SAYYAD 107: Drone Pasua Kichwa ya IRAN iliyopenya ngome na ulinzi wa JUMBA la kifahari la NETANYAHU

  Рет қаралды 27,486

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 315
@ShabaniNuru-o1y
@ShabaniNuru-o1y 4 сағат бұрын
Kaka huu usomaji sidhani kama Kuna mtu wa kufanana na wewe kwenye tasnia ya habari❤
@KarieemWaewa-om5rc
@KarieemWaewa-om5rc 4 сағат бұрын
Kumbe nawewe umewaza Kama mimiehhhhh
@HasanKisome
@HasanKisome 4 сағат бұрын
Taratibu mmesha Anza Kukubali Kwamba Iran Ni Kiboko yenu Mashoga Wote Duniani Na Wafuasi wenu Wote Mlioingiziwa Chip za Uzayuni kweñye MAKALIO Yenu na Kuishi Mkisifia Taifa La Mashoga DUNIANI Israeli Kwa Kisingizio Eti Taifa Teule
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 сағат бұрын
Tuna jeshi imara😂😂
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Сағат бұрын
Wapo tena wengi
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 7 сағат бұрын
Iran wanakua sana wamewekeza vzr
@aminaali792
@aminaali792 7 сағат бұрын
Kaka fedrik yaani wewe ni the best kwa habari 🙏🏽🙌🏾♥️
@rizikially9535
@rizikially9535 5 сағат бұрын
Sana the best 👌 😊
@yuscoramadhan8462
@yuscoramadhan8462 4 сағат бұрын
Dj Smaa alisema mkapinga oooh anaegemea upande kiko wap😮
@CashKassim
@CashKassim Сағат бұрын
Achana na mashoga wa magharibi ni washabiki wa Manchester wakaacha simba na yanga
@kibwetere1418
@kibwetere1418 5 сағат бұрын
Iran amewekeza sana kwenye drones za aina tofauti tofauti
@festohaule9716
@festohaule9716 Сағат бұрын
Yupo mbele sana aisee!!!! Afrika tupo tupo yaani .....
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 4 сағат бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA IRAN, NYIE NDO WATETEZ WA WANYONGE DUNIANI
@sundymolls9673
@sundymolls9673 2 сағат бұрын
Mungu ibariki Israel 🇮🇱
@MohamedOmari-y1t
@MohamedOmari-y1t 14 минут бұрын
Mungu waangamize madhalimu​@@sundymolls9673
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 59 секунд бұрын
​@@sundymolls9673 they don't know you even like you don't anything you must be fool
@goodlegacytv5068
@goodlegacytv5068 5 сағат бұрын
Jamaa wanathibitishia tu kwamba wanawaweza vile hawajaamua tu ila wakichoka uchokozi wao hawato amini kitacho wakuta
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 5 сағат бұрын
Safi mkuu❤
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y 5 сағат бұрын
Yeye pia atauwawa tutafurahi warabu❤😂
@MgasaEmanoeli
@MgasaEmanoeli 4 сағат бұрын
Nan kakwambia Iran ni waarabu?
