VITA YA MBOWE NA LISSU YAPAMBA MOTO/ KADA CHADEMA AMSHUKIA VIKALI MBOWE/ AMCHAMBUA WENJE

  Рет қаралды 18,052

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 276
@owenfweta3239
@owenfweta3239 18 күн бұрын
Jamaa yuko vizuri pamoja na mwandishi kumwekea pressure nyingi!! Bravo kamanda
@khadijaabdul3573
@khadijaabdul3573 18 күн бұрын
Mtangazaji hakai kwenye profession ni kama katumwa au analazimisha fani.
@hashpappi3830
@hashpappi3830 18 күн бұрын
Mwandishi Mboga mboga huyo
@richardnganya2311
@richardnganya2311 18 күн бұрын
Hii JAMBO TV itakosa mvuto kwa aina hii ya waendesha kipindi !! Mnaeeka kilaza asiyeweza kupangilia hoja zake !!
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 18 күн бұрын
We usiwe mshamba kazii ya chombo chaabalii kuojii kilaa abalii boya ww toka2 una faidaa
@annethrweramira5733
@annethrweramira5733 18 күн бұрын
Mwandishi leo umeonekana huko upande mmoja kazi yako ni kuuliza maswali sio kupendelea upande mmoja
@SamirRamadhani-l9d
@SamirRamadhani-l9d 18 күн бұрын
Mtangazaji unazingu sana,,,, apo unaweka ushabiki zaid
@kaguripenina63
@kaguripenina63 18 күн бұрын
Mtangazaji kafanye kazi nyingine
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 18 күн бұрын
Ahsante jamaa uko vizuri sana
@Glr-ns4cl
@Glr-ns4cl 18 күн бұрын
Jambo Tv mnajidharaulisha kuajiri litangazaj kama hili
@stevenmajoge4644
@stevenmajoge4644 18 күн бұрын
Chadema mkimpoteza tundu antpas Lisu. Shaur yenu
@giztony2009
@giztony2009 18 күн бұрын
Ww chama chako ccm ya chadema waachie wenyewe
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 18 күн бұрын
Kweli kabisaaaa
@shabanadam4476
@shabanadam4476 18 күн бұрын
Lissu to rescue Chadema chama pendwa
@hashpappi3830
@hashpappi3830 18 күн бұрын
CCM ndio hawamtaki Lissu wanajua mziki wake
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq 10 күн бұрын
Wajumbe ndiyo wataamua.
@AnordMwakila
@AnordMwakila 18 күн бұрын
Mtangazaji haupo vzr umebezi upande mmoja
@geraldleger5793
@geraldleger5793 18 күн бұрын
Mtangazaji nakushauri uwe mwanasiasa .. uandishi sio kazi yako.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 18 күн бұрын
Kachemka
@chayomgonja3131
@chayomgonja3131 18 күн бұрын
Haulizi vitu vya msingi yupo kama shabiki
@hashpappi3830
@hashpappi3830 18 күн бұрын
I agree yuko bias sana
@Mteulehalisi
@Mteulehalisi 18 күн бұрын
Kaka umefanikiwa kwa asilimia kubwa sana kukabiliana na huyu mtangazaji
@hashpappi3830
@hashpappi3830 18 күн бұрын
Bravo
@dopplereffect7154
@dopplereffect7154 18 күн бұрын
Adamu Chagulani 2010 alikua diwani wa kata ya igoma jijini mwanza.... namkubali sana huyu jamaa... ana degree 1 huyu
@gilbertmkandawire5660
@gilbertmkandawire5660 18 күн бұрын
Mtangazaji naye anaupande wake. Jamaa yuko vizuri.
@Lebabaz
@Lebabaz 18 күн бұрын
Ndugu mwandishi kaongeze elimu bado upo chini sana kaka
@hilarymbowe7336
@hilarymbowe7336 18 күн бұрын
Jambo TV rudisheni hii andishi shule ijifunze upya namna ya kuhoji .
