Gender Intelligence Mwanamke Vs Mwanaume - Joel Nanauka

  Рет қаралды 31,130

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 125
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 жыл бұрын
Imekuwa ni tabia yangu kupenda vitu vigumu kiasi kueleweka hata selection yangu ya movies huwa ni zile zinazonifanya niwaze sana pindi tu nikimaliza... naomba nikwambie hii ni moja ya content ambayo imenifanya niwaze sana. Acha niendelee kuwaza, kwasasa naomba niseme ASANTE KWA CONTENT NZURI YENYE KUSHIBISHA AKILI. #Powerful
@jumaramadhan4301
@jumaramadhan4301 5 жыл бұрын
Ezden Jumanne Hakika uliyo yaeleza ndivyo yalivyo na nimejifunza ,Tukipata Elimu hiyo wanawake na wanaume tutaishi bila kulaumiana kila mmoja ata.uelewa mwenzake alivyo asante kwa elimu hiyo
@alnejom7279
@alnejom7279 4 жыл бұрын
Asante sana Mwalimu nimekuelewa MUNGU akubariki sana 🙏
@ellysilwani9287
@ellysilwani9287 5 жыл бұрын
Oooh,my God yaani nimekutana nazo sana yaani uhalisia ni kwa mwenzi wangu...mlemle...Asante kaka,nazidi kujifunza zaidi.Barikiwa!
@monicakauky8914
@monicakauky8914 4 ай бұрын
Hii ni kweli kabisa kaka Joel nilishawahi kukutana na hiyo changamoto nilikuwa simuelewi Mume wangu kumbe ndivyo wanaume walivyo Asante Kwa SoMo,sitakosea Tena.
@pudensianalinwatu5320
@pudensianalinwatu5320 5 жыл бұрын
Dah nmecheka sana Jana tu nmetoka kupitia hizo point dah 🙏🙏
@pudensianalinwatu5320
@pudensianalinwatu5320 5 жыл бұрын
But thanks najifunza kitu
@judithmbwilo7470
@judithmbwilo7470 5 жыл бұрын
Yah, ni kweli kabisa, hizo tofauti nimeshakutana nazo sana, ila nakushkuru sana kwa elimu unayotupatia inatujenga na kutufanya tusonge mbele zaidi kwa ushindi!, Asante sana brother Joel!
@radhiafujdvinradhia4144
@radhiafujdvinradhia4144 3 жыл бұрын
Hakika nimejifunza kaka Joel pia nimepata tofauti ya jinsia asante sna
@msleny6767
@msleny6767 5 жыл бұрын
Wow,thx for reminding us this year about this, they are essentiall in all relationships Asante kwa juhudi kuu kuhakikisha twajifunza mambo mapya kila siku👏👏
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#seeYouAtTheTop
@mathiassagali7380
@mathiassagali7380 4 жыл бұрын
Yote yamenitoke kaka joel nanauka God bless you.
@josephissara9667
@josephissara9667 4 жыл бұрын
Jamani Dr Joel kila tukio lina matokeo halafu uwezo wa kufikiri unatofautisha hivi:- mwanamke hufikiria tukio kuliko matokeo bali mwanaume hufikiria matokeo kuliko tukio;Je hapo nimepatia au nimekosea?naomba unieleweshe zaidi
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 4 жыл бұрын
Following this up
@fadhildali3591
@fadhildali3591 5 жыл бұрын
ahsante sana kwa elimu tunayoipa kutoka kwako mungu akubariki
@benedictordavidmeshack4ben333
@benedictordavidmeshack4ben333 5 жыл бұрын
Joel nanauka nakupenda sana ndugu yng yani wewe ni zaidi ya mwalimu.....
@joachimligujeli9763
@joachimligujeli9763 5 жыл бұрын
factors zote ulizorefer ni za kibiologia(sex) and not socially constructed factors(gender), ila umejitahidi kuelezea ni jinsi gani izo biological factors zinaaffect gender roles
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 4 жыл бұрын
Ni kweli. Kuna sehemu unaijua naweza soma au ona video ya hizo socially constructed factors? Nisaidie. Nataka more knowledge.