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 3 сағат бұрын
​@@MgasaEmanoelimkundu wako ndio in Umesema wakati Pakanyau Nyauuuuu anakufira
@daviddeus6437
@daviddeus6437 3 сағат бұрын
Mjue warabu mtateketea Kama nzi Iran asije akajarbu watakufa vbya sana Israel si ya kuichezea
@fatumajuma9413
@fatumajuma9413 4 сағат бұрын
Huyu tunae na tunatamba nae hadi tumuue in shaa Allah
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 4 сағат бұрын
Dah 😂😂😂
@abdulyabdunuru1476
@abdulyabdunuru1476 5 сағат бұрын
Daah dunia imebadilika sana yaani kakitu kadogo kamebadili sana dunia
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 6 сағат бұрын
Polepole kitaeleweka tu
@SadickMussa-g6h
@SadickMussa-g6h 4 сағат бұрын
In shaa Allaah
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 5 сағат бұрын
Alhamdhulillah Alaa kull haal 🤲
@NyirantokiZahara
@NyirantokiZahara 6 сағат бұрын
Nikibahatika ku zaa mtoto nitampa jina la SAYYAD
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 6 сағат бұрын
😂😂😂
@Uyumunsi-tv
@Uyumunsi-tv 6 сағат бұрын
Nyirantoki we 😂
@josephmkindi8254
@josephmkindi8254 6 сағат бұрын
Masha Allah❤
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 5 сағат бұрын
Nyie kama mumeweza kuita watoto wenu majina ya Majini maajabu hayapo 😂😂😂😂
@abdullahchabukila6686
@abdullahchabukila6686 5 сағат бұрын
Amen 🙏
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 6 сағат бұрын
Huyu Kenge ipo siku yake ataingia tu kwenye 18 za wakulungwa
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 4 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 Na wakulungwa watamla supu bila Chapati
@FrankGavana-q6o
@FrankGavana-q6o Сағат бұрын
Haiwezekani labda marekani wamkimbie😂😂😂😂
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 55 минут бұрын
@@FrankGavana-q6o we unaongea kana kwamba umepakatwa bila kilainishi kuna mtu aliitwa Falao yeye alijiita Mungu na siku yake ilivyofika alikufa NetaPaka ni nan sasa
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 6 сағат бұрын
Wewe huogopi kama Russia 🇷🇺ananunua drones na ziko efficiently ktk vita na NATO huko Ukraine, halafu kitaifa kidogo kama Israel kinabweka ovyo dhidi ya Iran 🇮🇷 ngoja tuone
@hassanmlawa-o6s
@hassanmlawa-o6s 4 сағат бұрын
Kinapewa kibuli na Marekan
@FredChaki-jb8zj
@FredChaki-jb8zj 56 минут бұрын
kweli kabisa kaka
@binseif2216
@binseif2216 3 сағат бұрын
Allah alishawalaani hao israel kwakuuwa mitume wake watahangaika maisha yao yote
@RamlaMburi
@RamlaMburi 6 сағат бұрын
Tupo pamoja mpaka wamuue 😊😊
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 6 сағат бұрын
Imepita katikati ya ndege wameshindwa kudungua wala kuizuia mbaka ikapenya Iran wako mbali mno saizi kwenye technolojia za kivita (electrical warfare) amazing 💪💪👍👏
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 6 сағат бұрын
Huu ni ufupi wa mawazo Hamuwezi kuona jema lolote au ushindi wowote kwa Israel kwa kuwa mnawachukia Na ndio maana MUNGU akamwepusha kuwaonyesha uweza wake Watu wabaya waliojaa chuki na uovu Chuki na uovu unawafanya badala ya kutumia peasa kuendeleza maisha ya watu wanatumia pesa kujenga mahandaki ya mabilion ili tu kupigana na Israel Wapumbavu wasiofikiri mbali Wa
@rehemahamza-l5u
@rehemahamza-l5u 6 сағат бұрын
​@@AnociathaChuwa-cb5nkwewe kafili tuu
@reej5715
@reej5715 5 сағат бұрын
@@AnociathaChuwa-cb5nk kichwa maji ww Israel inauziri gani imefanya jiulize kwanini miaka yote hiyo Tanzania hakukuwa na ubalozi wa Israel mpaka juzi tu magufuri ndo ameruhusu unataka kuniambia Baba wa Taifa Nyerere hakuona mazuri yake.
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 5 сағат бұрын
Hata hao viongozi wa kislam au viongozi wa maadaui wa israil waliwatafuta kwa miaka 30 hawakuapata ni muda wao kwaiyo na yeye itafika muda tu​@@AnociathaChuwa-cb5nk
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 5 сағат бұрын
Haya urefu ni kuwa haikupita basi wewe ndio mkweli​@@AnociathaChuwa-cb5nk
@ShahMariry-rb1fq
@ShahMariry-rb1fq 7 сағат бұрын
Mungu amchukue tu maana mikono yake inanuka damuuu
@allahisone6386
@allahisone6386 6 сағат бұрын
Amen
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 сағат бұрын
Atawachukua wote waliopanga Oct 7 ila bibi watamuacha😂 Kuna wenye mikono yenye damu km hamas na hezibolah ambao mungu wao ndo anawaruhusi waue?