@dulasaid2581
@dulasaid2581 18 күн бұрын
Kwani CCM wana hekima kazi yao kuengua tu. Hiyo sio hekima. Tundu lissu ndie size yao.
@SurprisedCorgi-kn2sm
@SurprisedCorgi-kn2sm 18 күн бұрын
Mtangazaji bado sana kasome
@richardnganya2311
@richardnganya2311 18 күн бұрын
Mtangazaji kwa hoja zako za ukongwe kawaambie CCM wamweke Wassira kwenye nafasi iliyoachwa wazi na Kinana !!
@khatibabass3106
@khatibabass3106 18 күн бұрын
Samahanini ndugu zangu comment yangu yakwanza nimemtetea mwandishi naomba muipuuze huyu mwandishi nimpumbavu sana sana sana kama angenihoji mimi ningemuuliza hivi ( wewe ni mwandishi au nimtu wa system? )
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 18 күн бұрын
Mtangazaji umeside upande moja openly, huna uwezo WA Ku balance, kuna chochote😂
@masoudchegeka9752
@masoudchegeka9752 10 күн бұрын
Mtangazaji kashalamba ASALI😂
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 18 күн бұрын
Mtangazaji ni Mwijaku
@EZEKIELNYINGU
@EZEKIELNYINGU 15 күн бұрын
Mtangazaji nimnufaika na mbowe Hana jipya,hawewe hunaweredi kabisa umekula rushwa 1000000
@mpeligwamoyo4254
@mpeligwamoyo4254 18 күн бұрын
Mwandishi hatukuelewi hata ingelikuwaje.lissu oyee
@bakermusa9033
@bakermusa9033 18 күн бұрын
Jamaa smart sana kumbe Taifa lina watu
@AnordMwakila
@AnordMwakila 18 күн бұрын
Huyu mtangazaji yupo kwenye system ya mwenyekiti wa zamani
@Drepsama
@Drepsama 18 күн бұрын
Mtangazaji umeua kinoma
@ProphetM-c9o
@ProphetM-c9o 18 күн бұрын
Lissu ndo mkombozi wa kweli wa Nchi hii.
@mpeligwamoyo4254
@mpeligwamoyo4254 18 күн бұрын
Mwandishi una kera sana
@BahatiRamadhani-i8f
@BahatiRamadhani-i8f 18 күн бұрын
Anazngua
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 18 күн бұрын
Jambo.wako vizuri. Ila mafisiemu inawachoma
@samsonsamwel8782
@samsonsamwel8782 18 күн бұрын
Muandsh msenge kchz,
@allymaulid9391
@allymaulid9391 12 күн бұрын
Mtangazaji kiazi kabsa
@katotobrown8844
@katotobrown8844 18 күн бұрын
mwandishi ni choko sana
@saidisulleimmani1309
@saidisulleimmani1309 18 күн бұрын
Huyu muandishi mbona simuelewi amekua mtetezi wa mbowe na wenje
@PelagiaKayunga
@PelagiaKayunga 18 күн бұрын
Pendant huko na Mbowe wako umepewa share nini?
@EmmanuelKuzenza
@EmmanuelKuzenza 18 күн бұрын
Huyu leo si mwandishi Bali anatekeleza kupambania timu B ambayo imekosa mvuto!
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 18 күн бұрын
Mwandishi nenda shule au kasome ni aibu kwa jinsi ulivyo, na hii jambo Tv muwe macho😂😂
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 18 күн бұрын
Hata Mimi nampenda lisu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 16 күн бұрын
Mwandishi mpuuzi ni chawa wa mbowe anataka tumchukie lissu,huyu ni moja ya makapi na takataka nyingi zilizopo tanzania kwenye siasa na media😂😂😂
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 18 күн бұрын
Mwandishi si useme ulilonalo nafsini mwako mbona unalazimisha Lissu aonekane mbaya
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 18 күн бұрын
Mimi nazima cm kwa sababu ya huyo mwandishi naona ni upuuzi tu.