@maggiepeter8936
@maggiepeter8936 4 жыл бұрын
Yaan hizo tofauti naziona kabisaaa katka maisha halisi...me mwnyw hata na familia yangu mama yangu na Baba yangu
@Melisacr1147
@Melisacr1147 4 жыл бұрын
Kabisaaa nimeelewaa MUNGU akutie nguvu
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 4 ай бұрын
Nimejifunza 🙏
@beatricesanga4050
@beatricesanga4050 3 жыл бұрын
Mungu akusaidie sana
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 3 жыл бұрын
Asante kwa somo
@mahelohquede9771
@mahelohquede9771 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana brother....nishakutana na hiyo hali ya kua kimya pale changamoto inapotoke na hua nishajaribu kuikataa ili niwe katika hali ya kawaida lakini najikuta uhitaji wa kua kimya unakua ni mkubwa.... Sikua najua nini kinafanyika,.. Nashukuru umenifungua pakubwa
@rosadatheodothburetha6334
@rosadatheodothburetha6334 5 жыл бұрын
Duh nimecheka kila tofauti ina uhalisia kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Hongera Kwa Kujifunza #SeeYouAtTheTop
@gladyboniface6893
@gladyboniface6893 5 жыл бұрын
Yah ipo izo tofauti ni kweli kabisa ,hasa kudeal na vitu mwanaume akiwa na stress yah anakua down sana ,wakati Mimi mwanamke naona mbona ni kitu kidogo ingekua hv na vile but unashangaa bado yeye kwake ni stress dah nimepata vitu vingi aisee ukija kwenye ubongo ni kweli pia mm najishangaaga sana nikisimulia naunganisha sana story ila yeye ata hadithia kitu kimoja kitaeleweka na kuisha dah aisee nitawatonya na wengne wajifunze kwa kweli Japo mm nimekujua kwaajili yake ,asante Bro Joel Nanauka ,God bless you
@ramadhanikhaji800
@ramadhanikhaji800 3 жыл бұрын
Kaka we unajua 😀😀
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 4 жыл бұрын
Hizi elimu za mahusiano ni muhimu sana. Tena especially kwa mwanaume, sababu we ndo kiongozi wa mwanamke. Safi braza.
@johnchuwa1646
@johnchuwa1646 2 жыл бұрын
Somo zuri Sana kaka
@benedictmasigo3802
@benedictmasigo3802 5 жыл бұрын
Thanks for your class now i know
@maryamkhatau4038
@maryamkhatau4038 5 жыл бұрын
Hiyo point ya 4 ni kweli kabisa huwa naona km ananizarau kiasi nakasirika sana kumbe ndo hali yake ahsante sana kaka nimejifunza kitu kipya
@beatusmpogoza4200
@beatusmpogoza4200 5 жыл бұрын
Upo vizuri kaka, we need people like u in the world.
@imanuelmilishoki1739
@imanuelmilishoki1739 5 жыл бұрын
asante Joel kwa ushauri wako mzur tunaendelea kufwatilia saidi mungu akubariki
@cheddykipingu8087
@cheddykipingu8087 5 жыл бұрын
Dah! Doct Joh! God bless you, yan unazd kuifungua nakuipangulia akili yangu.. Thnk you more...
