Wanaozoom hii na leo wameshuhudia yaliyotimia like zangu apooo tuende sawa😃
@annamwakibinga5272 жыл бұрын
Acha aone hii dunia siyo yako. Leo anakiona Magufuli kapumzika yeye ananyea ndoo
@chaseborgia3 жыл бұрын
Hatimaye ,Godbless Lema alimwambia Magufuli na alimwambia na Lengai Ole Sabaya yote yamekuja kutimia.Muogope Mungu na teknolojia alisema marehemu Ruge Mutahaba
@caindunke85263 жыл бұрын
Nimerudi baada ya hukumu ya miaka 30…. Nabii Lema 🙌🏽
@sweetbertbumare61183 жыл бұрын
Na mimi ndo kilichonileta
@mejalomayani16063 жыл бұрын
hata mimi
@josephtemu26333 жыл бұрын
Lema zama za propaganda zimeisha watanzania wameelimika wanataka mtu mkweli sio umaarufu ambao hauna maana upinzani tanzania hakuna
@gabrielsaelie80913 жыл бұрын
@@josephtemu2633 Acha umbukeni na utopolo. Mchaga mpumbavu wewe sijawahi ona
@josephtemu26333 жыл бұрын
@@gabrielsaelie8091 sina ulimbukeni fikira zako bado ndogo
@juliuschuwa84703 жыл бұрын
Lema ni nabii wa ukweli na c wa kubuni buni anaongelea maono ya ukwelii big up lema
@MilioneaTv3 жыл бұрын
Hahaha leo tayari kimeeleweka anguko moja kubwa Sana from DC to 30 years utumwa. Tujifunze kitu hapa power has an end
@brownenas6033 жыл бұрын
Daaah!!sabaya akilejea hii krip na akaangalia anayoyapitia Leo atamkumbuka sana lema
@adamsoud48623 жыл бұрын
Cheo kibaya ukikitumia vibaya kaka
@digostjafety60703 жыл бұрын
Lema ni mtabiri mzuri alituambia magufuli atakufa mwaka 2020 ,,,na akafa mwaka unaofuata ,,na alisema mkishatumaliza wapinzani mtaanza kugeukana wenyewe ,,,ninacho shukuru kwa Mungu ni kwamba sie raia tupo salama waache wageukane wanavyoweza 😁😁😁
@johnsonkisamba56813 жыл бұрын
apo akuna mtu yoyote lema mwenyewe limbukeni kwanini kamlekodi Kama sio mamboya kike ayo wote wamekutana utoporo
Na nukuu "Magufuli Siyo Mungu.... kuna siku utayajutia, kuna siku you will repay...."! Acha biashara ya kuumiza watu, kutekateka watu... ! Sauti ya Mungu husikika kupitia vinywa vya watu wake! Tutafakari.
@victorshirima96293 жыл бұрын
Kwel dah
@salamakhamis80923 жыл бұрын
Duh! Maneno yako Lema hayakuanguka chini
@mankarichard58513 жыл бұрын
Daah Afu akivokua anajibu kwa dharau daaah saiv anajifanya anatia huruma dadeki zake kaaumiza sana watu uyu nyoko
@mohammedmhina3973 Жыл бұрын
@@mankarichard5851mpuuz jambaz mmoja kwanz ameshindaje shindaje rufaa sabat n wakunyongwa jambaz
@kennedykiwia65763 жыл бұрын
Malipo ni hapa hapa dunia. Asante sn mh. Rema
@stambulikahemela69633 жыл бұрын
Good bless Lema na nabii Alie tumwa na Mungu kwasababu ukiangalia Mambo ambayo lema amekuwa akiwambia watu kuwa waache si mazuri kwao na wanakuwa wabishi ndo inakuwa kama hivi
@sanoureyaliwadoakaroyo16963 жыл бұрын
Unakumbuka Kuna clip Lema Alikua kwnye kituo Cha police Akawa Anaojia Anasema Ameoteshwa Na Mungu Kua Magufuli Atakuja Mwaka 2020 Atasema Watu Hawata Amiin kwassbu Tu Yye Ni Mpinza Akasema Kma Maneno haya Atayazungumza Mwamposa Msinge Bisa Mwisho Wa Siku Maneno Yke Yalitimia Au Hayaja Timia Ndio mimi usema Lema kuna kitu Alipewa Cha ziada
@wilbertthomas83573 жыл бұрын
Waliokuja leo kuludia hii clip tujuane mtt wa mjini leo katumbuliwa!😜😜😜😜😜😜😜😜😜
@mohammedsuleyman37383 жыл бұрын
Tupo mwanangu
@neematesha56793 жыл бұрын
Nabii alinena yametokeaaaa
@stambulikahemela69633 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣daraja limefunjika
@josephmakutano70673 жыл бұрын
Hapa sabaya waliongea namungu kupitia lema,sasa tumeyaona matokeo!!!!!
