H BABA adai HARMONIZE ndiye ametuma POPO nyumbani kwa DIAMOND ''Popo ni kiboko kuliko hata Bundi''

  Рет қаралды 11,538

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 141
@Yushimelody
@Yushimelody 8 ай бұрын
Jamaa anajiita muislamu ila ana imani ya kishirikina..pumbavu zako h baba zee la ovyo
@jaelkitwa1621
@jaelkitwa1621 8 ай бұрын
Sans sijapenda lakini kwa kumuleta uyu jama 😭😭😭 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 sijapenda lakini mimi chabiki yenu 😭😭😭😭😭😭💔💔💔
@dennisandala3431
@dennisandala3431 8 ай бұрын
Sns ni brand kubwa lakini leo mmejishusha sana
@gracyanygracy5088
@gracyanygracy5088 8 ай бұрын
Sns mume tuangusha sana sisi mashabiki zenu kwanini mumemureta huyu mujinga unajua Sns tunawaamini lakini huyu ni ujinga mumefanya Tena mutuombe radhi kama Kuna mutu amekasilika kama Mimi gonga like ili wasirudiye tena
@priscamrekoni3451
@priscamrekoni3451 8 ай бұрын
True👏👏👏😪
@flavourboyke
@flavourboyke 8 ай бұрын
Asanteni sana kwa kumleta H baba kwa interview
@HusseinMrisho-kb4ex
@HusseinMrisho-kb4ex 8 ай бұрын
Laundi ijayo watakuleta ww
@FrolaSokoni
@FrolaSokoni 8 ай бұрын
Wewe chizi kweli huna jipya
@JP-lx1le
@JP-lx1le 8 ай бұрын
Wewe utakua mchawi siyo kawaida....Sasa wewe unamzidi nn H,, Acha watu wajitaftie ridhiki
@shariffmcleja9533
@shariffmcleja9533 8 ай бұрын
Mmejishusha sana
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 8 ай бұрын
👌
@nganducelestin9731
@nganducelestin9731 8 ай бұрын
1:00 huyu mjinga sana hata msirudie kumpa fursa kwa interview
@kombom335
@kombom335 8 ай бұрын
Maturity and growth are two different things huyu jamaa anakuwa mwili ila akili haiwezi kuwa sasa atabaki na ujinga wake milele ata siwezi endlea kuona hii interview ya huyu shoga
@shery-bf8xh
@shery-bf8xh 8 ай бұрын
Urogwe kwa kipii 😂😂😂😂sema tu umefulia huu sio mda wako broo ungeji invest kitambo saa hii ungekua umetulia wala maisha ila ndo kwanza wataka kushindana na vijana utaweza kwelii😂😂😂
@CROWNMEDIAKE
@CROWNMEDIAKE 8 ай бұрын
Sns mumetukosea sna banaa
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 8 ай бұрын
Watu kama unaweza ukadhania kwamba wakiwa na familia na jamii zao wanabadilika.. Lakini kiukweli kwa Tabia kama hizi hata kwenye mambo ya kijamii huwezi kuwaamini, kwasababu ni pumba tu mwanzo mpaka mwisho, kwenye chombo tunachokiamini...😢😢😢😢
@JAFARYMWASHITETE
@JAFARYMWASHITETE 8 ай бұрын
Huyo jama nikenge sana hana lolote alisha ishiwa kila kitu
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 8 ай бұрын
True say brother uchawi kila kona❤❤❤❤❤
@ivannjoro9367
@ivannjoro9367 8 ай бұрын
Am from 🇰🇪 lkn leo mmetuanguxha mnalibu brand yenyu huyu jamaa si mzima kiakilì
@petronilamtei7470
@petronilamtei7470 8 ай бұрын
hana impact huyo
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 8 ай бұрын
NMecheka saana Ety Konde anaitwa Nyadundo 😅😂😁🤣
@MustadhMsisiri
@MustadhMsisiri 8 ай бұрын
Sns mmezingua sana bro sky vp mzee unaruhusu vitu kama hivi
@mupendaeugenie2600
@mupendaeugenie2600 8 ай бұрын
😂😂😂😂 H.mama weye ukonatatizo sana kweli 🇨🇩🇨🇩
@geomangi6123
@geomangi6123 8 ай бұрын
Sns tunawaamini sana mna muhoji mtu kalemewa na maisha huyu mtu mshenzi sana.
