Toka DRCongo. Hongera sana JPM. JPM si Raisi wa TZ pekeyake ila ni Raisi wa waAfrika, sababu ametuheshimisha wa Afrika kwa matendo yake ya maendeleo. Na Majeshi haya yanapendeza mno. Ila musi sahau DRCongo kwa maombi; tunahitaji nchi yetu iongoke ki maendeleo kama TZ. Hongereni tena. Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Congo pia.
@dicksonkabadumbanshatsi33144 жыл бұрын
Aksante sana ndg yetu wakongo tunawapenda sana MUNGU ataskia maombi yenu
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
Mungu ni mwema atatenda kwa ajili ya Congo
@daishajumanne59904 жыл бұрын
shukrani sana tuna wakaribisha maana wote ni wa africa ni wandugu
@magorymara55154 жыл бұрын
Sisi kama waafrica tunaumia sana kuona ndugu zetu Wacongo wanapata matatizo kila mda Dunia ina mali na Mali zao wanakula kwa usalama na ujenzi wa nchi yao lakin Mali ya Congo inaliwa kwa dhuruma huku wakiimwaga dam ya Wacongo zipo nchi zinaishi maisha mazuri kutokana na Mali ya Congo lakin Wacongo wenye nchi yao kwao ni kimbia kimbia tunawaombea iko siku mungu atajibu maombi yetu
@charlesmwangi40204 жыл бұрын
Jah bless Tz Jah bless congo
@nominetjacob3863 жыл бұрын
Majeshi yetu yako imara sana na jivunia majeshi yetu MUNGU ibariki Tanzania na bara lote la Africa
@rwandaafrika61734 жыл бұрын
Handi Raha sana kwakweli TUNDU lisu umeona umoja wakitanzania Wewe Mjinga lisu Twampenda Magufuli LOVE You
@daishajumanne59904 жыл бұрын
lisu ndio nani akajambe tu kisha achambe maana na cheche za mavi katoa😀😀😂
Camera mbovu sijawahi ona, tukio la kitaifa lakini quality ya camera mbovu jamani
@kipkiruikoech20693 жыл бұрын
Gwaride nzima limelegea kama waganjo na security firms za kenya
@ismailnour78323 жыл бұрын
Endelea kuwaza ujinga unazani kama jeshi lenu linalokimbia al shabaab
@philigonaandola59533 жыл бұрын
Abane my brother is gone kabisa,
@ayubungatele56374 жыл бұрын
M Good
@kandeboyjrmanji71494 жыл бұрын
Unaa cjauona
@asiakadege57734 жыл бұрын
Inapendeza
@nimcoxuseen61273 жыл бұрын
Magereza wengi warefu
@org52334 жыл бұрын
YEE BABA 😁😁😁 WATUACHEEE
@magrethbenjamin49693 жыл бұрын
Kweli ya leo sio yajana😭😭😭
@faharimbwillo84033 жыл бұрын
Dah umewaza mbali sana kama mimi 😭😭😭😭
@stellawilliam4304 жыл бұрын
Mim npowap asa🙄😁😁
@lightmashauri17254 жыл бұрын
Hyo aliyevaa barakoa ni nanii🤷♂️
@eliarichard92183 жыл бұрын
Museven wa Uganda.
@pesamuofficial4 жыл бұрын
🏃🏃🏃🏃🏃
@guccijackson30554 жыл бұрын
Akija Rambo ana ua wote hapo
@habibatally63924 жыл бұрын
Bwege ww punbafu zaki
@kambaragetadei85474 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@مستفيدابنالمفيد4 жыл бұрын
Njoo naye
@Bayothomusic4 жыл бұрын
Sitabaki peke yangu nikiita jina lako kzbin.info/www/bejne/nqbVao2qitCJl6M
@PaschalLyamuya6 ай бұрын
Kwelikwel
@georgenorasco65954 жыл бұрын
Naam
@renatusfabian30424 жыл бұрын
Saiba
@amosimariba98204 жыл бұрын
1
@bilalibardenpower36274 жыл бұрын
Mama
@teacherd4 жыл бұрын
JINSI YA KUFAULU MTIHANI WAKO BILA KUSOMA kzbin.info/www/bejne/gKWToJtqg9CJnJI
@stivmabando56614 жыл бұрын
Milad shikamoho
@khadijaomary24274 жыл бұрын
Jamani hizo zingine ni idara au majeshi hayo! Mbona sielewi hapo! Majeshi yapo mangapi Tz! Mnifahamishe nijue jamani!
@shedadiabdul65854 жыл бұрын
Majeshi yapo kila idara wa kupiga kwa kutembea wapo wa Angani wapo wa kukupiga kutoka majini wapo Askari porice wapo Askari Wa kulinda wafungwa nk
@salehali4saleh194 жыл бұрын
Jwtz,Jkt,Jeshi la polisi na jeshi la magereza
@fidelischarles18113 жыл бұрын
@@shaurimtanda1128 we jamaa huna huruma
@mkalimkali31634 жыл бұрын
Zakivita
@japhetellard42834 жыл бұрын
Akuna sura nyeupe!
@shaffy992 жыл бұрын
Poor display Kenya has the best pared
@Soon815 Жыл бұрын
Ebu rudi shule kuandika tu shida😂😂😂
@shaffy99 Жыл бұрын
@@Soon815 huh men! it was just a typing error don't take advantage of it nilimanisha parade...so do you have anything else to say
@madhuru25544 жыл бұрын
Tuko Pamoja.
@yussufsadlim12904 жыл бұрын
Hwan llte ila kuiwa
@natureworld2954 жыл бұрын
Serious armies nolonger use AK-47 , that belongs to the african police units
@happyjohn58824 жыл бұрын
Umeambiwa wapo vitani hapo ?
@mkakampole78024 жыл бұрын
Asa watu wanapiga goosemarch ulitaka washike RPG. Yan wakenya bhana ni sifuri kabsa
@natureworld2954 жыл бұрын
Ak47 wanafanya nayo nini in the first place . even in military parades they should be having G3 and above , not that nonsense they are carrying . the president might be in danger any time and terrorists always use powerful , high performance machine guns , not AK 47
@mkakampole78024 жыл бұрын
@@natureworld295 mzee baba hilo ni onesho tu, hata kama wangekua wameshikilia pistol ni kwaajili ya maonesho tu. Alafu jeshi la Tz sio la kujitangaza kiivo kama unavofikiri ndgu yangu. Izo G3 zipo za kutosha humo ndani incase kikinuka sio mpk wakuoneshe wakizishikilia ndo ujue kama wanazo au wanazitumiaga. Jkt izo G3 tumezishika na kuzipigia range kama toy mzee usifikiri hatuzijui au hatuna tukikufungulia armour utalia. Bora ukae kimya uishie kuwa mtazamaji tu...
@mkakampole78024 жыл бұрын
Alafu G3 ni bunduki ya kawaida sana siku hizi. Sio hata ya kuitetemekea kiivo