@JamalKanani
@JamalKanani 6 сағат бұрын
Amiiin
@annasolomon9855
@annasolomon9855 6 сағат бұрын
We unadhani NetaNyau atakuwa humo ndani 😅😅 akili za matope.. huyo ana makazi yake tofauti na hapo unadhani ni mjinga wa hivyo
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 6 сағат бұрын
Suala la muda tu
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 7 сағат бұрын
Atauwawa huyo naomba mmac hii comment time will tell, muajemi sio mwarabu
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 6 сағат бұрын
Tupo pamoja mkuu
@hatibumohamedi3471
@hatibumohamedi3471 6 сағат бұрын
❤❤❤
@allahisone6386
@allahisone6386 6 сағат бұрын
KUFA NI LAZIMA KWA KIL BINAADAM ILA NI WAKATI KWA KILA1
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 сағат бұрын
Ndoto za alinacha Kufa bibi Bado sn Atawala vichwa wote waliopanga Oct 7 na ye atabaki
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 6 сағат бұрын
Alie panga oktoba 7 niyule anae mwambia au WATU BILA KOSA Kwa uloho WA ardhi na MAFUTA​@@christinewomanoffaith5479
@RichardMwaja
@RichardMwaja 5 сағат бұрын
Hii ni Ishara tosha mfumo wa anga wa Israel uko vzr lkn unawez kushambuliw vzr 💯
@DeusRobart
@DeusRobart 4 сағат бұрын
😂😂😂
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 4 сағат бұрын
Hahahaha
@gihungaselemani8727
@gihungaselemani8727 4 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 4 сағат бұрын
😂😂😂
@Muhidinikibwana
@Muhidinikibwana 6 сағат бұрын
IRAN imeteuliwa na mungu ije kumshinda shetani ISRAEL
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 6 сағат бұрын
Ahaaaaaa wee ndo ujuwiii kituu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 сағат бұрын
😂😂😂😂uwiiiii mungu kumbe nilidhani Mungu Ngoja tuone ss ndo utajua Mungu wa Ibrahim isaka na Jacob(Israel) ni nani
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 сағат бұрын
​@@FrenkMushi-i7fhana analolijua 😂
@SabriGrizzOutdoors
@SabriGrizzOutdoors 6 сағат бұрын
​@@christinewomanoffaith5479 katika watu hawanaaakili youtube nzima nadhani wewe ni namba moja akili zako bado changa sana
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 6 сағат бұрын
MUNGU YUPI NA WATASHINDA LINI NDIO MAWAZO YENU YALIVYO MAFUPI MMEONA HILO TUKIO MOJA TU LKN HAMUONI MAANGAMIZO YANAYOENDELEA GAZA NA LEBANON HAPA NDIO IRAN IMEJICHIMBIA HANDAKI MWISHO WAKE UKARIBU ANGUKO LAKE LI KARIBU MAGAIDI WAKUBWA WANALETA SHIDA DUNIA NZIMA HAINA AMANI
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM 6 сағат бұрын
hii ni maajabu kuona mtu mwenye vikwazo kibao alafu leo hii anatoa jasho marekani na nato CZ isreal hana uwezo wa kupigana na iran .
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 6 сағат бұрын
Hawez kupigana hata na Hamas ataiweza Iran
@sonnyr1899
@sonnyr1899 6 сағат бұрын
Kama kuna kitu kinatulemaza afrika ni misaada ya ulaya na marekani. Tungewekewa vikwazo huenda tungevumbua mambo mengi sana.
