Ahadi yako kuhama team akiondoka Chama sasa unasubiri nini
@emanuerchrsimas51513 ай бұрын
bro kuwa na msimamo juzi ulimsifia ila baada ya kutambulishwa yanga unamuita mchochezi wa migomo
@MoshiMrisho-e6m2 ай бұрын
🎉Gb64 unajua sana mwamba aaa
@JohnKulwa-c9v3 ай бұрын
Gb nimekuelewa kaka
@DaudiMade3 ай бұрын
Uko vizuri kaka
@simonndunguru16293 ай бұрын
Wamerithi kwa Ahmed Ally Gundu Kiroporopo Uongo Huyo ni Kigeugeu.
@MACHOYATAI-jk6fu3 ай бұрын
Achana na sisi kaiongelee timu ya wachawi yanga
@AdhamAlliy-mg5py3 ай бұрын
Ulitaka aiponde Simba ndio mumsifie
@Dastanikasanda3 ай бұрын
Kwahiyo ulitaka akwambie vp. Mfuate
@musamwakalibule33833 ай бұрын
Nilikuwa najiuliza kwanini uliondolewa kwenye ualimu? Tayari nimejua maana halisi ya vyeti feki.
@gulamjuma89393 ай бұрын
Piga kazi kaka
@emmanuelibrahim45563 ай бұрын
Sawa ata kama nikupunguza umri ndo mtale awe na miaka 22 kweli?😅
@musamwakalibule33833 ай бұрын
Tayari gb 64 umeitwa na kupigwa noti umeanza kuwasafisha viongozi uliokuwa unawatukana hadi ukafungwa rockup ya polisi!?
@KarebuPhares2 ай бұрын
Wana Simba 2punguze maneno 2xbr uwanjani isijekua kama sawadogo
@BenPeter-vp2cy3 ай бұрын
Ebu search video za chama apo alaf uringanishe na pumba za gb64😂😂
@mzeebabumzee3 ай бұрын
Ata uyo chama kapata jina simba bisha tuone nauyo ata pata jina unya mani shika iyoo
@BenPeter-vp2cy3 ай бұрын
@@mzeebabumzee mbona povu sheikh 😁😁😁 kama chama kakuuma nenda kashtaki kw mangungu😂😂😂😂😂💚💛.. simba nguvu moyaaaaaaaa
@fatherjaytz3 ай бұрын
ACHA UONGO PSYCHOLOGY GANI ULITUMIA BWANA,,, WEW ULIKUW UNAMAANISHA UNAJIONA UNA AKILI SANA SIO
@avitusmichael53 ай бұрын
Fala huyo anavunga mjanja
@KirishwaRashid3 ай бұрын
Asante.. Gb.. 64
@michaelnsingija3 ай бұрын
sana kaka upo sawa
@OmallyAlly-cy3yt3 ай бұрын
Sina imani nauyujamaa anawadanganya ndugu zake wa simba
@AndrewShayo-np1sy3 ай бұрын
Siyo Shomari lawi ni Lamek Lawi
@emmanuelmayunga15183 ай бұрын
😅😅na huwa anapenda kwel kusema shamari lawi
@selemanidando2983 ай бұрын
Msije mkawasema tena viongozi wenu tena hizi clip zinaishi
@jamesgeorge82793 ай бұрын
Uliniaminisha kuwa chama haondoki popote mo keshamalizana nae mwisho wa cku chama anatambulishwa yanga kikweli ww ni mkundu tu chawa tu.
@AllyKimeme3 ай бұрын
Mimi nime fulai kuondoka mana Kila siku migogolo na kosha
@elirahammwiri65193 ай бұрын
Amepoteza mvuto tokana na ahadi ambazo hazitimiii!!!
@RashidOmary-bd5oz3 ай бұрын
Wacha chama aende zake tunashusha vifaa watakoma mwaka huu.
@ELIACHOMOLA3 ай бұрын
Kumbe viongozi wako vzuri ila unadanganya sana
@raybirry38163 ай бұрын
JAMAA MUONGOOOO! UNAGUNDUA HUA HANA ZA NDANI,ANAROPOKA TU.