@BabaKailahBoy
@BabaKailahBoy 8 ай бұрын
Huyo mpumbav ana shida gani
@marymanoni5536
@marymanoni5536 8 ай бұрын
Hujitambui
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 8 ай бұрын
H-baba ni jitu zima la Hovyooooooooo sana
@Laurencekidumba
@Laurencekidumba 8 ай бұрын
😂😂😂😂😢zeee Zima hovyo
@cbhofficial3432
@cbhofficial3432 8 ай бұрын
Mtafuteni dudu baya please
@mbarakdaudi
@mbarakdaudi 8 ай бұрын
Sns mumezingua sanaaa
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd 8 ай бұрын
Hanithi kweli uyu jamaa😂😂
@FatmaSalim-do2jk
@FatmaSalim-do2jk 8 ай бұрын
Nshoga mkungdu unamuwasha kwauwislamu gan ulokuanao kumamamayo ww
@nsabimanadominique3907
@nsabimanadominique3907 8 ай бұрын
DAAAH KONDE KAWASHIKA MAPUMBU KWELI
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 8 ай бұрын
It's true H. Baba
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 8 ай бұрын
Team mibangi naona mnaharisha humu kweli kweli 😂😂tupisheni banah
@baltazarishayo3661
@baltazarishayo3661 8 ай бұрын
Wakati mwingine ukosefu wa akili ya kuelewa mambo ni sawa kabisa na upofu, nipo na Elimu ya juu kabisa ya viumbe hai na visivyo hai, sijawa kuona huyo Popo anayemzungumzia Baba H anayekaaa, kifupi popo wote wananing’ing’inia na ndivyo walivyoumbwa, Baba H angalia na umri bana, utu mzima Dawa, be smart bro.
@MariamHamis-t7u
@MariamHamis-t7u 8 ай бұрын
We umetumwaaaa
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 8 ай бұрын
hii media naipenda sana but kwa nini mumeleta huyu shoga ?????
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 8 ай бұрын
Kazi majungu mtu mzima 😢 hovyo
@WandibaWandiba
@WandibaWandiba 8 ай бұрын
H baba alipaswa kuzungumza vitu vya msingi lkn ameshindwa kuitumia platform aliyopewa
@daddieeddie5057
@daddieeddie5057 8 ай бұрын
Dawa za kienyeji sio uchawi
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm 8 ай бұрын
h 🙏🙏🙏
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 8 ай бұрын
Ww jamaa.ni mjinga sana unaamini uchawi muda umekupita huna jipya hata hyo.mwandishi ankuona mjinga😂😂.wallah
@Ali1mo
@Ali1mo 8 ай бұрын
Sns leo hii interview sio sawa, this is a waste of airtime. Huyu jamaa sijui Hmama ni wa ovyo sana
@hilarymayende
@hilarymayende 8 ай бұрын
I expected sns to ask this stupid man question but wamekaushia that is an professional
@selbymwenge3739
@selbymwenge3739 8 ай бұрын
Kwani mulikosa waku mu oji?
@gaushehbshshehe3830
@gaushehbshshehe3830 8 ай бұрын
Yaani mumekosa watu wa kuhoji ???
@dennisandala3431
@dennisandala3431 8 ай бұрын
Sns mmekosa content au vipi mtuketee watu og sisi ni fans wenu lakini mmetuangusha leo
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd 8 ай бұрын
Mimi ni shabiki wa KING KIBA ila kwa hii interview imeboa kinoma. Ugali hawatafuti kiivo
@youngssamjr3662
@youngssamjr3662 8 ай бұрын
Mwehu huyu wa nini??