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 6 сағат бұрын
Marekani hawezi kushindwa kupiga Iran ila ni vile hakuna maslahi ya moja kwa moja anayoyapata kwenye hii vita tofauti na hapo Marekani akiamua au kama Kuna faida anayopata kwenye hiyo vita hajawahi kushindwa😂😂
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 6 сағат бұрын
​@@BarakaKusalulaMbona Hao Houthi wanavopiga meli kila siku zenye maslahi wameshindwa kuwamaliza 😂
@sonnyr1899
@sonnyr1899 6 сағат бұрын
@@BarakaKusalula Google wamarekani walivyo kimbiya Afghanistan mwaka 2021 😂😂😂 Walitoka nduki waliacha hadi computer zipo wazi. Iran inamafuta alafu ni eneo la kimkakati sana kutawala mashariki ya kati.
@HassanAbdallah-f6o
@HassanAbdallah-f6o 4 сағат бұрын
Hapo mm naona iran inatoa taarifa kwa israel , mkijaribu kutupiga tutawapiga bila kujua mmepigwajwe na kwa kutumia nn . Israel hawezi kuipiga iran hata kama asaidiwe na marekani
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 5 сағат бұрын
Sky upo vizur leo kimatangazo.marekani kabadilisha israel kuwa uwanja vita.juzi iron dom,scady leo azifai bora lraiza.israel amna kitu.tangaza kilicho tokea sio kutetea.
@Abuunuwayra
@Abuunuwayra 6 сағат бұрын
Hawa Jamaa Ni waongo Sana Yani Shambulio Likitokea kwao wansma Hakuna Mauaji Wala Hakuna majeruhi Sasa hiyo Nyumba Ilio shambuliwa kama Wanasema Hakuna Mauaji wlaa majeruhi hiyo Nyumba Ilikua Inaishi Majini
@MsAggie5
@MsAggie5 6 сағат бұрын
Nyumba za Israel nyingi zina mahandaki (za watu WA kawaida) sasa kwenye vita kama hivi Kwa vyovyote mtu kama huyo Bibi hawezi kulala kwenye mjengo lazima atakuwa analala ndani ya handaki kwani yeye mjinga anajua lazima wanamuwinda kumuua kama yeye anavyoua viongozi WA oppositions wake
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 6 сағат бұрын
Labda utuambie wewe maana hapo ni nyumbani kwa Netanyahu, kafa au yupo hai???
@lakasid3860
@lakasid3860 6 сағат бұрын
Tuambie wewe uliyepo Israel kafa nani 😂😂 tatizo mnaumia mkiona waisrael hawafi 😂😂
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 сағат бұрын
😂😂😂Hawezi kusema waongo balaa
@Mubarak552
@Mubarak552 7 сағат бұрын
Kila nikimtizama Nyetanyau ninaona malaika wa kifo wamemzunguka ni muda tu ndio tunasuburia
@aminaali792
@aminaali792 7 сағат бұрын
😂🙏🏽Allahuma barik 🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽
@NyirantokiZahara
@NyirantokiZahara 7 сағат бұрын
Hio mbwa eti ni nyau ameishauwa watu wengi na watoto wasiokuwa na hatia, malipoyake ni kifo kama anavyoua wengine
@NyirantokiZahara
@NyirantokiZahara 7 сағат бұрын
Mtoto ambae nita zaa nitampa jina la SAYYAD
@SarhaSaid
@SarhaSaid 6 сағат бұрын
Inshaallah ​@@NyirantokiZahara
@Muhidinikibwana
@Muhidinikibwana 6 сағат бұрын
Amiin inshallah
@festohaule9716
@festohaule9716 Сағат бұрын
Sasa Hezbollah walikuaje makazi ya kiongozi . Netanyau !!! Inamaana na wao wanamajusi hatari vile vile!!! Maana inaonyesha wasiwasi kwa Viongozi Wengine kufatiliwa hatari!!! Pongezi kwa Irani.....
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 6 сағат бұрын
Hii imeenda... bado tutawanyoosha wote adui wa ubinadam na haki zao..