@FrankMaiko-xb5fn3 ай бұрын
Nakuami bloo maneno yakishujaa
@FumaoFumao-d8w3 ай бұрын
Naona hurumà kwa wale watakaokùtanao simba
@Shinarambod3 ай бұрын
Wee jamaa wakufukuze TU maaana ulikuwa unachochea mugomo Sasa ivi umehongwa unalopokaka2 mbona ukisema akiondoka chama unahama ACHA ujinga unakuwaa kama msariti
@MACHOYATAI-jk6fu3 ай бұрын
Wakati unaongelea simba usimtaje samia utafanya nitapike
@AsiaBakari-k4k3 ай бұрын
bado mmoja kaka
@makoreremakorere42123 ай бұрын
Heeee nimekukubali chuma Cha Simba
@loishiyesamwel13743 ай бұрын
Ukweli hata uongozi wa Simba ulikuwa haumhitaji tena Chama, Kwa akili ya kawaida haiwezekani Simba washindwe kumzuia mchezaji mzoefu km Chama, tena ni mchezaji wa miaka 6 ndani ya Simba, hakuwa na tofauti na mke wa mtu alieishi ndani ya ndoa miaka 6,ana watoto watatu, Halafu ghafla unaambiwa amempata mchumba mpya tena kijana na wameanza maisha, je Hilo linafuta uzee?
@georgecuthbert52303 ай бұрын
Sawa hawamuitaji Chama basi wampe thank-you
@geraldbagole44943 ай бұрын
Hawa wachezaji tunawasifia Sana,ligi ikianza,misumari,mauzauza vinaanza.Viongozi wawe makini asee.
@@mwanangusana Sisi wenye D2 tunajua,Simba wanasifia Sana usajili kabla ya ligi,matokeo mnahatarisha wachezaji bureee.
@saidismail66763 ай бұрын
Gb 64 ww ni kichwa unajua unacho kisema
@BizzBoy-g4o3 ай бұрын
Niswala la muda kuwa kataa
@MakarotiKamugisha3 ай бұрын
100
@BenPeter-vp2cy3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 jamaa ni mnafki uyuuu
@AdijaSurutan3 ай бұрын
Maneno. Saii
@LucianaJoachim3 ай бұрын
Aliyepunguza miaka nani ?hata hivyo haiwahusu, pakome azizi wanamiaka mingapi famyeni yenu mikundu wekeni keki mikunduni mwenu tuacheni
@fatumasophu58553 ай бұрын
Haaaa matusi Tena
@Shaha-d1i3 ай бұрын
Mmm mtaani wanalia hukuuu schama
@AllyShaban-ms7ot3 ай бұрын
Uko xawa
@MeshackChenya3 ай бұрын
Gb 64 nakuelewa sana
@kassimmwawado70023 ай бұрын
Kichapo kiko pale pale!
@georgebetram633 ай бұрын
😂
@ELIACHOMOLA3 ай бұрын
Mbona ulisema unahamia Azam na uhame basi
@othmanhamad78873 ай бұрын
GB64 yule ni Lameck Lawi,yule Shomari Lawi ni refarii
@OmaryAlly-h1j3 ай бұрын
Kaka unatisha nguv moja
@SalvatoryMtunga3 ай бұрын
Ulitudanganya umeongea na mo kuwa issue ya chama ameimaliza, wewe siyo mkweli.
@DarliotonTumaini3 ай бұрын
Weunategemea ukweli kupitia hawa 😂😂😂😂😂
@FadhiliRajath3 ай бұрын
Tena uyu fala kwan ajuw kma watu tunamfuatilia sana
@Oscarmarwa-fitnesstrainer3 ай бұрын
Mpuuzi wewe si ulisema chama akihama utaacha kushabikia simba madako wewe
@Oscarmarwa-fitnesstrainer3 ай бұрын
Matako wewe
@Oscarmarwa-fitnesstrainer3 ай бұрын
Hama team kama ulivyo sema
@eliashagai79203 ай бұрын
Chawa
@JustineMasele3 ай бұрын
❤❤❤😂
@avitusmichael53 ай бұрын
Huyu mwehu msiwe mnamhoji, ni mjuaji halafu hajui, nahisi ni tapeli wa dar
@deniskangombe74423 ай бұрын
Hivi unapataje jeuri ya kuandika maneno kama hayo Aya Sasa ngoja wakuhoji ww usiejua lolote unajua some time mnakera eti
@avitusmichael53 ай бұрын
@@deniskangombe7442 peleka ujinga huko
@isayamneja70203 ай бұрын
We mlopokaji sana, hata usivyovijua unaropoka tu
@bobbyfiasco43113 ай бұрын
Chawa 😂
@ELIACHOMOLA3 ай бұрын
Unahamia lini azamu
@georgebetram633 ай бұрын
Kubwa kuliko😂😂😂😂 namkumbuka Bugatti
@mzugigizzlelife62293 ай бұрын
Kwani nawe si mmoja wapo aliyehitaji maandamano
@mwanangusana3 ай бұрын
Huyu ni muongo Sana.... Kisha anajiona ni big 😂😂😂 , anajifanya yupo karibu na viongozi 😂😂😂 kumbe hamna kitu .... Simu tu tumlichangia , aliwekwa lock up na ao ao viongozi wake ....