NABII MKUU AMPA GARI MCHUNGAJI MASHIMO NA PESA TASLIM MILIONI 3 (3,000,000/=) GeorDavie TV

  Рет қаралды 215,176

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 727
@DeoKasokola
@DeoKasokola 10 ай бұрын
Mungu utusaidie njaa ni mbaya sana. Maana maadui wa msalaba wa kristo Mungu wao ni tumbo na mwisho wao ni uharibifu
@eddyempire9797
@eddyempire9797 2 жыл бұрын
Mashimo ana Akili nyingi Sana.... Ametafuta pakutobolea
@Sunday-rl9uu
@Sunday-rl9uu Жыл бұрын
mashimo mwenyewe nabiii wa mchongo siwaaamin manabiii namwamini mungu anatosha
@djwise1887
@djwise1887 2 жыл бұрын
Badala ya kuhubiri nyumba hadi nyumba yupo Yesu kristo mwokozi wetu wewe watembea nyumba hadi nyumba kutangaza kuna nabii mkuu. Huko ni kumtukuza mtu siyo Mungu
@emmanuelmwesongo7177
@emmanuelmwesongo7177 2 жыл бұрын
Nimesoma comments nyingi ila ya kwako ndio ina mashiko ✍
@bonimasero649
@bonimasero649 2 жыл бұрын
Mimi sjamwelewa huyu jamaaa
@user-vi6uf5zc1i
@user-vi6uf5zc1i 9 ай бұрын
Anamsujudia binadam mwenzake jmn ee Mungu Tuokoe na Mwovu shetani
@dotto0gallo23
@dotto0gallo23 Жыл бұрын
USISUJUDIE yoyote yule bali ni Mungu pekee pili abudie sanamu ni bure umaskini isiwe Sababu Nimesikitika
@sophiankwera9020
@sophiankwera9020 2 жыл бұрын
Ni zaidi ya upendo Nabii Mkuu hongera sana baba ni jambo la baraka sana ulilolifanya Kwa mchungaji mashimo
@bobwhite9252
@bobwhite9252 2 жыл бұрын
Hawa jamaa ni professional. Wakal wa hiz kaz
@mnaipessa6578
@mnaipessa6578 2 жыл бұрын
Acha ujinga mzee zama za manabii zimepita acha kuwaminisha watu ujinga jiandae kujibu siku ya mwisho
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 2 жыл бұрын
Umaskini mbaya sana. kusaidiwa milion2 basi unaanzakumwabudu na kuhubiri mtu na sio kumhubiriYesu kristo. hii ni laana. ndo maana uliowaalika walikataa maana hapo ni kumwabudu mwanadamu. Geuka mhubiri Mungu aliyekuumba. utajiri utapita. halafu huu utajiri unaoutegemea hapo utakugarimu. Mche Mungu muumba mbingu na nchi .usimwache Yesu ukaanza kuhubiri mtu kwa million 2 na gari
@ericklazaro7567
@ericklazaro7567 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 жыл бұрын
Si unayo ndio maana hauoni ajabu,kwa kuwa unazo haikushtuwi ,,Umeshiba mwenye njaa humjuuuiiii
@JackJack-si7ne
@JackJack-si7ne 2 жыл бұрын
@ dativa joachim wai anayeyajua mambo ya rohoni ndiye anaweza kukuelewa, anafurahi kwa sasa lakini angejua yaliyo mbele, hakika yatamgharimu. Barikiwa sana
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 2 жыл бұрын
@@zimanigervas7281 soivo ndugu yangu. hatumwabudu Mungu kwasababu tumeshiba.Mumgu akure au asokupe bado atabaki kuwa Mungu na heshima yake inabaki palepale.haifai kuuacha wokovu sababu ya shida.dunia tunapita utajiri na umaskini vyote tutavisahau hapa duniani.kama umeokoka endelea na kumsema yesu kwa watu waokoke.injili iletayo wokovu ndo injili iliyokusudiwa na Mungu.sasa injili ya kinabii kuhubiri nabii sijuisijui imekaaje
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 жыл бұрын
@@JackJack-si7ne tufundisheni sasa
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 жыл бұрын
Mkono utoao ndiyo hubarikiwa, Asante nabii mkuu, Mungu akuzidishie vingi zaidi ili uweze kuwasaidia wahitaji. Hongera mchungaji mashimo, kazi yako imepata kibali mbele za. Mungu
@makolokolodavid6707
@makolokolodavid6707 2 жыл бұрын
Loooh!! Nnachojua mim nikuwa Mungu yupo na Mungu hadhihakiwi, ipo siku tutajuana tu
@boniphacemabala4551
@boniphacemabala4551 2 жыл бұрын
Mmmmh, Yaan imani igeuzwe kutoka kumwamini Yesu mpaka kumwamini binadamu, Bwana Yesu atusaidie sana...ila hakuna cha ajabu kwasababu yote yalisemwa kwenye neno lake takatifu
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 2 жыл бұрын
asante kwa kuliona ilo
@boniphacemabala4551
@boniphacemabala4551 2 жыл бұрын
Mambo yanatisha sana haya, Bwana Yesu aliyetuokoa na kutupa neema ya kuyaona haya na kuyaelewa asifiwe sana
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 2 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu watoaji kiasi cha kumfikia Nabii mkuu Geordavie hapa Tanzania na Africa Mashariki mimi bado sijaona!! Salute sana kwako NABII Geordavie!!
