MAONGEZI YA ANA KWA ANA KATI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA TIDO MHANDO

  Рет қаралды 748,704

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@prospermagali
@prospermagali 2 жыл бұрын
Mahojiano bora kabisa. Asante Azam, Asante Tido kwa kuuliza maswali yote muhimu...
@mansouraltamim
@mansouraltamim 2 жыл бұрын
Hongera sana Mama Samia Suluhu Hassan umefanya interview nzuri na umejibu masuali yote vizuri na kwa hekima kubwa sanaa. Mungu akulinde sana mama kila la kheir katika kujenga nchi yetu. Hongera snaa Mr. Tido Muhando kwa interview nzuri.
@mc_mrope
@mc_mrope 2 жыл бұрын
Maongezi yamekuwa mazuri sana hongera sana ndugu Tido Mhando kwa kuendelea kuweka historia nzuri ya kufanya mahojiano mazuri na viongozi wakuu wa nchi
@boniphacewambura1427
@boniphacewambura1427 2 жыл бұрын
Evarist mrope Umeongea point sana ndugu 💪
@mc_mrope
@mc_mrope 2 жыл бұрын
@@boniphacewambura1427 asante sana kaka
@johnsonndegwa5945
@johnsonndegwa5945 9 ай бұрын
Quite good kwa president Samia suluhu president Tanzania you're fearfully beautifully and wonderfully made by God's favor and grace
@rosebudkurwijila1092
@rosebudkurwijila1092 2 жыл бұрын
Well done Madame President. Very informative. Hongera Tido, maongezi mazuri sana
@ziadiibrahim4665
@ziadiibrahim4665 2 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania nchi yetu watanzania.wabariki viongozi wetu, wabariki pia Azam TV
@salumali9312
@salumali9312 2 жыл бұрын
Hongera Azam lakini hongera zaidi Mama yetu mpenzi. Wazanzibari tunajiproud sana. Kwa hakika unatuwakilisha vizuri sana. Allah akupe kheri na baraka nyingi.
@rizikally7594
@rizikally7594 2 жыл бұрын
Kila la kheri mama yetu Allah akupe afya njema na akuzidishie hekma na imani, tunakuamini sana
@MuhammedSaid-l4i
@MuhammedSaid-l4i 9 ай бұрын
Mama endelea kuchapa kazi zaidi❤❤❤❤Tunakipenda,kujali na kuthamini. Juhudi unaifanya kwa kla sekta ili wananchi wanufaike . M.Mungu skype afya na umri mrefu pia kukuengezea hekima,ubunifu upole na huruma kwa wananchi wake.❤❤❤❤ Chapa kazi Kuheshimiwa Rais Samia.
@victormahimbo
@victormahimbo 2 жыл бұрын
Brother Tido umeupiga mwingi. Classic interview. Bado nakumbuka kazi yako nzuri RTD miaka ya 1970s ukiwa na fundi wako wa mitambo James Mhilu.
@mbekurelaon8820
@mbekurelaon8820 2 жыл бұрын
Hongera Azam tv kwa mahojiano haya ya moja kwa moja na Rais Mmechagua gwiji wa habari hongera Mheshimiwa Tido Mhando Lakini kuna kazi inafanywa na watu wanao mwakilisha Rais Ngorongoro na Loliondo hatuamini Kama ni mama ndio amewagiza waje kutuonea Tunalia kwa sababu damu zilizomwagwa tukinyang'wa ardhi yetu Watumishi wanachonganisha wananchi na serikali ya Mama Samia
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 2 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah, Mwenyezi Mungu akupe nguvu InshaAllah Amina Thumma Amina
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 10 ай бұрын
Mnimeipenda sana hii interview mashaalah mama Samia hodari kujibu maswali
@SWAHILINATION
@SWAHILINATION 2 жыл бұрын
We need more journalists like you Tido, people who can ask difficult questions fearlessly. Well done Azam TV Hongera mama yetu! Well done with the Russia-Ukraine war that was a smart move indeed. Tunakuombea Mungu akutie nguvu uiongoze nchi yetu kwa uweledi mkubwa. May God protect you always. Hurray Tanzania 🇹🇿
@moa4122
@moa4122 2 жыл бұрын
Ameen Allahuma Ameen
@werun.1674
@werun.1674 2 жыл бұрын
That Mama Samia is granting this kind of interview without pre-determined questions, going by the kind of questions asked is exemplary. Tanzania is in good hands.