@muhitira
@muhitira 6 сағат бұрын
Ahh!! IRAN Iko sawa kaKA
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 6 сағат бұрын
BENJAMIN NETANYAHU A MIGHTY MAN OF VALER!!!! KING DAVID OF OUR GENERATION!!! SUPER HERO OF OUR GENERATION!!! BILA YEYE MUNGU KUMTUMIA MAGAIDI IRAN NA MAWAKALA WAKE WANGESHAFIKIA MALENGO YAO!!! ASHUKURIWE MUNGU AMBAYE HAJARUHUSU HILO ISAIAH 54:17 PSALM 124 ISRAEL THE NATION OF GOD ALMIGHTY WILL NEVER FALL WILL NEVER BE DEFEATED
@Bahati47
@Bahati47 5 сағат бұрын
U hero wakupewa silaha na wanaume wenzie?😂😂 Huyu bila msaada ni shoga tu
@MarthaStephen-m3m
@MarthaStephen-m3m 2 сағат бұрын
Amen
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 5 сағат бұрын
Nchi ya ahadi tangu ianzishwe haijawahi kukaa kwa amani😂😂😂 kila siku ni vurugu na wanamgambo
@nick1o7bang17
@nick1o7bang17 7 сағат бұрын
Bado awajasema
@kitangalicashewnutslimited
@kitangalicashewnutslimited 4 сағат бұрын
Atakufa hakuna kisicho na mwisho, ila ninachoamini nétanyahu muoga sana wa kufa na hili tukio tayari atakuwà hana uhakika tena na maisha yake, coz kama si kutókuwepo ndani, basi maombolezo yangetangazwa
@frankkimaro4696
@frankkimaro4696 5 сағат бұрын
Okay okay let's wait the feed back 😅
@UbaidaYussuf
@UbaidaYussuf 7 сағат бұрын
Mambo bdo yanapamba moto
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 6 сағат бұрын
Israel 🇮🇱 mshikuru sana America 🇺🇸 ila ungeipata vzr sana jeuri ingekwisha kwako
@SabastianRaymond
@SabastianRaymond 5 сағат бұрын
Sahau Israel BILA MAREKANI inaweza tu. Rudi kwenye historia
@awadhsalum8769
@awadhsalum8769 5 сағат бұрын
@@SabastianRaymond historia gn usdangany awa waasi waio historia
@hamadsobo304
@hamadsobo304 6 сағат бұрын
Huyo bibi sikuzake zinahesabika maana hajielewi.
@Uchukhan_
@Uchukhan_ 5 минут бұрын
Sasa hapo Wamefika kwenye Nyumba ya shoga yenye ulinzi Mkubw ila utasikia ajafa m2 naipenda iyo
@HarounRashid-rh6jr
@HarounRashid-rh6jr 7 сағат бұрын
Nasikia mwanae amefariki...
@salminisaleh9249
@salminisaleh9249 6 сағат бұрын
Hii Habari Ni Ya Kweli Bro Hebu Niambie?
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 6 сағат бұрын
Hawawezi wakaweka Habari hii wazi hata kama ni kweli wanazoea uwongo
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 6 сағат бұрын
Weeee acha😮
@Awatee
@Awatee 6 сағат бұрын
Hakuna anae furahi majanga Ikiwa kweli basi acha ahisi maumivu kdg kama wengine
@HarounRashid-rh6jr
@HarounRashid-rh6jr 6 сағат бұрын
@@salminisaleh9249 Jamaa wanaitwa Wlla hebrew website... Nanukuu; Netanyau son Yair. The little one in caesarea and the knesset call a meeting...
@nsabimanasuleyman2008
@nsabimanasuleyman2008 4 сағат бұрын
Huyo Bibi Nyau tunampa Muda tu Ila Israël ikijichanganya kwa Iran ndio mwisho wake kwenye mgongo wa Ardhi hii ya Allah.
@MustaphaManole
@MustaphaManole 3 сағат бұрын
Aya sasa irone dome thaad zilikuwa wapi?
