Gigy has a golden heart❤. She's a gem. No one should judge her.... cause no one can fit in her shoes... i wish she was my friend ❤. Her personality is something else. Kenya, we love you 😍 .
@BrianJohn-d4v5 ай бұрын
I will Always like Gigy cz shes real. Party ya mwishoni ya interview. Means a alot
@Marzzzzzz205 ай бұрын
Zamaradi TV is doing a real good Job! Vipindi vingi vina utofauti na quality nzuri sana. Contents nzuri especially kwenye hizi reality shows! Interview Nzuri na wasanii wengi wanamuheshimu kwaio wanafunguka! Big Up Zamaradi and the Team!
@katalamohamed43055 ай бұрын
Nakupenda zamaradi n'a wewe ndio rôle mode wangu
@lizzynkifu41795 ай бұрын
G ana akili sana angesoma angekuwa mbali mno bas maisha tu...Mungu akulinde na mwanao
@doricehungu58175 ай бұрын
Very smart
@ndambukiАй бұрын
From kenya..gigi you are a strong woman
@AmiriRashidi-s2z4 ай бұрын
Giggi Mungu anakupenda.Hata Mwana wa Mungu hakuja kwa wakamilifu.Atakutia nguvu
@lucycharles19493 ай бұрын
Next time Zamaradi try to provide tissues na Maji at least ukiwa unajua kama Haya mambo ni sensitive. Na pia usistick sana na kuuliza tu maswali Bila kumpa mtu maneno yenye faraja
Pole gigy nibsehemu ya maisha binadamu sio watu wa kuwahamini
@mwanajumaomahundumla65045 ай бұрын
Pole mwaya kila maisha yana mapito
@praisesteven77745 ай бұрын
ila mange kibokooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣nyie ad gigy kaliaa
@mc_mrope5 ай бұрын
AHSANTE SANA ZAMARADI TV KWA KUTULETEA INTERVIEW KALI NA NZURI.
@SaraJinalangu5 ай бұрын
Yaani wanakeraaaaaa Hawa unahojiwa kiswahili lkn kinge kwa wingi na unajua wenzako wengine kinatuumiza kichwa
@katalamohamed43055 ай бұрын
Nakupenda sana.gigi money
@fashiontrendstv32075 ай бұрын
Hapa Mchawi ni POMBE tu Gigi akiacha pombe atapona kabisa na kuepuka drama
@Sharifa.465 ай бұрын
Wakwanza kucomment naomben likes
@NeemaJanga26 күн бұрын
Nawapenda mno ❤❤❤❤
@OnlyRuky5 ай бұрын
Kumbe videos ni za muda Mange kaingiaje kumtuma or kukulipizia because ulikataa kufanya naye kazi that time app ilikuwa haijafungulia km sikosei...so video ni ya miaka 3 😢chuma mwenyewe alipanikigi MangeApp kaitoa wp..anyway pole Gigy you need therapist dear
@priscambwambo10304 ай бұрын
Gig sikia kwani nni cha ajabu chini ya jua .usijali maisha yaendelee nini kuonekana uchi mbona watu wako beach na bikini. Usijali nini ngono ,pono sioni cha ajabu hapo wewe. Achana na hayo Mambo. Wewe sio wa kwanza . Usijali ngono kawaida sana tu . Usijari rorose
@charleshotay82295 ай бұрын
Anyway gigy money nakupenda sana
@REHEMA-u2g4 ай бұрын
That's soo evil. Gigy I'm sorry you had to go through all that ❤❤❤. I am willing to provide you counseling services for free.