@bucumieliphaz4021
@bucumieliphaz4021 8 ай бұрын
Sns lelo mumetuangusha tena saaaana kuleta musenge uyu!!!mumeharibu😢😢😢😢😢
@MasaluJoseph
@MasaluJoseph 8 ай бұрын
Ukweli sns munafeli jitahidini kuleta watu wenye msingi maana huyo axhafeli amebaki kusema wezake vibaya t
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 8 ай бұрын
Urogwe kwa kipi?nyimbo zako tu hazieleweki baba
@alawisaid280
@alawisaid280 8 ай бұрын
mmejishusha Sana kwanini mnahoji taahira
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 8 ай бұрын
Huna hela,,tulia tu bro,,akuloge nani ww
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 8 ай бұрын
akajuwaje kama wamemuroga??nawanamusahabisha😂😂😂😂
@m___ck799
@m___ck799 8 ай бұрын
Yaani SNS, you're entertaining huyu zezeta😮 na huyu mwandishi anacheka like it's funny 😒
@samuelndayikeza470
@samuelndayikeza470 8 ай бұрын
Sasa Hana ingine nguo kila Siku anatokanao
@richardelias3952
@richardelias3952 8 ай бұрын
swali dogo jibu refu alafu la kipumbavu sana. ni dhahiri jam aa anashida ya kisaikologia na anahitaji msaada wa haraka. hayuko sawa kiakili na hapaswi kupuuzwa apelekwe kwa watu wenye utaalam kama milembe watamsaidia level yake sio kubwa sana
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 8 ай бұрын
Jamani inakuaje sns mnaanza kuwaoji mashoga wake wa diamond 😂😂😂
@zubeaslay6566
@zubeaslay6566 8 ай бұрын
Yani km kuna siku mlioangusha mashabiki zenu ni hii siku ya kumualika huyu mwehu😢
@kiuje
@kiuje 8 ай бұрын
Sns mmeishiwa kumwita huyo mwanda wazimu😂😂😂
@gengeburudani2569
@gengeburudani2569 8 ай бұрын
SNS mumetuangusha😢
@saidisafarikenya
@saidisafarikenya 8 ай бұрын
Leo mumechemuka mno
@hassanhamis7098
@hassanhamis7098 8 ай бұрын
Tunawaamini Sana sns kwanini munatuletea mtu kama uyu Sasa tutaacha kuwafuatilia musiludie Tena
@issahpaul4510
@issahpaul4510 8 ай бұрын
Kwanini sns mnashusha brand yenu kwa kumuhoji huyu jamaaa kweliiiii😢
@GEOFREYGEORGE-w5x
@GEOFREYGEORGE-w5x 8 ай бұрын
Usichangany mmb yako na dini za wat mmb ya njiw na ushetan wako n ww mwislam safi hana mmb hayo unayoyasema
@AbasiTheman
@AbasiTheman 8 ай бұрын
Jama amaishia mjinga tupu huyu jama namchukia sana
@alimugushu6487
@alimugushu6487 8 ай бұрын
Huyu jamaa ana media za kumuhoji na si SNS angalieini watu waku waleta kwahii platform
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 8 ай бұрын
Sns ukiwaleta tena watu km hawa siangalii tena channel yko
@wolterdavid8979
@wolterdavid8979 8 ай бұрын
Hawa watafanya viumbe vya Mungu vianze kunyanyapaliwa. Hao ni wanyama tu.
