Pata taratibu, na hatua kwa hatua za kupata full scholarships. Fahamu jinsi ya kupata SCHOLARSHIPS 100% kusoma nje ya nchi, USA, Ulaya, Canada, Australia
Пікірлер: 23
@anatoliusbuberwa6510 Жыл бұрын
Apart from TOEFL and IELTS, there's also another English test called the Duolingo English Test
@OmariTube2 жыл бұрын
Madini ma kali haya mkuu 🙌🏿
@wiloshebymetilie Жыл бұрын
Asante kwa video kaka sholarship zipo hata huku europe watz tuchangamkie fursa...wanigeria wapo kila kona hata huku Poland wamejaa
@amaniyona216 Жыл бұрын
Uko poland
@alicechibanhila32088 ай бұрын
Mtanzania aliyemaliza degree anatakiwa afanye mtihani wa kiingereza anapoomba ufadhili wa ada
@winsletndusya88512 жыл бұрын
je mtu yuaweza kupata scholarship kama amemaliza form four tu Kenya
@user-lp5on5jm7g10 ай бұрын
Habari naitwa elda Nmemaliza chuo cha kati lakn natamani kuendelea degreee ya famasi sasa sjui unaweza nsaidia pata ufadhiri kaka angu
@elizabethshayo3303 Жыл бұрын
Umenifungua sana kaka yaani ndoto yangu kusoma ulaya sasa naingia mwaka wa tatu B.A.ed
@jn_mustonez78422 жыл бұрын
Brother Asante, naweza apply kazi labda kiwanda Chochote ambacho hakito dai elimu kubwa maana me elimu YANGU ni upili tu
@chiddyboy_00792 жыл бұрын
Je unaeza kuanza kusoma kwanza chini tuseme nataka kuanza kusoma electrical wiring je wanakubali mtu kama hujawai somea na unataka kuanza kusoma ulaya
@fikirinijr68072 жыл бұрын
kama una pesa yako (ujilipie) you can ila sio scholarship
@asmahatwalib5528Ай бұрын
On how
@user-wm5rd2ue6s6 ай бұрын
Mimi naitwa ewald nimemaliza kidato cha nne na pia ninahitaji kwenda kusoma nche ya nchi
@mrtelcom40052 жыл бұрын
Naomba untumie link sir
@ayubunnko41775 ай бұрын
🙏🙏
@amanijacksoni62844 ай бұрын
Je nasisi uliokuja kutuandika apakwenu mbona hujatupa jibu lolote?
@johngibson30892 жыл бұрын
Shule unayoitoa ni baaab kubwa sana naamini wengi hatukuwa tukiyajua hayo