wepesii inshallah ❤
@CKMO
@CKMO 19 күн бұрын
Hio tutauwita blood city 😢na mungu awalani wasiweze kufanikisha malengo yao Amin
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 Ай бұрын
Halaf wataweza kuwarudisha waliowauwa kikatili au??
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi 26 күн бұрын
Namie najiuliza iv hamas wataludisha wale watu waliwauwa uku wakirecord kikatili et
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 25 күн бұрын
@@JoalAlma-ci1hi na ww usharogwa na propaganda za mayahud
@zuricakes6817
@zuricakes6817 Ай бұрын
Gaza 2035....really looking good!
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Ай бұрын
JAMANI . MUSISAHAU MANENO YA MU IRANI. ANASEMAA ANAE MUAMINI MMARECANI NI MWENDAWAZIM PPEKEAKE. HIYO GATI INAYOJENGWA NA HIYO GAZA NI MITEGOYAO TAYARI WASHAITEGA.
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Ай бұрын
Wajisumbuwa inshallah kwa uwezo wa allah watadidimia mayahudi wote yarab amen 🙏 😢😢😢😢😢😢
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
Wangeshadidimia kitambo na Palestine ingesalimika .. hukokudidimia lini😅😅?
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t Ай бұрын
​@@annasolomon9855...we nae Sisi Imani yetu imeshaeleza yote hayo ...muone vile fistula we
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 29 күн бұрын
​@@annasolomon9855unacheka na wakati wakristo wenzako wanauliwa kila siku huko Gaza, au unafkiri ni waislam tu ndo wanauliwa?😃
@annasolomon9855
@annasolomon9855 29 күн бұрын
@@crayonmaze9970 Mimi sijui Hilo isipokuwa wafilisist ( Palestine) wote ni walewale tu.. acha waoneshwe adabu
@crayonmaze9970
@crayonmaze9970 29 күн бұрын
@@annasolomon9855 kweli acha waoneshwe adabu maana Wapalestine ndo walimuwa hata Yesu, Acha na wa wauliwe au sio?😃
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 29 күн бұрын
Hasbi allah waneema lwakil
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Ай бұрын
Kipindi nipo Advance nilikuwa Napenda Sana history 2.. kipindi hiko form six 2014 JITEUTE.. yaani JITEGEMEE JKT HIGH SCHOOL.. Mwalimu wa History alikuwa Mwalimu Mlemeta.. mungu amlaze mahali pema peponi Mzee alikuwa na madini Sana plus Mwalimu mwingine alikuwa anaitwa Mavunde nae alikuwa hatari the way alivyokuwa anatufundishaga historia ya cold war.. na kuanziahwa kwa taifa la Israel na haya yanayotokea ndio vitu vinavyo nifanya nipende kufuatilia Geopolitics.. Asante Sana brother skyy na Team yako kwa kuendelea kutupa habari na darasa pia mungu awatie nguvu na maarifa kila kukicha..
@munyumunyama8365
@munyumunyama8365 29 күн бұрын
Kijna wa afande kumaliga😂
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 29 күн бұрын
@@munyumunyama8365 hatari Sana 😂😂 braza
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 29 күн бұрын
@@munyumunyama8365 hatari Sana ndugu yangu ila kama nakukumbuka vile..
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 Ай бұрын
Majambaz tu hao Allah awalaani
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Ай бұрын
Mmh, ati wajiongoze wenyewe!! 😢 daah!
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 Ай бұрын
DJ SM tupe simulizi ya fuiz
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q Ай бұрын
Anaota Netanyahu
@AdamKondo-so3cn
@AdamKondo-so3cn 21 күн бұрын
Mnapotosha sema vita wameazisha Gaza sasa vita imebadilika.
