JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 21
@mnyongeiddi245418 күн бұрын
Hapo kwa kuongea na mutale apana umetupiga na kitu kizito😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@user-wk2bg8zf3l18 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@khatibkhatib341718 күн бұрын
Vp kuhusu Mpanzu
@johnurio915118 күн бұрын
Tulishawazoea kila mwanzo wa ligi ndo huwa mnacheza huo mpira,yupi onana, miquson, chemalone, Ngoma mlivyojitapa Leo kiko wapi, tunasubiri kwa hamu tuone hizo mbwembwe
@GABRIELMAKOA16 күн бұрын
Nakubali
@ayubuashibeli967817 күн бұрын
Shida tunajuwa sana kuongea ila mwisho wa usajiri ovyoo mtatuua mashabiki
@IshevannyAnatory16 күн бұрын
taarifa za awali zilitoka kuwa Dr Mohamed kafungiwa mbn bdo anaizungumzia Simba???
@AndrewLikiti-yb2ws18 күн бұрын
Kwani Mutale si Binadamu? Kwanini asiongee na watu wanamichezo?
@user-qy7pi3xq7v17 күн бұрын
Shida hyu jamaa muongo sijuh uongo n fani?
@PauloMole-lv4tf18 күн бұрын
kwanini simba tushindwa wachesaji wasuri kama kina pooku.tunakwama wap ngoja tusubiri
@user-sq4sz5jj2g18 күн бұрын
Kizito mno
@flova702218 күн бұрын
Kuna jjambo simba hhatuko serious
@yugemasanza100817 күн бұрын
Jambo gani?
@IshevannyAnatory16 күн бұрын
Kuna taarifa za awali zilitoka kuwa Dr Mohamed kafungiwa na Simba mbn anazungumza???
@user-bt6ep3yb2h18 күн бұрын
Kiboko yako ni mangungu, imekubidi ujibembeleze na kuanza kuwasifia, mangungu hachezewi hovyo.
@patrickimran264518 күн бұрын
Huu mfungwa anabwabwaja nini
@omarymwenebatu18 күн бұрын
Mfungwa ni ASHULA CHEUPE umemsahau msemajiwenu wa UTO?
@salimmalaka25618 күн бұрын
@@omarymwenebatuAKIKUJIBU NIAMBIE 😂😂😂😂😂
@ezekielmlay821917 күн бұрын
Tumekujua timu Mangungu vinganganizi mlioivuruga timu na kushika nafasi mbaya, wasema kweli mnawapiga mazonge