WhatsApp/Piga namba: +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu. Kwa iPhone au Android Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
@goodluckroben62205 жыл бұрын
Baba uko vizuri mno mungu aendelee kuwa pamoja na we we.
@lameckysulumbi47275 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana kwa kusikilisa somo zuri kabisa la tafsiri ya ndoto. 💞💞
@gracejulius50005 жыл бұрын
Aaaa,kwakweli namshukuru MUNGU sana kwa ajili yako Mh.Nabii,najifunza
@magnifiquentkrtmna3205 жыл бұрын
Jameni kweri Mungu wetu anazidi kutufundisha kupitia wewe. Baba tunakusifu ututemberee burundi tupate uponyaji
@mengimussa20225 жыл бұрын
Kwa kweli huyu Mzee yuko vizuri haya ndio mambo yamafundisho tulikua tunayatafuta makanisani kwa muda mrefu lakini hatukusikia kwakina zaidi hata tukabaki NJIA panda ubarikiwe nabii wa bwana naamini umeandaliwa kulituliza kabisa katika roho yakutanga tanga kama yatima may God bless huduma hii izidi MWENDA mbali nakupenya mioyoni kwa watu wako.
@samwelmollel33765 жыл бұрын
Nabarikiwa baba
@malkiabintmfalme86825 жыл бұрын
Kwanini sikukufahamu mapema Baba, rafiki yangu juzi mwezi WA kumi na mbili alinieleza kuwa anaota Mara nyingi anakimbizwa na mfuu,, na kipindi hicho alikuwa analinda makabur ya mashujaa huko mtwara,alikuwa mwanajeshi,, basi mi nikamwambia kwa Hizo ndoto zinatokana na mazingira unayofanya kazi,, basi hyo ikapita,,, amini usiinimi juzi mwezi WA tatu alipata ajali akafariki,, rip Deo,, sijui ni pepo gani lilinifunga nisikushauri uende kwa maombi 😠😠 nimekumbuka mbali sana kupitia somo hili
@esperancentakwinja93445 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@bahatimtiesa84475 жыл бұрын
Thanks so much prophet for this teaching am blessed
@benjaminlijongwa37154 жыл бұрын
GEOR DAVIE UKO POUWA SANA KWENYE KICHWA .UNAFUNDISHA VITU VIKO POUWA SAWA
@aidanongole93415 жыл бұрын
AMEN.
@tumaininzunda48425 жыл бұрын
Mafunzo mazuri
@paulmbilu40045 жыл бұрын
Nabii mkuu Tz ubarikiwe mno
@eunicekimani20145 жыл бұрын
Thanks I believe that dad
@paschaltsaxara24745 жыл бұрын
namwelewa nabii
@malkiabintmfalme86825 жыл бұрын
Thanks Papa
@jumahahahaanihatarmabina7245 жыл бұрын
Major prophet.
@nervawatson6065 жыл бұрын
wapendwa naomba msaada namba ya mtumushi na mahala anapopatikana tafadhari
@sailiceraphaelkomba7905 жыл бұрын
Naomba namba ya Mchungaji angalau nishiriki maombi naishi Kilosa