@mwijumawerema12293 жыл бұрын
"Uongozi wa hekima ni bora zaidi kuliko uongozi wa Sheria" By Mwita Juma Magaigwa
@nastyb74053 жыл бұрын
Ahsante Godbless Lema ni vile hakufuata ushauri wako
@jasimmohamed14253 жыл бұрын
Ushauri ni mzuri san lkn jama nichetani
@mohamedturanardan88713 жыл бұрын
Magufuli sio mungu. Is a very perfect statement.
@wilhardtarimo3863 жыл бұрын
Hatimae yametimia
@jamilamwarabu38903 жыл бұрын
Mpuuz huyo anadharau sana akafie hukoo jela
@danstanmgaya12513 жыл бұрын
Nadhan Lema uliona mbali sana hakika Mkono wa Bwana ume tenda haki kutokana na matendo yake Answered cries
@cesiliamwapinga92913 жыл бұрын
Haswaaa
@isayakabigili41313 жыл бұрын
Mmh dunian tuish kwenye kwel.. hayupo mjanja chini ya jua.. mwamuz w mwisho ni mwenyez Mungu.. haya hapa yametimia.. binadamu tuache kujitapatapa jamaniii
@beckasalum26203 жыл бұрын
God bless lema mung akueke leo anayaona 30 jera mung kakubark miono mbele nn kina tokea kauliyo magu syo mungu leo anaikumbuka
@thieryniyonkuru10675 жыл бұрын
Ila amewaburuza tuuuuuu😁😁😁😁 Mpaka mnampigia simu hapo gia imeingia sawasawa😜
@gadielmungure70293 жыл бұрын
Lema ni nabii wa Mungu anafikisha ujumbe halisi kwa walengwa kabla ili waache maovu wanapokataa Mungu anatekeleza anachotaka, macho ya bwana yanaona kila mtu. Lema ubarikiwe kwa kipawa ulichopewa
@jailaniramadhan6173 жыл бұрын
Anakula vizuri Sasa hivi kisongo gerezan
@noahlarapho34113 жыл бұрын
Mmh kuna maneno mazito hapa mungu utuzaidie
@yahyahamad18023 жыл бұрын
Oh kumbe ni kweli alohukumiwa nayo kwa maneno haya ni stahili yamfike mpaka anajiita muhuni duh,🙌
@growrich23323 жыл бұрын
Lema ur the best bro
@doriceshemdoe70283 жыл бұрын
Zaid ya nabiii duuh
@johnmakubi1903 жыл бұрын
Hiiii lema kweli wewe nabiii,yametimia ya sabaya uliyomtabilia,unamaono
@qonquererqanquerer17813 жыл бұрын
Mh Lema Ana Unabii Unaotimia Kwa Haraka Sana
@kennyrogers47343 жыл бұрын
Kimeumanaa wale waliokuja humu baada ya kukamatwa kwa Sabaya like zenu wadau
@allymohammed77083 жыл бұрын
Tulio kuja baada ya sabaya kuhukjmiwa miaka 30 tujuane
@kheryalfred6913 жыл бұрын
Hakika Lema uko vzr sana, aisee unaona mbali kweli kweli!! Maana ulioteshwa kifo cha magufuli ikiwa atashindwa kujirekebisha, mwisho wa siku ikawa. Ulimuonya huyo mpuuzi Sabaya naye yamemkuta tayari, duuuuuuh!!! Ndugai naye ajiangalie.