@MarthaStephen-m3m
@MarthaStephen-m3m 2 сағат бұрын
Imeua wangapi
@trendz_2548
@trendz_2548 6 сағат бұрын
😂😂😂😂hii ni hatarii kwa kweli 😂😂😂😂
@MarckMasaki
@MarckMasaki 5 сағат бұрын
Ngoja nikavute Bangi kwanza ,ninao siamini netanyau anasemaje kuhusu kichapo hicho
@mimibusarachibu
@mimibusarachibu 3 сағат бұрын
Sky, Kuna nyingine inaongozwa na mfumo wa laser mechanism;hatari sana,Israel awe makini sana
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 5 сағат бұрын
Masubi alisema haiwezi kupenya iron Dodoma
@NsanzimanaPita
@NsanzimanaPita 4 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤
@awadhsalum8769
@awadhsalum8769 5 сағат бұрын
Msichofaham ni kwamb ktk aya maish amn mshindi wa miaka yot tok enzi Na enzy zilzopit nyum Leo akishinda huyu kesho Yule ndo maan empire ngpy zenye nguv Na zilidondok Mung Mwenyew ndio anaepanga kupanda Na kudondok kw mataifa ili isiwe kw taifa moja pekee bdae likishaanza udhalimu huamur likaanguka kwn waisrael walipoasi amri za Mungu waliachwa Mar ngpy wakiwa hopeless au mnadhan hatoachwa ten
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 4 сағат бұрын
Atakapo Anza kuminywa mwiirani........mtasema
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 3 сағат бұрын
Eeeh itakuwa mungu akaamia kwa Hezzbola😅
@KingsMoha-l9w
@KingsMoha-l9w Сағат бұрын
Ipo siku moja dhuruma haidumu siku zote
@Golanh4786
@Golanh4786 5 сағат бұрын
ELIMU BAHARI
@msodokidasilva6739
@msodokidasilva6739 4 сағат бұрын
Hii tunaita mdogo mdogo ndiyo mwendo tutaelewana
@Mtumakini
@Mtumakini 3 сағат бұрын
ISRAEL FOREVER😂😂😂 UA HAO MAJANGIRI MPKA WAJITATHMINI NA BADO
@Kaida_Cut254
@Kaida_Cut254 Сағат бұрын
Yaani habari zako zote za vita ya hawa wawili unaupande wako unatetea kila siku habari zako zinasifia tu Iran . Weka sawa habari sio kujiewekea upande wako mwenyew kujiturahisha na kutaka kuonekanisha wengine kuwa hawafai. 😢😢😢😢
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Сағат бұрын
Huo ndo ukweli
@Uchukhan_
@Uchukhan_ Минут бұрын
Aya tuoneshe ya israel anayo mlipua iran ili aisemeee
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 6 сағат бұрын
Endelea kuwasifu
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 4 сағат бұрын
Allah afanye wepesi wampate
@MankaTansaniya
@MankaTansaniya 14 минут бұрын
Angefanya wepesi kwanza waliouawa wasiuawe.. baadaye ndio afanye wepesi Netanyahu wampate
@mgolozicrispin5126
@mgolozicrispin5126 Сағат бұрын
Vita vemebadilika asa hv akuna underdog kama mpira vile
@Daniel-g2f6v
@Daniel-g2f6v 4 сағат бұрын
Juzi niliwaambia watu Iran Ina uwezo mkubwa nikasema Israel inatakiwa itambue Iran sio iraq
@swahilibrotherhood
@swahilibrotherhood 5 сағат бұрын
Sky himself
@papamukulu1045
@papamukulu1045 6 сағат бұрын
Wao waendelee kutoma drone wao wana malizwa kwelikweli
@Bahati47
@Bahati47 5 сағат бұрын
Hata wao kupiga waza weza lkn dini Ina wabana sana lkn tunakoelekea na wao wataweka dini pembeni watapigana kikafiri sasa
@SelemaniIssah-p2g
@SelemaniIssah-p2g 5 сағат бұрын
Waisrael Wanaua raia wasiokua na hatia irani ingetaka hivyo mpaka sasahv wangebaki waisrael 2
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 5 сағат бұрын
​@@SelemaniIssah-p2gunaumwa akili, Gaza waliuwa watu wa kawaida wakiwa kwenye sherehe acha kujitoa ufahamu
@papamukulu1045
@papamukulu1045 5 сағат бұрын
@@Bahati47 hapa weka dini pembeni
@SelemaniIssah-p2g
@SelemaniIssah-p2g 5 сағат бұрын
@@charlesboniphace2249 we kiazi kabla ya lile shambulio israel washaua sana huku wakikalia maeneo yao kwa mabavu
@MahdouMomba
@MahdouMomba 6 сағат бұрын
Mmmmhhh, ulinzi wa kisasa gani tena kama kiumbe kimeweza kufika hadi makazi binafsi ya Bw. Nentanyahu na kufanya tukio pasina huo ulinzi wa kisasa kugundua chochote
@zuricakes6817
@zuricakes6817 5 сағат бұрын
Makelele tu! Imeuwa watu wangapi? Tumeshawazoe. Sisi tunataka kuona mavidio 😊ndio tuamini.
