Mheshimiwa Nabi mkuu Mungu akulinde uishi miaka mingi Mungu amekuleta kwetu utusaidie kiroho na kiuchumi kuhusu kiuchumi Mimi Niko vibaya nadaiwa Kodi ya nyumba naomba unieezeshe kiuchumi ninunue shamba hata Hela kumi mheshimiwa nabii asante amina
@juliuskilonzo-mq8bb7 ай бұрын
Nayapenda sana mafundisho ya mtume maboya....am from Kenya apostle we are missing you..
@simonphabiano9050 Жыл бұрын
Great Maboya,,,,, greatful, awesome, wonderful, extraordinary, astonishing, marvelous, adventure......
@apotredavidmungufenioffici138512 сағат бұрын
Ni kweli MTUME pesa ina uthamani sana kwenye huduma like from Congo RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MCNgakungaJunior2 жыл бұрын
MBARIKIWE SANA! UMOJA KWA KANISA NDIYO TUNATAKA.SIYO KUTUPIANA MADOGO.
@pastor.gideonmwarandu39312 жыл бұрын
Askofu Maboya ni mtu wa maana sana katika mwili wa Kristo. Nimebarikiwa
@doriszephania35032 жыл бұрын
Muhimili kama muhimili wa Injili Tanzania! Mungu anajivunia wewe sanaaaa Danstan Maboya. ,,Nakukubali sanaaaa!
@ebenezermachange10732 жыл бұрын
Wow ni jambo la baraka sana katika kanisa tunapoona mtume mkuu na nabii mkuu wanakutana katika madhabahu moja.Hii inaua mgawanyiko katika kanisa na Kuleta umoja katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu.Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu
@emmanuelmacumi31602 жыл бұрын
Vizuri sana.Lakini naomba kuelewa kutoka ndani ya Biblia tofauti ya mtume mkuu na mtume mudogo,na nabii mkubwa na nabii mudogo.
@judithkatoto33162 жыл бұрын
Amen watenda kazi wa yesu mbarkiwe
@judithkatoto33162 жыл бұрын
Mtume maboy nikiboko nkupnd San sijui kibaha mwezi huu nn utasem na kusanyiko ubarikiwe bba na muda huu uko kusanyiko nahisi
@kitokabadiba47012 жыл бұрын
Babangu nikumbuke nami niko kalemie DRC congo
@lovenessgervas20132 жыл бұрын
Mafundisho mazuri... Ubarikiwe mno Apostle Maboya
@JoeNdungu-co2re8 ай бұрын
Awesome this amazing servant of God helping the weak. Have really suffered. Nabii nakuja kukombolewa
@brother_majesty2 жыл бұрын
Much Respect to the Great Apostle of our times....kwa wasiojua Gurudoza Mwamposa amekulia kwa huyu mzee
@honmaka62002 жыл бұрын
amina ndugu watu hawajui kuwa huyu ndiye mzazi na mlezi wa Mwamposa
@joshuanzala35302 жыл бұрын
Mwamposa hajalelewa na huyo,amelelewa na Bishop Ryoba
@marceljohnkimaty4986 Жыл бұрын
Buldoza ni mtoto wa kiroho wa huyu mzee
@marceljohnkimaty4986 Жыл бұрын
@@joshuanzala3530 Riyba mwenyewe kwa kinywa chake nimemsikia akimwita maboya baba. Na mpaka anafariki alikuwa katibu wa Maboya.
@tedyenock5680 Жыл бұрын
Nnj ,
@hoseakayinga20902 жыл бұрын
Apostle Maboya Mungu akubariki sana nimekusikia na nmekuelewa Mungu nisaidie kuyatendea haya yote.
@franciscoblawrent81282 жыл бұрын
You're always my favorite pastor God bless your life
@mrremedius55842 жыл бұрын
Nimependa sana mafundisho yake mzee maboya vijana tufanye kazi Mungu anabariki neno lake😀😀😀
@domeofhopechapel20162 жыл бұрын
Amen.i was privileged to drive this man of God to Oakland California some years back and the trip was was very insightful. God bless you apostle maboya.