@hamidaalhabsi85682 жыл бұрын
Lema wewe unataka watazania wakuamini kuwa sabaya sio mtu mzuri kama wewe UNATABILIA watu na kujitapa iseee mungu sio Athumani bro
@oyay28213 жыл бұрын
Mtekaji mkuu taifa, ali tabiriwa na nabii Lema. Sasa yametimia ameshazinguliwa, mpaka aende kwa Godblessjlema1 asamehewe ndio atoboe maisha
@sultanalnaamani21563 жыл бұрын
Ndg lema hakika ulimuonya kwa nia njema lakini hakukoma aliyekuwa ana mtuma hayupo leo waswahili tunasema (ASIYE SIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU )sasa hayo yamemkuta .
@selemanlucas50154 жыл бұрын
Kitu ambacho umezingua Mh Lema ni kumwambia mtu maskini hana hela mshahara wake mdogo Sasa ata wananchi wako walio maskini unawaona hawafai Wewe ata kama unahela kuna wengine wanakuona we boya tu... Mwenzako anapower anakaa na wadau ,controller wa wilaya, acheni wawanyoshe mlimdharau sana Mh Kikwete kwenye uongozi wake
@makongoronyerere25953 жыл бұрын
Sema Tena, jamaa yko yupo ndan ameukalia
@saikomkumbwa48123 жыл бұрын
Rema leoyuko hru sabaya
@eladiuspeter5863 жыл бұрын
Leo unajiskiaje?? Bora yeye alimwambia kwa nia nzuri ya kumsadia.
@emmanuelmchomvu26763 жыл бұрын
Ktu kama hujui unatulia Mungu sahihi umefika
@eladiuspeter5863 жыл бұрын
@@emmanuelmchomvu2676 ulisema awanyooshe. Leo nenda kamsaidie
@janetmichael56113 жыл бұрын
hahahah wachaga walichinja mbuzi na ngombe km wote, dah damu za watu zinauma
@shanelrichard8323 жыл бұрын
Laiti kama angesikiliza ushauri huu angelikwepa aibu zinazompata
@raynittu45993 жыл бұрын
Ha,ha,haaaaaa!!!Muhuni wa mjini.Mama hataki wahuni bhana.
@saidmungulu70533 жыл бұрын
Brother Lema ww ni wamaono MUNGU AKUSIMAMIE KILA HATUA YAKO KAKA...👏👍
@luckyhardson183 жыл бұрын
Ukufanya vitu flan watu hawapendezwi navyo Basi wanakutabiria tuu🤣🤣🤣
@abubakarikisuju80 Жыл бұрын
Kweli lema ni mtabiri wa hali ya juu#sasa yametimia
@chekanaisaac53253 жыл бұрын
daaaaa leo nime amin wakubwa wakikuambia bora usikilize
@bonabonaza50662 жыл бұрын
Lema maneno yako ya unabii sabaya anatakiwa kufungwa na akishindwa kufungwa auwawe kwa mawe amina
@thobiasgervasius49313 жыл бұрын
Na kweli muda ni mwalimu mzuri Sana
@charlesmurimi5925 жыл бұрын
Big up Mr Lema, poor police like Sabaya.
@rehemadani36005 жыл бұрын
Yan mimi namkubali sana lema,tundu lisu,mbowe sugu mnyika mdee heche
@kundaellyimo75234 жыл бұрын
Fucking u + lema and your family
@muttajeni41553 жыл бұрын
@@kundaellyimo7523 umefikiri kabla ujaandika na kupost??