@nyandwiomar7683
@nyandwiomar7683 2 жыл бұрын
. X;c,,
@philojia2744
@philojia2744 2 жыл бұрын
Hongera mama samia kwa kazi nzuri mungu akujalie kuongoza nchi hii
@juliuskavumo1937
@juliuskavumo1937 2 жыл бұрын
@mercynadia3140
@mercynadia3140 2 жыл бұрын
Waandishi wa habari kwa mtini jifunzeni, hongera sana Tido Mhando aisee this is the powerful interview ,
@charleshaule4008
@charleshaule4008 2 жыл бұрын
This is one among best production ever in Tanzania. Tido Mhando composed himself so well. Mama Samia's scope of knowledge and response skills towards challenging questions has been so high. I rate the whole thing GOLD medal as far as my journalism experience is concern.
@mitchellyt4649
@mitchellyt4649 2 жыл бұрын
Good interview atasijutii kumaliza bundle langu.. Mungu tulindie amani yetu
@waihura2039
@waihura2039 2 жыл бұрын
Good interview right there Tido. Me like that Mama. Kazi mzuri
@harrietmalesi4222
@harrietmalesi4222 2 жыл бұрын
We thank God Mrs president You work is promising be blessed so much we are proud of you mother Care
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 2 жыл бұрын
Du! Excellent Mr. Tido Muhando, Hawa ndio wabobezi wa Habari. Nimependa jinsi alivyoonza haya mahojiano. Jamaa lonajua.
@venantrugabela6798
@venantrugabela6798 2 жыл бұрын
Zamani Tiddo hakuwa hivi. Enzi akiwa BBC. Mtu angetoka jasho kila mahali
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 2 жыл бұрын
Ninakubaliana na wewe kuhusu hili. Ila kwa nini mama alivyo compare Tanzania na United States of America Tido hakumuambia mama kuwa do not compare United States of America na Tanzania. Hapo ndipo Tido alipokosea. Tanzania yetu 99% ni maskini. Mama huyu anatukosea sana! Watanzania.
@raboymziki336
@raboymziki336 2 жыл бұрын
Kama unamuelewa Tido gonga like!!
@martinsntonyo8537
@martinsntonyo8537 2 жыл бұрын
It was a nice conversation between our president mama Samia suluhu Hassan and Tido mhando great responses indeed bravo madam president
@philiposimioni2854
@philiposimioni2854 2 жыл бұрын
Asante sana mweshimiwa raisi kwa kuwaelezea uma kwa mahojiano mazuri na ndg tido
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
Mama Maneno machache kazi kubwa.ingefaa huo msemo utumike maana kwa aliemgundua mama anachapa kazi kubwa sana ila kimyakimya.welldone mama❤❤
@jonimarwa597
@jonimarwa597 2 жыл бұрын
Asante sana kwa mahojiano mazuri lakn kuna mawe Fulani hapo Ikulu nikiyaona nakumbuka mbali sana hadi namkumbuka mzee wetu mchapa kazi mpenda masikini,mtenda haki marehemu magufuli MUNGU Akulaze mahali pema peponi Amina
@driftdumper8927
@driftdumper8927 2 жыл бұрын
Very humble mama! I hate ccm with all my heart but this Woman give me hope! Lets Go we trust you!! Tuongoze kwa haki sisi kazi tutafanya!!
@ruispeter7706
@ruispeter7706 2 жыл бұрын
Interview nzuri imetulia hongera sana Azam hongera Mzee Tido I get more
@mbwanakassim418
@mbwanakassim418 2 жыл бұрын
I am proud of my president,anajibu maswali kiufasaha,nikiongozi mwenye taarifa ya kila sekta ya uchumi,anatoa majibu sahihi kwa swali sahihi,anaeleza ukweli bila kupepesa ,ni jambo zuri sana wananchi tunapopata taarifa sahihi kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi,bravo mama Samia. Tido you are the best interviewer,relaxed and asking the right questions with discipline and integrity.