@19ddr
@19ddr Ай бұрын
Kmmmk netanyahu. Hutoweza
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 Ай бұрын
Inge jengwa irag Libya na Syria
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
Huko mbali Sana wao wanaitaka Gaza 😂
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 Ай бұрын
@@annasolomon9855 lk wao c ndio walio zipiga
@MAHAN-099
@MAHAN-099 Ай бұрын
Tunachosahau ni kwamba siku zote mungu ana mipango yake na binaadamu wana mipango yao, Na kama mungu hajapitisha binadamu hawezi kufanikiwa na hawa viongozi wengi huona wakishapanga mipango yao ndio wameshapanga hakuna wakupangua wanasahau kama kuna mungu na mungu siku zote haongozi watu kwenye dhulma kamwe na dhulma haidumu kwaio hawatofanikiwa kwa hilo. Free Palestine 🇵🇸🇵🇸
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Ай бұрын
elewa Mungu si mjomba yako useme kuwa anakuangalia ww tu Mungu ni wa wote waovu na watenda mema na anawajalia wote kadiri atakavyo apangiwii so haimanishi coz ww unaona Hamas anaonenwa Mungu atawaacha waisrael akaee upande wa Hamas kinachotokea ni mambo ya kibinadamu si mambo ya kiMungu so anaacha mambo yakibinadamu yaendelee mbele na atamjalia aliyefanikiwa iko hivyo na itabaki hivyo na cha kujifunza kwenye maisha yako pambana usisubirie Mungu akuletee coz hataleta
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
MUNGU AWAPE AMANI JAMANI 🙏🏿🙏🏿Sio poa kuuana na wote hapa tuwasafiri, anyway iam no body 🥹
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 Ай бұрын
Wamehangaika miaka mingi hawajafanikiwa na hawatafanikiwa lini mwizi alishinda na akawa na raha warudi huko Europe na ndio maana Europe imewashinda imewatafutia mji kuishi walichaguliwa uganda wakaikataa wakaona haina uchumi kama Palestine ina mali nyingi
@FatmaMohamed-jw2lc
@FatmaMohamed-jw2lc 29 күн бұрын
Walichaguliwa Uganda kweli? Kma kweli hawa mbwa watakuja Zanzibar
@user-rm4co7pj1d
@user-rm4co7pj1d Ай бұрын
Hata wajenge vp hawatoweza kufuta damu ya watu waliowaua bila makosa wala kuwasahaulisha maumivu ya watoto waliopotelewa na wazazi wao
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Ай бұрын
Atakuwepo huko
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t Ай бұрын
Huyo nyau sijui nani...hafiki hyo2030 lishakufa zamn
@radjabusuleiman6486
@radjabusuleiman6486 27 күн бұрын
Vipi Iraq ilijengwa? Libya ilijengwa? Yemen ilijengwa? Syria ilijengwa? Afghanistan ilijengwa?
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 Ай бұрын
Mtu akichora hivyo manayake Gaza itakuwa Mali Yao ila hawatoweza
@jamillahaidha8184
@jamillahaidha8184 Ай бұрын
Na iwe hivyo
@allahisone6386
@allahisone6386 Ай бұрын
​ AMEN
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
Yani kama tanzania kuondoa wa tanzania wakenya wajenge iwe yao kweli.kwani kwani kwao wamejinga.ila mtanzamo mdolgo ujuwi mipango ya vita ya milele
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 Ай бұрын
Kumbe Hamas alijichanganya kuivamia islael ili ampe sababu
@issalyanali4119
@issalyanali4119 Ай бұрын
Sawa ila Putin akionesha muonekano wa miji aliyochukua mnasema dictator anawaonea waukraini,,,,sio Africa tunasema Putin asirudishe mji hata Mmoja Ili NATO wajifunze kitu,,,,Gaza watu wameondolea maeneo Yao ,,Dunia IPO kimya ,,,Putin akirudisha maeneo yake ambayo alipewa Ukraine kwa masharti watu wanapiga ukunga
@Mpakauseme
@Mpakauseme 23 күн бұрын
Mmelala sana usingizi wabongo hao wazungu wote Lao ni moja , wanacheza na akili za wapumbavu ninyi mmejikita katika udini na wale wanapigana kwasababu ya uchumi nakutaka kutawala maeno kwamaslai mapana
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw Ай бұрын
Itajengwa kweli maana NI Biblia ili tabili hekalu kujengwa NI lazma pia
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Bibilia yako imetabiri mmarekani atajenga mitambo kwenye nchi ya gaza tutawaona. Nakuhakikishia hawatoboi
