GB 64 MABULULU AMEWEKWA MFUKONI NA CHE MALON

  Рет қаралды 35,156

Ngwale Sports HD

Ngwale Sports HD

Күн бұрын

Al ahly vs simba

Пікірлер: 76
@NuruEria
@NuruEria 2 күн бұрын
Kocha fadlo ujinga alio ufanya wa kumtoa ateba na kumuweka mashaka ile syo kwa nn hakumuweka mkwala,mshaulin sana fadlo
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 2 күн бұрын
Mpe hongera kwanza ndugu,, kocha katisha sna, ujue inategemea na walichokionyesha mazoezini
@NuruEria
@NuruEria 2 күн бұрын
@@ezzepuritykamwene2121 nikweli lakini alisababsha beki ya upinzan kuwa huru maana ateba aliwafanya kukosa uhuru mdawote kumlinda kwa sababu ya uzoefu wa michuano hii ila mashaka bado
@ToivoJase
@ToivoJase 3 күн бұрын
Mungu amjaalie CAMARA,asije rogwa na MANULA,maana Tz hapa ni shida
@Ajijji12
@Ajijji12 3 күн бұрын
😅
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 3 күн бұрын
Alogwe na nani bhana, Katika mpira kuumia ni vitu vya kawaida tu.
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 2 күн бұрын
​@ramadhaniharuna5441😂😂 Ila Kama Kuna ukweli hivii
@GraphixDesgner
@GraphixDesgner 11 сағат бұрын
Hawezi kufanya hivyo SS tinataka ushindi hayo ya kuiogana weka pembeni bana
@NuruEria
@NuruEria 2 күн бұрын
Fadlo alikosea kumuingiza mashaka na kumtoa ateba Basi angemuweka mukwala
@issaomari5297
@issaomari5297 3 күн бұрын
Kiukwel ingekuwa timu ndogo kwa uwanja ule wenye mashabiki wamepagawa vile unakula zakutosha...ila simba wamejitahid kuzuia sana
@Nuru8700
@Nuru8700 3 күн бұрын
Simba wamezoea mashabiki si mara ya kwanza kukutana na mashabiki
@carolinemasonga6429
@carolinemasonga6429 Күн бұрын
Kiukweli huwa sipati hofu lakini kwa mashabiki wale na ushangiliaji wao ule 🤣🤣🤣🤣nilipata hofu , ila Mungu ni mkubwa hatimaye Simba kaonyesha ukubwa wake. Tumewavuruga na droo, tunawasubiri Lupaso kwa Mkapa!🤣🤣🤣
@Economically-Growth-Musicians
@Economically-Growth-Musicians 2 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians hili lijamaa aiseee😂😂😂😂😂😂 anyway Congratulations Guys 🎉🎉🎉🎉
@JamesStephan-h1j
@JamesStephan-h1j 2 күн бұрын
Mungu aibarik simba yetu
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 2 күн бұрын
Jaman nawakumbusha yusuph kagoma kacheza kwa wale ambao hawajamwona nawakumbusha tu kacheza nendeni tff,caf,cas,na fifa mkalalamike lakini yusuph kagoma sio wa milioni 30 sawa wanywa supu
@user-mg8fb4ih8x
@user-mg8fb4ih8x 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@GraphixDesgner
@GraphixDesgner 11 сағат бұрын
Acha hizo hohooo
@shmaiderkiborey5144
@shmaiderkiborey5144 3 күн бұрын
Simba imeimarika Sana kwa kweli
@Luhanya.s.Kamalamo
@Luhanya.s.Kamalamo 2 күн бұрын
Big up
@hancymatter
@hancymatter 2 күн бұрын
Simba nguvu moja
@johnmathews9791
@johnmathews9791 2 күн бұрын
Mashabiki wa alhilaly wanajua!Kwanza wamefull house na pili hawakupoa mwanzo mwisho ni amsha amsha,wanajua kusapoti timu yao!
@NemesMasawe
@NemesMasawe 2 күн бұрын
Kabisaaa
@kayutiOfficial
@kayutiOfficial 2 күн бұрын
Yes
@jintongwa3787
@jintongwa3787 3 күн бұрын
Nakukubali sana gb64 washauri viongozi wasiidharau mechi one love
@KhamisAlawi-n1k
@KhamisAlawi-n1k 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ubaya ubwela
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 3 күн бұрын
Ile timu ingecheza na timu nyingine wangepigwa 3 bila
@SalmaShabani-k7t
@SalmaShabani-k7t 3 күн бұрын
Uwanja wa taifa awatok
@ThobiasNestory
@ThobiasNestory 2 күн бұрын
Uko sawa GB64
@NemesMasawe
@NemesMasawe 2 күн бұрын
Ilaaa gb nakuelewaa sanaa
@KhamisAmourSeif
@KhamisAmourSeif 3 күн бұрын
Kk unatisha
@Tee-King
@Tee-King Күн бұрын
Watu wanajisahaurisha et simba karuhusu goal 1 zid ya al hilal yanga kaisahau 😂😂😂
@OmaryJuma-o6d
@OmaryJuma-o6d Күн бұрын
Atari kak
@GodfreyYuza
@GodfreyYuza 11 сағат бұрын
Uchaei ni ajira wew
@JaphethShallo