@annarathanthony5801
@annarathanthony5801 2 жыл бұрын
Asante sana mama kwa kutuelewesha kama hivi nasi tunakuwa na Imani nawe pamoja na Uongozi wako kwa wananchi unaotuongoza mungu akupe moyo huo ukweli umeweka mtu huru kwa kimaadili
@salimamoshi619
@salimamoshi619 2 жыл бұрын
Hongera sana kaka yangu Tido Mhando Kweli wewe ni gwiji Sijachoka naomba uwahoji viongozi wote from USA
@abuumatingasi1332
@abuumatingasi1332 2 жыл бұрын
Mama samia unatisha unaridhisha kwa majibu yako mm nimeshiba
@asilasaidsalim6138
@asilasaidsalim6138 8 ай бұрын
Jaman mama kasha choka kuongea mpumzishe kwanza yuko taaban
@doramalisa2061
@doramalisa2061 2 жыл бұрын
Hongera sana mama, Kuna tatizo kwenye viwango vya ajali, ni changamoto kubwa Kuna vile kama miaka miwili imepita Hali ilikua shwari,
@Jumamaduka240
@Jumamaduka240 2 жыл бұрын
Hongera Mhe. Rais niseme kwa mara ya kwanza na mm unaupiga mwingi. Tido Muhando wewe ni bonge la journalist na wengine waige kwako. Wewe ni mfano wa kuigwa
@Mwalimdan8494
@Mwalimdan8494 2 жыл бұрын
Dunstan Tido mhando, one of my best Swahili speakers, used to like one of your shows in Kenya 🇰🇪 “ ulimwengu wa bwana reddy kilowatts “ baadaye akiwa mkuu wa idhaa ya BBC, great interview with mama Samia🇹🇿
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 2 жыл бұрын
Tido the Best Journalist 👍👍👍
@joachimmbosha5796
@joachimmbosha5796 2 жыл бұрын
Hongera mh rais wetu, Mungu akujalie nguvu kutimiza majukumu ya Ujenzi wa. Taifa letu,,unandoto njema kwa watanzania.
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 2 жыл бұрын
Hongera sana Mama kwa majibu mazuri kwa mwandishi m'bobezi Tido Mhando. Tanzania tunakuhitaji sana. Hakika nchi inahitaji katiba ibadilishwe ili Rais Mama Samia atawale kama alivyotutawala Rais wa kwanza hayati Maalim Julias Nyeyere.
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Жыл бұрын
Mzee Tido hongera sana kwa interview huko vizuri sana hongera sana mtani
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 2 жыл бұрын
Kwa kweli haya mahojiano ni ya standard ya hali ya juu sana. Mazingira, hadhira mpaka ujumbe wenyewe. Waandishi wa habari wengine wajitahidi kuiga kwa Mh Tido Mhando, Mama Samia tunakushukuru kwa jitihada zako za kukuza nchi yetu, tunakuombea sana
@revocatuspaschael7177
@revocatuspaschael7177 2 жыл бұрын
Hongera sana mama tunaimani sana nawe
@magandajumanne8493
@magandajumanne8493 Жыл бұрын
😊😊
@habibndyeshobora6848
@habibndyeshobora6848 2 жыл бұрын
Mama uko vizuri sana,na umenikosha zaidi kwa kuonyesha kiwango cha halo ya juu ,ya kujiamini na kuonyesha kiwango cha juu cha akili,kuchuja ,tafakuri, response of abrupt questions !!!!!! Congratulations Madame President !!!!!!!!!!!!
@dibamohamed6885
@dibamohamed6885 2 жыл бұрын
This is brilliant. Hard hitting questions and Mama answeres were impeccable and vivid. When our neighbours prosper we prosper..Wish her all the best inshaAllah
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 2 жыл бұрын
Asante Magufuli wetu kwa Kujenga ikulu hiyo......Mungu akulipe mema huko....Mama Yetu Kamilisha kazi mliyoianza na Mtangulizi wako
@abrahammnzava841
@abrahammnzava841 2 жыл бұрын
Hongera Sana mama Samia, your initiatives will bear fruits in a very near future
@LeoMashauri
@LeoMashauri 8 ай бұрын
Thanks your excellence for thy standard elaboration on our development
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 2 жыл бұрын
Mungu baba mrehemu hayati John Joseph Magufuri kwa mzuri aliyotufanyia katika Taifa letu Tanzania kuhakikisha zoezi zima la kuhamia Ikulu ya Dodoma zoezi lililokua linapigwa danadana kwa miaka mingi lkn kimbe wako alihakikisha linatimia km alivyotangaza baba wa Taifa JK Nyerere. Tazama mandhali ya Ikulu Dodoma inavyopendeza Tanzania nchi yangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mbimbikabanyanga6161
@mbimbikabanyanga6161 2 жыл бұрын
Kila nyumba /Kila familia inalia hali wanatamani mama samia ajiuzuru.Lakini hapa live wanamsifia mama kaupiga mwingi.Hii ndo tanzania yetu tunasifia kitu ukiludi nyumbani unasema hali ngum kila kitu kimepanda bei.
