GPS: Leo October 7! Ni mwaka mmoja tangu Hamas wavamie Israel na kuzuka Vita vya Gaza!

  Рет қаралды 2,350

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

HANNIBAL DIRECTIVE Unaijua? SIRI nzito zaibuka shambulio la HAMAS la OCT 7
• HANNIBAL DIRECTIVE Una...
Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 59
@HumuZaidi-t4q
@HumuZaidi-t4q 28 минут бұрын
Mimi nimkazi wa Burundi napendaga sana jinsi GPS mnavocambuwa habari wacambuzi wako vizuri sana napendaga jinsi Aly masubi anavozungumza
@SarhaSaid
@SarhaSaid 4 сағат бұрын
Kaka simaa ipo siku watakuelewa inshaallah
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 4 сағат бұрын
Wapeleke motooo
@HalimaGalgalo-d1g
@HalimaGalgalo-d1g 2 сағат бұрын
Yes imekuwa very harsh
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 45 минут бұрын
Bg up DJ smaa ✊🎉
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 сағат бұрын
October 7 siku ambayo ilifanya nipate kujuwa dora moja La kiparestine 'HAMAS' sikumaliza Wiki nkagundua kumbe kuna wamba zaidi ya Hamas kutokea pande za kusin, miezi ikakatika, nikapata kufahamu ukubwa Wa kipower cha Iran kumbe ana wamba wengine wanao sumbuwa Mediterranean houth asia pacific houthi, hayo yote nisingeyajuwa pasipo Hamas kuonesha umafia wao
@KhamisRajab-pt1wi
@KhamisRajab-pt1wi Сағат бұрын
Swadakta allah awalinde hamas na waislam wote ulimwenguni atujaalie ushindi na kusimama kwa dola tukufu ya kiislam kutokea apo parestine
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 сағат бұрын
October 7 siku ambayo nilipata kumjuwa jasusi mmoja kutoka nyanda za mashariki ya kati "Neta bibi"pia nikapata kumjuwa kiongozi mwenye misimamo mikali hajawahi kutokea😂hakutaka mazoweya na mzungu rip raisi Ibrahim raisi😩😭,siku zilivyo zidi kwenda nikapata kufahamu kumbe Iran kauli ya mwisho siyo ya raisi kama tulivyo zoea😂kuna kiumbe hatarishi dah
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 5 сағат бұрын
Mwaka saaa malengo yao ya kuimaliza Hamas hayaja fanikiwa na bado moto unawaka, japo wanauwa watoto na wanawake ila hamas hawakat tamaa mbaka malengo yafikiwe
@Tgn-i3s
@Tgn-i3s 3 сағат бұрын
Hii n tarehe ya kihistoria sana ,07 Oct
@oswardsmutahangarwa
@oswardsmutahangarwa 4 сағат бұрын
Kati yenu Kuna mtu atacorapt kichwa hii sio kawaida👏
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 5 сағат бұрын
Kufa kwa Imamu sio mwisho wa Ibada..
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 4 сағат бұрын
Hao mateka hawapo tena
@PapaabdouAli
@PapaabdouAli 5 сағат бұрын
Ahasante Wana wa SNS , Mimi nnasema Hakuna Umoja wa Mataifa , Hakuna Haki Zakibinadamu , Uko Msemo Mnyonge Hanahaki Mpaka Mwenye Nguvu Apende 100% . Kama hapa visiwa vya KOMORO na UFARASA na Kisiwa cha Mayotte , Operation Wanbushu !!!!
@ReyzDon
@ReyzDon 3 сағат бұрын
sijui hawa Israel huwa wanawaza Nn labda
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Сағат бұрын
Au hao walowavamia walikuwa wanawaza nn
@bbanyikwa
@bbanyikwa 4 сағат бұрын
7 OCTOBER siku yangu ya kuzaliwa ❤❤❤HAPPY BIRTHDAY TO ME🎉🎉🎉🎉🎉
@yolo5261
@yolo5261 12 минут бұрын
Happy birthday to you 🎂
@yassinphonyogo2347
@yassinphonyogo2347 50 минут бұрын
Henr yupo wap
@karimmunis8302
@karimmunis8302 38 минут бұрын
Its true .. mbona hata aljazeera walirusha makala kuwa asilimia kubwa ya mateka waliuliwa na jeshi la idf
@MikelSitoe
@MikelSitoe 4 сағат бұрын
Sasa Netanyau Alikua anakimbia nini? yeye sio Mungu? 😂 😂 😂 😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 сағат бұрын
Wakwanza kutoka upande wa falme za kiarabu, hivi wangapi wanajua Leo ndio October saba, siku ambayo mungu alikuwa amelala maana sio rahisi kulifanyia umafia taifa alilo chagua lituwakilishe 😊
@wadantz123
@wadantz123 5 сағат бұрын
😂😂😂😂leo cjasikia kauli yako ya enzi za uhai wako 😂😂😂
@MikelSitoe
@MikelSitoe 5 сағат бұрын
Mungu kulala Tena?
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 сағат бұрын
@@wadantz123 dah😂😂,hyo kauli hyo nilikuwa napenda sana kuitumia enzi za uhai Wangu 😊
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 сағат бұрын
@@MikelSitoe ndio mungu wakiyahud
