Nirehemu Mimi mwenye dhambi Mungu nisamehee Mimi muovu naomba musamaha Mungu ninaomba rehema naomba musamaha Mungu ninaomba rehema Yesu Kristo wanasareti Nikutumie Yesu niamushe Tena niamushe Tena niamushe Tena niamushe Tena niamushe Tena niamushe Tena niamushe Tena 😢😢😢😢😢😢 Mungu Mungu Mungu atusaidie usinije masiyaa
@user-io1tp6nz8m16 сағат бұрын
Yesu Kristo Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie unaporuti usinipite mwokonzi waku Mimi mwenye dhambi
@AggreymbuganoАй бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho ya Neno la Kristo Mungu, akutumie Kwa viwango vya juu sana Ameen
@user-io1tp6nz8m17 сағат бұрын
Hakika Kuna nguvu za Mungu Dani Yako ambayo si yakawata kwaku Mimi moyo waku unapona kupitiya wewe babaku wa kiroho barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu
@user-io1tp6nz8m16 сағат бұрын
Mimi nishidwa kijizuiliya machosi ninapozikiza neno la Mungu Kwa unyakusi WA kanixa moyo waku unatetemeka Sana ninapozikiza unapo hubiri niombee Mungu Anindiye nguvu 😢😢😢😢😢 napenda Sana mafundisho Yako
@user-io1tp6nz8m17 сағат бұрын
Babaku leo nionda ndodo Nina ongea na wewe live moyo waku ukawa unamuzokea Mungu sana nikawa naona ndani mwaku nimepata amani kumbe Niko naonda ndodo
Alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana wa Mungu Glory to God
@GeorgeChitemo-kt8sw3 күн бұрын
Huyu mtumishi dah Mungu wa ajabu sana nimejikuta nimepata KZbin Nashukuru Sana
@user-io1tp6nz8m4 күн бұрын
Asante sana barikiwa sanaaaana babaku wa kiroho tuombee Mungu ainue Imani yetu
@MabelKaaya-hl2jeАй бұрын
Ubarikiwe mno kwa fundisho Muhimu sana kwetu sote.
@watchnew7648Ай бұрын
YESU KRISTO AKUPE NGUVU ZAIDI UZIDI SANA KUHUBIRI NENO LAKE
@narrowgateglobalАй бұрын
Mungu aendelee kukutunza Rabbi wetu
@guerinokibiki4314Ай бұрын
Barikiwa na Bwana Yesu!
@user-cg1fj6dh4wАй бұрын
Amen men 🙏 Asante sana ubarikiwe mtumishi wa mungu
@byusaajumapili6750Ай бұрын
Bwana akubariki mchungaji
@ALEXLESEREАй бұрын
EXACTLY 💯, YESU ANARUDI!!
@afredfodogo7857Ай бұрын
Ni Bahati sana kwa tanzania kukupata mtumishi wa KWELI ya MUNGUTanzania nisawa na machimbo ya Mema ktk Nchi YASIYO ISHA AMEN
@user-io1tp6nz8m12 күн бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa
@joanithagidion9796Ай бұрын
Ahsante masomo mazuri hakurudi kwa yesu matamani kuendelea kukua zaidi Mungu akubariki.
@fidemikaeli8145Ай бұрын
Sema baba, wasaidike, Mungu akutie nguvu sana, utukufu kwa Yesu
@lulanjamd3886Ай бұрын
Hakika wewe ni miongoni mwa watumishi wazuri na mhimu sana wa Mungu katika nyakati hizi za mwisho Mungu baba akupe afya njema.