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 жыл бұрын
Dah!! Nilijua atamtaja na ku appreciate kazi aliyoifanya katika hili.😭😭
@yusufhemedyusuf3021
@yusufhemedyusuf3021 2 жыл бұрын
@@mbimbikabanyanga6161 wasukuma mnalia sasa coz sukuma gang limepigwa chini. Walio wengi waliteseka na huyo dikteta mwendazake. Nchi imepoa sasa.
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
@@pulikisia7963 Hiyo sio ya Magufuli ni ya Nyerere... CHAMWINO ni Nyerere na si Magufuli!
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Haijajengwa na Magufuli hiyo. CHAMWINO ni Nyerere ndiye mjenzi wake! Ilijengwa tangu miaka ya 70.
@user-tp8fq9mb8e
@user-tp8fq9mb8e 7 ай бұрын
Dear Mrs Samia Suluhu Hassan and as a politician, men and women from Africa especially East Africa where I come from, we ask us as young men and women.us and the next generation and the present generation not to just look away. I thank you very much and look forward to our positive unity East Africa from Somali capital Mogadishu Thank you family and friends we are one family and we must stay together work and help one another we Love africa ❤
@doriteliapendoglorious1843
@doriteliapendoglorious1843 2 жыл бұрын
Delighted that such conversations are held. Well done Hon. SSH, Well done Azam TV!
@mwalimuseraphinokeywerah3871
@mwalimuseraphinokeywerah3871 2 жыл бұрын
Namwomba Mama Samia awe anaita mikutano mbalimbali kila baada ya miezi mitatu awe anaelezea haya aliyomweleza Tido hapa. Watanzania wote wasikie. Mawazo yake ni MAZURI SANA. Asipohutubia Watanzania watakuwepo watu wengi tu wanamsema bila kujua haya mawazo aliyonayo
@paterinomlowe8317
@paterinomlowe8317 2 жыл бұрын
Mama mungu akulinde upo vzr ukweli unaishi you answer is philosophical
@josephlukale4851
@josephlukale4851 Жыл бұрын
Mheshimiwa Rais tunakuombea kila la heri. In your sentiments I perceive you are sincere. May the good God shine ahead of you..
@ephremmalley153
@ephremmalley153 2 жыл бұрын
One of the best interviews in our country which has rightly taken into account most areas of tanzanians' lives indiscriminately. I think this is due to a compitent journalist on one side and indisputably due to a good President who who is really determined to take our country a higher and better level. May God bless you Tido and mama Samia!
@SimbaM2kufu
@SimbaM2kufu 2 жыл бұрын
She’s a clown.
@theresakabego3085
@theresakabego3085 2 жыл бұрын
Hongera Sana mama yet kwa kupigania maendeleo ya watanzania Mwenyezi mungu akupe maisha marrfu
@Fefetubes
@Fefetubes 2 жыл бұрын
Mama we love you KUMBE WALIKUWA WANATUPOTOSHA HAWA KENGE
@sweetbertmaghali309
@sweetbertmaghali309 2 жыл бұрын
Mama uko vizuri tunazidi kukuombea.kwa Mola azidi kukulinda.Waangalie kwa jicho la huruma wastaafu.
@doricemalisa5712
@doricemalisa5712 2 жыл бұрын
Mungu atakusaidia tu Rais wetu ,utafanikiwa kwa kila jambo ninakuombea sana kila siku
@baraqbenny6040
@baraqbenny6040 2 жыл бұрын
Uncle Tido ASANTE SANA....Mungu akubariki. Nje na ujasiri wako,lakini pia umenisaidia sana kimtazamo kulingana na maswali yako ambayo yalikuwa ni maswali yangu na Taifa pia...acha tusubiri utekelezaji wa hayo majibu pia....ishi sana mjomba.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 жыл бұрын
Our lady was prepared as a leader. She has all the details of many sectors in our country. Great information briefly and insightful. Congrats mama Samia binti yake Suluhu wa Hassan.