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
Nanauka uko vizuri,Biology imefika penyewe, kumbe ndio mana mume wangu yuko vile. nimejua sasa sitamboa kwa kumpa story kibao,haha
@nadyahilali4162
@nadyahilali4162 4 жыл бұрын
yaani haujakosea kabisa umezungumzia kitu ambacho ninacho katika maisha yangu ila kiukweli umeifungua akili yangu asante sana
@bakarninga8216
@bakarninga8216 5 жыл бұрын
Hahaha so nice that is extremely true bro hakuna ata moja iliyopinda
@mombasatown2025
@mombasatown2025 4 жыл бұрын
Hayo tote ni kweli ndivo yalivo
@cheyowilliam1387
@cheyowilliam1387 4 жыл бұрын
Karibu zote nakutana nazo broo
@ckosmah21
@ckosmah21 5 жыл бұрын
😂😂daaah yan katk watu wanaoelewa,i can say im no 1 see u at th top brothr
@mugishaflorence8590
@mugishaflorence8590 3 жыл бұрын
Asante saaaana
@ahmarawessu3102
@ahmarawessu3102 Жыл бұрын
dah... yaani umetoa uhalisia tunaokumbana nao
@marangujoy9313
@marangujoy9313 5 жыл бұрын
Asante sana kwa kuendelea kutuelimisha,MWALIMUNA NAUKA.Elimu yako ina faida nyingi sana.
@muutasimrashid135
@muutasimrashid135 3 жыл бұрын
Sasi sana
@stevengoodluck4581
@stevengoodluck4581 3 жыл бұрын
Hi mr hii changamoto ninayo kwa sasa na juz tu Nmetoka kuongea na mke wangu nada nzima Umenifurahisha sana
@batulmkama2608
@batulmkama2608 5 жыл бұрын
Nimekutana na changamoto kubwa sana na mwanaume nilie kuwa nae jaman
@stevenchusi8559
@stevenchusi8559 4 жыл бұрын
Asante kaka nimependa sana somo hili,, Mungu akubariki.
@neemafadhili7989
@neemafadhili7989 5 жыл бұрын
ni kwel Mimi boy friend Wang yuko ivo kikitokea kitu ni mgumu kutoa ushaur au maamuz huwa nahc kama ananipuuzia ila Leo nmejfunza kitu
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Amazing my brother Joel
@afyatele3637
@afyatele3637 4 жыл бұрын
Asante sana Joel nimekuelewa sana
@hafsahcletty5968
@hafsahcletty5968 5 жыл бұрын
Mashaallah.Shukran 👌
@ashakulanga6244
@ashakulanga6244 5 жыл бұрын
Hahaaaaaaa nimeamua kucheka tu, hilo la 4 limetokea jana tu, changamoto zote nimezipitia
@stevengoodluck4581
@stevengoodluck4581 3 жыл бұрын
Imenigusa mojakwamoja
@madinamohammedmsuo7108
@madinamohammedmsuo7108 5 жыл бұрын
Doh! Nakubali kaka, chagamoto hizo nimezipitia naniza kweli 😊
@damianmosoka8254
@damianmosoka8254 5 жыл бұрын
Thanks a lot bro
@senetazephania368
@senetazephania368 5 жыл бұрын
kaka wewe ni mkali sana aisee,unafundisha vizuri sana mnoo
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Dah hizo zote nimektana nazo m aixe
@kudrastamili3061
@kudrastamili3061 5 жыл бұрын
Asante sana kaka angu unatanua akili yangu sana
@agathamichael8818
@agathamichael8818 5 жыл бұрын
Thanks bro
@gideongerald2846
@gideongerald2846 3 жыл бұрын
Ulivyosema ni kweli tupu
@johnluhwa8342
@johnluhwa8342 5 жыл бұрын
Kakaa joeli unajua saana
@mgallason...5686
@mgallason...5686 5 жыл бұрын
yes, uko sahihi Joel, kingine maumbile ya ubongo wa mwanamke ni Kama tunda la dhabibu au Kama mfumo wa umeme ndani ya nyumba kitu kinachopelekea pindi anapopata taarifa husambaa takriban katika ubongo wote na hapohapo ataweza kutoa maamuzi bila kujali uzuri au ubaya wake lakini ni tofauti kwa ubongo wa mwanaume, ambaye ubongo wake ni informs of boxes, anapopata taarifa, taarifa hiyo huingia kwenye kijibox kimoja na kinaanza kujaa (na hapa pia wanaume wanautofauti, wapo ambao kijibox kinajaa haraka sana na wengine taratibu na wengine wapo moderate, yaani Kama kukopi mafaili toka kwenye kompyuta kwenda kwenye external drives au kinyume chake) na Kama hakupata ufumbuzi kijibox kinajaa na kuhamishia taarifa katika kijibox kingine, sasa unakuta mpaka anapata ufumbuzi pengine taarifa itaishia katika moja ya kijibox na Ndipo atakuwa na muda wa maamuzi penine hata kijibox hakijajaa. Lakini umeelimishavema sana kiongozi Ubarikiwe sana, acha tuzidi kujifunza mengi.
@meleajohnkisaka7969
@meleajohnkisaka7969 3 жыл бұрын
Mungu akubatiki napenda sana mada zako zimenisaidia sana na kuleta mabadiliko sana katika maisha yangu
@helmanjohn6261
@helmanjohn6261 5 жыл бұрын
Brother Kila ninapo sikiliza na kutazama video zako najifunza kitu kikubwa mno.
@ancywilly8224
@ancywilly8224 5 жыл бұрын
asante kwa hili
@evamwinga921
@evamwinga921 4 жыл бұрын
Mi nimewahi kutana na kitu hiki, mwenzangu akiwa na mawazo au stress huwa anakuwa kimya haongei, mi ninachofanya huwa namwacha awaze mpaka anze kuongea mwenyewe, nauliza sijajua kama huwa nakuwa sahihi au la
@kelvinmagath5506
@kelvinmagath5506 5 жыл бұрын
kaka upo cizuri shukrani
@heavenlightregnald5414
@heavenlightregnald5414 5 жыл бұрын
Nimecheka sanaa,
@boazlaiton6808
@boazlaiton6808 5 жыл бұрын
samahani naomba Nisaidie no yako
@maryambassumbul5881
@maryambassumbul5881 2 жыл бұрын
Kwakweli unastahili kwa uwezo mkubwa wakumjua mwanamke na mwanaume
@dorcusayub8215
@dorcusayub8215 4 жыл бұрын
Naomba namba yako
@ndayizeyedesire8767
@ndayizeyedesire8767 5 жыл бұрын
Respect iyo ni ukwel kabisa
@aminajackson6868
@aminajackson6868 5 жыл бұрын
Safiii sana kaka
@nzobonimpaissa7566
@nzobonimpaissa7566 4 жыл бұрын
Big up brother iyonikweli
@kassimomar2980
@kassimomar2980 5 жыл бұрын
Kaka Joel..napend sn kukuanglia clips zko na kila ck najifunza vitu vipya toka kwko..!!
@barickbayyo4460
@barickbayyo4460 4 жыл бұрын
Exactly, zinanisibu mkuu
@murtdaalabbas5550
@murtdaalabbas5550 3 жыл бұрын
Mambo VP mi naitwa husna ndio nilishaga wahi kutokewa na matatizo km hayo na mume wangu na badae tuka achana myaka 2 sa sa siko nae, aise ni me miss ,njo ivo nilikua sifahum km ndivyo mlivyo ,nashkur kW a kun ifahamisha, a sante SN,
@aimoniteriteka2567
@aimoniteriteka2567 2 жыл бұрын
Zote nimesha kutana nazo!!!
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 5 жыл бұрын
Point 4 ndio msuguwano mkubwa Sana ktk MAHUSIANO
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 4 жыл бұрын
Hiyo ya mwisho, testerone. Ni kweli. Hii hasa inadhihirika wakati wa mahusiano serious.
@womanhappness
@womanhappness 5 жыл бұрын
Hiyo ya tatu ,ya kichanganya pande mbili za Brain
@rosemaryallan723
@rosemaryallan723 5 жыл бұрын
yote ni kweli kaka barikiwa xn
@joaneruvenge2275
@joaneruvenge2275 5 жыл бұрын
Unafaa sana kuwa psychologists.
@thomasboso3081
@thomasboso3081 4 жыл бұрын
Ndiyo
@anthonykamkolwe5766
@anthonykamkolwe5766 3 жыл бұрын
UKWELI MTUPU 100% KAZI NZURI!
@stevengoodluck4581
@stevengoodluck4581 3 жыл бұрын
Kwasasa sina kaz takriban miaka3 na nmekaa kimya bila kunamvua mwenzangu nn ntafanya
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
✍️🙌
@Madam255
@Madam255 3 ай бұрын
😂😂😂😂ila sisi wanawake jamani
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Asante sana kaka
@joycejohn3218
@joycejohn3218 5 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@jofureyisaya5534
@jofureyisaya5534 5 жыл бұрын
I love you so much Joel
@mamafadila7806
@mamafadila7806 5 жыл бұрын
Uko nimekuelewa baba asnte
@beatricepantaleo6282
@beatricepantaleo6282 5 жыл бұрын
Wow!
@michaelchillambo2383
@michaelchillambo2383 5 жыл бұрын
Upo sahihi
@brightonshakila6406
@brightonshakila6406 5 жыл бұрын
😂 nimejikuta nacheka sana... Jamanii tunapishana sana hasa hapo kwenye kuwaza na kuunganisha Story bila kujua
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 5 жыл бұрын
brighton shakila @nikweli nimecheka mie hatar
@bobog9732
@bobog9732 5 жыл бұрын
😃😃😃😂 unanikumbusha vingi kwayi topic
@liberatussylvanus9952
@liberatussylvanus9952 4 жыл бұрын
Niukweliusiopingika
@khadijamsha6903
@khadijamsha6903 5 жыл бұрын
nmeona tafauti yan mm nahisi vtu haraka nanikisha kihisi ktu haifiki mda kinatokea nilichokuwa nahisi siku za nyuma
@maggiepeter8936
@maggiepeter8936 5 жыл бұрын
😅😅daah nimecheka sna yaan.....vyote ivo me nishawah kuviona au kuvipitia...yaan ukweli mtupu
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@sophiambunda1507
@sophiambunda1507 4 жыл бұрын
Bro n nyng apa nmekutana nazo aseee
@alexjudica8668
@alexjudica8668 5 жыл бұрын
good
@joycejohn3218
@joycejohn3218 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@maryadam2520
@maryadam2520 5 жыл бұрын
Yaan mi nmekutanazo kama zote hivi
@salummasoud6395
@salummasoud6395 5 жыл бұрын
Ndiyo maana ukiwa unasafiri wanawake wanachelewa kujiandaa.
@neemafadhili7989
@neemafadhili7989 5 жыл бұрын
kaka minataka kitabu chako cha nguvu ya mwanamke nakipataje
@hilarygodfrey5862
@hilarygodfrey5862 5 жыл бұрын
bro unafundisha sana adi unabowa
@kingoman7895
@kingoman7895 5 жыл бұрын
#seeuatthetop#
@mella1928
@mella1928 5 жыл бұрын
ni ukweli kabixa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🤣🤣😂😂😂🙌
@ministermartinbm
@ministermartinbm 2 жыл бұрын
Una hatari wewe
Njia 4 Za Kuongeza Thamani Yako Ili Ulipwe Zaidi
22:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 46 М.
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 8 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 44 МЛН
EPUKA MTAZAMO HUU - JOEL NANAUKA
17:21
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
Njia  Nne (4) Za Kuongeza Ushawishi Katika Kile Unachokifanya
14:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 71 М.
Think Fast, Talk Smart: Communication Techniques
58:20
Stanford Graduate School of Business
Рет қаралды 40 МЛН
Njia Tano (5) Unazoweza Kuzitumia Kuongeza Ujasiri
9:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 182 М.
Aina Tano (5)  Za Nguvu Zinazoleta Mafanikio - Joel Nanauka
7:46
Joel Nanauka
Рет қаралды 76 М.
Namna Ya Kupambana Na  Changamoto - Joel Arthur Nanauka
5:34
Joel Nanauka
Рет қаралды 39 М.
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 8 МЛН