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
​@@mwawekomiuda9779😂😂😂😂
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw Ай бұрын
@@mwawekomiuda9779 watatoboa maana NI mpango WA unabii Kaka
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
@@GeorgeChitemo-kt8sw Endelea kufikiri hivyo
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau Ай бұрын
Dk45 kipindi cha kwanza huyu mpinzani mwepesi sana🤔🤝
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x Ай бұрын
Netanyau ni noma
@kwaleboy6064
@kwaleboy6064 Ай бұрын
Noma gani mtu anapigwa hadi na nyuki.kitu anafanya ni kuuwa raiya na kubomoa majengo
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x Ай бұрын
@@kwaleboy6064 kama kuua raia ni rahisi nenda na wew kauwe yani ile ndo kiburi yakua na nguvu
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x Ай бұрын
@@kwaleboy6064 ulitaka aue nyani au ni kuua binadamu wanaoabudu kivuri cha aisha
@kwaleboy6064
@kwaleboy6064 Ай бұрын
@@user-km1dm8et9x naelewa wewe ni nani .wewe ni pagani anae abudu sanamu kanisani ukiona ni yesu
@omytifa6403
@omytifa6403 Ай бұрын
​@@kwaleboy6064achana nae my
@user-mf2ll7nz5g
@user-mf2ll7nz5g Ай бұрын
Ushenzi
@user-zm8nq6xv8o
@user-zm8nq6xv8o Ай бұрын
Yaani hiyo mipango yote ndo wauwe watu hovyo ? Ama kweli waisrail akili zao mungu mwenyewe ndie anae juwa
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Ай бұрын
tunakufa coz of Adam ++ Eve so wanakufa coz of Hamas +++ Islamist so tusiilamu israel tulaumu matendo ya waliosababisha haya
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Ай бұрын
and if so tulipaswa tumlaumu Mungu kwanini tunakufa kama hatuwezi basi tulaumu aliyesabisha haya ya kufa and is Adam +++ Eve
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze Ай бұрын
Habari waislamu soote tunataka hamasi ishike palesteina maana kwanza isrili itatiya akili
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 29 күн бұрын
Netanyau ni Muongo sana, hata tel aviv haipo hivyo.
@jerrychiswa2494
@jerrychiswa2494 Ай бұрын
Sky umeishiwa
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 Ай бұрын
Matoko yako
@kassimabussa6583
@kassimabussa6583 Ай бұрын
Mjinga kweli wewe ndio umeishiwa ujuwi ulisemalo acha kufatilia ujalazimishwa
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j Ай бұрын
huo ni wizi wa akili
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 Ай бұрын
Mayahud
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Ай бұрын
Hiya labda wakiichukuwa gaza ikiwa yao mali yao
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 29 күн бұрын
Netanyau kichaankashindwa kuijenga hivyo Israel , aje ajenge Gaza
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw Ай бұрын
Kama hujui unabii WA biblia hutaelewa hapa
@raymrash
@raymrash Ай бұрын
Du kaka tupe elimu 😢
@Maua-pg5gl
@Maua-pg5gl Ай бұрын
hekalu kashajenga saidina ommary utataka hekalu gn wakt omary aliujenga msikti al aqsa
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw Ай бұрын
@@raymrash iko hivi kwanini hekalu kujengwa NI kwakuwa wayahudi watataka kubudu Ibada zao pale na pia mpingakristo atakuja pale akijifanya Yesu .na pia Yesu hawezi kurudi Kama hekalu halitajengwa pale ule msikiti WA Alaaksa utavunjwa nakwambia utaona mwenyewe Kwa macho yako .na ndio maana ukiangalia pale kwenye mchoro kuna jengo la hekalu pale kwahyo kinachotafutwa NI hekalu kujengwa wayahudi warudishe Ibada zao . kwahiyo hekalu likikamilika ndio vita vya 3 na atakaye kuja kuamua hivyo vita ni yesu peke yake .japo ataanza kutokea mpinga kristoo Kwanza na umoja ea mataifa ndio atatokea huyo mpinga kristo atakuja akijifanya msuruishaji ni mtu atakae kuwa na ushawishi WA ajabu Sana watu watamkubali sana
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
😂😂😂😂 hawa wayahudi akili zao cjui ziko chooni ktk lindi.
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 Ай бұрын
😂😂😂Kwa Kwel
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Matahira hawajielewi
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau Ай бұрын
​​@@MiriamAbdallahunajisikiaje ukiwa mwerevu arafu ukapigwa na mjinga🤣🤣🤣
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Yaani zinaelea pamoja na kinyesi
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw Ай бұрын
Jamaa katoa unabii kabisa Yani dah
@paulntalima6998
@paulntalima6998 Ай бұрын
N yeah wachache tunaelewa n wakati wa matengenezo kabsa
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw Ай бұрын
@@paulntalima6998 ni kweli watu wapo kwenye siasa hawajui kinaendelea pale na kinachotokea miaka hii mpaka 2030 kina Jambo litaweza kutokea
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Ай бұрын
Wao wnapanga yao na mungubanapanga yake anatoka mchana aende akajenge alikotoka Europe 🇪🇺
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 Ай бұрын
Akili huna mzee!! Hata kitabu chako Cha kukopi na kupesti kinakili mayahudi walikuwepo kabla ya mohamedi kuja
@Brandina-ub9uo
@Brandina-ub9uo Ай бұрын
Hamas waliyataka wenyewe
@Bahati47
@Bahati47 Ай бұрын
Huna akili ndiomana unasema hivyo
@assateke7199
@assateke7199 Ай бұрын
Na wakiambiwa wanafanya uharibifu duniani... Wao usema sisi ni wajengaji~Quran
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji Ай бұрын
Israel ni wizi tu na wauwaji
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 29 күн бұрын
Nyie wehu islael ni nchi teulee
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 29 күн бұрын
Hayo wanajikosha tu kuzima harakati koz wayahudi niwatu washenz sana hawafai pesa moja
@mohamseyf6243
@mohamseyf6243 29 күн бұрын
Netamwehu uuwe watu ujenge mji.
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Ай бұрын
Wasitunie hao mayaudi bro gaza ni plo sio Israel wafanye adabu zao plz
@ibba8082
@ibba8082 Ай бұрын
Yeye Mwenyewe NETANYAHU anategemea Misahada,Kweli Atafanikiwa kufanya hivyo😂
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Ай бұрын
What nani kakwambia Hivi Hujui marecani niya myahudi namarahisi wa woote wamarecani niwayahudi Pia Hii Dunia kwasasa anaongoza myahudi ambaye ndyo marecani 😮
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
Asilimia 96 ya Wamarekani ni Wayahudi 😅😅 msaada upi Sasa wakati wao ndio wanaingoza technolojia , hujui kitu wew
@ibba8082
@ibba8082 Ай бұрын
@@annasolomon9855 Bora Uzima,Atakayekuwepo Atasimulia !.ila Rekebisha Hizo Hasilimia Zako Sio 96 ni Wayahudi.NB:Mwaka wa 2021 Walikuwa 7.5 Milioni Sawa na Asilimia 2.5.Matusi Hayajengi !!!
@ibba8082
@ibba8082 Ай бұрын
@@user-nb6yh2bn9y Kwa Uhakika Upi Ulio nao Wewe Eti Marekani ni yawayahudi Na Maraïs wote Ni Wayahudi Dahh,Vipi OBAMA,TRUMP ni Wayahudi ?
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Ай бұрын
Uko Dunia yangapi wewe muulize Hata Huyo DJ asma uliza ulimwengu mzima utakwambia
@fadhilmandaliabdalla6736
@fadhilmandaliabdalla6736 Ай бұрын
Haiwez kua habari mzuri kwa wapelestina, inawezekanaje mtu akubomolee nyumba yako ya kawaida then akujengee ghorofa ya kisasa bure,!!! Hii inaingia akilini hii ni changa la macho, kuna mkakati bado chini ya kapeti.
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t Ай бұрын
Plus wawauwe pia
@kimzymamy6594
@kimzymamy6594 Ай бұрын
Wache ujinga wtoto wanao wangamiza ndio hamas😢
@omytifa6403
@omytifa6403 Ай бұрын
Watazaliwa wengne ata ikipita miaka mia watarud
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
​@@omytifa6403una uhakika gani itafika iyo miaka iyo 😳
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 Ай бұрын
Nyie mna vichwa vya panzi netanya katika hotuba yake alisema operesheni ya gaza itachukua mwaka mzima sasa mnasemaje hamjui operesheni itaisha rini.
@aishaally6602
@aishaally6602 Ай бұрын
Dhulma tu ila wajue hii dunia tunapita tu hata wajenge vp dunia tutaiwacha
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Ай бұрын
Wasitutanie
@marvelmovier545
@marvelmovier545 Ай бұрын
Ungoo ni ushetani
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 Ай бұрын
Hizo ni ndoto za 6 mchana... wanatudanganya kweupeee .. yaan huo wakat ukifika wa Gaza kuwa hivyo bas mfalme wao atakua yahya sinwar na nitapaka ashakua chakula ya funza vitabaki historia mbaya vitendo vyke vya kinyama
@thehomeoffootballskills4358
@thehomeoffootballskills4358 Ай бұрын
Enyi mlio amini msiwafanye mayahudi na manaswala kuwa marafiki zenu kwani wao kwa wao ni marafiki
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Ай бұрын
Swadakta
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Ай бұрын
Nani kakwambia tunataka urafiki na nyie wenye dini ya majini?
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Ай бұрын
Israel washaidraft ya kuwa gaza wataijenga kisasa zaidi .sw lkn hoja ni vipi wapalestina watafaidika na hazina ya mali ktk ardhi yao na matunda ya future yao? Coz mipango ya israel km ulivyoeleza inamaanisha wapalestina watakuwa km wafalme waliofungiwa ndani ya palace kila kitu wanapata but is nothing.niseme tu israel na hao UAE baba mmoja mama mmoja
@alisalimo2861
@alisalimo2861 28 күн бұрын
mtu anaye mbagua na kumulia familia yake halafu niwe na imani na ww
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 29 күн бұрын
the truth nikwamba israel hawatawahi onyesha completely namna gani wanaumizwa hiyo ni stragit ya kivita na propaganda tu
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Ай бұрын
Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇷🇺🇷🇺
@delgalshan6318
@delgalshan6318 Ай бұрын
Hyu mpuuzi
@user-pt4jf7lg3z
@user-pt4jf7lg3z Ай бұрын
Hamasi ndio watoto wanaowauwa Hao wote ni wa Palestini..ni Sawa watanzania wapigwe halafu wakiamua kujibu wanakuwa sio watanzania.
@XIZAAM188
@XIZAAM188 29 күн бұрын
Washafeli kwenye vita hadi sasa hawajafanikiwa hamas wako kwenye mahandaki watafanikiwa vp? hiyo ni ndoto yao ardhi ni ya warabu na inaitwa Palestine hakuna taifa linaloitwa Israel!
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
HABARI MZURI KIVIPI WANAJESHI WA ISRAEL FREE KUINGIA KAMA NCHI YAO SIO HABARI MZURI HIYO😮
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Ай бұрын
Wayahudi ni majiz xan
@redtk2971
@redtk2971 Ай бұрын
GAZA IKIWA IVO TU IYO 2035 WANA GARAGAZWA TENA😂
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Ай бұрын
Je mrusi atakubali? Maana mrusi akikubali gas and oil itoke Gaza inamaana gas yake itakosa soko.
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 Ай бұрын
Good news watu wenye kufa saana
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Good news hzi utakutana nazo tangu siku unanyofolewa Roho yako na kaburini na mpaka siku ya hesabu utakutana na jamaa zako.
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Ай бұрын
Vitabu vimeandika hivi vita vitasababisha vita ya mwisho ya dunia , al Aqsa mosque lazima ikombolewe
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 Ай бұрын
Netanyahu mbona kama muongo muongo
@Nuru-zr2yv
@Nuru-zr2yv Ай бұрын
Nchi yke yenyewe haiko km hiyo ramani 😂😂
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
Marekan huyo ndio mipango yao
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 Ай бұрын
@@Nuru-zr2yv hhhhhahaa
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Wameshazoea kuiba mali za watu kwa kumwaga damu za watu.​@@MohamedAhmada-ie7ke
@salummohamedi5562
@salummohamedi5562 Ай бұрын
nyuma ya pazia wanamuandalia mazingira masihi dajjal/mpinga kristo
@khamisidowany6262
@khamisidowany6262 Ай бұрын
Userkm israel aina nguvu.marekan asimpe sapot na nchi nyingne kama ujeruman uone
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Ай бұрын
Nisikilize mjomba Hiyo marecani ndyo Israel yenyewe marais woote wamarecani niwayahudi Hata Obama Baba ake mkenya Mama myahudi
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
Unaota ndoto za mchana huku ukiwa umekaa kwenye kochi, Marekani ndio haohao Wayahudi kama humjui mjomba 😂😂.. yaani Marekani ukisikia wamegundua chombo Fulani au wamefanya jambo Fulani la kiteknolojia ndio Wayahudi hao na ni wabunifu wa Hali ya juu Sana na pia ndio wamiliki wakubwa wa technology ndio maana wanakibur maana wajua vitu vingi Hadi mabenk makubwa ni Yao.. hata asilimia 95 ya Wamerekani ni Wayahudi kwa taarifa Yako.. , huyu joe Biden anavyowazuga hatutoi silaha Tena kuisaidia Israel anawazuga tu hamna kitu.. Tena mmrekani Moyo wake wote upo hapo Israel asikudanganye mtu😅
@TheBossOdhis
@TheBossOdhis Ай бұрын
Long live Israel
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji Ай бұрын
Kwa bajeti hiyo wanayosaidiwa na marekani?? Pesa yao ya kula kila mwaka inatokana na kodi za wananchi atafika???akili yake yote ipo kone Land la palestina panga lako na mungu ameshakupangia analotaka yy
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 Ай бұрын
Subutu propaganda tu hizo kwani hamasi nimaadui kwa wapalestina wenyewe
@Ezeakutelevision
@Ezeakutelevision Ай бұрын
Wameshindwa kujenga Israeli hivyo
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y Ай бұрын
Mbona marecani Haija jengwa Kama Dubai lakini ndyo wafarme Hapa Duniani 😏
@raymrash
@raymrash Ай бұрын
Umeshafika Tel Aviv!?
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
Israel hawajashindwa Bali asilimia 97 ya nchi hio ni ya makumbusho ya utalii .. na hio ndio inayosababisha kutokubomoa majengo mengi kwa ajili ya kuwaingizia fedha ndefu Sana... Jeresalemu na sehemu zingine Kila mwaka wanaingiza matrilion ya fedha kwa ajili ya nchi nyingi Duniani kuingia pale, kuona YESU alipozaliwa, Yesu alipobatizwa, , Yesu alipofikisha miaka 30 na kuanza kazi rasmi, Yesu alipopita na mahekalu alipokuwa akifundisha , na mengine Mengi..
@missp1814
@missp1814 Ай бұрын
Wapalestina wapambanie nchi yao,waisrael sio watu wakiubali tu,itakuwa ndo anguko lao,israel wanaweza watilia sumu au kitu chochote ambacho wakawa idadi yao isiongezeke ili wapotee kwenye dunia hii vizazi vya badae wakasoma kulikuwaga na wapalestine sababu israel ndo inasapply huduma zote muhimu kwa wapalestina...M.mungu awasaidie hamas wapambanie nchi yao mipango ya israel ishindwe
@hajjinyanya
@hajjinyanya Ай бұрын
Ikiwa hivyo ndivyo wakimalizana huko waje huku nyumbani waturipuwe kidogo😂! Maana ni mabadiliko ya Miaka 9-10 hadi kufikia 2035! Anyways Free Palestine 🇵🇸
@issazalala4907
@issazalala4907 Ай бұрын
Ewe bwana mungu embu mchukue uyo nyau Ili Dunia itulie familia zitulie 😢
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
ALLAH hajaghafilika na madhwalim anawapa muda tuu
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
Bundala unachezea simu hatumsikii Dj sma annapoongea unapiga na makofi kabsa
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Ай бұрын
Kumradhi, kulikuwa na disturbance kidogo wakati wa mazungumzo
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
@@SimuliziNaSauti Tuko pamoja👏👏
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
Ila kiukweli nafuatilia sana Sns kuliko awali Bundala , Dj sma na Aly Masubi napenda sana kazi yenu.
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Ай бұрын
Chochote kile watakachokifanya Israel hakita futa mauaji ya halaiki ya watu wasiokua na hatia wanayoyafanya hapo Gaza
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
Hamasi walivowaua Israel wasiokuwa na hatia .. Kuna methali inasema akuanzae mmalize! 😅😅😅
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Mimi nahona urumasana gaza yawatu ilikuwanzuli watoto wanaenda shule wanafulai leoii gaza kama makaz ya mmbwa kokokwe inasktisha watoto wanakulanyas
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Ай бұрын
Ugaidi ni mbaya na ndo faida ya kukurupukia kufanya jambo 😂
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Ай бұрын
Sasa Wajenge Gaza Ni Kwao..? Alaf Dunia Ipo Kimya Tu Hvi Leo Hawa Ambao Walipewa Hifadhi Tu Wanapewa Mamlaka Ya Kujenga Katika Nchi Ya Watu Wao Ni Nani
@raymrash
@raymrash Ай бұрын
Bado Palestine sio huru...kwa hiyo si ajabu ijengwe😂😂😂
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Ай бұрын
@@raymrash Palestine Sio Huru Ila Israel Ni Huru..?
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
Ss akishawauwa wapalestina awauwe na Iran yote ndio atengeze huo mji man kinyume ya hapo hayo makombora huo ujenz hautokamilika
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Mbona umesahau awesome houth yote, Lebanon pia wale wana uchungu wa kumegwa Ardhi yao. Hv hujui kuna kundi kubwa Yemen kutoka sehem u mbali2 wamejitolea tayari.
@geoufo2858
@geoufo2858 Ай бұрын
Uwongo na ni propaganda tuu za wa islael
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
Nihatari kweli. Propaganda imezidi. Yani mtu anaekupiga mabomu 24 masaa anakuambia kua baada ya kukupiga atakujengea hivyo. Wakati hata Israel hawana miji hiyo
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b Ай бұрын
Ndio lengo lao wapate ardhi ili wawajee watu wao km walivyofanya ktk eneo lile la mwanzo walilolichukua wamejenga magorofa lakni wanakaa wayahud ndio chanzo hamas kuvamia ila wat hawafatilii wanakua na mihemko tu.
@mnanasuly2585
@mnanasuly2585 Ай бұрын
Israel ni mbwa kabisa
@alihamisi8440
@alihamisi8440 Ай бұрын
Netanyanhu, Biden na wengine hususa viongozi wa kiarabu wanaowaunga mkono ,wanatakikana wajue kwmba hawawezi kuwaangamiza HAMAS kamwe,na haya si maoni wala maneno yngu,bali mtume Muhammad s.a.w na yeye hadanganyi,ila IZRAEL mwisho wake upo karibu tu.
@dannysengata2298
@dannysengata2298 29 күн бұрын
Duuu
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x Ай бұрын
Inatakiwa mjue kwamba izlael inanguvu kubwa
Why You Should Always Help Others ❤️
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 109 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Virtuous Islam
Рет қаралды 231 М.
New trick 😧 did you expect that? 😁
0:10
Andrey Grechka
Рет қаралды 20 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
0:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 1,2 МЛН
Попил😂инст: sarkison7
0:45
SARKISONCHIK.OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
Малыш Борется За Свою Жизнь 😱
0:59
Kino Bear
Рет қаралды 2 МЛН
Невидимая месть
0:48
Brusko
Рет қаралды 2 МЛН