Gold Digger Prank! (GONE HOME) Part 657 | Denny-c TV

  Рет қаралды 107,361

Denny-c Tv

Denny-c Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 409
@1bosscow2
@1bosscow2 6 ай бұрын
Denis, let the camera follow the laddies. We want to see the point when she makes the turn. We already know you. So fuateni hao madem. Camera should focus on them not you.
@keganowino2179
@keganowino2179 6 ай бұрын
Ukwweliii😂
@Leoh270
@Leoh270 6 ай бұрын
Yaa
@marz9816
@marz9816 6 ай бұрын
exectly
@samnjoroge8871
@samnjoroge8871 6 ай бұрын
We demand to see the U turn
@jantachomba9931
@jantachomba9931 4 ай бұрын
We always say this but he does not listen
@christinenduta-p5d
@christinenduta-p5d 6 ай бұрын
Wasichana wamechoka kutembea ii kenya😂😂n the challenge Dennis i didn't see it coming 😂😂😂, continue ❤❤❤
@gracegicheru6293
@gracegicheru6293 6 ай бұрын
Woiyee kadem kalitoka kasarani sportview hadi kile Dennis huna huruma
@Faith-en3jy
@Faith-en3jy 6 ай бұрын
Atleast she was open 😂😂😂, haungekuwa n machine singekuonglesha
@Liz-nje
@Liz-nje 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂mungu nisaidi nisikue against money hii ni aibu mob sana woooiii🥺🥺🥺
@lonarockinganyoso6099
@lonarockinganyoso6099 6 ай бұрын
Walahi if ningekuwa girl friend wako sijui my jealous can't allow me ifike hapa eti nikazi,hiyo nini ikusugue hivo no😢
@swann254
@swann254 6 ай бұрын
Comment section mko high nyote😂😂hata hamwezi congratulate denny c sababu ya hozambee challenge 😂😂❤
@Mcarthur-wl8gk
@Mcarthur-wl8gk 6 ай бұрын
Bana joh ebu imagine people are just going straight to the cameraman vile ajue kazi yake😅na si uongo, Denny C should look for another cameraman huyu ni kama ni mzee wa 52 years aende retirement atakuwa anapewa 10k end of month
@crazymaish2850
@crazymaish2850 4 ай бұрын
Achana na sisi😂😂😂
@kenodhiambo3761
@kenodhiambo3761 6 ай бұрын
Na mjue kuna parts DennyC ameedit....haikosi alimbao akiedit😂
@DaisyMoraa01
@DaisyMoraa01 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Nlm_Nasibu
@Nlm_Nasibu Ай бұрын
Unanimaliza😂
@evanskip2879
@evanskip2879 6 ай бұрын
10:32 Electricity i just a way of a signal unampa beshte wako so tha he can set the camera inside BnB😊
@janetchirchir5764
@janetchirchir5764 6 ай бұрын
Hamnawi mikono hata the lady nkama alikua njaa mbaya.....
@Sam_kimemia
@Sam_kimemia 6 ай бұрын
Kasichana petite ingekuwa mimi....ningekula mali kwanza kesi baadaye
@loisekerunganga5607
@loisekerunganga5607 6 ай бұрын
We chunga sana siku moja utapata mwenye anakushinda nguvu na ataeza kukurape
@alvoo133
@alvoo133 6 ай бұрын
Deno 😂😂😂 unajichocha Kiugangstar uskii kitu na umembao yote 😂😂
@alvoo133
@alvoo133 6 ай бұрын
Shivula Pranked 😂😂😂 umeamua tunaenda na waves G 😂🔥 Motoo
@kunguk3598
@kunguk3598 6 ай бұрын
Before dem aache boy . should first count how many madem deno angekuwa nawao .