@wadantz123
@wadantz123 4 сағат бұрын
@@AFRICA_D669 eeeeh umeanza tena
@ReyzDon
@ReyzDon 3 сағат бұрын
Vitu vyote vinavyotokea Vilipangwa mapema
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 Сағат бұрын
Dunia iko mwisho unabii unatimia
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 5 сағат бұрын
Muislam hata wakifa elfu10 kwajiri ya kupigania haki yao kufa katika jihadi ni kheri kwao ila kwa mazayuni hata wakifa 10tu nifuraha maana hao ni motoni milele
@RapaFata
@RapaFata 3 сағат бұрын
Jidanganye shekh. Hizo akili za madrasa funguka akili hakuna dini ya kupiganiwa ufe huo ni utumwa
@Zanzibar-LandOfBlacks
@Zanzibar-LandOfBlacks 2 сағат бұрын
​@@RapaFatahata wewe ni mtumwa wa fikra za wapagani wa kimagharibi, amka weweee.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Сағат бұрын
Uislam ni shida, wanaabudu demon's ndo maana kujilipua ,kujua wengine hawaoni shida
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Сағат бұрын
​@@RapaFata😂
@RapaFata
@RapaFata Сағат бұрын
@@christinewomanoffaith5479 nimesoma hiyo dini. Ni lazima uwe na wazimu ndio uifuatishe. Hakuna cha maana ebu ona eti ukifa unaenda mbinguni ukipigania dini. Ina maana unamlinda Mungu kwa bunduki na yeye hajiwezi
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 2 сағат бұрын
Dunia ili iwenahaman wa Islam wote wafewote
@abdallahkilima1584
@abdallahkilima1584 Сағат бұрын
Afe mamako Kwanza
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 3 сағат бұрын
Hammas ndiyo walianza kuwaua watu wasio na hatia
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg Сағат бұрын
Smaa endelea kutuletea fuse uko kimya sana sku iz
@KupelekaEnock
@KupelekaEnock 5 сағат бұрын
Ila Leo ndio nimejua MBONA AJIBU ILO SWALI LA AMASI KUFANYA MAUWAJI MMMMMM BUNDALA UPO SAWA KULIKO WOTE
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 сағат бұрын
Smaa akili yako ni kubwa,hao wenzako Hawana uwezo wa kutoka nje ya box hawafatilii mambo
@birianination7097
@birianination7097 Сағат бұрын
Kwani Gaza inaongozwa nani
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa Сағат бұрын
Na hamas
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 2 сағат бұрын
Vta vyote vinavyo lenga ugaidi duniani kwate waislamu wanauska mojakwamoja sababu kilasku hawafundish hamani wanafundisha itkad kali wanasngizia kupgania haki kumbe lengo laiyo dini nikueneza itikadi kali
@KhamisRajab-pt1wi
@KhamisRajab-pt1wi Сағат бұрын
Kwahiyo wanao eneza ushoga wako sawa jitafakari ndugu yng
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 2 сағат бұрын
Watu wapalestn mchawiwao ni dini ya kiislam hinafundisha ugaidi na itikadi kali
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 2 сағат бұрын
Hamna kufundisha ivo ni mawazo yako tu
@MbendaHalfan
@MbendaHalfan Сағат бұрын
Shadrack wewe bado upo kwenye upumbavu kabisa yaani inaoneka ujitambui umebaki na Udini tu na unafikili wayahudi ni wakristo kama wewe pumbavu we
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Сағат бұрын
Israel ni nchii ya uuwaji
@birianination7097
@birianination7097 Сағат бұрын
Sasa leo kenya waje bongo wauwe raia 1000 kisha wafunge miili ya watu hao na kuizungusha kenya huku raia waki furahia. Hapo bongo tufanyaje
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Сағат бұрын
@@birianination7097 Amas walikua tayari wabadilishane mateka ili vita fiishe Israel akakataa, Nani mwenye makosa hapo.
@birianination7097
@birianination7097 Сағат бұрын
@@Brunotarimo10 nije kwako niue watoto wako alafu nikuambie njoo uchukue mkeo ugonvi uishe😂😂. Ndugu mambo sio marahisi kiivyo.
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 54 минут бұрын
​@@birianination7097unataka kwanza ujue wapalestina kufanya vile ni wameshauliwa sana sana pale ilikuwa ni kulipa tuu kisasi.....
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55
Signs Of The Last Hour | World War 3 | Dr. Omer Suleiman
19:16
Prevail Islam
Рет қаралды 184 М.
History of Israel-Palestine Conflict
10:56
History on Maps
Рет қаралды 13 МЛН
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23