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 жыл бұрын
Kabisa sijaona
@kapiriisavictoria4175
@kapiriisavictoria4175 2 жыл бұрын
I tap the anointing in Jesus Mighty Name 🙏
@juliusgenya3231
@juliusgenya3231 2 жыл бұрын
Huyo ni nabii feki hakuna nguvu ya MUNGU
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 2 жыл бұрын
@@juliusgenya3231 heee una uthibitisho?
@gervasmwijage8657
@gervasmwijage8657 2 жыл бұрын
@@juliusgenya3231 upo smart snaaa..Mie nakaa naangalia tu watu
@marympemba2137
@marympemba2137 2 жыл бұрын
Baba umenena vizuri sana, somo zuri sana, namuomba mungu wako awe nami baba🙏🙏♥️♥️🔥🔥🇹🇿🇹🇿
@mariakisinda7235
@mariakisinda7235 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie nabii ninapokusikiliza wewe naskia Julia juu ya ninayopiti juu ya kumtumikia mungu lakini kamwe sitakata tamaa naamini ipo siku name nitatoa ushuhuda
@nhawalala276
@nhawalala276 2 жыл бұрын
Wa kumwamini ni mungu pekee picha ya MTU inaponya kivipi mungu ndiye anaeponya
@esthermyers1696
@esthermyers1696 Жыл бұрын
Can this pastor minister to the peoples have mercy ohhh God!!!!
@flm1530
@flm1530 2 жыл бұрын
Ungeajiriwa na YESU ungepata mengi kwa wakati huu na uzima wa milele baada ya kifo lkn kwakuw umeajiriwa na mwanadamu umekwish kupat thawab yako
@jamesngasi7252
@jamesngasi7252 2 жыл бұрын
Kweli
@hakitv4717
@hakitv4717 2 жыл бұрын
Hujui unachokisema na upofu wako wa kiroho , but I don't blame you,,,, that's ur spiritual level.
@isongacharlesnilanga2582
@isongacharlesnilanga2582 2 жыл бұрын
Mathayo 15:13-14 [13]Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang’olewa. [14]Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
@bonimasero649
@bonimasero649 2 жыл бұрын
Nikweli umeliona hili
@mamertarweyemamu3438
@mamertarweyemamu3438 Жыл бұрын
Nataka Mimi wachawi na washirikina siwaendi
@deusmorris1030
@deusmorris1030 2 жыл бұрын
huyu mtu wa Mungu nilikuwa sielewi sasa naelewa ukiona mtu anaachilia vitu kwaajili ya injili huyu si mchezo Mungu akuinue nabii mkuu
@christopherthomas4485
@christopherthomas4485 2 жыл бұрын
Baba nakupenda sana baba uwanabalikiwa sana kukusikiliza nafatilia sana maubili yako naomba uniome mabadiliko ya maisha mm na familia yangu ubalikiwe sana baba naludia tena na kupenda sana
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Жыл бұрын
Njaa
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 жыл бұрын
Hongera Sana nabii kwakweli unanitakasa roho yangu kwa utoaji huu daaah MUNGU akuongeze zaid na zaidi
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 жыл бұрын
Mungu anainua MTU kupitia MTU mashimo amepambana sana Ivo Mungu amemwonakania ni Jambo la kumshukulu Mungu awezi kukuacha ukimtegemea asante Nabii mkuu unajitoa sana kusaidia watu tungekuwa na watumishi kama wewe tusingelia umasikini watumishi wengine macho Yao yako kwenye sadaka
@eliachacky7562
@eliachacky7562 2 жыл бұрын
Baba MUNGU akawe nawe siku zote uzidi kutusaidia watanzania na kutuvusha 🙏🏻
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Mmi ni muisilamu lakini kiukweli huyu mzee anawasaidia sana walioko chini japo kuna kuonekana anatengeneza ila haijalishi nifunzo wallah
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Wewe je Kwa nafasi yako umewasaidia wangapi?
@SaideAndurabe-kh7lu
@SaideAndurabe-kh7lu 3 ай бұрын
Usijingize uko
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 2 жыл бұрын
Tumuombe Mungu Sana atusamehe dhambi zetu. Tujifunze kutubu zaidi sio kujipromote zaidi. Na Mungu aliyeumba mbingu na nchi atatusamehe.Amen!
@isongacharlesnilanga2582
@isongacharlesnilanga2582 2 жыл бұрын
Mathayo 15:13-14 [13]Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang’olewa. [14]Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
@aaronswai6935
@aaronswai6935 2 жыл бұрын
Mungu atuhurumie na kuturehemu sana. Muda wa Kristo BWANA kurudi u karibu!