@priscambwambo10304 ай бұрын
Mama yako nimempenda bure amekuambia ukweli . Uchi kitu gani?? Kawaida sana
@praisesteven77745 ай бұрын
ila gigy anasemaa alikataaa kaz ya mange kwa mwz 1m tena mwishona analiaaa anasemaa anafnyaa mambo yote ayo sababu ya njaaa ila uyu😂😂😂njaaaa unakaataaaa kaz
@Timetravel2895 ай бұрын
Shida ya kufanya kazi na mangę kwa Tz inakua kidogo mtihani kutokana na side ambayo mange yupo
@maimunahamic5 күн бұрын
Hawezi kufanya kazi ya kudhalilisha wenzake..!! Ni sahihi kabisa yy kukataa
@johanjoha52625 ай бұрын
Mange nakusubiri umjibu gygy
@praisesteven77745 ай бұрын
🤣🤣ila gigy ety chuma cha chuma mpnz wake
@Brunn-mh2bq5 ай бұрын
I can be very very "porite" 😅
@Mamshika5 ай бұрын
Unahojiwa kwa kiswahili jibu kiswahili mangereza mangereza ya nini bhanaa
@AishaAisha-q4t5 ай бұрын
😂😂😂
@happycharles22435 ай бұрын
Ulipelekwa shule kusoma wewe ulienda kugombania makande na ugali utaelewa wapi😂😂
@Mamshika5 ай бұрын
@@happycharles2243 Sio swala la kuelewa hapa huu ni ulimbukeni jifunze kujivunia lugha yenu ,,Elewa mhoji anauliza maswali kwa kiswahili mhojiwa anajibu kingereza huoni huo ni ulimbukeni , ,,Halaf kuongea kingereza sio kigezo cha kusoma kusema kwamba cjasoma una uhakika unanijua ? Usimdharau usiye mjua
@nancyg86644 ай бұрын
@@happycharles2243😂😂😂😂anawaangalia watu na rula
@MTOTOWAvitoto4 ай бұрын
Halaf kingereza chenyewe cha kuombea maji
@ShukuraniNdimbo5 ай бұрын
Mmezidi kupenda mseleleko,
@scholamodestus93865 ай бұрын
Kingeleza kingi kutuchanganya tu aah
@MohamediKalanje5 ай бұрын
😂😂😂😂uliambiwa soma ukawa mbishi unaona madhara ake hayo sasa
@nancyg86644 ай бұрын
@@MohamediKalanje😂😂😂akawa anapanda kwenye miembe kusubiri muda wa kurudi nyumban
@MohamediKalanje5 ай бұрын
Jamaa alikukamia san ile siku😂
@johanjoha52625 ай бұрын
Mange kiboko amekuliza,😂😂😂😂😂
@khalsasalim79305 ай бұрын
Jiheshimuni muache kumlaumu mange
@Ashrey825 ай бұрын
Hakuna jipya chini ya jua kulikuwa na Sodoma na Gomora itakuwa wewe acha maisha yaendelee aliekuchukua video Mungu atamlipa kwa mabaya yake!
@NeemaJanga26 күн бұрын
Kweli kabisa hadi sasa watu wanasodomoana na kugomoana tunakupenda Gigy wetu❤❤❤❤
@johanjoha52625 ай бұрын
Laana tupu tu
@NuruMustafa-mm6tf4 ай бұрын
❤
@MariamObote4 ай бұрын
Gig jilekebishe unahangaika sana
@nahlahassan-fd6le5 ай бұрын
chizi
@gigoyrn43945 ай бұрын
😂😂 emu ipostini hiyo video tuone sasa
@FatmaIsmail-s1b4 ай бұрын
Ingekua ya dadako ungeomba ipostiwe?
@MariamObote4 ай бұрын
Kwan gig anavutaga bang? Yuko kama mwehu
@masalakulwa76015 ай бұрын
mbn km ya mudahii
@mwanakitenge5 ай бұрын
Hata Mimi nimewaza kama wewe
@beatricemkassa93405 ай бұрын
Yaani mm nilijua muendelezo maana haikuisha
@josephlorri4313 ай бұрын
Ni tukio la miaka 2 iliyopita
@luciafabiannjuu19884 ай бұрын
19:46 - 19:53
@BrianJohn-d4v5 ай бұрын
Gigy
@bintibaibe19585 ай бұрын
Child of God wanakusodomize?? Real gigy alaf mange analaumiwa kwa lipi sasa?? Maana interview nzima mange dis mange dat 🤣 aliekulala na kurekodi ni mangę?? Ok kama alimtuma yule mrundi aje kwako je ungemkataa tangę kuku ta??si tamaa zako tu ndo zimekuponza 😊
@shaloboy38615 ай бұрын
Chuma na chuma sio mtu poa alikuchakaza sana ni kama alikula viagra ile day