Mbowe ana maslahi na ccm, watanzania msimwamn hata kdgo
@ChrianusKamuganga3 күн бұрын
Chama mkishindwa kuheshimu mamilioni ya wapiga kura wenu mkajali maslahi ya mtu mmoja msijekulaumiana. Wananchi ambao ni wapiga kura wenu wanamtaka mh Lisu sasa nyie wachache kwa masilahi yenu mchague huyo mtu mmoja tuone kura mtapigiwa na huyo mtu au.Hesabu rahisi hiyo . Chama siyo cha mtu ni cha wananchi
@SamwelMecki-lh2gn3 күн бұрын
Lisu hamia CHAUMA chadema imekwisha
@OmmyJames-xn7ji3 күн бұрын
THE END OF SACCOOS 😢😢😢
@philipongenzatv3 күн бұрын
Yani mbowe akipita chama kitakufa Hana sera umwachie lisu mwenye uchungu
@mussamkunyi146314 минут бұрын
Ndugu lema sisi sote tulitegemea demokrasia ndani ya chadema lakini tunapo ona mtu anang'ang'ania na ana miaka 20 Kwa Sasa ameacha nini humo mwambie asituulie Chama aachie lisu tuendelee n
@johansenerasto58902 күн бұрын
Mbowe watu hawakitaki,na hata km ukidhinda hutwkiwa na kibali Cha wengi
@johansenerasto58902 күн бұрын
Mbowe nilikuwa mfuas wako ila kwa hli la kuchukua fom skuamn tena
@johansenerasto58902 күн бұрын
Iv mbowe unajiskiaje jinsi ambavyo wananchi wote hawakutaki mitandaon na Bado unapata ujasri wa kuchukua fom kweli??
@johansenerasto58902 күн бұрын
Watu wanamtaka Lissu ,mbowe ni dictator hatukutaki Kaz Yako kuzima wanamageuzi akiwemo chacha wangwe,zito,alphonce mawazo na ss unamuwinda Lissu