@oscargmosha3108
@oscargmosha3108 2 жыл бұрын
Hakika
@juliethbudugu7640
@juliethbudugu7640 Жыл бұрын
Kweli
@abdulrahmanpaskalina7627
@abdulrahmanpaskalina7627 2 жыл бұрын
Nakupenda Yesu, nakupenda Mungu kwa ajili ya Watumishi wako, Amina🤲🙏
@atupelemwitiki
@atupelemwitiki 2 жыл бұрын
Asante sana nabii Wa Mungu,huyu MTU amefanya kazi kwenye mazingira magumu sana, sasa ni wakati Wa kubarikiwa kwake.
@festochristopher7293
@festochristopher7293 2 жыл бұрын
Duuuuh it's so much touching, ukwel mi sio muumini wa Mtumishi huyu lakini kwa Hili kwa kwel anastahi pongezi
@deboraleonard3441
@deboraleonard3441 2 жыл бұрын
Yesu anarudi jamani tubuni dhambi. Zichunguzeni izo roho Kisha mziiamini.jamani jamani fumbueni macho .uwiii kweli yesu Yu aja jamani tubuni
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 жыл бұрын
@@deboraleonard3441 Toba inaingiaje hapa kwa mtu kusaidiwa ,acha roho mbaya ,Inabidi jianze kujichunguza wewe roho yako?????mfyuuuuuuuuuu
@NuruNyanginywa
@NuruNyanginywa 3 ай бұрын
Mungu akubariki nabii kwa kumwinua mtumisji wa Mungu
@apostlealexgervas7856
@apostlealexgervas7856 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana Baba umebakia wewe unayejali wahubiri wadogo wanaojitoa kwa moyo.
@stephenking3602
@stephenking3602 Жыл бұрын
Tatizo lenu ni kuwa hamuamini utajiri na mambo mazuri kuwa yanapatikana kwa Mungu mnajua pesa na utajiri ni vya shetan
@KatulebeJaphet-jr4br
@KatulebeJaphet-jr4br Жыл бұрын
Huo ni upotoshaji, yaani badala ya kumtangaza Yesu Kristo(kumuhubiri Yesu watu waache dhambi) eti uwatangaze watumishi wa Mungu wanaofanya vzr kweli mtawatambua kwa matunda Yao, imeandikwa Mungu hachukiliani utukufu na wanadamu, "pasipo mimi ninyi hamwezi neno lolote(yonana15:5)" mitume waliotangulia walimtangaza Yesu Kristo watu watubu wapate msamaha wa dhambi wala hawakutangaza habari na kuwasifia na wala kuwainua wanadamu , na Mungu alipowatumia kufanya matendo makubwa walikataa kutukuzwa kwakuwa sio wao wanaofanya hayo Bali kristo ndio anayefanya yote(matendo3:11-14), (matendo14:8-16) . NABII MKUU NI YESU KRISTO, imeandikwa mtu ye yote atakayewahubiri injili ya namna nyingne tofauti na hii tuliyowahubiri, iwe ni mm au malaika na alaaniwe(galatia1:6-10). HIZO INJILI ZA KUWATUKUZA WANADAMU NA KUWAINUA ZAIDI KULIKO MUNGU(KRISTO)SIYO INJILI ALIYOTUAGIZA YESU . Ukiwasikiliza Vzr hulisikii jina la YESU linasemwa wakati YESU ndio Nguvu yetu, wokovu wetu , imagine, uponyaji wetu , na ndiye anayefanya mambo yote piano ni yote ktk yote. Kama Yesu hazungumziwi wala kutajwa hatajwi, basically huo ni uhuni kwa kutumia kivuli cha ukristo na sivyo neno linavyoagiza.
@mpokienock-nh3zz
@mpokienock-nh3zz 10 ай бұрын
Kweli kabisa ndugu
@prophetess2024
@prophetess2024 9 ай бұрын
KatulebeJaphet. Mungu akumbariki Kwa kusema ukweli....ATA Mimi nitamuinua Yesu Kristo Kwa roho na kweli, Roho mtakatifu nisaindie.
@salmampinga4995
@salmampinga4995 2 жыл бұрын
Yaani Baba Mheshimiwa Nabii Mkuu Dr. Geordavie unanipa rahaa kwa kweli.Unatoa Nakutoa, Nakutoa Nakutoaaa ,Vivaaa Maono ya Nabii Mkuu Vivaaaaah:
@iwishtv7907
@iwishtv7907 2 жыл бұрын
Haya sio mahubiri ya kweli!
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 жыл бұрын
Tuonyeshe hayo ya kweli,
@margaretkarambu936
@margaretkarambu936 2 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe. Ukiona kanisa iliyokosa mwelekeo ni kama hili.Kuabubudu watu,kuwapa majina makubwa makubwa Kama vile,nabii mkuu,papa,nk.kazi ya kanisa za kuzimu ni kuhubiri mafanikiol, healing,deliverancet etc.wanafanya kazi ya kupeana Mali zao Kwa watu kuwafanya wazidi Kufurika makanisani yao ili wawapeleke kuzimuni.