@Bongovillagex
@Bongovillagex Сағат бұрын
Akifariki huyu natanyahu kuna yule mwehu mkuu wa majeshi akimrithi anapenda vita
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 5 сағат бұрын
Matokeo yake ni nini?
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 5 сағат бұрын
Hawatowii wanaona aibu lakini madhara yako na mkbwa wa majeshi amekufa wanaficha wanamuunganishiya vipande vyazamanii alipo kuwa hai lakini hawaongei ila kunambambo makubwa wanaficha
@kouswayisaidahamada9979
@kouswayisaidahamada9979 4 сағат бұрын
Mlishaambiwa msikaribu
@shebbylove3140
@shebbylove3140 5 сағат бұрын
Iran wako good saana nibasi tuu hawa mayawudi wako na backup kubwa
@ronaldmatimbo9691
@ronaldmatimbo9691 5 сағат бұрын
Ikipenya moja kuingia Israel,hii channel inaisifu sana. Ni kama Israel inagipewa sana😂😂😂
@cidewashington670
@cidewashington670 5 сағат бұрын
Ujumbe wa Waajemi na Hezbollah umewafikia vizuri tu Israel na Marekani
@JoshuaMwizalubi
@JoshuaMwizalubi 6 сағат бұрын
Sasa mbona haijafanya maangamizi??!
@MohammedGabaye
@MohammedGabaye 5 сағат бұрын
Uy auliwe familia yake aone uchung kumamake
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 3 сағат бұрын
Hadi hapo napunguza machungu ya goli la kijifunga😂😂
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 5 сағат бұрын
Yn hiyo ni moja ya walio nazo wasizo zitegemea San yn hii ni taarifa kuwa hawataki TU kuuwa watu 😅
@Mtumakini
@Mtumakini 3 сағат бұрын
Endeleeni tu kuwasifia kila siku tunawala vichwa viongozi wao huyo kamenei wa irani soon tunamla kichwa😂😂😂
@safarichui8551
@safarichui8551 Сағат бұрын
Tuache UAV, ila VAR inatu coastal union kweli, mtu ushashinda kabeti kako afu VAR inakataa Goli ahh
@YohanaJoshua-h2j
@YohanaJoshua-h2j 6 сағат бұрын
Mungu ibariki Israel
@DeusRobart
@DeusRobart 4 сағат бұрын
Apo kwanza nicheke 😂😂😂
@MaulidAbdullah-nw9wu
@MaulidAbdullah-nw9wu 6 сағат бұрын
Atakufa siku sinyingi bwana atamtoa Kisha atamtwaa naombea waliue hili lipimbi
@JeremiahElfadhili
@JeremiahElfadhili 5 сағат бұрын
Sasa wao wanashangaza dunia ila Israel wanaua viongozi yani Waarabu bhana 😂😂😂😂
@HurumaMwalyaje-hw1yk
@HurumaMwalyaje-hw1yk 4 сағат бұрын
Kaka Nimekubali vita Sasa ni ya Kisayansi Unajua IRANI kwa Sasa inaongoza Duniani ya Watu Wenye Akili Ukiacha Marekan, Marekani Kwa Sababu ya Population!!!