@FundiKami-dv5ix
@FundiKami-dv5ix 8 ай бұрын
Harmonize baada ya baba levo nigongee na huyu maana amezidi kukufatafata
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 8 ай бұрын
Popo siku zote huninginia. Hawakai kama ndege Kama Diamond anakaa mahali penye utulivu na giza giza popo lazima wamtembelee . Acheni upuuzi nyie WaTz. Hivi huyu jamaa na mwili wote huo akili hamna kabisa kichwani
@AmadeMbezy
@AmadeMbezy 8 ай бұрын
Oya Uyu mwamba vp
@king_maik6375
@king_maik6375 8 ай бұрын
Huyu jamaa hafai, please msimlete Tena
@deogratiusdamian8121
@deogratiusdamian8121 8 ай бұрын
Sns mmezngua sana kumpa interview mtu kama uyuu mnazngua sana
@FundiKami-dv5ix
@FundiKami-dv5ix 8 ай бұрын
Sns muangalie mtu wa kumleta hapo,mnaleta kuwaoji vichaa
@BabsuleBabsule-qj7os
@BabsuleBabsule-qj7os 8 ай бұрын
B
@nelsonmaganya5391
@nelsonmaganya5391 8 ай бұрын
Yani ww H umeshakuwa Kama vile auna Akili Yani unaogea bumba tu
@dn.n4983
@dn.n4983 8 ай бұрын
Hivi H baba unakevha kweli nani akuloge fanya kazi nwanaume gani kila siku mazungumzo hay hayk una sauti kushinda hso wote kila malamiko tu waste your time kuwa ubadiliki unapoteza nguvu sana basi kalime mchicha tutanunua umeshindwa bsba levo walize alitoboa vipu
@hamisibakari342
@hamisibakari342 8 ай бұрын
Anaakilikweli huyu,,Ivi DAWA nauchawi wapinawapi!!!Uchawi ninavofahamu si tiba ni kitukinachodhuru,ukioata dawa naukapata mtoto huosio Uchawi.Alafu anaongea upuuzi huku ana SIGDA
@shabanJuma-fe6wf
@shabanJuma-fe6wf 8 ай бұрын
Nilichogundua Kuna mashabiki wa msanii pendwa akiguswa ni sawa na umemshika makalio ya simba , wanataka uyo msanii wao asifiwe muda wote wao ndio wanafurahia ,ila ukimgusa kwa kumsema unaitwa chizi mtu usiejielewa ,umeisha kimziki una njaa ,sasa nauliza swali kati ya h ,baba na ww nani ana njaa ,Ninauwakika h ,akisema njoo nikupe ata kazi ya kufagia utakimbia kama risasi, Alafu utakuja kugundua ww ndio una njaa 😅.
@halimasalim5477
@halimasalim5477 8 ай бұрын
Mshirikina wahed
@Bigbossman-e1h
@Bigbossman-e1h 8 ай бұрын
Imagine Mimi sijawahi kuamini uchawi na kama kuna mchawi basi na aniroge, siaminigi uganga wala uchawi upuuzi mtupu
@sundaysenga7608
@sundaysenga7608 8 ай бұрын
SKY NILIKUWA NAMWAMBIA RAFIKI YANGU NYINYI HUWA MNAWAOHOJI WATU WENYE HESHIMA ZAO KUMBE NIMEUMBUKA SIO KWA KUMUHOJI HIKI KITUKO NA NYINYI PIA MNAONEKANA VITUKO SHAME ON YOU SNS JAMAA ANA NUKSI KATABIRI CONGO 🇨🇩 NA SOUTH AFRICA 🇿🇦 WANAKUTANA FINAL THERE ALL OUT NA NYINYI PIA MNACHANGIA KUITA WATU WACHAWI DAH!! NIMESIKITIKA SANA
@jacksonjohnson3503
@jacksonjohnson3503 8 ай бұрын
Nyie sns Kumbe hamna akili hamna content mnajipunguzia heshima na ubora
@chesco9241
@chesco9241 8 ай бұрын
SNS mmezingua bhana
@niyongendakosamuel858
@niyongendakosamuel858 8 ай бұрын
SNS MNASHUSHA BRAND YENU HII PLATFORM KUBWA INAKUAJE MNAMLETA MPUMBAVU KAMA HUU JAMA MASHABIKI MMETUKOSEA MTUOMBE RADHIIIIIII