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 жыл бұрын
@@margaretkarambu936 Hivi huku.mnatafuta nini kama hapawafai?mahubiri ya kweli ni yapi?Na msipende kuzungumza vitu mzivyovielewa
@beatricekilasi7622
@beatricekilasi7622 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana nabii kwa kaz ya kuitangaza injili ya mungu amina
@irenelulu530
@irenelulu530 2 жыл бұрын
Ameeen God is mighty..nmejifunza kuwa mwaminifu mbele za mungu
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 жыл бұрын
Mtumishi Geodev mungu unae mtumikia akubarik ujulikane kote ulimwenguni na mbingu zikujue na ardhi itetemeke kwa ajili yako ubarikiwe Sana nakosa Cha kusema
@happinesstesha4745
@happinesstesha4745 2 жыл бұрын
Najiungamanisha na muujiza huu wa gari mungu akatende na kwangu kwa mungu wa jo dev mchungaji huyu mume wangu apate gari mpya alphad kama hii
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 2 жыл бұрын
Pole mtumishi mashimo najua umefirahi sana na Mungu ambariki kwa hapo alipotoa Ila kua makini usimpigie mwanadamu goti maana wewe ni mchungaji na unaelewa maandiko
@karenmchomvu3300
@karenmchomvu3300 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu Geodavie, Mungu atazidi kukuheshimisha kwa kumkumbuka mashimo ,amen
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 2 жыл бұрын
hongera yake sana, kwa alivyoianza kazi yake na jitihada zake anastahili kupewa zawadi zaidi ya hiyo. Mungu amsaidie asipandishe mabega huko dar sasa
@user-uq3ye1kd8t
@user-uq3ye1kd8t Жыл бұрын
Hongera nabii mungu akuzidishia lk mm nimekosa aman kwa kudai laki tatu ,n kenya lk sasa nko saudia arabia n ombia n pate hiyo hela asante. 24:52
@kaseeedeo7839
@kaseeedeo7839 Жыл бұрын
baba yetu nabii mukuu nakupenda sana baba uko na upako kwakweli niko Congo ningelikuwa nauwezo ningeli kuja ulipo baba nakupongeza sana kwa kazi unayo fanya
@lukapastory
@lukapastory 2 жыл бұрын
YESU ANARUDI , acheni njia ya uovu , YESU AWAREHEMU, tubuni
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 жыл бұрын
Uovu upi?Acha kukurupuka na yamekupataje ya huku,hayakuhusu,pita hiviii
@reganshao
@reganshao 2 жыл бұрын
Kaka umenena ,,ni kweli hakuna Mungu wa kweli hapo ,, hawajaifahamu kweli . Laiti wangejua
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 2 жыл бұрын
@@reganshao tuonyesheni huyo wa Mungu wa kweli ,Na how sure your Mungu wenu ndio wa kweli,Msituchosheeeeee mmejaa hukumu mioyoni mwenu ,
@reganshao
@reganshao 2 жыл бұрын
@@zimanigervas7281 pole ndugu yangu ,,siku utakayoifahamu kweli nadhani utaelewa . Yataka hekima ya kimungu sana.
@neemaneema9969
@neemaneema9969 2 жыл бұрын
@@reganshao Acha makasiriko pumbuvu ww bila shaka utakuwa msabato
@heritier5119
@heritier5119 2 жыл бұрын
Mashimo piga kazi Mungu kasikia maombi yako
@nessa4899
@nessa4899 2 жыл бұрын
Amen unastahili mashimo. Mungu mjalie Geor davie, Ehh Mungu mjalie nabii huyu, Amen 🙏.
@neemabrown1063
@neemabrown1063 2 жыл бұрын
Hakika mungu ni wa ajabu sana baba kwa moyo mkunjuf amemzawadia gar sijawahi ona mungu hakika anatenda nami najisikia raha sana kumwabudu mungu anayejibu maombi
@12322879
@12322879 Жыл бұрын
Kabisa,Mashimo amempambania Mungu miaka mingi sana tena kwa kukubali matusi na dharau za wasioamini.Wakati wa Mungu Ndio wakati sahihi.Amen
@livingstonemsungu9694
@livingstonemsungu9694 2 жыл бұрын
Niliamua kufuatilia huduma yako kwenye mtandao baada ya Kusikia Baaadhi ya Tuhuma Kadhaa ambazo wengi wamekuwa wakikulushia, ndipo Nikaamua Kujifunza zaidi na kukufuatilia huduma yako kwa Ukaribu zaidi kwenye mtandao. Kiukweli ni Mengi mazuri sanaa ninaendelea kujifunza kupitia Kwako, Mazungumzo na wosia wako kwa Mtumishi Mashimo, umenifungua sehem kubwa, Kuna swali nilikuwa nalo mda mrefu lkn kwa leo Nimejibiwa na nimekuelewa, Wosia huu utanifaa Sanaa pia Kwenye utumishi na huduma YANGU.MUNGU Aliye Mbinguni aendelee kukubariki na Kukuinua kwa viwango vikubwa zaidi. Rev. Livingstone Msungu IRINGA.