@justusndolo10482 жыл бұрын
This is the man who prophesied first my international flights
@jeanmiruho4770Ай бұрын
❤😂😂kwakweli Mze Maboya nakupendaka sana nakupata 5/5 Stockholm Sweden na Mungu awabariki sana
@gloryjohnson85482 жыл бұрын
I just love this great man of God Apostle Maboya.
@yudapraise43322 жыл бұрын
Haleluya, tunahitaji watu majasiri kama hawa ili ufalme wa MUNGU uzidi kupanuka. Nimependa, sana sana sana!!
@SamwelDavid-s9c10 ай бұрын
Good massage the man of God f,Apostle Maboya, be blessed and prosper 4
@bonnyngowo75672 жыл бұрын
This is breathtaking God bless you men of God.We don't have time to learn about freemason but only Jesus Christ
@sharonryoba6722 жыл бұрын
I honar you papaa
@franciskagia93222 жыл бұрын
The sermon is good lakini your seculity behind the preacher haibatani na Bible
@stanleyguthia7771 Жыл бұрын
The security leaves me with many questions
@afandebrighttz28872 жыл бұрын
Hii Roho niwachache wanayo ,,,,hongera Nabii mkuu Dr Geordavie kwa Kumkaribisha Mtume Maboya
@victormtani71702 жыл бұрын
Big Up Dr. Rev. Bishop Maboya Injili ya kweli hiyo Kweli tuache kuangalia mali na urithi wa Baba ambae ya alisoma darasa la Nane au la saba mtoto ukasomeshwa na Baba hadi Degree leo unakuja kuitolea Macho mali za mzee Urithi wa Baba yako ni wawajukuu
@josemuru2 жыл бұрын
Great Men of God. May God bless you and your families
@julytito38912 жыл бұрын
Napenda Sana mafundisho ya huyu baba jmn Ni mwalm mzuri sna na muhubr mzuri Bishop dastan maboya
@pedromario78232 ай бұрын
Amina ubalikiwe sana mtumisi wa Mungu tupo pamoja nanyi uku Moçambique 🇲🇿🙏🙏🙏
@Raphael992 жыл бұрын
Huyu mtumishi Abalikiwe sanaa japo sikufamu ndo kwanza leo nimekusikia, Mungu akupe miaka zaidi, kunakitu umenifungua Asante sanaa.
@humphreymwihambi43302 жыл бұрын
Huyu ndiye mwamba wa injili Tanzania. Nimemfahamu 1991 akiwa moto sana kwenye injili.
@augustinebee77542 жыл бұрын
I'm lucky to witness this great Men of God teaching in one tabernacle
@thomastarimo Жыл бұрын
Nikwell mtumishi
@musajonas93972 жыл бұрын
am loving profit G devi and am loving apostle dastan maboya this is bigger education mmmmmwaaaaa
@ayubkitsao40652 жыл бұрын
I love you my Dad,Dastan Maboya,it reminds me of the yr 1998 when we were at Mwembe chai Dar as we started Chuo Cha Manabii Church, currently at UFI. God bless you man of God, more grace and anointing upon you.
@bosslilyg43902 жыл бұрын
Apostle Maboya 😭😭 Mungu akusaidie, MSIFUNGIWE NIRA PAMOJA NAO WASIOAMINI, Dah unakanyaga madhabahu ya huyu jodevi ambae ni ajenti wa kuzimu!!!! ETI NABII MKUU 😳😳 YAANI BADALA YA KUHUBIRI MNASIFIANA TU KWENYE MADHABAHU😳😳😳 NA HILO NDIO LENGO LA HIYO MADHABAHU YA JODEVI. JOBHA TATA TUFWILE NNYAMBALA. UWIII
@fridahkarimi55102 жыл бұрын
Uli jua aje? Tafadhali nielezee matukio?
@EsterMathayoMollel2 ай бұрын
Mhh kiukweli Mungu atusaidie, skuweza kuamini Maboya kwa huyu Geor devi😢😢😢😢
@chrismassawe2939Ай бұрын
Unawaza kama mimi tu@@EsterMathayoMollel
@boudiaabdallah29 күн бұрын
Well said bro
@Benny318m27 күн бұрын
Mtu akifanya vizuri asisifiwe au nyie ni kutafuta mabaya tu, hata mkeo au mumeo akifanya vyema wewe unatafuta wapi amekosea umponde nabkumsimanga, injiri ni kupeana moyo kupongezana kuonyana......