@RobinsonKadogo
@RobinsonKadogo 18 күн бұрын
Ata Mimi sio chadema lakina kura yangu Mimi Nampa kura lisu
@dennisungonella205
@dennisungonella205 18 күн бұрын
Wenje ni mpiga dili kiukweli, Akishinda nafasi hiyo ya umakamu mwenyekiti litakuwa ni janga kwa taifa
@ivanrobert3071
@ivanrobert3071 18 күн бұрын
Mwandishi unaakili fupi kwelikweli nenda shule kwanza kama huwezi hii kazi kabebe hata magunia mashineni utaeleweka lkn sio kujidharirisha hivi
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 18 күн бұрын
Huyo wenje ni kiongozi lazima biashara zake zijulikane na umma
@Mteulehalisi
@Mteulehalisi 18 күн бұрын
Mwandishi ni mramba asali😂
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 18 күн бұрын
Mwandishi nenda shule au tuna mashaka nawe, hivi huyu ni mwandishi au chawa wa huyo jamaa😂
@SebastianCharleskayanda
@SebastianCharleskayanda 17 күн бұрын
Mwandishi qmmmmmmke ni team ya mbowe kutoka kwa boni yai
@JohnNzali
@JohnNzali 18 күн бұрын
Nakukubar kamanda
@deogratiusalexsingombe903
@deogratiusalexsingombe903 18 күн бұрын
Mwandishi hakuna kitu kabisa yaani hii Jambo TV itakosa mvuto maana WAMEKOSA mtu halisi ya KUONGOZA kipindi ..Mwandishi kwanza anaingilia mazungumzo ya mzungumzaji kiasi kwamba anamkosesha kumalizia point sema Diwani Mstaafu yupo vizuri sana kweli shuli inaongea
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 18 күн бұрын
Mtangazaji ukimaliza kipindi cha mahojiano soma Comments za watazamaji wako umewakera sana kukatisha katisha interview
@YohanaSanga-t8d
@YohanaSanga-t8d 18 күн бұрын
Safi kamanda tetea hoja kaka
@frankminga9307
@frankminga9307 18 күн бұрын
Mtangazaji unapoteza sifa za kuwa mtangazaji jaribu kuwa na maswali yaliyo balanced
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 18 күн бұрын
Mtangazaji Leo umekaa kishankupe kumbe ww ni mnoko sana da nilikuaminig sana lkn Leo umewahujumu wananchi,na unakwenda kupoteza mvuto.
@masijamajogoro7231
@masijamajogoro7231 18 күн бұрын
Very true. Zero brain
@mtokaboys2175
@mtokaboys2175 18 күн бұрын
Huyu jamaa noumaa😂
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 18 күн бұрын
Mh Adam Chagulani (PhD)
@josephmirambi193
@josephmirambi193 18 күн бұрын
Hivi mwandishi ni kihiyo hivyo hajui kiongozi wa uma anatakiwa ku declare Mali zake, biashara zake pamoja na madeni? Wewe mwandishi umeniangusha
@philipongenzatv
@philipongenzatv 18 күн бұрын
Mtangazi nae pumbavu
@mpeligwamoyo4254
@mpeligwamoyo4254 18 күн бұрын
Kwakuwa watanzania wanapenda uwongo,pia wanapenda kiongozi dalali na muongo basi kwao wanampenda mbowe
@MamesiTitas
@MamesiTitas 18 күн бұрын
Huyu mtangazaji noma kapewa tuhela kidogo na Mbowe mwisho mtu asiekubari ya mbowe atakutupia maick 😅😅😅
@faizaannassir2568
@faizaannassir2568 18 күн бұрын
Kwani nyerere alikaa kimya wakati wa mwinyi na g55. Kama mnakumbuka. Si alimsema na alimtusi huwezi kumshauri mkeo kwenye mambo ya sheria hadharani . Wapenda mgeuzi tukumpoteza lisu. 20 years ijayo hatuwezi kuiondoa ccm.