@sniperbogo62103 жыл бұрын
Ila lema hbna anamaono makubwa sana tena anaona mbali sana nmaana hata magufuli alishawahi kumpa onyo najua mtajifanya hamuoni vrip vizur sabaya achinjwe kabisa ametutesa sana pia ameua sana
@ramadhanihassani52503 жыл бұрын
Duuu kaka lema ww noma yako wapi sasa
@allymaliki64873 жыл бұрын
Mtoto wa mjini kapatikana hahaha
@thomasmario9503 жыл бұрын
Da lema mungu akubariki sana wewe
@machiavelshakur89393 жыл бұрын
Hhahhhahaaha Kadhibitisha kuw yeye ni Muhuniii Kasem aloneee
@godfreymbuya26593 жыл бұрын
Nabii Lema oye.
@theophilukapinga23165 жыл бұрын
Watanzani wana kiu na maendeleo, Dc chapa kazi
@mathiasmollel96635 жыл бұрын
Chapa kazi
@hannajoseph6453 жыл бұрын
Mungu simwana damu na habadiliki sikigeugeu tutende haki dunianimapito Tumtegemee Mungu Amen.
@kassimukipingu53433 жыл бұрын
Lema leo yametimia bro njooni tujenge nchi
@hasinathasan40573 жыл бұрын
Lema lema lema nimekutaja mara tatu maneno yako yanatakiwa viongozi wetu wa inch wawe wana kaa chini na kuyatafakhuri kwauzito wa hali ya juu sana.
@cantatanzania67023 жыл бұрын
Baada ya mwaka mmoja kupita, karma is here 😂
@rahemaheri16153 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@benakonaay15223 жыл бұрын
Yamemfika shigon mungu sio binadam atakula jeuri yake
@nasrahamisi4183 жыл бұрын
Mmmh kwel malipo n hapa hp duniani akhera hesabu duuh sabaya amepata malipo yk😱
@adamsoud48623 жыл бұрын
Lema ulimwambia hakusikia muda wake umemfika sasa alijiona mwerevu mshenzi sasa anaenda jela tu criminal
@janetmichael56113 жыл бұрын
hahahahaha kweli malipo duniani
@JK-yf6dg5 жыл бұрын
Kamanda Lema bora umemuchana live na uzuri kwenye maxungumzo yote hajakanusha popote kwahiyo niuhakika kabisa anafanya
@ramadhaniimamu45424 жыл бұрын
J K sabaya mjinga Lena pia mjinga vilevile wore mabogaz
@laghanganuwagi493 жыл бұрын
@@ramadhaniimamu4542 lema ni kichwa balaa!
@verostaherman49523 жыл бұрын
@@ramadhaniimamu4542 lema anaujinga gani sasa?
@mnasaeules68573 жыл бұрын
Mi nimekuja baada ya hukum tujuaneeee
@ibrahimmatola15293 жыл бұрын
Baada ya hukum ya miaka 30 nimekuja kukamilisha unabii wa lema
@raynittu45993 жыл бұрын
Sasa imebaki ningelijua, ningefuata ushauri wa Lema.kwishaaaaaaaà.Aibu tupu
@neematesha56793 жыл бұрын
Nabiii wa Nchi alisema na yametokeaa haya sasa
@arafakiloli7493 жыл бұрын
Subhannahllah amakweli, malipo nihapa duniani akhera hesabu
@mudymaghisa95543 жыл бұрын
Chadema moja ccm mia,baba naenda kusoma sheria
@wilhelmibaganisa54933 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 05 June 2021 sabaya yuko gerezani kisongo arusha
@christengeneza79753 жыл бұрын
Duh kweli malipo ni duniani , lema alijitoa muhanga kumueleza mkuu wa wiaya ukweli
@michaelnzunda73475 жыл бұрын
Da maskin rais anateua wahuni
@KIREDIOO4 жыл бұрын
kuma
@gracegabriel8813 жыл бұрын
Anaye kata kwaupanga nayeye hufa kwaupanga namwenye kiburi mungu humshusha mungu amehukumu kwa haki
@mcjogopah85133 жыл бұрын
Saboya Ungemuelewa na kumsikiliza Mh Lema Leo usinge vuruga cv yako
@thomasmario9503 жыл бұрын
Mh lema mungu akubariki sana
@jacobmwasha15003 жыл бұрын
Magufuli sio Mungu iko siku utalipia unayoyafanya. Fanyeni yote lakini kumbukeni kuna kesho, mwisho wa ubaya aibu. Lema ulifanya kazi ya kinabii kumuonya mtu mbaya aache njia zake lakini alikaidi kubadilika. Hichi kinachomkuta sasa anasatahili.
