Pamoja sana kaka hakika unawakilisha asiliyetu🎉🎉🎉🎉🎉
@Devilinintungwawc2vk27 күн бұрын
Kaz pw sana japo nime like mwaka 2024 bad iko pwa ❤❤❤❤
@EmmanuelKasambaleАй бұрын
Gude pambana msukuma nakubali sana kazi zako obheja kulaga uhangame
@EmmanuelElisafi2 ай бұрын
Mm martha wengine majiran wanakera san gudegude pamban san napend san kuangaria nyimbo zako niko nyumban kuzuri tukutane geita ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊
@msomezsaid2 ай бұрын
sanaaaaa arf mbona kila nyimbo anamtaja mwananengoo😂
@PriscaWilliam-m5e2 ай бұрын
Kweli kabisa gude gude
@IbrahimManga-h8p3 ай бұрын
Leo nimekumbuka nyumbanii duuh nyumbanii rahaa nipo Dodoma jakwenee kinehe
@emmanueldottofimbo28154 жыл бұрын
studio mpo vizur kwakweli namuimbaji anajitahidi sana
@yngieesimbaaa36874 жыл бұрын
Huyo mama Neema uge mpiga makofi tu ili siku nyingine ajifuze kuishi na watu vizuri mana watu wahivyo wako wengii tu soo mama Neema tu wapo wengi sana sasa ugempiga kofi wengine wagejifuta wajuwe hiyo tabia ya mama Neema hatuipendi ila tunavumilia tu tutafanyaje sasa ila koomaaa na mke wako tu mwambie asisikilize yawatu akisikiliza maneno ya majila ata acha watoto jaman nimekachukia kweli hako ka mama Neema kwanza hana hat aibu kamebeba sahani waliii wenyewe kindoogo kweli yan jaman gude poleeee sana muachie mngu hay yote ni mapito tu
@RamadhaniSalehe-yz4pl4 ай бұрын
Kisima nyandamajabala 6:24
@jafetilushona87402 жыл бұрын
Kweli majilan wengine wanakela endelea na kazi nzuri sana gudegude
@KelvinAmos-ow7pf6 ай бұрын
Hahaha I love you❤❤❤ gude gude
@ChristinaAdroph13 күн бұрын
Jamn kaka uko wap nije kucheza maana nakupenda hatal
@RobertKwalu-y7n11 ай бұрын
Nakubar kaka gude kazi nzuri unaifanya
@NeemahamisiNeemahamisiАй бұрын
Nakupenda❤❤❤❤❤❤❤❤
@ramadhanrajab28724 жыл бұрын
Daaaah akakangoma nilikapenda toka cku yakwanza nilikaona status kwa mdogo Angu yupo kahama Leo nimekapata kote saf sna gude
@NtakarutimanaLéandre Жыл бұрын
Nampenda gudgud
@DaudKimwaga-xu1td Жыл бұрын
Upo vizuri brother karibu Sana dar
@vairethandrew22863 жыл бұрын
Gud ndo kila kitu mjn hapa upo vzr xana kalib tena uxagara kijana unajitahd xan nyimbo znamaa
@gwabopeter Жыл бұрын
Nimeupenda can wimb naitw gwabo
@PriscaShadrack5 ай бұрын
Nyimbo iko vizuri🤞🤞🤞
@josephamos79924 жыл бұрын
Jamaaa yupo vzr
@maelezomaelezo90574 жыл бұрын
Jamaa anaweza amekuja kivingine kabisa ila nyimbo ndefu dah hadi mb zinasepa studio mazigila safi
@ZainabuMathias-x6pКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@joycepastory29459 ай бұрын
💃Mungu abaliki kazi yako 😊
@isayacharles9832 жыл бұрын
Nambie jamaa hongera sana kaka unafanya vizuri sana mm nipo iringa ila home luchili
@CosmasSeleman-z4u Жыл бұрын
Nyimbo zko ziko poa xana kaka unafanya vzr me Niko msumbiq hm singida
@happynesdonald753 жыл бұрын
Netolo yalemaga shauli ya kokodekeleka gudeolemba vizurisanaaa