@MagakaManyanya
@MagakaManyanya 18 күн бұрын
Wenje nae anajiita mfanyabiashara . Naomba aache kudhalilisha kazi hiyo ya heshima. Kwani anauza nini
@masijamajogoro7231
@masijamajogoro7231 18 күн бұрын
Mwandishi ni chawa chawa chawa chawa. Ovyo kabisa. Ameshindwa kuficha upande.
@musibhaMkama
@musibhaMkama 18 күн бұрын
Mtangazaji kasome upya mahojiano hayaendi hivyo
@DavidBisse
@DavidBisse 18 күн бұрын
Wangapi tumeona mtangazaji kilaza kabisa tena arudi shule hayuko in balance anatetea nkurunzinzaaaaa?
@BitaraWanjara
@BitaraWanjara 18 күн бұрын
Ulipo ongea tu "SWOT analysis" nikaamini umeenda shule. Nakupongeza sana kwa jinsi ulivyojitahidi kudadavua maswali ya huyo mwandishi wa habari pamoja na kwamba maswali yake hayapo balanced
@HauleHaule-z2r
@HauleHaule-z2r 18 күн бұрын
Mwandishi takataka
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 18 күн бұрын
Mwandishi leo umedidimia sana mtindo wa uulizaji wako leo ni dhaifu sana
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 18 күн бұрын
Mtangazaji ni chawa😂😂wa upande ule
@hashpappi3830
@hashpappi3830 18 күн бұрын
Mboga mboga
@bakermusa9033
@bakermusa9033 18 күн бұрын
Tumefika pabaya mwandishi ni kama kuna kitu ana defend nyuma ya mic
@AndrewChilua
@AndrewChilua 18 күн бұрын
HONGELA MTETEZI KIJANA SHUJAA mwandishi aSikuzingue
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 18 күн бұрын
Analazimika kubainisha shaghuli zake kwa sababu ni kiongozi wa umma
@jamesrobare522
@jamesrobare522 18 күн бұрын
Chawa Lisu jiandae kisaikolojia kushindwa tena na tena tukutane kwenye sanduku
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 18 күн бұрын
Lipumba tlp
@NashatAhmed-z2t
@NashatAhmed-z2t 18 күн бұрын
Mwandishi na Anehojiwa wote wapo vizuri. Interview imechangamka
@mpeligwamoyo4254
@mpeligwamoyo4254 18 күн бұрын
Mwandishi umekutana akili kubwa
@JoelKilemile
@JoelKilemile 17 күн бұрын
Huyu mwandishi ana dalili za uchawa sehemu fulani,lnabidi ajilekebishe kuuliza maswali.
@mtokaboys2175
@mtokaboys2175 18 күн бұрын
Wenje agekutana na huyu mwandishi hiko kiti kingevunjika kwa kutetemeka
@ALFREDMTUNDU
@ALFREDMTUNDU 13 күн бұрын
Mwandishi soma comments kesho utakuwa bora
@EdwardJohn-xz5oi
@EdwardJohn-xz5oi 18 күн бұрын
Hyo jamaa alisitahili kuwa diwani kweli ni Mtu na nusu. Jamaa nakushauri gombea tena nafasi hyo wananchi ya Igoma tumekuelewa.
@EdwardJohn-xz5oi
@EdwardJohn-xz5oi 18 күн бұрын
Nimekusikiliza mwanzo mwisho una deserve kuwa kiongozi maua yako
@DanielMasubo-bv7zf
@DanielMasubo-bv7zf 17 күн бұрын
Huyu Mwandashi anaonekana Choko kweli
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 18 күн бұрын
Chadema tatueni Matatizo yenu bila kuwaigiza CCM. Hatuna Imani na chadema .Uhuni ugomvi ,usaliti na usenge na Hasa Lissu.Demokrasia hakuna Watz tunahitaji vitendo. Chadema Sera teini NI madaraka tu😢😢
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 18 күн бұрын
Mwandishi mpe mtu nafasi ya kujibu au ni chawa? Mihemko mingi😅
@FrankKwanama-lo6fj
@FrankKwanama-lo6fj 17 күн бұрын
Tundu lisu ndo habari ya mjini Mbowe atuache kwanza,nimchumia tumbo!