@ombenishirima64443 жыл бұрын
Na Leo hii analipa ,,aliumiza watu wengi sana
@kakadkarima24482 жыл бұрын
G. Lema leo naikuita mara tatu!!
@nicolausnicolaus7345 жыл бұрын
lema simama imara nawabunge waupizani wengine walisha olewa kama huyooo
@salvationsalvatory90975 жыл бұрын
Kumbe li Lema linavutaga bangiii! Nilidhania ni mru kumbe ni huniziiiiii!
@chibalichilongola16483 жыл бұрын
Falaaa ww
@annachales96233 жыл бұрын
Duh!...Angemsikilizaa jamanii
@davidlucas54454 жыл бұрын
Lema wewe ndiyounamambo.ya kishamba mbona umwachi mwenzako aongee, au kwasababu unamwonea sabaya wivu, huna lolote ulitufanyia jiji letu la arusha.
@MG-wx8yx3 жыл бұрын
Kiongozi wa serikali anasema kwa kinywa chake kuwa “Mimi ni muhuni”, na bado alibaki madarakani. Dah
@qonquererqanquerer17813 жыл бұрын
Nna Uhakika magu kama Angalikuapo Madarakani Sabaya Ungekuta Ni Rc saaii.
@AhmedAli-gh1lm3 жыл бұрын
Alisema vile kwa kujiamini kabisa kwa sababu aliyemteua ndiye aliyekuwa akiongoza hilo genge la wahuni
@MG-wx8yx3 жыл бұрын
@@qonquererqanquerer1781 😅😅😅😅😅
@rogersiddy Жыл бұрын
Yameshamkuta tyl ameshakumbuka maneno ya LEMA
@MokamiWaryoba3 жыл бұрын
Hii Mungu wa isaka na yakobo
@digostjafety60703 жыл бұрын
Saaaaafi leeemaa ,,,ndo maana amekufa Magufuli
@josephsighis81853 жыл бұрын
Hakika lema no nabii
@isayakabigili41313 жыл бұрын
Mmh yametiaaaa kwa kweliiii😢..
@KristonsiaSNkya3 жыл бұрын
Nani kairudia tena kama mm ??☹️☹️☹️
@exaverymakoye60263 жыл бұрын
Nipo
@salimusalim36103 жыл бұрын
Minanimeangalia picha yake akiwa DC na saivi akiwa mahakamani kweli ukitaka kukonda kopa benk alafu usilipe uone msongo wa mawazo utakapo unyonya mwili
@peter_paulofficialy3 жыл бұрын
#Sabaya nakuambia ww cyo mmasai, nakuambia hatuna watu kama nyie kwenye koo zetu, #Lema hakika hakuna machozi ya mwenye haki ambayo haitalipwa......italipwa na umeona mwenyewe, CHADEMA nawapenda sana, mnaiishi katiba na maneno ya baba yetu wa Taifa
@abasminga5283 жыл бұрын
LEMA NI LIMJUA TANGU MDA AKIWA BUNGENI ANAMTAJA MUNGU HUYU NI BONGE LA NABII
@sagandamalechampullo6595 жыл бұрын
Mh. Lema Mchana huyo, boya, Hajitambui, kisa Analindwa na Polisi
@teddykanondo57535 жыл бұрын
Sabaya mwisho wako unakuja. Tutakuua mchana kweupe maana unapenda wanawake. Tutakutega tu.