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 2 жыл бұрын
Najiungamanisha na huu upako na nabii mkuu maana kwa Mungu ktk ulimwengu wa roho hakuna umbali..Mungu aniinulie wafadhili ktk huduma yangu ktk jina la Yesu🙏🙏🙏🙏.
@weldersirinimakelemopeter4671
@weldersirinimakelemopeter4671 2 жыл бұрын
Nabii Mkuu Mungu akubariki. Lakini naomba usijipe utukufu. Usiseme kanisa ni lako. Ukweli wewe ni nabii wa Mungu wewe ni muonaji wa Mungu utukufu sifa ni za Bwana, kanisa, nila Mungu wa mbinguni hakuna mwenye kanisa hapa duniani kanisa nila Bwana. Nakupongeza kwa Huduma uliyopewa na Mungu usinyamaze, usichoke safari ya ukombozi iende mbele. Ameeen
@bonimasero649
@bonimasero649 2 жыл бұрын
Mtu habudiwi Bali mungu tu
@abelisack3072
@abelisack3072 Жыл бұрын
hadi nmetoa machozi mm MUNGU wangu anitendee namm muujiza nitoke kwenye giza nililomo, mtumishi wa Mungu GeoDavie uzidi kunghara zaidi, haijalishi wanasema maneno gan
@emmanuelmachira4883
@emmanuelmachira4883 2 жыл бұрын
Hongera kwa misaada wako kwake kumwezesha aweze kutangaza ufalme wa mbinguni. Tunaomba umsaidie na Paschal Cassian alie toka ufreemason upate kumpongeza kwa maamuzi hayo ya kutoka ufreemason. Asante sana mtumishi
@prophetzakayomkemwa5154
@prophetzakayomkemwa5154 2 жыл бұрын
Paschal Yule NI mtumishi wa MUNGU wa kweli hawezi kupewa chochote kwasababu kweli imekaa ndani take amen
@hanifabakari6245
@hanifabakari6245 2 жыл бұрын
mimi mwislamu lakini naamini imani zote ,nakufatilia sana mchungaji ila kwa xx nimjamzito ,naomba baraka za maombi yako ,kwa imani na hamini nitabarikiwa
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 2 жыл бұрын
Amina
@buuwahiid2898
@buuwahiid2898 Жыл бұрын
Ww muislamu lkn imani yako ndogo sana
@ramakazina170
@ramakazina170 Жыл бұрын
Innalillah wainalillah rajiuni Dada Hanifa Bakari achana na hii michezo hawa ni wataalam wa kuwahadaa watu kama wewe ambao hamtaki kumjua Mungu mnataka miujiza kuliko kumuamini Mungu usidanganiyike wewe kinacho kuathiri ni kwasababu wewe ni Mwislam poa lkn kama ungekua Muumini haswa wale usinge shawishika na huo mchezo wa kitapeli Waislam huwa hatuko hivyo hatudanganyikagi kirahisi kaachini ujitathimini Inshallah Mungu atakufunulia ukweli wa hayo mambo ya kisanii.
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 2 жыл бұрын
Nabii Mkuu,Mungu azidi kuinua kazi yako. Muda mrefu natamani ningekuona unitamkie neno, lakini kwangu inakua ngumu. Mana wewe ni mtu mkuu sana.Ila kwa kumbariki mtumishi Mashimo maneno haya yangu ya comment yawepo ili siku moja nije nitoe ushuhuda. Kupitia hili tendo nami napokea kuinuliwa.
@samwelimadaha767
@samwelimadaha767 2 жыл бұрын
Maneno ya unyenyekevu. MUNGU akutendee, Zaburi 138:2,8
@frankbangimoto3462
@frankbangimoto3462 2 жыл бұрын
Nabii unafanya kazi kubwa mno, katika kutangaza Injili ya Bwana Yesu Kristo. Mungu akubariki na kukulinda wakati wote.