@roidayoab9918Ай бұрын
Mungu akubariki sana nabii wa Bwana kwa mafundisho yako
@pascalselemani8132Ай бұрын
Vizuri sana mtumishi wa MUNGU nabarikiwa sana neno la MUNGU
@juliusmutinda440Ай бұрын
Yes this is a knowledgeable pastor in line with the hebrew context of scripture
@jacklineeliza6021Ай бұрын
Mungu akubariki baba kwa neno zuri
@marykissiva7460Ай бұрын
Amen Asante Mtumishi Mungu akutunze
@user-cf7ml2jm7wАй бұрын
Bwana Yesu akubariki sana sana
@StevenMutale-xt9yjАй бұрын
Amen Mungu akubariki
@sadiqmwasegile4273Ай бұрын
Amen ubarikiwe Rabbi
@Thinker33823 күн бұрын
🙏🙏
@stanleyomary6247Ай бұрын
Hizo nyingine ni story tu sio kweli
@ramadhanmahongole9293Ай бұрын
Shalom mchungaji
@justinmulagala1296Ай бұрын
Amen Amen
@eliyamakanika7282Ай бұрын
Amen❤❤
@michaelpunduka8086Ай бұрын
Sharomu
@lindakapongo842112 күн бұрын
onja radha ya fundisho bora
@michaelpunduka8086Ай бұрын
Bwana yesu akulinde na kukutunza mtumishi wetu mpendwa napenda sn kusikuliza ukiwa unafundisha neno la mungu nasikia laha sn kusikia neno la mungu
@user-pf5zs6nm4nАй бұрын
Mungu nisaidie kulielewa neno linijenge nikae sawasawa na utakavyo wewe
@zebedayokatamaduni9676Ай бұрын
Àmina mchungaji
@edwardmadale8604Ай бұрын
Kweli tupu
@zebedayokatamaduni9676Ай бұрын
Àmina
@helansakeyan5307Ай бұрын
Ee ROHO MTAKATIFU TUSAIDIYE KUELEWA NAKUKAA KTK HAYA
@DieudonneMAHANGO-ws3doАй бұрын
Amen 🙌
@elishampoki8751Ай бұрын
Kweli kabisa udongo ni mtu mazao shambani yakisitawi na mwenye shamba Hana Roho mtakatifu,bado huyo yupo kwenye Asara
@EzekiaMyilaАй бұрын
Mimi naona kama Kuna kitu sielewi hapa kumbwa kwa Adam na ulimwengu nani alifanya unabii huu wakati mungu alikuwa hajaumba mtu yeyote hapa ndipo tuone sana tulio Wana wa mungu maana tusije tukadanyana maana akija mungu tusije tukakosa majibu watu wa mungu
@Mrfinancial-lh3jwАй бұрын
Chanzo cha ufunuo wote ambao hadi sasa tupo unatokana na kuumbwa kwa ulimwengu hadi adamu,hivyo mtumish hajakosea kuzungumza kuwa unabii wa kwanza ulitokan na kuumbwa kwa ulimwengu hadi adamu,kwan kwa tafsiri halisi ni huu kielelezo cha unabii wote unaotendeka hapa dunian unatokana na msingi wa siku saba ambazo ni kuumbwa kwa ulimwengu hadi adamu ambayo ndio miaka hiyo 7000 kibibilia ambayo imebeba siku saba hadi kupumzika kwa Mungu baadq ya kumaliza kila kazi.....nasi katika pumziko letu ni pale Yesu atakaporudi na kulichukua kanisa ambalo unabii unaonyesha tupo ndani ya hicho kipindi na dalili zote zimekwisha kuonekana dhahiri
@Mrfinancial-lh3jwАй бұрын
Na Mungu ndiye aliyeweka unabii pekee yake baadae ukaja kuwa udhiirisho kwa manabii wake
@donudonu2.rАй бұрын
Unachosema ni kweli. Maana hata wewe watu wote huwa hawakuelewa. Hata darasani wanafunzi huwa na uelewa tofauti. Hatimaye mwalimu akitoa mtihani huwa yupo mwenye zero na mwenye A,B,C,D na F
@LoynesMalkusi-zx4yn12 күн бұрын
Mimi ndo sijakuelewa wewe unaisomaje injili kwani kuuliza uweza wa mungu hukusoma mungu alikua neno naye akafanyika mwili naye akaja akakaa kwetu soma basi mwanzo kwanza bwana