@jacklinemukami9162
@jacklinemukami9162 6 ай бұрын
😂😂😂aki kadame kako na kiherehere na ushamba mob..tuliz boli mamaa
@shanteynjeri607
@shanteynjeri607 6 ай бұрын
In her head ooooh ma God goddamn it I finally got a jackpot 😂😂😂 little does she know.alafu Denny c anawangalia na macho zile za sasa wewe😂😂😂😂
@pamelagatwiri8170
@pamelagatwiri8170 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@meshackomulanya
@meshackomulanya 6 ай бұрын
Deno tafta cameraman mwingine au tugome hii channel Yako. Kile tunataka kuona hatuonyeshwi
@Tasha530
@Tasha530 6 ай бұрын
I can't be this cheap😂😂😂😂aki wasichana not everyone deserves your vibe
@MuneneArnolds
@MuneneArnolds 6 ай бұрын
Tasha nikupee fare ukuje runda? Niko na gari btw, tutaenda ata diani😂
@moderator5566t
@moderator5566t 6 ай бұрын
​@@MuneneArnolds😂😂😂anasema hivo na ntamteka na my two wheeler mountain bike 😂😂😂
@leonardkhelb2472
@leonardkhelb2472 6 ай бұрын
Hamkuangi cheap hapa kwa comment
@AccountantMaurice
@AccountantMaurice 4 ай бұрын
All girls are the same Tasha😂😂
@LawrenceSansora
@LawrenceSansora 2 ай бұрын
Dem Ako na doo zake tu ndo si cheap
@stephenngala1048
@stephenngala1048 6 ай бұрын
Deniii hawa madems huwakula mseee 😅😅😅
@samwelotieno3841
@samwelotieno3841 6 ай бұрын
Mr Make me understand did the hozambee challenge before wengi wetu 😂😂😂😂gaddemit
@kigenboniface1667
@kigenboniface1667 6 ай бұрын
Hebu cheki mbio ako nayo akirudi!!!! Anatembea kama Antelope mwenye anakimbiswa.
@patrickmshila8421
@patrickmshila8421 6 ай бұрын
Camera man analala kwa kazi mkuu na umeanza hadi challenge 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Eddukk
@Eddukk 6 ай бұрын
Huyo msichana ni kienyeji na ako kiherehere sana😂😂😂
@Brado-nx1uo
@Brado-nx1uo 6 ай бұрын
Kienyo😂
@BabyFloh
@BabyFloh 6 ай бұрын
😂Tulia
@annn6851
@annn6851 6 ай бұрын
Jameni😂😂😂😂i dont know now i know 😂😂😂Deny siwehujionea mambo 😂,n hii confidence y ur cute 🥺 imetoka 😹
@HhA-zi7oo
@HhA-zi7oo 6 ай бұрын
Uyo dem ziiii 😂😂😂😂😂amejiabisha ata mbele yako am a girl though 😅😅😅😅uyo amezidi
@AccountantMaurice
@AccountantMaurice 4 ай бұрын
We fear y'all 😂😂.. y'all the same gurl😂
@abedsifuna8956
@abedsifuna8956 4 ай бұрын
Movie hunishinda kuwatch but hii kitu nawtcc 30minutes😅😅
@CeciliaWambere
@CeciliaWambere Ай бұрын
I wonder how gurl just accept ati waende kwa mtu hawajui
@samplays7995
@samplays7995 6 ай бұрын
Hii imeweza 😂....sema tu ukweli kaa si discipline ungekua na bc ya over 200
@alphyzqrw7222
@alphyzqrw7222 6 ай бұрын
Huyu mzee wa camera anasinya🤬🤬 U-turn is more important than the whole video😠😠😡😡
@1bosscow2
@1bosscow2 6 ай бұрын
He keeps on kufuata Deno who we already know. Afuate Dem tuone that U-turn.
@josephndungu3053
@josephndungu3053 6 ай бұрын
Deno anafaa atutaftie cameraman mwingine 😅
@Mwangi-hx4zn
@Mwangi-hx4zn 6 ай бұрын
tumetry kumshw lakini haskii
@meshackomulanya
@meshackomulanya 6 ай бұрын
Deno tafta cameraman mwingine au tugome hii channel Yako.