@JaphethShallo 3 күн бұрын
Simba sc nguvu Moja ❤
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 3 күн бұрын
Hahahahah"nakubali saaaana
@IsackMahenga
@IsackMahenga 3 күн бұрын
Sawa gb 64
@athumanipigo9295
@athumanipigo9295 2 күн бұрын
Simba hatuna shughuli ndogo
@Johnhonesty-z4w
@Johnhonesty-z4w 2 күн бұрын
kwa simba hii lazima tufike makundi
@SatalaJoseph
@SatalaJoseph 2 күн бұрын
Mh che Mason shondoh tamka vizur
@OmaryJuma-o6d
@OmaryJuma-o6d Күн бұрын
Naturalisation kak
@ZephaErnest
@ZephaErnest 2 күн бұрын
Nasikia manula kapigwa
@PaschalNtalimbo
@PaschalNtalimbo 2 күн бұрын
🎉🎉🎉pa 1 gb64
@Revokatus-s5n
@Revokatus-s5n 2 күн бұрын
Jaman ni jambo la kusubiri tuuuui
@SalmaAbdalah-dv6et
@SalmaAbdalah-dv6et 3 күн бұрын
Umenena kaka ht mtangazazi kasema Leo timu kubwa zimeonesha ukubwa
@StellahNgomasi
@StellahNgomasi Күн бұрын
💪💪💪🦁🦁🦁🔥🔥🔥⚽⚽⚽🏆🏆🏆🤲🤲🤲
@Niika870
@Niika870 3 күн бұрын
❤❤
@yusuphshabani7285
@yusuphshabani7285 2 күн бұрын
😂😂..huyu jamaa anafaa kua muhasishaji
@Merrymerry-l4n
@Merrymerry-l4n 3 күн бұрын
❤❤❤❤
@user-kn9ks7bv7y
@user-kn9ks7bv7y 2 күн бұрын
Makolo wanateseka
@PeterJustin-ke5mk
@PeterJustin-ke5mk 3 күн бұрын
Nikweli kabisa ubaya ubwela
@namfukamaismailna8203
@namfukamaismailna8203 3 күн бұрын
Simba migobore tu, lupaso wanang'oka 😅
@MecksonPeresi
@MecksonPeresi 2 күн бұрын
Ubaya ubwela ndio huu
@RajabuNdauka-h6u
@RajabuNdauka-h6u 3 күн бұрын
Hii Simbaaaaaa tamu
@chrispinrafael3831
@chrispinrafael3831 2 күн бұрын
Tulishakuja wewe fara wewe mwenyewe ulisema ni mashindano ya walioferi Leo unasifia kenge maji
@OmaryJuma-o6d
@OmaryJuma-o6d Күн бұрын
Ubaya ubwela
@ELIZABETHBURTON-i3q
@ELIZABETHBURTON-i3q 2 күн бұрын
Sasa wale utawafanisha na wale vilema wenu vitalo o yenu mbwa wewe
@EsterHassan-g1v
@EsterHassan-g1v 3 күн бұрын
Mambo
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 2 күн бұрын
Sio che peke ake ,abulazak mmesahau show zake, zimbwe?
@mussakilo4916
@mussakilo4916 2 күн бұрын
Wewe huo uchambuz wako wa kitoto unafananisheje shirikisho na klab bingwa yanga wana amua muda gani wakufunge
@GraphixDesgner
@GraphixDesgner 11 сағат бұрын
Wee eee err acha hizo hoooohooo
@DenisMusa-g5z
@DenisMusa-g5z 3 күн бұрын
Kongole kwa ubaya ubwela
@SetiMBANGU
@SetiMBANGU 3 күн бұрын
Tunawasubili lupaso
@BellaTuyi-hd7tw
@BellaTuyi-hd7tw 2 күн бұрын
Mechi ya Simba ndo imeomekana kwel ndo time ya clab bingwa. So wale wanao piga madomo kama mbwa koko😂😂😂😂 ✍️ Mabetu &Co
@francismwaipopo5046
@francismwaipopo5046 3 күн бұрын
Timu iliofungwa na Biashara United inawatoa kamasi madunduka 😂😂😂
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 3 күн бұрын
Jina la timu ila siyo hii ya leo kenge wew
@josephatikirutu9739
@josephatikirutu9739 3 күн бұрын
Hii ni timu tofauti kabisa.
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 3 күн бұрын
@@josephatikirutu9739kwa iyo simba iliyokula 5G,2G,1G jumla 8G ilikuwa dunduka na hii ni Makolo au😂😂😂 0-0
@Nuru8700
@Nuru8700 3 күн бұрын
Imefungwa na biashara kwenye uwanja gni jiulize.kwanza usikurupuke
@ELIZABETHBURTON-i3q
@ELIZABETHBURTON-i3q 2 күн бұрын
Mkundu wako tulishapiga nyingi tu.zaidi ya hizo nane nyuma kufirwa na kagoma hamumpati tena mbwa nyie mliomba sana simba ifungwe mmefer
@JemesKasase
@JemesKasase 3 күн бұрын
Yani dk 90 hata on tageti hamna hafu mnajisifu
@francismwaipopo5046
@francismwaipopo5046 3 күн бұрын
Walikutana vilema wote ndoo maana ya kombe la loser
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 3 күн бұрын
Vilema sio wale walio cheza janaa?
@neemamwijage
@neemamwijage 3 күн бұрын
Mchezo ulivyoisha wamekuwa vilema😂😂nyinyi si mlikuwa mnasema tunafungwa sasa kiko wp
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 53 МЛН
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 24 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 53 МЛН