@muubaytz4754
@muubaytz4754 6 сағат бұрын
Hawa jamaa walisema wana kombora zaidi ya nyuklia, tusiwabishie wanaweza kuja kutushangaza
@sadamissa5687
@sadamissa5687 Сағат бұрын
Kuna drone kijili ni hatari technology ya msimbazi😂😂😂
@Lolandmwantona
@Lolandmwantona 6 сағат бұрын
Watu wanasema Iran inakuwa !!, sio Iran inakuwa Bali jua Iran ilishawai kuwa mbabe wa dunia enzi hizo inaitwa uhajemi ilikuwa ni leadership yenye nguvu na iliyo tikisa Dunia Kwa kipindi hicho jamaa walikuwa namateso makali kuliko falme zote zilizo wai tawara Dunia walikuwa na torturing hatari inaitwa slow death🙌
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 6 сағат бұрын
Wanatuma tu drone bila precision, wamemkosaje inaonekana Iran hana human intelligence. Ilibid watume drone wakiwa na uhakika kuwa Netanyahu yuko wapi. Otherwise ni show off tu, IDF wana intelligence robust sana
@Awezae-w8o
@Awezae-w8o 6 сағат бұрын
Mbona atuoni chochote kilicho aribiwa
@Golanh4786
@Golanh4786 5 сағат бұрын
Lengo la kuzuia wanahabari ni nini?
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 4 сағат бұрын
Ujambazi
@Gulfnas1
@Gulfnas1 2 сағат бұрын
Ni wazi kua watu tupunguze ushabiki na tulete facts, mbinu za jeshi zimebadilika duniani!! Hiyo hapo Israel inakiona cha mtema kuni!! Adui ni adui hata kma atakua mdogo kma sisimizi
@mohamedmarijani
@mohamedmarijani 5 сағат бұрын
Wa tz tuko wapi ? Kutomana na Dunia inalekea?
@ankalmzito254
@ankalmzito254 6 сағат бұрын
huyu naye diku zake zinahesabika
@abukingkima092
@abukingkima092 5 сағат бұрын
Mimi nyuma uko nilisema Muajemi ana zana za kivita zakutosha na za kila aina MUDA UTASEMA😂 ILA KIKUBWA MUNGU AULINDE HUU ULIMWENGU NA WATU WAKE
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 4 сағат бұрын
Hamna kitu apo watapikwa tu😂😂😂
@sylvestermhojaaron9659
@sylvestermhojaaron9659 4 сағат бұрын
MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Сағат бұрын
Utashangazwa soon huyo mungu hawezi kubariki watu wanaojiona bora kuliko kiumbe mwingine hasirani
@Sh_Taqee
@Sh_Taqee 4 сағат бұрын
Israel ina Ulinzi upi wa kisasa ndugu mtangazaji kama sio unapotosha waziwazi?!
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 4 сағат бұрын
Mrusi ndo anawasaidia........
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 4 сағат бұрын
Mrusi ndo amesaidiwa sana
@chrisostomruta-cw3zf
@chrisostomruta-cw3zf 4 сағат бұрын
Jipeni moyo tu kama mlivyojipa moyo kwa sadam,ghadafi na Osama.mtaelewa tu na mabaraghashia.
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 2 сағат бұрын
Zilimlenge huyu nyau huyu amua wapalestina wengi sana zaidi ya elfu 40, kafiri Mmoja mbaya sana huyu nyau. Eee mwenyezimungu jaalia nguvu kwa mujahidina wa hisbullah wamtandike huyu nyau afilie mbali
@BrownMwailunda
@BrownMwailunda 4 сағат бұрын
Hiyo sio ya Iran ni ya Putin ndiye Anatengeza kule
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,7 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 17 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,4 МЛН
LATRA yafanya ukaguzi  Treni ya Mchongoko
3:16
LatraTV
Рет қаралды 3,7 М.
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,7 МЛН