@elvisbabu1324
@elvisbabu1324 6 ай бұрын
Akatwe mshahara
@SamuelMutuku-mc8ub
@SamuelMutuku-mc8ub 6 ай бұрын
Eh usidanganye apo saidongi ilipumua weee mkora bwana😂😂😂😂😅😅
@vinpettit
@vinpettit 6 ай бұрын
Vijana tutafte pesa.. its so easy when you've build yourself
@rolandkibe3331
@rolandkibe3331 6 ай бұрын
Hutu tu mtu kwni tunakuanga njaa ajezs 😂
@Dorris-ii3sk
@Dorris-ii3sk 6 ай бұрын
And you have nice 'beds' was just chilling 😂😂 though it was lit 🔥one for hozambeee...shifuraaa😅😅
@owlbig
@owlbig 6 ай бұрын
Aka ningekakulaaa camera naweka pembeni 😂😂😂
@kennykiragu8393
@kennykiragu8393 6 ай бұрын
Aki ladies hii imemaliza energy nilikuwa nayo kwenu kabisa ati "I am a woman I don't care" I am a man I don't care about women anymore. Wah
@shemmycarol
@shemmycarol 6 ай бұрын
Waah navinye mm huogapa hawa watu wamagari especially Kama sikujui l fill pity for this lady utakufa vibaya WW
@jacklinemukami9162
@jacklinemukami9162 6 ай бұрын
Mi ata siezi mbembwa na stranger na gari,,ziii..ata kumzongea karibu sijawahi😮
@JohnMwaniki-f8e
@JohnMwaniki-f8e Ай бұрын
yaani siku nitanunua gari sitalala peke yangu🤣🤣
@markprosper8467
@markprosper8467 17 күн бұрын
Hadi mm nitaanza kufabya goal digger test but without canera
@PaulineNjoroge-t6p
@PaulineNjoroge-t6p 2 ай бұрын
@denny-c,,,,,,Mimi nnataka kujua izi crisps za green zinatoka wapi
@alphyzqrw7222
@alphyzqrw7222 6 ай бұрын
21:01 deno my guy 😂😂😂😂 unadance kama maasai amekalia kiti ya kupikia ugali ile ya resaf 🤣🤣🤣🤣
@achiengdonna3343
@achiengdonna3343 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bridgethopegal8856
@bridgethopegal8856 6 ай бұрын
Mnatoanga hii nguvu wapi ,mnigawie mimi😊
@doreenmwangi8593
@doreenmwangi8593 2 ай бұрын
Hapo Kwa u have nice beds😂😂😂 DennyC ongeeni tu kiswahili 😅
@eddydevvy
@eddydevvy 6 ай бұрын
Iyo ni kali sana Denny uyo demu akua amenuka shonde walai😂😂😂
@alvoo133
@alvoo133 6 ай бұрын
Unamjua 😂😂
@shinehusnah6572
@shinehusnah6572 6 ай бұрын
😂😂😂😂 ila hapa Denny'c tayari itakua umeua Mana sikwa mastyle hayo ya deedly deedyl 😂
@VictorShajema
@VictorShajema 6 ай бұрын
😂😂😂🔥🔥🔥 hiyo dance imetrend sana
@abedsifuna8956
@abedsifuna8956 4 ай бұрын
Camera man wako ameona orwaro ngapi..Deno muulize.😅
@mulewajoel6552
@mulewajoel6552 6 ай бұрын
Na ni kamkamba...😂😂😂😂
@elsiekainyu4794
@elsiekainyu4794 6 ай бұрын
Noted from 246k subs to 247k subs today 🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳
@dennyctv
@dennyctv 6 ай бұрын
❤️❤️❤️
@elsiekainyu4794
@elsiekainyu4794 6 ай бұрын
Unateseka kupata g wagon Kenyan prince akiwa , how!!??
