Ila we Gude nakupenda Sana kila siku nasikilizia nyimbo zako.Mungu akutilie wepesi katika kaz zako🙏
@kijasaganda7069 Жыл бұрын
Kaka Niko Dar lakini napenda nyimbo zako Sana
@alphoncemichael66553 жыл бұрын
Nyimbo zimejaa mafunzo ya kutosha ubarikiwe sana Gudegude
@MsodokiSokoine-k2x Жыл бұрын
Mimi nipo kenya nakula mziki wa dude gude ❤❤❤❤
@mjunicharles1198 Жыл бұрын
Jaman m mhaya lakin napenda nyimbo za gude😊😊😊😊
@mbojesalumsalumneema36592 жыл бұрын
Gude Mwenyezi mungu azidi kukubariki, kwa nyimbo zako za mafunzo🤲🤲
@hajizerock10322 жыл бұрын
Anaemkubali gude gude gonga like By Hajizerock from Zanzibar
@FrenkCharles-cz3fu8 ай бұрын
Aaaaaaaa!! Full kuenjoy❤🎉 daa!
@petirmbogo813 Жыл бұрын
Uko. Sawa nyimbo zuri sanaaaaaa
@angelikingu2192 Жыл бұрын
Napendaga nyinboo zako ila mmi sio msukuma jaman
@christinamaghembr95693 жыл бұрын
Uko vizuli kaka angu nyimbo zako zinaujumbe kwa jamii
@edwardjuma21722 жыл бұрын
Sawa nyimbo nzuri sana ii gude gude saluti✌️
@shayayimagika72792 жыл бұрын
Jitahidi upo vizuri
@jonasmwanzi87503 жыл бұрын
Mm naingalia ihii nyimbo kweli ww minhu akuvushe mbali mashemeji kweli ni noma sanaaaaaaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@angasoketch80633 жыл бұрын
Hhhhhhhhh ukiwa na tamaaa ndo hiv
@Devilinintungwawc2vk11 ай бұрын
Kaká nakukubali sana katika nyimbo zakozote
@MichaelElias-gw2js Жыл бұрын
Nakubali mkali wangu
@MohamedOmary-j8t2 ай бұрын
Gude gude kaza Buti mdogo wangu nyimbo Yako ni nzuri sana inaujumbe mzuri sana
@alphanhasan90932 жыл бұрын
Hongera sana gude ujumbe mkali
@RamadhanAbdul-kb3oj Жыл бұрын
Kaka kazi nzuri
@priscajackson240 Жыл бұрын
Jamani huu wimbo nikiusikiliza najisikia vizuri sana naupenda unamafundisho sana
@hoseaMwazembe-k8i Жыл бұрын
asante nokwelewa dooh,
@emmabanja11883 жыл бұрын
Good kaka ukovizuri sana gude
@RashidSaid-n3v9 ай бұрын
Diamond wakisukuma Ngoma Kali san🎉🎉
@AlenVedasto8 ай бұрын
Uko juuu kijana nimiipenda sana
@SalomeRichad Жыл бұрын
Naipenda hii nyimbo
@PaschalMaganga-lw2du7 ай бұрын
Jitahid ujue kisukuma uta enjoy sanaaa
@MussaYona-w4k4 ай бұрын
Aisee niko dar lakini napenda sana wimbo huu hongera sana gude
@PendoPeter-jo8tg Жыл бұрын
Nyimbo Nzuri hongera
@nellykasanda8254 жыл бұрын
Wasukuma just Sana katika nchii hii
@SumakuRealestate Жыл бұрын
Nyimbo kama hii ndio nyimbo za mafunzo kwa kila mtu Ahsante sana Gude Gude. Mimi ni mtu wa Tabora ila sasahivi Nipo Dar es Salaam. Karibu Dar es Salaam.
@dianahmenzi54383 жыл бұрын
Gude upo vzuriiii
@lucyalbert61613 жыл бұрын
Sijui maana ila nainjoi na biti tu
@kabulachagu97579 ай бұрын
Maana yake ni wanawake wanaojitongozesha kwa mashemeji zao
Maan yake make wa mtu anajrahs baada ya mme wak kutoka
@kumbukakuhaba60254 жыл бұрын
Gude gude nyimbo za vina kama hizo ndo tunazipenda sana uko vizur
@HaikaMsemwa11 ай бұрын
Vvvvvvvvv
@jamesgeu53143 жыл бұрын
Gude u Ni mkali wao kwa now nyimbo za kisukuma nakubali bro
@hamisakilima4632 жыл бұрын
Nakupenda gude Jana alikua kwetu love you 💖🥰
@SalomeBenjamin-lj8gd9 ай бұрын
Nakukubali sana kaka angu nakumbuka kipindi tunasoma nilikuwege nikiwambia marafiki zangu nikimaliza shule nitakuwa denca wako ilivo maliza nilikimbilia dar
@semamainvestment8327 ай бұрын
Mungu hakupanga uwe dencer wa gude,,,
@victorgerryson26958 ай бұрын
From Germany, this is good music...keep doing it
@alphoncemichael66553 жыл бұрын
Nazikubali sana ngoma za Gude
@lameckgunze63764 жыл бұрын
Gude Gude .......... Ana akili Sana huyu jamaa yetu ,. Endelea na kazi Kaka kazi ni nzuri kwa kila jinsi akibisha mtu Basi naye ni mchawi tu Kama walivyo wachawi wengine
@MsodokiSokoine-k2x8 ай бұрын
Hii ndo nyimbo naipenda kuliko zetae hiii kali aana
@Marsiana-s1t4 ай бұрын
Sawa nazunyaga none baba🎉❤❤❤
@ellyamaniriwa2 жыл бұрын
Nice brother 👏👍👍
@samuelnhonge21814 жыл бұрын
Dogo big up sanaaaaaaa Fundisho tosha tuwakilishe wasukuma oyeeeee Kutogwa bhakima bhiya kwiganika ichobha
@jjmakusekwa1973 жыл бұрын
Uko vzury jamaa nimeipenda xn
@AnnaKamaramu9 ай бұрын
❤❤❤❤tunakupenda sana gde
@latadotto89234 жыл бұрын
Wimbo mzur Sana ulikuwa unarudiwa rudiwa kwenye sherehe ya harus yangu nikaupenda skujua Nan kaimba Kaz nzur gude gude🎸🎸