Рет қаралды 20,897
Global Education Link wanapenda kuwafahamisha wazazi na wanafunzi kuwa sio lazima mwanafunzi aanze ku apply nafasi za vyuo vikuu vya nje pale matokeo yanapotoka, anaweza kuapply hata sasa. Msikilize Mkurugenzi wa Global Education Link kufahamu zaidi.