@migentekillerdjgente4539
@migentekillerdjgente4539 6 ай бұрын
Tumeiba wa obina kidogo😂...lazma injili iende mbele
@Itsfornere
@Itsfornere 2 ай бұрын
Hakuendangi hivyo elsiè😂😂
@ManotiBinmapesa
@ManotiBinmapesa 5 ай бұрын
Uyu dem ni kienyeji ..c mromantic🤣🤣
@brianoluma541
@brianoluma541 6 ай бұрын
This song is trending in Kenya too 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@CeasorJadwong
@CeasorJadwong 6 ай бұрын
I was in some bar in Uganda last week and the whole crowd went maaddd after that song was played
@achiengdonna3343
@achiengdonna3343 6 ай бұрын
Enyewe Ruto Must Go. Hii ni njaa inasumbua huyu dem hivo😂😂😂😂😂
@alvoo133
@alvoo133 6 ай бұрын
Hii video ni Hot 😂🥵 nimembao hadi Tao 😂😂💔
@kelvinnganga4804
@kelvinnganga4804 6 ай бұрын
mimi nimembao hadi bed.....lol
@phoenixmira4701
@phoenixmira4701 3 ай бұрын
😂😂😂
@mulewajoel6552
@mulewajoel6552 6 ай бұрын
Deno hapa ulijaribiwa....karibu disc ichomoke narok iende machakos. .😂😂😂😂
@liposahamblipeZ
@liposahamblipeZ 6 ай бұрын
It's the wacha kunitiniza sana itawasha moto for me😂😂
@Franswatrucking
@Franswatrucking 6 ай бұрын
Hawk eyes..kananyesha😂
@MercyChebet-pe9oi
@MercyChebet-pe9oi 6 ай бұрын
Nimeumwa na macho nikizoom🤣🤣🤣
@Jemahjampa
@Jemahjampa 6 ай бұрын
Wataka kuona nyapu na ukona yako😂
@MercyChebet-pe9oi
@MercyChebet-pe9oi 6 ай бұрын
@@Jemahjampa i wanted to compare na yangu😂😂🤭
@PaulOtanga-w5x
@PaulOtanga-w5x 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@Brado-nx1uo
@Brado-nx1uo 6 ай бұрын
Manzee!! Hionekani
@kigenboniface1667
@kigenboniface1667 6 ай бұрын
Imoche iker nee??😅
@Risk126
@Risk126 6 ай бұрын
This show is more safe than loyalty tests.
@Riccoh-Ricky
@Riccoh-Ricky 6 ай бұрын
Bt she's a vibe .. na c muongo ndivyo alivyo😂
@marioninzai8345
@marioninzai8345 6 ай бұрын
Ahhh dennis apa n kileleshwa Diamond homes 😂😂ama
@KESH250
@KESH250 6 ай бұрын
Hozambeeee... Denny C And Shifuraaa😁😁😁😁🔥
@Reginamuthoni-hr6yv
@Reginamuthoni-hr6yv 6 ай бұрын
😅😅
@thee_streetz4
@thee_streetz4 6 ай бұрын
Dennoh the girl ayuko single is my friend bae we stay the same apartment😮😮😮
@danielkoech5636
@danielkoech5636 6 ай бұрын
Ater this jamaa yako atadai tu?