@godymbanyi18783 жыл бұрын
Kumbe Nabii Lema alimuonya ?
@hassanissa47923 жыл бұрын
Mi baada ya kuona ishu ya sabay imepamba moto ikanibidi nirejee Kumbe mjinga sana sasa ana pay aseeh
@dennisollomy34434 жыл бұрын
DC mshamba huyu af hajui dunia mapito mbinguni hakuna cheo chake
@TheArtImpact3 жыл бұрын
Godbles Lema ulipiga kweli hii simu? Ni mwaka mmoja umepita tangu ipostiwe. Iliikuwa wiki chache kuelekea uchaguzi Mkuu
@isaacsengunda30995 жыл бұрын
Kweli Sabaya amejigeuza mungu wa hai hapo anaumiza sana waty
@aderckdidas23863 жыл бұрын
Hahahaaaaaa dah ilibidi2 mwendazake aende2 maana dah!!!
@francisrukeisa62995 жыл бұрын
Huyo DC anafanya kazi yake vizuri,na hizo shutuma anazotoa Lema kwamba Sabaya alitaka kumuua fulani kama anao uhakika au ushahidi apeleke kwenye vyombo vya sheria kinyume chake Lema atakuwa mnafiki na statement hiyo inaweza kumfikisha pabaya. Pili hii nchi siyo ya ukabila,ile kusema "huwezi kufanya kitu kwenye jumuiya ya wachaga " huo ndio ushamba wenyewe na inaonyesha udhaifu kwa mtu anayeitwa Mbunge kuongea kitu kama hicho. Huo ni ubaguzi ambao unakataliwa na Katiba ya nchi.
@doubleymkuu42675 жыл бұрын
Washamba ni viumbe kama nyinyi mne tetea wasenge kama hawa kina sabaya ila amin Time will tell mtanyonyolewa tu kama sio leo basi kesho
@cosmeticchages18165 жыл бұрын
Poor people
@cosmeticchages18165 жыл бұрын
Poor people
@hamiduissa80895 жыл бұрын
Katiba ya nchi ya Mama ako
@emmanuelsulle9119 ай бұрын
Jaman lema ni Mwamba....
@sundayharris85494 жыл бұрын
Sasa mh Lema siumsikilize mbona ni one sided..
@mussaabdiel97973 жыл бұрын
Amskilize nn sasa
@joaneskailembo44855 жыл бұрын
Nimeipenda saana hii
@solomonmgaya81903 жыл бұрын
Itoshe kusema Lema ni nabii
@ambakisyejeremia42043 жыл бұрын
Mh Lema achana nasyasa ww ninabii
@brysonmeena10865 жыл бұрын
Yani Lema amemamua kulipigania hili Taifa kwa kila namna, "TIME WILL TELL" haya maneno yake yatadhihirika muda sio mrefu
@juliascherehani23305 жыл бұрын
taifa gan hanalo lipigania
@brysonmeena10865 жыл бұрын
@@juliascherehani2330 Taifa la Chato
@juliascherehani23305 жыл бұрын
@@brysonmeena1086 rudi shule Kuna taifa la chato
@annalufinyo79675 жыл бұрын
Haki huinua Taifa imeandikwa atakae uwa kwa upanga nae atauwawa kwa upanga vivyo hivo.
@brysonmeena10865 жыл бұрын
@@juliascherehani2330 pole sana kama hulifahamu Taifa la Chato, ila usirudi shule bali mrudie tu Mungu wako
@binurusm88863 жыл бұрын
Kweli Lema Mtu wa maono, yote anayosema yanatimia.