@user-ke9bg1dm9c
@user-ke9bg1dm9c 2 ай бұрын
Amebalikiwa anaedaidia watu wanao eneza injili Ubarikiwe sana
@honhonhaule9232
@honhonhaule9232 Жыл бұрын
Nabii uko vizuri Sanaa kwa kweli unafanya kazj ya Mungu yaani natamani nami nipate baraka zako Babaaa your very powerful I can call you WONDEFUL Lion oF TANZANIA Thanks
@mazimpakaaimable1141
@mazimpakaaimable1141 2 жыл бұрын
Ubarikiwe baba nabii mutumishi wabwana
@jeanpaulndabirorere5966
@jeanpaulndabirorere5966 Жыл бұрын
Nakupenda sana nabiii mukuu kwamafundisho mazuri yenye upako heri ningeweza kufika kwenye huduma zako iri niuzuriye katika wengine iri unibariki
@michaelnzunda7347
@michaelnzunda7347 2 жыл бұрын
Nchi inaangamia kwa kukosa maarifa
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
WA KUABUDIWA NA KUTUKUZWA NI YESU PEKEE YAKE HAKUNA MWINGINE CHINI YA JUA HILI HAKIKA HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO NA UKWELI YESU YUPO MLANGONI YESU NIREHEMU MIMI MKOSAJI NISAIDIE NIWE NA MWISHO MWEMA🙏
@gastonpeter4265
@gastonpeter4265 Күн бұрын
Wa kuabudiwa ni Muumba wa mbingu na nchi 1 kor 15:24-28
@vicentelias491
@vicentelias491 2 жыл бұрын
Tumuamini nabii au Mungu kupitia kwa mtume wake yesu kristo
@JackJack-si7ne
@JackJack-si7ne 2 жыл бұрын
Tumuamini Mungu kupitia mtume wake Yesu Kristo ndivyo biblia inavyotuelekeza
@stephanonyasanga7778
@stephanonyasanga7778 2 жыл бұрын
Tumuamini Mungu tu nawatumishi wake wanao mwabudu Mungu katika Roho na kweli
@JackJack-si7ne
@JackJack-si7ne 2 жыл бұрын
@@stephanonyasanga7778 hapo sasa kwenye roho na kweli sasa lazima uwe na Roho Mtakatifu wakukujulisha na kukufunulia yaliyo sirini, watumishi walio wengi sasa hivi ni maigizo matupu. Wanajifanya wao ndo wamejaa Roho Mtakatifu, wanajua sana neno wako karibu na Mungu na wengine huthubutu hata kusema wanaongea na Bwana Yesu uso kwa uso, Nimewahi kusali mahala fulani, huyo mtumishi pasipo kujua nilikuwa naamini kabisa ni Mtumishi Wa kweli wa Mungu katika Kristo Yesu, nilipoendelea kusali pale, Nikaanza kumuhoji Mungu kuhusu roho inayotenda kazi ndani yake, jamani mwanzoni sikuamini lakini kadri Roho Mtakatifu alivyizidi kunifunulia niliondoka hiyo madhabahu. Lakini je swali la kujiuliza ni wakristo wangapi wanaopenda kuhoji kuhusu roho zitumikazo katika madhabahu wanazoziendea? Na je wakishajua wako tayari kuondoka? Mungu atusaidie sana hakika.
@itsangystyle5498
@itsangystyle5498 2 жыл бұрын
This is too much jamanii.mungu amu bariki sana Nabii wa mungu.nasikiya machozi ya rahaa🥰
@mariamelia3906
@mariamelia3906 Жыл бұрын
leo nimekubali anatoa sana mungu ampe kibali mbele za mungu sku zote
@yohanamhagama8975
@yohanamhagama8975 2 жыл бұрын
Watumishi wengi wa Mungu wanatukamua Sana Sisi waumini tuwatolee sana, wao hawatoi kwa jamii na wanamiliki maisha ya kifahari, badala ya kusaidia jamiii Sana, wamejawa na majivuno Sana na wanataka waogopwe kama mungu na wakati wao watakufa tuu, namshukuru Mungu kwa kumfanya nabii mkuu kuwa mfano kwa watumishi kwa utoaji wake moyo umenigusa Sanaa nabiii mkuuu endelea kwa moyo wako Mungu ataendelea kukupigania me namkumbuka Sana tb Joshua alikuwa mtoaji Sana na naamini uko alipo Mungu amemlaza mahala pema peponi.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Hahahaha,,,,ndio maana Yamagami Testyuya amechukua hatua Kwa Shinzo Abe kuonyesha chuki yake dhidi ya unification church kutokana na dhulma Kwa waamini wao!
@yohanamhagama8975
@yohanamhagama8975 2 жыл бұрын
@@jumakapilima7295 kwanini unasema hivyo mkuuu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@yohanamhagama8975 mama yake amekamuliwa na kanisa kiasi cha kuwafanya kuwa masikini
@yohanamhagama8975
@yohanamhagama8975 2 жыл бұрын
@@jumakapilima7295 pole yake sanaa inauma ILA nikumwachia Mungu tuuu
@spabiton7989
@spabiton7989 2 жыл бұрын
Mimi na Cheka naamin mungu sio kama mashimo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Nabii huyu ni mtu wa wanyonge ni tofauti sanaaaa na manabii wengine sijawahi kuona au kusikia kama nabii anaesaidia wanyonge waumini wake na ambao siyo waumini wake huyu nabii atafunguliwa mengi sanaaaa geodavie mungu akupe nguvu sanaaaa
@zachaliaagustino8546
@zachaliaagustino8546 2 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu nabii mkuu
@silvestersevangelisticmini8917
@silvestersevangelisticmini8917 2 жыл бұрын
Napenda nabii mkuu.Mungu azindi kumtumia.mimi natoka kenya
@patiencehumbled3519
@patiencehumbled3519 2 жыл бұрын
Mnampea magari ndiyo,asema vibaya kuhusu Paschal Cassin,lakini ole wenu nyinyi mnao hubiri faida za dunia,
@jumaeduardo
@jumaeduardo 2 жыл бұрын
Asante sana baba, Mozambique iko pamoja nanyie
@simonmdune9066
@simonmdune9066 11 ай бұрын
Pole sana na ww unaejiita mchungaji na wamsujudia mwanadamu mwenzako ukimwambia uko na deni lake haaaa Mungu wangu weee tunaanguka kwa kukosa maarifaa .usibabaishwe na watu uliowapata kanisani waliokoka mbele yako ukasani huezi washinda kwa hekima ya Mungu unawesa kua mkubwa sana mbele za Mungu wala sio apa duniani .😢
@abdulkarimhamissi3755
@abdulkarimhamissi3755 Жыл бұрын
Uyu nabii Ana mbuzi wengi sana
@shariffkareem8045
@shariffkareem8045 Жыл бұрын
Tumsifu yesu klisto nabii mkuu Mimi naomba usome komt yangu na niombee agizo kwa yesu klisto mana naona nawito wa yesu klisto ingawa min ni mwislam kwa baba mpaka mam oja yangu ni mafundisho yako kwangu Amin Asante yesu klisto
@nabiialuta8234
@nabiialuta8234 11 ай бұрын
Mungu akujaze baba usipungukiwe kwa mibaraka ya mbingu na ungefaa kuwa raisi wa tanzania bb kwa moyo wako unaofanana na hayati magufuri kwa kuwasaidia wanyonge baba MUNGU Akupe wazo la kugombea uraisi maana anasema hakuna jambo litakaro shindikana kwenu mat 17:20 we pray for you
@salimmohammad3627
@salimmohammad3627 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu nabii mkuu. Sinjawai kuona nabii kama wewe duniani. uko Mutumishi wa mungu wakweli baba nabii mkuu mimi binafsi nitatangaza Jina lako duniani kama pako nabii mkuu Tanzania .mwenyezi mungu akupe maisha marefu ...mimi naomba uniombee kwa mungu. anisaidie na aniponye ungonjwa ya mapepo mabaya. Amen Amen......in God we trust. God bless you my dear daddy
@bernadysospeter5794
@bernadysospeter5794 Жыл бұрын
Asante sana nabii mkuu kwa kzi ya mungu unaendelea kufanya uzidi kubarikiwa sana sana NABII MKUU
@ndoricimpaelyse7752
@ndoricimpaelyse7752 Жыл бұрын
Kwanini watu wanaamini huyu Nabii hawa ni mashetani.sio Mtumishi wangu muwombe sana.
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 2 жыл бұрын
Namshkuru Mungu Sana, kwa mwanae wa pekee Bwana Yesu Kristo. Hallelujah 🙏👏
@gracedamas5883
@gracedamas5883 2 жыл бұрын
Ameni
@aremachurch4010
@aremachurch4010 2 жыл бұрын
Baba wa Manabii na Mitume wote Tanzania. Tunakupenda sana. Tunakupenda sana 🌹♥️
@mundelejudith3940
@mundelejudith3940 2 жыл бұрын
Mungu akulinde nabi mku na mimi napokeya upako kupitiya mchunganji mashimu I received in Jesus name Amen 🙏 💖 🙌
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Жыл бұрын
Hujui kuandika
@kwabiNyaga
@kwabiNyaga Жыл бұрын
You are the Real Man of God
@neemamjema1067
@neemamjema1067 2 жыл бұрын
Ishi sana Mheshimiwa Nabii mkuu Dr GeorDavie 👏👏🙏🙏🙏
@japhydejerry2908
@japhydejerry2908 2 жыл бұрын
Kama unamwamini nabii njoo uguse picha yangu R.I.P ibada ya kweli. Namwamini yesu kristo kuwa ndo mwokazi wa maisha yangu huyo pekee anatosha. Ila si kuamini binadamu
@JackJack-si7ne
@JackJack-si7ne 2 жыл бұрын
Wakristo wametoka katika njia kweli na uzima wamebaki kuangalia matumbo yao, na kupenda kupokea baraka za kurusha, kila siku utasikia napokea gari, nyumba ndoa, huyo anayepokea sasa matendo yake hayaendani na wokovu hata kwa sekunde, watu wameacha kumwamini Kristo Yesu wanaamin wanadamu.
@japhydejerry2908
@japhydejerry2908 2 жыл бұрын
Kwa kweli
@ejulaizerjulaizer128
@ejulaizerjulaizer128 2 жыл бұрын
MUNGU huinua watu kutufanyia mambo makubwa acha ushamba wa imani
@aloismwenda8975
@aloismwenda8975 Жыл бұрын
Hujawahi kuombewa na kuguswa mkono na pastor?
@zamberimturi5593
@zamberimturi5593 Жыл бұрын
Upo sahihi ndg!
@EastherEmmanuel
@EastherEmmanuel 4 ай бұрын
Mungu wa Nabiii Devi anibariki mimi akoe watoto wangu wameharibika na siku nikija Arusha lazima nimwone
@juniorhonest6311
@juniorhonest6311 Жыл бұрын
Daaaah Dunia kwisha.....kama unamwamini Geo Davy...utapona 😂😂😂
@rogersmaokola3147
@rogersmaokola3147 2 жыл бұрын
Mwamini MUNGU KWA AKILI YAKO YOTE NA MOYO WAKO WOTE,,,, LAZMA UTAFANIKIWA, Maneno mazuri sana na yanaukweli ndani yake Hongera sana Nabii mkuu
@fatumaibrahim8973
@fatumaibrahim8973 Жыл бұрын
Natamani hata mie siku Moja nihudhurie ktk ibada ya Nabii mkuu G.mungu Anisa indie niweze kufika Arusha
@hawaally7712
@hawaally7712 2 жыл бұрын
Barikiwa baba ,hakika ww mfano wa kuigwa nimelia sana kuona mchungaji Leo ameinuliwa Asante yesu matendo yako ni makuu mno
@deusmorris1030
@deusmorris1030 2 жыл бұрын
kusapo injili tu nimekuheshimu sana wahubiri tunapata shida sana vijijini barikiwa sana
@evaristminja1784
@evaristminja1784 Жыл бұрын
Kweli nabii mkuu Mungu azidi kukupandisha, Mungu anapenda moyo kama wa kwako. Asante sana sana, umeonyesha dira ya kuwalea wale wanaomtukuza Mungu.
@Bishopgeorgebilingimotoula9181
@Bishopgeorgebilingimotoula9181 2 жыл бұрын
Ndio maana unaitwa Nabii mkuu,hii ndio maana halisi ya wewe kuinuliwa zaidi,nakupenda Nabii mkuu
@stewartukason231
@stewartukason231 Жыл бұрын
Wow....this is amazing....Dr. Geor Davie is an amazing Prophet from the Lord.
@sumaliinaleng5430
@sumaliinaleng5430 Жыл бұрын
huna lolote
@sesiliajohn6257
@sesiliajohn6257 2 жыл бұрын
Amwaminiye Nabii atapata thawabu ya nabii amen
@jamesmaswe
@jamesmaswe Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana ahead zako n zakweli tunaendelea kukuombea 💕💕 sisi niwafuasi wako
@rihanawanzala4335
@rihanawanzala4335 2 жыл бұрын
Amen I connect with my children, watching from Saudi Arabia
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Kafie mbele hao matapeli watakusadia nini habari ya mjini ni ukitaka kuwa milionea hapa mjini anzisha kanisa yaan wewe umeshindwa kusimama usiku Kwa ajili ya kumuombea mtoto wako unataka usaidiz kutoka Kwa matapeli we una akili kweli
@ekalessamwel1358
@ekalessamwel1358 7 ай бұрын
Am from Kenya a place call lodwar turkana county and For long I have been branding my t shirts and my bike team Geordavie baba lao serikali original.i wish one day I will shake his hands.nikipata nauli nitafika nimsalimie mkono wake.
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 2 жыл бұрын
Nabii mkuu amebarikiwa Sana alichokifanya mashimo najua utamuwekea Mikono nayeye awe mtumishi wa mungu mkubwa
@frankmushi8892
@frankmushi8892 2 жыл бұрын
Uhu ni mfano wa kuigwaaa kabisaaaaaaaaa he mungu wabarikiiiiii awa watumishi wako na nabihi mkuuuu nakuomba uniinuwee na mimi
@Richbtz
@Richbtz 2 жыл бұрын
Akika umegusa Moyo Wangu....Mwenyezi Mungu akawe Nawe Baba🙏
@edwinelias8554
@edwinelias8554 2 жыл бұрын
Amen kubwaa Mungu hana upendekeo siku zote anampa mtu sawa sawa na alivyoomba
@pastermathayosige1920
@pastermathayosige1920 2 жыл бұрын
Hakika nabii mkuu ni Mungu Duniani kama Mungu alivyo mwambia musa nitakufanya kuwa Mungu Baba nabii mkuu wewe ni Mungu Duniani yesu alisema nilipokuwa duniani nilikuwa nuru ya ulimwengu jamani Nabii mkuu ni nuru ya ulimwengu sasa namimi napokea baba
#SHULE YA MAISHA:  "MAMBO 7 YA KUEPUKA KWA WANADAMU"  GeorDavie TV
1:04:33
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 53 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 49 МЛН
TAZAMA JINSI NABII HUYU ALIVYOFUNGUA VIFUNGO VYA WATU HAWA
13:24
COVENANT HOME TV
Рет қаралды 8 М.
USHUHUDA | Jinsi Vijana Hawa Walivyofanikiwa |  Rev. Dr. Eliona Kimaro
38:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 213 М.
KISA CHA NABII MUSSA NA FIRAUNI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
40:28
arkas online tv
Рет қаралды 252 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 53 МЛН