@SimpleBee254
@SimpleBee254 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 You have really made my day....hoozambe challenge 😂😂😂
@TESSY-nr8cq
@TESSY-nr8cq 6 ай бұрын
Aki this gals are reckless.. yaani mtu anajiachilia to this extent. Na akauliwa uku watu wao watasemaje
@mindedup7548
@mindedup7548 2 ай бұрын
So mnajifanya hamjaona kinembe 😂😂
@SimonKyle-g1e
@SimonKyle-g1e 6 ай бұрын
huwa hauogopi aki scroll tv aingie youtube akupate apo😅🤣🤣
@Briana_B-t9j
@Briana_B-t9j 6 ай бұрын
😅😅😅
@samkameekaze7572
@samkameekaze7572 6 ай бұрын
It's hard unless aka enda kwa nyumba ya 'Tapeli' Remember these r Bnb's when u ask urself tht qn again
@cypchizi772
@cypchizi772 6 ай бұрын
It is the Kizungu kukataa for me😂😂😂😂😂😂
@dennyctv
@dennyctv 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@GiddyMinder
@GiddyMinder 5 ай бұрын
ningekua Mimi ningekua nakula hawa madem wote na video Ina spoil🥴, siezi vumilia
@sethchisonazulu254
@sethchisonazulu254 6 ай бұрын
Utajiletea shida bro siku moja usipeleke hawa madem kwako am an officer and I know why Im telling you that
@carolineotenyo5888
@carolineotenyo5888 6 ай бұрын
Haikuwangi kwake ni kwa ma-BNB's
@CounselMayabi
@CounselMayabi 6 ай бұрын
Its on camera. Nobody can come up with a story besides one on camera. I am a lawyer and you know we know how to defeat your cases. 😅
@pirimaganga692
@pirimaganga692 6 ай бұрын
Yaani huyu de. Haezi jua hiyo ni air bnb... nataka kuona ya mombasa 😂
@RichieSpice-ml7fq
@RichieSpice-ml7fq 6 ай бұрын
VAR,.. check 😂😂😂😂 attacking and defending 😂😂😂😂😂😂 @Denny-c hii ni kali😂😂😂😅😅😅
@gerardmusyoki
@gerardmusyoki 5 ай бұрын
Hii ni moto 🔥part ya hozambe😂ni kali
@MichaelWanjiru-ff6le
@MichaelWanjiru-ff6le 6 ай бұрын
Denny c ongea na camera man afuate golddigger tuone iyo u-turn
@Mcarthur-wl8gk
@Mcarthur-wl8gk 6 ай бұрын
Yoo first of all comment number one and number three wamewakaa moto aisee😅but they're right Denny C talk to you cameraman we should see that U-turn that's the most important part of the video anatunyima hio luxury ya ku view that shame🤦si poa manze,alafu umeamua leo prank ya shifura when she is done anajipea shughuli 😅 I asked this question and Denny C didn't ask me "unataka kusema hawa waschana wote they usually don't know you"wtf are they watching on there KZbin 🤔
@Lucy-Kamau
@Lucy-Kamau 6 ай бұрын
Yani nacheka tu coz shifuraa😂😂😂😂
@AccountantMaurice
@AccountantMaurice 4 ай бұрын
😂😂😂
@zackjathan8867
@zackjathan8867 6 ай бұрын
Deno this time round you land on a fully complete Golddigger who happen to see every thing new for her first time because the way she messed with things oooh my god....
@harryharry5578
@harryharry5578 6 ай бұрын
denny c umetuangusha leo...unalenga huyu dem sana ady haislap vile inafaa😄
@bridgitsimon7447
@bridgitsimon7447 6 ай бұрын
I love way you express yourself 😂😂😂😂😂😂😂❤❤
@mulewajoel6552
@mulewajoel6552 6 ай бұрын
Huyu dame hajasoma, akili ndogo sana
@Sharnywaist
@Sharnywaist 2 ай бұрын
Huyu naye ni morio 😂😂😂 yani amepeleka denis mbio 😅😅
@MiriamMiriamingado
@MiriamMiriamingado 3 ай бұрын