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 18 күн бұрын
Wenje hata sura ya udalali kabisa tapeli mkubwa
@henrymkute9023
@henrymkute9023 10 күн бұрын
Jambo Tv mwandishi anabidi arid skulle inaonekana hajui anachokihoji elimu yake ipo chini sanaa na ni aibu sanaaa kwanza anatakiwa ajue ukishakuwa kiongozi wa umma huwezi kusema biashara binafsi, mtangazaji ni takataka.
@YohanaSanga-t8d
@YohanaSanga-t8d 18 күн бұрын
Tuna madarari kwenye chama akina wenjee
@costantinemgina
@costantinemgina 17 күн бұрын
Hongera sana kamanda, ila huyo mtangazaji ana lake jambo maana anafanya interview kwa kumlinda huyi Wenje. Acha hiyo tabia mtangazaji, uone aibu kabisa kufanya interview za namna hiyo. Feel shame mtangazaji. Mm ni Batusaje Mwaibanje nipo dar
@raphaelshan4905
@raphaelshan4905 18 күн бұрын
Mwandishi naomba ujifunze kuuliza maswali kama host wa kipindi the way unavyo uliza ni kama upo kwanye kijiwe cha kahawa mnapiga soga yani maswali yako ni ya kupaparuka ni kama haujasomea journalism.
@MagakaManyanya
@MagakaManyanya 18 күн бұрын
Lissu tosha
@KennethZengo
@KennethZengo 18 күн бұрын
Washabiki wa lissu tuambieni kwa nn watoto wa lissu siyo raia wa tanzania
@BaloleBalole-x7e
@BaloleBalole-x7e 18 күн бұрын
Lisu anatosha
@b.truthful
@b.truthful 18 күн бұрын
Kwa ufupi huyu mwandishi au muuliza maswali alitaka Lisu afiche siri za hongo chamani au machafu yaliyoko chamani dah ! ama kweli namna hii ni ngumu kupata mageuzi maana huwezi ficha mashuzi tumbo litaharibika jmn
@CareerPathWorldwide
@CareerPathWorldwide 18 күн бұрын
The unprofessional Journalist ever, Mwandishi Kama Mpiga Debe🚮🚮🚮
@JimokuMhela
@JimokuMhela 17 күн бұрын
Mtangazaji yuko vzur tu, kwa kuwa yuko na mpambe wa Lissu laxma ambane kwa niaba ya wapnzan wa Lissu ili atoe ufafanuzi
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 16 күн бұрын
Nchi au taasisi haiongozwi kwa matakwa ya mtu au kwa busara za mtu,nchi ama taasisi inaongozwa kwa kanuni na sheria zilizowekwa
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 17 күн бұрын
Wewe mtangazaji hufai kwenye interview. Kazi ya mtu ni lazima ijulikane wazi bila kificho. Hasa viongozi hulazimika kuonesha wazi kazi inayomuingizia kipato bila kificho.
@costantinemgina
@costantinemgina 17 күн бұрын
Mtangazaji hata ukimtetea wenje lkn ss tunajua tutamchagua nani, acha maswali yanayokupeleka moja kwa moja kwamba mtangazaji umetumwa. Batusaje Mwaibanje dar
@dulasaid2581
@dulasaid2581 18 күн бұрын
Huyo ni mtangazaji au wenje?
@Mussaphanuel-p1q
@Mussaphanuel-p1q 18 күн бұрын
Mnabishana au mnahojiana
@mmassfashiondodomatz
@mmassfashiondodomatz 18 күн бұрын
Mwandishi inatakiwa urudi shule ukasome tena
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
UFC 287 : Перейра VS Адесанья 2
6:02
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 486 М.
🅻🅸🆅🅴  MJADALA MZITO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA
1:36:48
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН