Kama ujasoma uwezi kuelewa safi sana Gb 70 unajua San 🎉
@edsonhiza85194 ай бұрын
Hizi sio GB64 ni zaidi ya GB 100%🔞☢ hawa CPA hawaaa..... wanatakiwa wasituchanganye kabisa yanii... wao ni Certified public Accountants ambao hawajui wanachokifanya shenziiii.... watupisheee njaaa tuuu
@moyolameck5554 ай бұрын
Nipo na MANGUNGU kwa 100%😂😂😂
@MzeewaYanga-hm8jq4 ай бұрын
Acha ufala wew yanga anakua bingwa kw sababu amejipanga
@mckobatz58614 ай бұрын
Jifunze historia na siasa za mpira wa Tanzania kuliko kumtukana mtu vyema kuleta hoja kupangua zake
@abbasisudi68994 ай бұрын
Kama mnamsifia saivi boss kaja msije kugeukana badae,mana matajir wanafikir mara tatu maskini mara Moja huwez jua mana mo na try again ndo huyuhuyo
@TomasiklistophaMwinuka4 ай бұрын
Gb 64 naendelea kukufat kila uendako Nimefrah kuskia Mo wetu karud mzigon
@jonamnyone80144 ай бұрын
Mtangazaji hujitambui unashindwa kutofautisha kati ya Mwenyekiti wa Simba na Mwenyekiti wa Board. MO sio Mwenyekiti wa Simba yeye ni Mwenyekiti wa Board. Mwenyekiti wa Board anatoka upande wa mwekezaji kwa hiyo upatikanaji wake unatoka upande wa mwekezaji kwa hiyo hakuna tatizololote kwa MO kuwa Mwenyekiti wa Board. Mwenyekiti wa Simba ni Mangungu anachaguliwa na wanachama ila kwenye Board hana sauti yeye ni member wa board tu. Labda katiba ingempa power juu ya member wengine Kwa kuwa anawakilisha wanachama ambao Wana shares 51%
@AlfredMwakabana4 ай бұрын
Kwani huwajui wanao ikwanisha simba ni bosi mbona unasema wataonekana peupe rudia akaunti ya Kigwangalla hajapindisha hata kido
@TomasiklistophaMwinuka4 ай бұрын
Mangungu asijioshe nae anasubir nn atembee maombietu yatajibiwa tu tumechoka
@simeonmazigo59184 ай бұрын
Waifute tu katiba kama imeruhusu maandamano hlf wakipewa rushwa yanageuzwa kuwa uvunjifu wa Amani😅😅😅😅
@TomasiklistophaMwinuka4 ай бұрын
Mo dewji amerud mzigon furaha inarud hongera mo kwakurud
@Jerie-q1c4 ай бұрын
Kattiba ya nini hapo ww mtangazaji? acha simba irudi kwenye reli , hayo mengine baadae
@othumanambae7614 ай бұрын
Uyujamaa anajierewa sana
@ElizabethLukosya-lv2vf4 ай бұрын
Kumbe
@othumanambae7614 ай бұрын
Jaaamaaaa ajuikuhuriza maswari kabisa
@ZabibuMwenda4 ай бұрын
Shida ni kwamba watu wanamaumivu zaid ya maumivu mamae zao tumewapiga za uso Simba nguvu moja
@Afsah904 ай бұрын
Wee mtangazaji hujui matumizi ya r na l..?? Taalifa ndo nini..??
@francomohamed-dh2rc4 ай бұрын
Hao watu wanaohosi mambo ya Simba ni kina nani?Waandishi upotoshaji na uchonganishi.....acheni Simba itulie
@HamisRashid-xl4mn4 ай бұрын
WEWE MUANDISHI NDO SIYO MUELEWA KAMWAMBIA MO ALUDI KWENYE UWENYE KITI KWENYE ASIRIMIA 49 SASA WEWE UNATAKA ACHAGULIWE NANANI KWANI HUYO TRY AGEY ALICHAGULIWA NANANI
@edwardmbonika51024 ай бұрын
Iko cku hao wanaoikwamisha Simba tutawajua mchana kweupe
@MastarKuntuabaharia4 ай бұрын
Tatizo kubwa ni katiba
@samsonkingdom-xc8cg4 ай бұрын
Achatuwapelekee moto mpaka mseme
@ramadhanichubi91394 ай бұрын
Wewe ni miongoni mwa wa hochezi kama kimya huo ni upande wake wewe huna hoja. siyo kukaimishwa Bali Madara yapo kwa MO kawaambie waliokutuma wamefeli,gb 64, heko.
@kakururubambula72704 ай бұрын
Huyu GB ni mwehu na anatumika kumlinda mo ni mwehu huyo jamaa
@MsafiriBaruti4 ай бұрын
Kwan mo ana shida gan
@abbasisudi68994 ай бұрын
Mmh umaskini ni utumwa
@KareemMandela-d5l4 ай бұрын
Na kiongozi uking,ang,ania unakua dictoter
@DM_154 ай бұрын
Muuliza swali wewe hujui.kitu mwandishi wahabari hujui lolote. Anaetakiwa kuchaguliwa nimwenyekiti wa wana chama .nasio upande wa muwekezaji .muwekezaji anateua mwenyewe mtuwake hana kundi lak8mpigia kura. Acheni uzwazwa
@AlfredMwakabana4 ай бұрын
Alitupwa ndani anaogopa nyosha maelezo yako mo aliikuta simba kwani katiba hiya nani Alitunga katiba mbovo hiyo
@samsonkingdom-xc8cg4 ай бұрын
Mamlaka anayo iyo timu alishainunua wasijitoe akili