@dannypeter4951
@dannypeter4951 2 жыл бұрын
Hongera sana mama raisi wetu haya ni kati ya mahojiano Bora Bora zaidi,wewe ni kiongozi Bora umebarikiwa mungu akupe maisha marefu zaidi
@honomaria7279
@honomaria7279 2 жыл бұрын
Thank you our dear president. You are realy a visionary woman and I think this is the kind of a woman or a President we need for more other five years. Also your capacity of answering such great questions from such great man Tido Mhando.. what I m surprising is your knowledge of our country. Congratulation mama kaza mwendo. But the keen point is those you entrust responsibilities. Pay attention to those people
@victormahimbo
@victormahimbo 2 жыл бұрын
I support
@mizingayaudongo1097
@mizingayaudongo1097 9 ай бұрын
Excellent !
@nazraseiban1082
@nazraseiban1082 2 жыл бұрын
An exceptional interview...congrats to Mama samia and not forgetting Bw. Tido ! Keep it up mama Samia u make us proud🥰
@mage5371
@mage5371 2 жыл бұрын
Mama Samia SHIKAMOO KUBWA, nakufurahia, nakupenda najivunia mno uwepo wako toka ndani ya moyo wangu. Mama u mkarimu una dini, una lugha laini na safi yakutoa nyoka pangoni👏🏼👏🏼
@marianmartin7483
@marianmartin7483 2 жыл бұрын
Mzee Tido wewe ni gwiji wa habari. Hongera sana, mawali yako yanamsingi sana.
@harunamaboyi8937
@harunamaboyi8937 2 жыл бұрын
Honge raisi wetu wa afrika hongera sana
@binurusm8886
@binurusm8886 2 жыл бұрын
Mama, Binafsi Nakupongeza sana, Mwenyezi Mungu atakuinua na Kukulinda daima, URaisi wako Ni Mpango wa Mungu, Hukujaza fomu Kuomba URais, Mungu Ibariki Tanzania Yetu, Aamina.
@ismailally7212
@ismailally7212 2 жыл бұрын
Thank u mamaa
@PrincePaulIowa
@PrincePaulIowa 9 ай бұрын
God bless you my President! We are so proud of your accomplishments! Keep it up and enjoy fruits of your labor Mama! 🎉🎊👏
@deogratiasmacha7646
@deogratiasmacha7646 2 жыл бұрын
Mzee Tido na kukubali sana Tokea Radio Tanzania hadi Leo,nimependa sana haya Maojiano yako na Rais Samia ni yaubunifu wa hali ya juu,Unaviwango vya hali ya juu kimataifa zaidi.
@isabelamaganga1360
@isabelamaganga1360 Жыл бұрын
Wow very informative, congratulations madam president
@doricemalisa5712
@doricemalisa5712 2 жыл бұрын
Mama hongera sana umeielezea vizuri halihalisi ya nchi yetu, unajua Mama mm nakupenda sana kwa kuwa unatueleza ukweli ili tusibweteke tufanye kazi
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 2 жыл бұрын
Ww ni mtumishi wa umma
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 2 жыл бұрын
@@ramsdenjames9782 Huyo ni chawa
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 2 жыл бұрын
@@husseinyusuph5458 inawezekana
@antonylaizer1250
@antonylaizer1250 2 жыл бұрын
Upo vizuri mama yetu Mungu Aendelee kukuinua juu zaidi tido hoyeeee
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 2 жыл бұрын
Mahojiano bora kabisa. Hongera mama! Hii ndio maana ya uhuru wa vyombo vya habari. Hongera Tido kwa umahiri katika kazi yako.
@jeremiahmaina1764
@jeremiahmaina1764 2 жыл бұрын
Rushwa imeongezeka maradufu has polisi
@komboabduhaji5047
@komboabduhaji5047 9 ай бұрын
Dah..! Yani mama nakuombea kwa Mungu akubarik sana katika uongezi wako kweli una nia safi kwa Watanzania
@shafiiabdallah1347
@shafiiabdallah1347 2 жыл бұрын
AMEKUA mkweli sana raisi amekua wazi kwa kila kitu hongera sana kwakutuambia kila kitu mungu akulinde na akupe nguvu
@idrisakabiliga7131
@idrisakabiliga7131 2 жыл бұрын
Well done tido.Interview ipo vzr umeipangilia vzr
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 2 жыл бұрын
Tido Mhando unamuuliza maswali mazuri,rushwa,madawa kulevya,anachenga sana
@elishamuganyizi6605
@elishamuganyizi6605 8 ай бұрын
Hongela saana mama biashara pasipo kukopa haipotena ila watendaji ndomgogoro halafu wenyewe haohao wanasingizia mamakasema. Ukali ukiwepo katika watendaji mamboya takaapoa kwani haonivichomimno nishidatupu!
@MrMwebesa
@MrMwebesa 2 жыл бұрын
Brilliant Interview..
@zeyanaalhabsi8636
@zeyanaalhabsi8636 2 жыл бұрын
Manshalaa mama kazi iendeleee nakupenda sana mama.piga kazi msma❤️❤️🤩🤩
@melkisedekkaijage2777
@melkisedekkaijage2777 2 жыл бұрын
A very brilliant interview ever from one of the most experienced journalist. Great Tido. Congole our beloved mom
@alicenzioka3118
@alicenzioka3118 2 жыл бұрын
I love the interview very great .Tanzania swahili is top
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 жыл бұрын
Our president is very intelligent, we are proud of her, she knows what she is exactly doing, she will lift our nation somewhere higher than here.Congratulations madam president we are behind you.
@VORTEXAF
@VORTEXAF 2 жыл бұрын
Mafuta na chakula vikipanda bei na mishahara izidi
@kabirigisaidi8253
@kabirigisaidi8253 2 жыл бұрын
Hongera sana Mama Samia, nakupenda, Unatia faraja sana. Mwanga unaonekana, Mungu akusimamie akuongoze vyema kwa hekima na utulivu usivimbe kichwa ukawa papa kwa kiburi. Nakupenda Rais wangu.
@trevisrodriguez7484
@trevisrodriguez7484 2 жыл бұрын
Sector ya madini kumbe inachangia 7% za pato la TAIFA serikali inapaswa kuongeza kuwatoza kodi hawa jamaa hii 7% bado wanatunyonya
@janeelly5824
@janeelly5824 2 жыл бұрын
One of the best interview of our honourable President,big up mama✍️
@henrymyinga9295
@henrymyinga9295 2 жыл бұрын
hongera Sana tido hongera Sana mama kwa kuelezea vizuri na mapokezi mazuri kwa mwandishi huyu mkongwe nimefurahishwa sana
@kadogojohn7643
@kadogojohn7643 2 жыл бұрын
Kwanza kabisa nawashukuru Azam Media kwa kuleta mahojiano haya muhimu naamini viongozi hawawezi kufanana katika kutengeneza mipango binafsi nina amini mh Rais anaweza kuyarekebisha mengi kulingana na namna anavyojibu maswali ya mwandishi anaonesha nia anayo ya kutufikisha pahala mwenyezi mungu akufanyie wepesi.
@hamisiramadhani3538
@hamisiramadhani3538 2 жыл бұрын
Hongera sana mama mama analea tunashukuru sana mama Mimi mwananchi wa kaliua ninafurahia sana uongozi wako leo ninaona kila unachokisema unamwaga pesa kila kona ya Tanzania kwetu tumeona mradi wa barabara za mitaa mama nakuomba utuangalie na kwenye huduma ya maji kwetu maji tatizo
@livingstonepeshu1512
@livingstonepeshu1512 2 жыл бұрын
Mama, Mimi mkenya. But you are just excellent. Umefanya vizuri Yani sana
@johnmagwila3002
@johnmagwila3002 2 жыл бұрын
Hongera saana Raisi wangu kipenzi mama Samia, ufafanuzi huu ni wa hali ya juu,ama kweli wewe ni kiongozi shupavu.Wewe ni kiongozi na kiongozi hupangwa na mungu,hivyo mungu amekuteua wewe ili uiongoze Tanazania kwa maarifa makubwa na weledi uliotukuka.Mimi kama mtanzania sijutii kukuona upo madarakani kwa wadhifa wa mwisho wa uraisi,maana unachapa kazi na hulali kwa kuona Watanzania wanapata maendeleo makubwa na maisha nafuu.Viva mama Samia,kidumu chama cha Mapinduzi.Ombi langu raisi wangu mahojiano haya na uzuri wa ikulu ya Dodoma yaingie kwenye filamu yetu pendwa ya TANZANIA THE ROYAL TOUR.