Me siwezi enda na mwanaume sijuwi hadi kwake
@erickik254
@erickik254 6 ай бұрын
Uko na bahati she is a petite. Angekuwa mbigi ungepigwa
@Cynthia-rw9mg
@Cynthia-rw9mg 4 ай бұрын
Aty "I feel like am starving "😂😂😂akhy you ladies, style up please 😂
@bintidaviswamum3804
@bintidaviswamum3804 5 ай бұрын
Denny..you're sturbon..ngoja uguzwe😅😅😅
@ReinahWafula
@ReinahWafula 6 ай бұрын
😂😂😂😂 wewe Deno ukuwe na Mtu wakukusaidia vile naona utakuja kufanyiwa vibaya siku ingine
@shamalalycious
@shamalalycious 6 ай бұрын
I think the camera men wengine huwa around
@erickik254
@erickik254 6 ай бұрын
He is not alone. Kuna wenye wanaona chenye inaendelea including U-turn cameraman
@TheeAlligator
@TheeAlligator 6 ай бұрын
All over sudden kila kitu sasa ni "NOW"😂😂😂
@Bagenzi4life
@Bagenzi4life 6 ай бұрын
Mbana kama amekua na njaa kibao snaks anazikula kama mkola😂😂😂😂😂
@jacklinemulwa8253
@jacklinemulwa8253 6 ай бұрын
Hii audacity wasichana hutoa wapi lkn😅😂😂😂coz I need it kwa hii maisha aki
@anthonykangethe6464
@anthonykangethe6464 6 ай бұрын
😅😅😅
@vincentsiriba
@vincentsiriba 6 ай бұрын
Dennyc n kama uliwaka 😂😂
@legrandke3476
@legrandke3476 6 ай бұрын
denny c wacha kulenga uyo dem😂😂😂 sync in kiasi ndo ikae authentic
@isaacknewton2909
@isaacknewton2909 6 ай бұрын
Tulishachoka na cameraman mlevi kitambo sana, ajiwekee hizo u-turn
@DinahKindah
@DinahKindah 6 ай бұрын
😂😂😂😅amezikeep atawatolea baadaye😂😂
@Wambo-yz9ek
@Wambo-yz9ek 6 ай бұрын
Leo Ako jaba
@evinnganga4501
@evinnganga4501 6 ай бұрын
Denis, let the camera follow the ladies'. We want to see the point when she makes the turn. We already know you. So fuateni hao madem. Camera should focus on them not you.
@vickshekia7265
@vickshekia7265 6 ай бұрын
Ladies baadhi tunajizalilisha🤦 tufanye kazi pesa yk n nzuri n utaeshimika huwezikuwa km hii Nyau😏
@mansoordelfuenzo
@mansoordelfuenzo 6 ай бұрын
Eiish kweli director hudopoa
@samwelmwangi9342
@samwelmwangi9342 6 ай бұрын
Hahahaha 😂😂😂 Denny C,,iyo vida acha tu
@markkisigwa8509
@markkisigwa8509 6 ай бұрын
Akili ya huyu dem ni ndogo 😮😮
@juma9866
@juma9866 6 ай бұрын
Na kwani siku hizi hapo kairo muko na ukame tu g.d twote tuko tu njaa 😢
@AnnMaina-fw9fq
@AnnMaina-fw9fq 6 ай бұрын
Nice beds🤣🤣...Ngai fafa
@alvoo133
@alvoo133 6 ай бұрын
Modo wa Nyoba 😂
@Gureydadelariodante
@Gureydadelariodante 6 ай бұрын
The comeback for me😂 Mbona wewe umekubali kutekana day1😂 @denyC
@Brado-nx1uo
@Brado-nx1uo 6 ай бұрын
Akisha itabeard bed , huyu zae😂
@sahir.egh.
@sahir.egh. 4 ай бұрын
😂 😂 Ati snacks zangu
Gold Digger Prank! (GONE HOME) Part 659| Denny-c TV
20:31
Denny-c Tv
Рет қаралды 63 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Gold Digger Prank! Part 668 (GONE HOME)| Denny-c TV
24:47
Denny-c Tv
Рет қаралды 57 М.
SHE ALMOST BROKE UP WITH ME🥲 ft @McGikarati ||comedy
9:05
Thee Pluto Show
Рет қаралды 408 М.
OBINNA SHOW LIVE : KENYAN GOLD DIGGERS ARE REAL  - Denny c Tv
1:03:04
FINALLY!! MEET MY GIRLFRIEND🥰❤️ | Denny-c TV
19:04
Denny-c Tv
Рет қаралды 197 М.
Gold Digger Prank!( GONE HOME) Part 455| Denny-c TV
17:04
Denny-c Tv
Рет қаралды 83 М.