@MweriMangi-c1y
@MweriMangi-c1y 8 ай бұрын
hauna lakusema wwe
@levygasper7438
@levygasper7438 8 ай бұрын
NIMEANDIKA KWA HLF KUBWA SNS TUOMBENI MSAMA KWATUKOSEA KUTULETEA MTUU MWENYENE IMANI ZAKISHILIKINA SHILIKINA 😭
@astanamemohamed6639
@astanamemohamed6639 8 ай бұрын
Mii pia, kusema ukweli sns mme haribu sana ukubwa wenyu, nilikuwa nawafatilia sana sema tu hapa mmejizalilisha, duuuuu,kweli nyie niwatu wakuja na mjinga kamahuyu kwenye plani zenu, hapa mtajipoteza mjue
@RoverRoom
@RoverRoom 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂Unarogwa wewe mwenyewe
@PeteMomadesalimo
@PeteMomadesalimo 8 ай бұрын
Sasa uyu mskaji Sasa amefikia pabaya
@majutoeliasi
@majutoeliasi 8 ай бұрын
Ira ipo siku utakuja kubakwa h
@DancanMurerwa
@DancanMurerwa 8 ай бұрын
Mbna mnaleta huyu takataka ya msitu huku😏😏😏
@IddyKibamba
@IddyKibamba 8 ай бұрын
We kama kwel wewe au unafarwa nn h mama
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 8 ай бұрын
Uchawi wakimakonde huo
@Kalengashoppingcenter-y1o
@Kalengashoppingcenter-y1o 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😢😮😅
@Bahati47
@Bahati47 8 ай бұрын
Na wanao muhoji huyu jamaa pia nao hawana akili
@MariamHamis-t7u
@MariamHamis-t7u 8 ай бұрын
Hy mchawi kashindw na analazmisha
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 8 ай бұрын
Sehemu munayopuyanga SnS ni hapa Tu, afadhali ingekuwa ni comedian, But mtu anaeongea ujinga na upumbavu mwanzo mpaka Mwisho, hapa ndipo munapotukwaza... Kwanini munawapa airtime Watu kama Hawa, yani anavyoongea tu ni kwamba hajiamini.. Na vitu kama hivo anavinasibisha na Uislam.. Uchawi upo.. Na Naamini huyu pia ni Mchawi.. Kwenye Uislam atuachie....
@gracyanygracy5088
@gracyanygracy5088 8 ай бұрын
Sns wamenikela sana wallah ninahasira mbaya
@priscillachristiansen4331
@priscillachristiansen4331 8 ай бұрын
What the fuck ! SnS very disappointed..
@myriamjay
@myriamjay 8 ай бұрын
Yani SNS mmetukosea sana kumleta huyu jamaa kwenye Interview, ya boya kabisa. na nyiye mna mpa nafasi
@MariamHamis-t7u
@MariamHamis-t7u 8 ай бұрын
Unalipiiiii ulogwe wewe,simba chui wanapotea por sembuse popooo kwendaaaa
@lettysalala2504
@lettysalala2504 8 ай бұрын
Huyu mtu mmemletaje humu mmefeli
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 8 ай бұрын
Kama nimjinga kwani kuna mtu kawatuma mumsikilize mbwa ninyi nyonyote hamna hakili kabisa.kwani Sns niyenu pekeenu .Acheni kuw mna mskiliza sasa ila mimi nimependa interview yake ❤❤❤❤ hapa Sns ❤❤.Kajinyongeni au mfunguw Redio zenu pumbavu zenu .
@mohdmbarouk8116
@mohdmbarouk8116 8 ай бұрын
Naamin konde ww aliwahi kukufira mbwa ww ndio ukarud mwanza
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 62 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,7 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 30 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 62 МЛН