@tumsifudavid5887
@tumsifudavid5887 2 жыл бұрын
Hongera sana Mama Samia Raisi wetu. Mazigira mazuri. Hekima ya Mungu iendelee kukuhekemisha kwa Taifa letu..
@magigechambiri9562
@magigechambiri9562 2 жыл бұрын
Mama juuu ! Kidumu chama tawala.ufafanuzi ulioenda shule.
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 жыл бұрын
Hongera sana Mama kwa naongezi yako ya mafupi n Wazi
@edsonmbilinyi8551
@edsonmbilinyi8551 2 жыл бұрын
Well done Tido! I appreciate AZAM media
@jennywenu5506
@jennywenu5506 2 жыл бұрын
I wish to reach your confidence level Mr. Tido, hupepesi na hung'ang'anii majibu. Nice interview
@joezeno8
@joezeno8 2 жыл бұрын
Yuko vizuri journalist
@abdoolmerlicqeid304
@abdoolmerlicqeid304 2 жыл бұрын
Excellent interview.I learned alot from it.
@salomeivorant3266
@salomeivorant3266 2 жыл бұрын
Appreciate your work Tido good interview 🙏🙏🙏
@nguvuyafikramedia1202
@nguvuyafikramedia1202 2 жыл бұрын
Masha allah interview iko vizr kwa kiwango cha kimataifa
@mr.petrokhuni9363
@mr.petrokhuni9363 2 жыл бұрын
Pamoja na mambo mengine ila mama yupo humble sana, kiufupi ana uelewa mkubwa wa ki diplomasia, atatuachia docomentary nzuri sana
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 9 ай бұрын
Rais wetu, Samia S. Hassan, uko vizuri sana, sisi wenye Macho huwa tunaona. Ila kuna wanafiki, wenye Mfumo Dume na Udini. Achana nao hao, tulisha wazoea. Muumba wetu atawahukumu. Mnafiki ni Mnafiki tu. HATA. UKIMPA NYAMA YA KUKU, ATASEMA NI YA KUNGURU😂😂😂😂
@peterswai391
@peterswai391 2 жыл бұрын
Hongera Mhe Raisi Samia Suluhu hassan , God bless more,
@samueltomboza3767
@samueltomboza3767 2 жыл бұрын
mom thanks allot it's good point God bless you all the time
@willewairaqwillewairaq2353
@willewairaqwillewairaq2353 2 жыл бұрын
Mama yupo vizur🇹🇿 tanzania lazima isonge👏👏👏👏👏
@SalasyaCK
@SalasyaCK 2 жыл бұрын
Kutoka Nairobi Kenya, nimeipenda haya mahojiano. Halafu pia Rais Samia hongera kwa uwazi wako Na kazi nzuri kwa Wanamuungano Wa Tanzania. Mungu akuzidishie.
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 жыл бұрын
Shikamoo mama Samia👌👌hujaniangusha na majibu ya Sintofahamu umejibu kwa uwazi this is my Eid present 2022💃
@kadirdanfodio9359
@kadirdanfodio9359 2 жыл бұрын
Ni Mahojiano yakina na Mazur Asante Uncle TIDO
@safhe-mpungi6075
@safhe-mpungi6075 2 жыл бұрын
"Mguu wa kwenda Mtume kauombea"
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 жыл бұрын
Hongera sana Mh! Rais huu ni Ujumbe Mzuri sana kwa Wananchi unaowaongoza, Transparent hii ni nzuri sana sana. Kiongozi Mzuri anaweza kujisemea mwenyewe, Congratulations our Mam.
@haroldtarimo3115
@haroldtarimo3115 2 жыл бұрын
Naiona future bora Kwa nchi yetu katika miaka ijayo tumpe Mama muda tuone matokeo Big up sana Mama yetu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 жыл бұрын
Akae mpaka achoke mwenyewe ah ah ah
@praisetv5560
@praisetv5560 2 жыл бұрын
Mama uko vizuri. Nakuombea Mungu akupe hekima na busara zaidi.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Lissu Azungumzia Mahusiano Yake na Mbowe: 'Hali Sio Nzuri Sana'
9:13
Mpambe wa Rais alivyowasilisha bahasha ya siri bungeni
9:39
Daily News Digital
Рет қаралды 837 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
BBC News Swahili
Рет қаралды 176
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 561 М.
Fahamu maisha binafsi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
4:29
BBC News Swahili
Рет қаралды 174 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН