Hii timu kuja kuwa seriius sijuwi lini asee hadi naogopa. Huyu si ndo alikua analia na kushindia pombe mwezi mzima kisa matokeo ya timu ambayo imefika hadi robo fainali. Sasa subiri ligi ianze sijuwi watabadirikaje asee😂😂😂😂😂😂
@JosephTibu3 ай бұрын
mungu wabariki wachezaji wetu wasitupiwe majini
@robertphilip3852 ай бұрын
Hiyo kazi inafanyagwa na shomari kapombe na Zimbwe Ili kulinda namba zao
Napenda sana confidence ya team zote mbili naona msimu ujao ukiwa msimu bora sana. Wachezaji wazee ni Chama na Dube sajili zengine zilizobaki ni U25 rekebisha kauli yako ndugu. Kwa Dube bado akina Musonda na Mzize wapo.
@DavidLucas-cb1hx2 ай бұрын
❤❤❤❤❤mm kama mwanasimba apo kichapo 2
@YOSHUAMWAMPETA2 ай бұрын
Je mnajua kwanini SIMBA IMESAJILI WACHEZAJI ambao walikuwa wachezaji bura KATIKA TIMU WALIZOTOKA ? JIBU: NI KWASABABU SIMBA NI TAIFA KUBWA
@JohnMbogo-c1n2 ай бұрын
Wachezaji wa bukubuku watawahusu sana tu na hivi mnapenda kulialia mtalia sana. Wachezaji wa maana hamuwezi kusajiri tajiri hana hela😂
@EliaNelson-l6c2 ай бұрын
❤❤❤❤
@essaumapunda57662 ай бұрын
Mo Dwj big up
@amaniomar17552 ай бұрын
Team ikiyumba pia mumtaje Mo Dwj msimtaje Mangungu hata siku moja.
@petermkinga35662 ай бұрын
GB umenifurahisha kwenye kazi na umri!
@SostenesyMngongo2 ай бұрын
Mnge msaji mayelle salum fei toto ningewaamini lakini aaa
@AsumaniMkumba2 ай бұрын
Wew acha ushamb
@JohnMbogo-c1n2 ай бұрын
Acha uongo Dube ni msumali wa moto kwa simba keshawafunga katika mechi zote 4 mlizokutana na Azam. kibu kawafunga Yanga mara 2. Halafu kuna Aziz Ki ambaye anajipigiaga tu simba tangu akiwa Asec😂
@zakayomosha133 ай бұрын
Tajiri ameamua mazima!
@nabiljumaothman59123 ай бұрын
Wachezaji wa buku buku kibao 😂😂😂
@IlhamKhalid-mt3jp2 ай бұрын
Mpumbavu wewee
@AlfaniMichael2 ай бұрын
Au cyo
@AlfaniMichael2 ай бұрын
Buku we unalo hlo buku kasajil na wewe
@SwaumuMalau-jh1hb2 ай бұрын
Bora ule chakula Cha buku kuliko walichoachia wenzio
@jitihadaharuna94482 ай бұрын
we ndio kuku kweli hujui kitu hujui hichi kikosi kinagharama kubwa kuliko timu yeyote tanzania. mchezaji wa umri chini 25 anagharama kubwa sio chini ya $300 350 unafikiria ni mchezo
@Samuel-q2j8v3 ай бұрын
❤
@lumistarboy84992 ай бұрын
Kati kati ya msimu msije mtukana Mangungu 😅
@bahatimshali27312 ай бұрын
Eti NSSF Team. Bro wasije kukushambulia😂
@simonndunguru16292 ай бұрын
Makolo Mazuzu watakuja kulia. Vijana Walio Nao ni Mapambo Huyu atageuza tu ila Mangungu wasimseme nafasi ya 5 inawahusu Thimbaa Chakavu
@TomasiklistophaMwinuka3 ай бұрын
Boss huna baya ila tu walindwe hao wachezaji umesajil watu Bora kabisa nakupa maua yako 🌹
@PeterWillypnk2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤝
@maidafrancis452 ай бұрын
wadaiwa sugu fc wanakoloma utopolo
@alhajimohamed19092 ай бұрын
Kaka nitumie number yako nikutumie hata ya vocha umenifurahixha sana NSSF
@JohnMbogo-c1n2 ай бұрын
Eti ndugu yake Aziz Ki yaani ndo sifa😅😅😅😅😅😅. Yanga wamewashika pabaya sana utopolo wa mo dewji
@EmmanuelMsika2 ай бұрын
Pamoja
@EmanweljahazEmanweljahaz3 ай бұрын
Ninaaminin Sana simbo nguvu moja
@HussainIgayo2 ай бұрын
Wambie! Ngoja nicheze kwanz😂😂😂
@JohnMbogo-c1n2 ай бұрын
Yaani kagoma ndo tegemeo la kutengeneza timu kweli!?😂😂😂😂😂😂
@TomasiklistophaMwinuka3 ай бұрын
Gb 64 tuko pamoja boss Hana baya chakusema mim walindwe tu bas
@juliascherehani23302 ай бұрын
Simba pesa ipo
@JohnMbogo-c1n2 ай бұрын
Sawa huku NSSF kule wodi ya watoto halafu tuone ligi ikianza...usianze tu kula mataputapu yako na kwenda jela😂😂😂😂
@RashidiMkongewa2 ай бұрын
KIKULACHO KIKO KIKO KINGUONI MWAKO MNALOGANA WENYEWE SHOMAL NA SHABALALA NDIO WANAOLOGA WACHEZAJI WENU
@RashidiMkongewa2 ай бұрын
Nafasi ya 4 msimu huu inawahusu nimekaa pale😊
@hamisimsosi62372 ай бұрын
Upande wa pili ni wazee fc😅😅😅😅😅😅😅😅
@SaidiSaidi-o6r2 ай бұрын
wivu uo
@robertphilip3852 ай бұрын
Kwausajili huu wa simba nafasi ya tatu iko palepale
@emalema74232 ай бұрын
Hunakula hunavyo jiweza
@AsumaniMkumba2 ай бұрын
Mechi nne zip wewe
@RashidiMkongewa2 ай бұрын
Shomali nazimbwe ndio wanawaloga wenzao wapate namba siyo yanga