😢😢😢 kuzaa na baba ambae mama yako hakumpenda ilo linatokea tatizo ukipata mama anakupenda shukuru jamani sisi wengine atujawai kupendwa na wazazi wetu labda uwe nakitu
@dorcaskidoti249Ай бұрын
Kinapendwa kitu sio ww dunia hiii
@user-xr9sn9un7kАй бұрын
Pole sana 😢
@annamwanjabara4929Ай бұрын
Haya maisha mengi sana huku mtaani kweli hii ndio rayaliiteeeeeee😂😂
@ashaali715419 күн бұрын
Gigy watoto wako watakurudishia hayo unayomfanyia mama yako ujue mama ni kila kitu hata kama ni kichaa laana si lazima kulaaniwa.
@chany9950Ай бұрын
Nimejikuta naria jmn😭😭😭 kuza nikitu cepesi walai akini kurea sio raisi pore gigy love you😘😘
@witnessinary7807Ай бұрын
Jifunze kutumia l na r
@IvanaValentinoАй бұрын
Namuelewa gigy❤❤
@DeboraNguraАй бұрын
Yn nmemuelewa sana mama mayra ..mkubwa hakosei lkn kiukweli mtu n mtu tu..wanakoseaga ..mama zetu hawa😢
@tinamahega9848Ай бұрын
Safi gigy,wamama wahivi wapo kibao tu,wanataka malipo mema kwa mabaya waliowatenda watoto wao,mbele za watu wanataka waonekane malaika kumbe wachumia tumbo tu
@chany9950Ай бұрын
Thx👍🏾dat is True umesema ukweri 👍🏾👍🏾
@tinamahega9848Ай бұрын
@@chany9950 hizi family za kimaskini zina tabu mnoo,sio wazazi sio ndugu,ni mwendo wa kupenda maslahi tu utu umeisha kabisa,sometimes ni bora kuishi peke yako ili kupata amani..