@juliethmsengi41882 жыл бұрын
Amaizing 🙏nimejifunza na nimecheka Sana, Asante Sana Apostle Maboya.
@sophiankwera90202 жыл бұрын
Vyuma viwili vimekutana full maupako mnaweza mpaka mnaweza Tena💪💪👏👏👏
@agnesmwaka5934 Жыл бұрын
Very powerful,i love his messages.
@marthawanja61712 жыл бұрын
Powerful Generals, i got my word..
@davidwaweru5922 Жыл бұрын
I respect Apostle Dunstan,has great testimonies...
@mercykitundu3680 Жыл бұрын
Ubarikiwe baba!
@lwanjiedna52332 жыл бұрын
Legendary Apostle Maboya🙌
@vailethhelmany-sv8np Жыл бұрын
Shikamoo nabii mkuu wa mungu mm naitwa vaileth natokea dar uliniponya kichwa siku moja ya maombi ubalikiwe na uzidi kuwabaliki wengine
@samwelchacha60242 жыл бұрын
Nimeupenda ujumbe umenijenga saana dady nipo Kenya mungu anifungulie njia Ili siku Moja ni fike kanisani kushuhudia maana na minii mungu ni mwema
@charleschavala4342 жыл бұрын
Watoto wa thank you; Ayaa apostal maboya hongera kwa masage nzuri.
@messijacob79722 жыл бұрын
Ameni
@edithmangu58462 жыл бұрын
That's my dady ilove you,napenda sana mafundisho Yako barikiwa sana
@consolatamaina65332 жыл бұрын
Oooo my can't get enough from you apostle maboya big up from kenya
@ngangajeremiah99122 жыл бұрын
Watumishi wa mungu hawahitaji walinzi.Hakuna nabii mkuu,Nabii Mkuu ni Yesu Kristo.Ninyi ni wachawi,na kuzimu inawangoja!
@magrethmsuya55422 жыл бұрын
Maombi yangu kwa mungu akunzeer mtume maboya
@janemujuni7642 жыл бұрын
Hayo Ni mafundisho ya ujasiriamali,au ?
@katemachanda703529 күн бұрын
Yesu mwenyewe alikua analindwa...
@janvieryenga14192 жыл бұрын
Mnanibariki sana kwa neno la leo, nawafata nikiwa Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@kindulijumanne7632 Жыл бұрын
God bless you man of God Calvary master
@johngondwe86052 жыл бұрын
ahahaaaaaaaa huwezi kumtuma tajiri lete maji, what a revelation, wazee ni wazee tu, Thank you Apostle
@simbaboe83502 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 hallelujah wote tulochelewa kuangalia tuseme amina
@honmaka62002 жыл бұрын
amina glory
@davidtshilumba40582 жыл бұрын
God bless you Man of God.
@mch.deosinkala31202 жыл бұрын
Nakupenda sana Maboya ...maana matirio ya neno la Mungu hayaishi
@julytito38912 жыл бұрын
Haki unaongeaga ukweli mtupu babaa na katika uhalisia wa maisha tunayoishi👌👌hayo Mambo ya thank you aaaah nimecheka mpka nikajishangaa maan nimecheka kwa sauti na Niko peke yangu
@rev.musaernest92482 жыл бұрын
Nimeipenda saana hii, Haya ndiyo mafundisho tunatakiwa tuyapate sisi wakristo, maana sasa tumefika kwenye highest level of lazness
@jofreymligo4572 жыл бұрын
Kweli ise
@mzeewainjilipeupe72882 жыл бұрын
Nampenda nabii mkuu huyu
@yustohango8855 Жыл бұрын
0
@mesiyamarenya3963 Жыл бұрын
@@jofreymligo457 😂😂❤wp 1:05
@Mariejo123-g2x2 жыл бұрын
Mungu apewe sifa na utukufu, ningefurahi kama ningekuwe hapo. Anoint iliopo hapo ni ya kuondoa Milima, Asante watumishi wa Mungu tunawapenda, na tunapenda kazi nzenu. Mungu awatunze
@onemicmedia51532 жыл бұрын
Nabii Mkuu umekua na Ibada ambazo hakika zina bariki sana na ninajifunza jambo kuhusu wewe Baba umekuwa Mtu wa tofauti sana na hata unavyotumiwa na Mungu ni ajabu sana. Natamani sana siku Moja niweze kufika hapo nikitoka huku Mbeya kwaajiri ya ibada Moja itakayogusa Maisha yangu. Shikamoo nabii Mkuu.
@secosude99872 жыл бұрын
Thanks 🙏🙏🙏👍👍👍
@Punda2842 жыл бұрын
Umeongea ukweli Sana Mtumishi WA MUNGU, Yesu Kristo ndiyo yote katika yote.Sifa zone na utukufu Ni Kwa MUNGU muumba WA Vitu Vyote,asiyeshiriki utukufu Na yoyote mbinguni wala Duniani.
@pendaelpeter86912 жыл бұрын
Amina Amina Amina utukufu hadi utukufu barikiwa sana baba
@nicolenabintu25092 жыл бұрын
Baba D Maboya please njoo American ,yani dah ! Ana hubiri hadi na sikia ni pae jamani 🔥 Nabii mkuu J May the living God be with you always,Roho wa Mungu mtakatifu awape mwisho mzuri 🙏🏾❣️
@matildamzola7412 Жыл бұрын
Ameeen
@damaschosen5 ай бұрын
MUNGU haangalii umri, Kama hivyo yeremia asinge itwa
@JacktusValentine-lu8zy Жыл бұрын
Mtumishi wa mungu ubarkiwe nakukubari sana maboya
@DATUSKAMINYOGE-p4t11 ай бұрын
Thanks apostolic Maboya
@estherg77712 жыл бұрын
Hallelujah glory to God. Barikiwa saidi Mtumishi wa mungu Apostle Maboya. 🙏🙏
@apendaelmsuya4370 Жыл бұрын
Barikiwa aminaaaa
@apendaelmsuya4370 Жыл бұрын
Haleluya
@mathayopapiasi88722 жыл бұрын
Mungu anawatu wake someni hichi kipengere kwa waenda mbinguni watanielewa (2petro 2: 1,2,3,4,5,6.hiyo mistari yote imeba ujumbe wa marifa
@hajinsonchakua50312 жыл бұрын
Wow be blessed men of God, am blessed
@josphatmwangi29402 жыл бұрын
Powerful message! Watching from Kenya.
@mwanyongamama44072 жыл бұрын
Nimechekaaa Bwana Ana watu
@nchekumunuo51342 жыл бұрын
Amen
@Mariejo123-g2x2 жыл бұрын
Ni vizuri kusawaidia watu shida za kimwili na ya rohoni yafuate,amina
@marryhewasi30702 жыл бұрын
Nimefurahi sana nimecheka sana aposto ubarikiwe sana mpakwa mafuta wabwana
@luseshelomwangole24082 жыл бұрын
Asante sana Apostle Maboya barikiwa 🙏
@niceommy75452 жыл бұрын
Ongera sana baba yetu nabii mkuu Na mtume mkuu kwa mafundisho mazuri
@ghotmedia2 жыл бұрын
MUNGU akupe maisha marefu,siku moja uje iringa mjini
@ezibonjosephat88492 жыл бұрын
Natamani sana namimi nifike kwenye madhabahu hii ya nabii mkuu
@edwinelias85542 жыл бұрын
Amen Amen Falme za Dunia zinageuzwa na kuwa Falme za mwana kondoo Halleluyah Nabii mkuu na Apostle Maboya kazi ya Mungu na baraka ya Mungu inafanyika
@elidiotendaipedro9262 жыл бұрын
Amen amen mtumishi wa mungu sujui ni same nini nimefurahi sana sana naitaji nikoone sija wahi kuona mtu kama
@NEEMASWEDI2 ай бұрын
Jamani uyo nabii mkuu anapenda kusifiwa sio kufundishana injiri ya YESU kiristo Aah aah na Askofu Danistani maboya kampatia kweli anaenda nae ivyo ivyo. uku amejifunika kwa damu ya YESU kiristo alie hai, sawa sawa.
@RukiaAthman-z2o4 ай бұрын
Nakupenda sana baba yangu nakuamin mungu amekuamin lazima uaminiwe
@LovenesMolel Жыл бұрын
Mungu azidi kukutunza maboya nakujuwa uliniombeya Moshi kipindi mwamposa anahubiri pale mayimorya Leo Yule mwamposa amekuwa mkubwa kwaajili yako baba
@jbdebbielish84837 ай бұрын
Powerful ❤❤❤❤ From Kenya
@barakawilliam39932 жыл бұрын
Watching live from Arusha Tanzania
@glaury9938 Жыл бұрын
Amen ma baba zangu nawapenda bure
@agnessmalyeek93872 жыл бұрын
Maboya mungu akuinue kwa mafundisho mazuri
@wilsonm.73762 жыл бұрын
Very fun and intelligent apostle Maboya
@karimpasclee404311 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu sana baba
@julithageorge17042 жыл бұрын
Hata mimi namkubali sana apostle Maboya... umebarikiwa nabii mkuu
@dommycash12 жыл бұрын
Nabarikiwa sana mtumishi maboya...
@estermwasifiga98402 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@plmiam9202 жыл бұрын
Huyu mzee nimemuelewa sana maboya ni noma
@aminakupila30792 жыл бұрын
Hallelujah 😂😂❤❤❤🙏🙏🙏👍👍👍thank given i love my fathers ❤Nabii wangu number 1Dunuani an mbinguni ❤
@alexmatt9504 Жыл бұрын
Huyu Apostle Maboya nimeamini ni hazina tosha ya neno la Mungu,hizo points ulizoongea ni za maana sana na kama watu wote wangekuwa wanazifuatisha tusinge pata shida. Mafundisho yenye hekima tupu.
@candidadilemile58822 жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏 Apostle Maboya kuna watu wanawadharau watoto wa ahsante wanawaita majina mabaya naamini kila aliyekusikiliza leo atawathamini Amen 🙏
@francismwimbe67502 жыл бұрын
Ahsante sana Mtume mafundisho ya hekima sana haya alafu kwa lugha nyepesi sana
@justinebantu19042 жыл бұрын
Soyez bénies serviteur de Dieu danstan maboya l'homme selon la volonté de Dieu. L'homme expiré
@annasimon92962 жыл бұрын
Nimemuelewa sana apostle
@luckymsomba48182 жыл бұрын
Mungu akubariki apostle
@paulkulwagambishi23302 жыл бұрын
I salute you man of God
@evanceeliudi68662 жыл бұрын
Amen day...love you so much in Tanzania 💕
@ngendakumanaberchmans95732 жыл бұрын
Nabii mkuu?? hili neno mkuu ww ?
@twaibumikidadi73772 жыл бұрын
Nashukur kuwa muıslam din ya sawaswa et mtume mkuu nabii mkuuu kweli wajınga ndıo walıwaoooo
@pastorteddywaziri57542 жыл бұрын
Amina Sana apostle Dunstan Maboya🙏🙏🙏🙏.
@tchale2662 жыл бұрын
Nimekubali kabisa hili pia ni wazi kuwa Mungu anawekeza kwnye wazeee yes
@yusuphwilliam53432 жыл бұрын
Etii mtumee mungu tupee mwishoo mwema naam hiz nizamaa za mwishoo kweli
@cutemamy96022 жыл бұрын
Amina Nimemuelewa Sana Mtume Maboya Na Kanifungua Ufahamu Kwa Kweli
@alexmwengwa45272 жыл бұрын
Baba nimefatiria inada ya Leo hakika jina la bwana Lina watu wanao litumia katika roho na kweli.Barikiwa sana
@lameckwilliam83112 жыл бұрын
Apriciated apostle Dastan Maboya & Nabii mkuu
@RukiaAthman-z2o4 ай бұрын
Nawapenda sana watumish mamba mmeipasua sasa tunapata maji ya uzima
@pillykinabo87222 жыл бұрын
Aliemuona mpiga picha akimpa rushwa bodigadi wa nabii mkuu ili apige picha agonge like basi 😂😂
Hapo Mzee maboya umechemka!! Askofu mkubwa kama wewe kweli unakosa macho ya KIROHO ya namna ya kumtambua Geodavie!? Nadhani hapo kusifu kote huko ni tamaa ya FEDHA tu Mzee.
@bethelmontain2 жыл бұрын
Sichoki kufatilia ibada zako Wakili wa ufalme wa Mungu NABII MKUU