Nguvu zote ni nzuri bali mi ningependa kuwa katika EXPANT POWER nataka kuwa na kujikita zaidi katika kitu ninachotaka kukianzisha nataka baada ya miez au miaka niwe mtaalam zaidi juu ya hili ninalotaka kuanza kulifanya.. Ubarikiwe Kaka Joel unatufumbua masikio tunasonga mbele 👍👍👍
@healinghomeprayercentre6 жыл бұрын
Hallelujah
@noelyumbya72856 жыл бұрын
ubalikiw
@jihadisadick37895 жыл бұрын
Maryam Maram
@ambakisyesaidia76903 жыл бұрын
For my self I prefer to use a expert power
@farmpridetz89746 жыл бұрын
Barikiwa” natengneza nguvu ya kuwa Guru kwenye maswala ya ufugaji wa kuku na incubators Hp nitafika kwa jina la Yesu
@ramafrica90166 жыл бұрын
Somo zuri kiongoz,napenda kujifunza zaidi kupitia vipindi,vyako kutokana haya maisha yapo kwy kujifunza zaidi
@chrismassawe3263 жыл бұрын
Nimejifunza kitu hapa
@nasmafarmsltd91466 жыл бұрын
expect power nataka niwe mtaalamu wa ufugaj wa kuku wa kienyeji wa mayai na wa nyama ila watu hunikatisha tamaa na kuzid kuua ñďòto ýàñģù ushaur wako kaka angu il nitimize ñďòto ýàñģù hyo ndo passion yangu
@ramadhanalmashamza3458 Жыл бұрын
Asante sana kaka mimi nataka kutumia EXPANT POWER katika kitu ninachotaka kusomea asante sana kaka Mungu akubariki
@ipyanathomas42543 жыл бұрын
Nahitaji sana kuwa na Expert power mana nimekuwa Mtu wakunichangia ya san kwenye kazi bila kuwa na utaalam wowote na nashkuru Mungu ni referent power nnayo
@gabrielmwakalasya5 жыл бұрын
Mimi nataka kuitengeneza kuvu ya Coherent Power. Mimi ni muimbaji so I find that the majority of people Loving me so much
@antigonimathew50904 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa elimu hii...ningepeñda kujuana na watu waliyofanikiwa kibiashara.
@zenahaji63103 жыл бұрын
Mungu akuzidishie nguvu na hekima mm ni miongoni mwa watu uliowatoa sehemu moja na kunipeleka sehemu nyengine nakupenda Sana na nakubali Sana umenitia nguvu Sana pale nilipokqta tamaa
@festorymlekwas40506 жыл бұрын
Nguvu ya kutengeneza hapo kwa upande wangu ni CONNECTION POWER ,kwani mbinu hiii itasaidia Mengi sana
@joelnanauka6 жыл бұрын
Good
@elizaberthswai35226 жыл бұрын
Ninaona hizo nguvu zote tayari unazo kaka Joel, siyo kwa passion hiyo ya kutaka kuwaona watu at the top, I love you Muheshimiwa
@joelnanauka6 жыл бұрын
Asante Nashukuru #SeeYouAtTheTop
@khadijakisingo79202 жыл бұрын
Haipiti cku bila kukusikiliza kaka Joel nanauka ktk ratiba zng za Kila cku napenda kukusikiliza asubuh wkt wa break na jioni Kuna vitu vikubwa sana najifunza kwako
@matendoandrewmgeni11356 жыл бұрын
network power aisee hii nilishaianzaga lakini sikua najua kwamba ni muhimu na sio vibaya kuitafuta! asante nanauka
@King_Kev786 жыл бұрын
Joel asante sana. Mimi ningependa kutengeneza zaidi nguvu ya kwanza.
@joelnanauka6 жыл бұрын
Vizuri Ndugu Anza Leo #SeeYouAtTheTop
@kenethkunambi86846 жыл бұрын
Unakuwa na nguvu zote au baadhi Ila persistence na continuation ni kikwazo...tatizo kwangu
@niholausbarnaba33146 жыл бұрын
nguvu katika somo la chemistry
@jacklinemashenene59763 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa kukutumia ww ili nijue anasema nn namimi umenisaidia kuishi kwenye uwezo wangu wakipekee Mungu akubaliki sana kaka joel
@pr.ndaturuem.98096 жыл бұрын
Nafurahia sana kwa masomo yako, kuna jambo natamani kushare na wewe, ukipata muda tuwasiliane, ubarikiwe na Bwana
@joseefaidabutu64676 жыл бұрын
Asante sana, mimi natamani niwe na conection power
@msleny67676 жыл бұрын
Asante sana kwa kutengeneza video hili, Nikitazama mazingira yangu,sina connection power,sina legitimate power, but I will never give up developing my expert power, I will never loose my referent power and through my skills and specialisation,I believe I will be able to hold my referent power too Thx Joel Nanauka,your messages always has an impact in my life ❤❤❤
@joelnanauka6 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@gastormichael76776 жыл бұрын
Connection power Ndg Joel mungu akubariki sana kwa masomo yako mazuri.
@joelnanauka6 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@zenahcharles76405 жыл бұрын
Me nahitaji nguvu namba 1 iwe hiyo nd inanifaaa
@wigengeazizi38016 жыл бұрын
Thanks brother nahitaj sana connect power network
@joelnanauka6 жыл бұрын
Vizuri Ndugu Anza Leo #SeeYouAtTheTop
@sahachi3972 жыл бұрын
Nataka connection power na wewe Joel uwe sehem ya connection yangu
@jescakabogo7306 жыл бұрын
asante ndogo wangu, nahitaji expert & connecting power. be blessed.
@joelnanauka6 жыл бұрын
Vizuri Ndugu Anza Leo #SeeYouAtTheTop
@ludovickmwikwabe51296 жыл бұрын
Naipenda zaidi connection power,nahisi inanisaidia mno, naipenda niifuatilie Zaidi.
@emmanuelyusuph90576 жыл бұрын
nahtaji sana expert power, asante bro joel
@joelnanauka6 жыл бұрын
Good
@justinmmbando53866 жыл бұрын
Asante Sana Kaka Joel Nguvu ya Network ndio ninayohitaji Nishauri juu ya hili.
@joelnanauka6 жыл бұрын
Vizuri Ndugu Anza Leo #SeeYouAtTheTop
@mwajumayunus20416 жыл бұрын
my morning lesson for today be blessed my Broo your the best
@joelnanauka6 жыл бұрын
Thanks #SeeYouAtTheTop
@imsalauriani7254 Жыл бұрын
Asante kwa kuendelea kutupa madini mimi nahitaji connection ya watu.
@salmadalaquimane53036 жыл бұрын
Nakuewaga sana kka love u
@gablesladyfashionanddesign14096 жыл бұрын
For me ineed expert power for sure
@joelnanauka6 жыл бұрын
Vizuri Ndugu Anza Leo #SeeYouAtTheTop
@mussaali47026 жыл бұрын
We noma kaka nakukubli San mim nahitaji kua mfany biashar hebu niambie n kitu gan ambacho natkiw kufanya
@msengisimoni20876 жыл бұрын
natengeneza nguvu ya kuwa mrekebishaji magari bora
@joelnanauka6 жыл бұрын
Vizuri Weka Nguvu Katika Eneo Hilo #SeeYouAtTheTop
@rollahngimbwa6978 Жыл бұрын
Asant San nimejifunza mengi kupitia video hi. Ymkn ngv zote ni nzr ,me natamani Sana kuwa na ngv ya expart power Natamani kujifunza mengi na kuwa na ujuhi wa kutatua jmb kwa ulahisi bila kuumiza kichwa sn.
@theresiabukuku98216 жыл бұрын
M nnahitaji kutenge neza connection power,nna amin katika ilo
@joelnanauka6 жыл бұрын
Vizuri Anza Leo
@zulatantalising66366 жыл бұрын
Shukran kk, I think exp power & connection power
@joelnanauka6 жыл бұрын
Good #SeeYouAtTheTop
@ndeke_1546 жыл бұрын
Powerful. Thank you my brother
@bitemwita68096 жыл бұрын
connection power ndo nahitaji zaidi na naomba unisaidie lkn pia expert power tayari nina general knowledge ninachohitaji ni specific knowledge na namna ya kupata watu maalum ktk hiyo specific area
@malalezengo44056 жыл бұрын
safi sana joel wetu ubarikiwe sana kwa masomo yako
@joelnanauka6 жыл бұрын
Vizuri Ndugu Anza Leo #SeeYouAtTheTop
@idutathomasmaige21136 жыл бұрын
The power of expert nimeipenda zaidi
@sabatomjungu97276 жыл бұрын
Ahsante ,Iyo ya nne inabidi kuizingatia sana kwa sababu ninayo lakin na ya tatu itabidi kuanza kuifanyia kazi pia
@joelnanauka6 жыл бұрын
Anza Leo #SeeYouAtTheTop
@sabatomjungu97276 жыл бұрын
@@joelnanauka sawa Kaka sitohitaji kuchelewa
@elizaberthswai35226 жыл бұрын
God bless you much
@mariamsimon22354 жыл бұрын
Nataman zaid na expant power na connection power naomba ushaur nifanyeje
@elishasundu93384 жыл бұрын
Njema Kaka Sana Kaka Mungu akubarikiii
@kennedywabwire87726 жыл бұрын
asante. good topic in life
@joelnanauka6 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@sannyverse19676 жыл бұрын
Mtu mwenye connection power teacher!
@joelnanauka6 жыл бұрын
Vizuri Ndugu Anza Leo #SeeYouAtTheTop
@evalyata26974 жыл бұрын
Connection power kaka yangu
@worshipertv99686 жыл бұрын
Nimekuelewa vizur
@najmachami5476 жыл бұрын
Asante sana kaka ww ni shujaa wangu sijuti kukufuatilia
@joelnanauka6 жыл бұрын
#SeeYouAtTheTop
@kenedynkana36932 жыл бұрын
Connection power and referent power are best power to reach our target.
@joseefaidabutu72945 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa somo nzuri
@Maulidfundi6 жыл бұрын
Naisi nipo ivyooo yan natafutwa na watu juu ya ujuzi nilio nao ila cjajua jinc ya kupata pesaaa nisaidie.
@yohanageorgekika22403 жыл бұрын
Hongera sana kaka kwa mafunzo mazuri.
@selehmaniz50655 жыл бұрын
Asant brother me nahitaji mtu mwenye connection power
@naomikalebi43323 жыл бұрын
Cohesive, legitimate,Expant etc maneno haya hayana tafsir yake kwa kiswahili mbali na maelezo yake,Sio wote tunajua kizungu kaka. Elimu hii tunayoipata hapa twahitaji kuelimisha na wenzetu waipate,
@awamkhalid53616 жыл бұрын
Expert power ndo jambo la msng
@joelnanauka6 жыл бұрын
Good #SeeYouAtTheTop
@dianampangala70606 жыл бұрын
Joel Nanauka Mungu akubariki tunapata kitu katika masomo yako naomba uni - add katika group yk 0767 -860840 Mpangala
@jamesrichard45436 жыл бұрын
Nguvu zote . ziko vizuri. Ila nahitaji nguvu ya kujulikana kwa faida
@rebecajoxephat17086 жыл бұрын
asante kwa somo kaka angu
@zuhuraabdillah69416 жыл бұрын
Connection power is the best to me
@youngtone4333 Жыл бұрын
Great master mind
@nicksonmaftah1026 жыл бұрын
Asante kaka expert power
@athumankikwete97076 жыл бұрын
Thank you brother!
@martinemihangwa22656 жыл бұрын
Natamani nguvu ya expert power najua itanifikisha mbalu
@raphaelbruno27435 жыл бұрын
Hello!!asante kwa vipindi vyako mungu akubariki kaka!mimi naitaji kupata expart power na conection power
@fadhilrehan51296 жыл бұрын
Asante ubarikiwe
@denmat41186 жыл бұрын
Nilikuwa nakufatilia sana katika kila video unayopost kweli ninakushukuru sana nimejifunza mengi saana ahsante sana lkn naomba unisaidie kitu kimoja ambacho mpaka Leo ninakifanya lkn sijui nnafanya kivipi ambacho ni studying techniques or how to study kwa sababa mm bado ni mwanafunzi
@awadhimaramshamaramsha19106 жыл бұрын
Kaka nimezpenda nguvu ya Kwanza natamani kuwa mfugaji was kuku lakini pakuanzia pananipa shida Sana nifanyeje kaka
@FSanja6 жыл бұрын
Natamani sana kupata vitabu yako
@epifaniamzena10772 жыл бұрын
Ktk maisha yangu nahitaji networking mi nina utaalamu wa kufuga kuku
@aaaavvvv42616 жыл бұрын
Hakika maneno ya kweli kaka
@womanhappness6 жыл бұрын
Connection and network power
@chrissnoti7982 жыл бұрын
Expert Power and Connection Power
@meshackngadango68556 жыл бұрын
Nahitaji kuwa na Connection powers,,, nifanyaje? Maana ni mgumu kuanzisha connection na watu.&Ahsante kwa somo zuri.
@kambalekalemberwa95984 жыл бұрын
Ninataka brain power
@hassanovajunior69725 жыл бұрын
Connection Power 🔥
@sylvesterlaurent53654 жыл бұрын
Nguvu ya mtu mwenye network
@gregorykavenuke27003 жыл бұрын
Connection power
@zahramunir85966 жыл бұрын
Kweli, na maneno yote ni ya busara..
@isackmagidanga99062 жыл бұрын
I've charisma and I need legitimate power ( position )
@AdventJulius4 ай бұрын
Connection power
@sandacksai2506 жыл бұрын
asante kwa somo zuri
@ayubunnko4177 Жыл бұрын
Expert power
@hilarygodfrey58626 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka
@matokeomdende70305 жыл бұрын
Nguvu namba 3
@barakasullesh86356 жыл бұрын
asant sana
@telesiamkumbwa88886 жыл бұрын
thanks brother
@deboramenard18553 жыл бұрын
Asant Sana
@HADESSPETER Жыл бұрын
Asante sana kaka
@ashifchakarbaharamgichki75184 жыл бұрын
Nguvu ya kujiamini inakuwa ndogo. Lakini naweza. Hiyo inasumbuwa
@february28666 жыл бұрын
Jaman nawezaje kufungua channel Yutube,naomba mnisaidie natamani sana!
@joelnanauka6 жыл бұрын
Piga Simu Hii Hapa 0754811753
@february28666 жыл бұрын
+Joel Nanauka Oooooh,Amina Sana Kaka,!Ubarikiwe Sana
@arobogastmashamba89576 жыл бұрын
@@joelnanauka nami nitapga kaka maana nami pia nataman kufungua na nmeshajalibu ila nashindwa kuiweka hadharan
@edrickniwamanya4396 жыл бұрын
Nguvu ya connection power mm ndo naitaka
@anethnico45376 жыл бұрын
expart power kaka
@victoremanuelmollel53966 жыл бұрын
Nataka kutengeneza nguvu ya netwek na watu mbalimbali wenye uwezo fulani,kiuchumi,kitaaluma nakadhalika
@joelnanauka6 жыл бұрын
Vizuri Wekeza Katika Hayo Maeneo Na Utaona Matokeo Yanakuaje #SeeYouAtTheTop
@frankramadhan33126 жыл бұрын
Victor Emanuel musician
@angeljabir86085 жыл бұрын
Dizaini kama akuelewa hivi
@salumtamopa54806 жыл бұрын
mm ningependa kuwa Expart Wa masuala ya welding fabrication
@angeljabir86085 жыл бұрын
Ila nilikuwa naomba uwe kama unaweza bhas unatutolea mfano wa watu maarufu yani kitu kama hiko maana umeongea jambo nkakumbuka ronaldo de lima alitoboa sana alafu baada ya kuacha mpira amepotea lakin wenzake ronaldinho mpk leo anaish bado kwenye akili za watu
@MukhsinJuma-j3i Жыл бұрын
Thenk u joer
@gasperngongolodamian77936 жыл бұрын
kitabu cha timiza malengo nakipataje
@mickpatrick33752 жыл бұрын
Guvu ya nafasi iwe guvu yako mwali ufundishe pia SoMo hilo Ili watu tujue jinsigan ya kufanya