No video

HABIB MAZINGE MADA.SIKU KUU YA CHRISTMAS( X-MASS) IPO KWENYE QUR'AN AU BIBLE?? ©1442-2020

  Рет қаралды 52,410

DEEN TV KENYA

DEEN TV KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 3 жыл бұрын
Mazinge Allah akuzidishie umri na akuongeze kwa yaliyo mema kwa kazi unayoifanya unatujulisha tusiyo yajua
@masala8099
@masala8099 3 жыл бұрын
Inshaallah
@ndayizigadeo5044
@ndayizigadeo5044 Жыл бұрын
Allah akujalie umli mulefu tuzidi gupata ilimu gutoka kwako
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 жыл бұрын
Dhehebu la imam shaafii Haoni ulazima wa kusema بسم الله Wakati wa kuchinja.
@delickmarco3945
@delickmarco3945 7 ай бұрын
Uko sawa mazinge ndio maana ss wasabato hatukubaliani Yani watu wamefumbwa macho
@issafaquedalaura8279
@issafaquedalaura8279 Жыл бұрын
DD Safi
@celineofficial5223
@celineofficial5223 3 жыл бұрын
Kama kweli u mtume wa mungu hufai kukejeli dini nyingine hata kuongezea kisichoandikwa ili tu kuwafurahisha wachache, nikisoma kifungu hicho hicho chasema nawe utasherehekea siku yako na wanao, mkeo mchakazi wako, yatima na wachane wala haichataja Noel wala eid usipofahamu alichopewa muislamu utaishi kutukana dini usizojua maadili yake, kumbuka ubora wa mtu au wokofu wa mtu upo nafsini mwa mtu dehebu au dini ni pahali pakukusanyika ili kuendeleza husia ya mwenyezi mungu
@user-kb4dk7zo1l
@user-kb4dk7zo1l 7 ай бұрын
Celineo ndugu yangu hio n kweli, kwani wasomea kitabu gani hebu soma king James version uone hakuna, ama soma 9:5 Hosea basi
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
RiP 🙏yahya
@abedikabura9637
@abedikabura9637 Жыл бұрын
Sahihi
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 жыл бұрын
Wakiristo NA mayahudi ni halali vichinjwa vyao, Ushahidi ni Kauli yake Allah : وطعام الذين أوتوا الكتاب حل لكم وطعامكم حل لهم " Rejea suratul maaidah aya ya 4
@barigicade4959
@barigicade4959 3 жыл бұрын
M.A
@jaffarmohamed6859
@jaffarmohamed6859 3 жыл бұрын
Jazaka Allah
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 10 ай бұрын
KRISMASS na MAULIDI hazina utofauti, ukisema kusherehekea kuzaliwa Yesu {KRISMASS) hakuna kwenye maandiko, na kusherehekea kuzaliwa mtume Muhammad Swallallahu alaihi wasallam (MAULIDI) HAKUNA KWENYE MAANDIKO, Mazinge usiwaseme Wakristo wakati hata kwa Waislam wamezusha sherehe ya Maulidi
@delickmarco3945
@delickmarco3945 7 ай бұрын
Hayo ndio sikukuu halali inayo itwa makambi au sikukuu za vibanda na nikwasiku Saba nahiyo unafanywa na wasabato makambi
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz 3 жыл бұрын
Chukua holy bible au tafsiri ya king james version ndio imeeleza vizuri biblia ya iliyotafsiriwa na iringa imeweka idi kumaanisha ni siku kuu lakini sio maana ya idi ya kiislam jua kiswahili kimetokana na lugha za kiarabu
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 жыл бұрын
Wewe Jua Yesu alizawa mengine Mwachie Mungu
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz 3 жыл бұрын
Eid au idi ni sikukuu na ndio maana biblia zilizotoka sasa wamelitoa neno siku kuu na kuweka idi ikimaanisha ni siku kuu
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
Hakuna EID,neno ni IDD sasa nyinyi kwa kuwa mnataka kulifanya neno IDD liwe la kizungu ndo mmeanza kubadili herufi,nipe maana ya EID.
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
Pia BIBL haina EID wala IDD,labda nionyeshe Sura na Mstari unaoongelea hizo sikukuu zenu ambazo hata kwenye Calendar za Nchi nyingine hamna,ina maana hawazitambui tu.
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
Acha Uongo,hatumpi Muislam kuchinja hiyo si kweli,sisi binafsi tunachinja wenyewe.
@ramadhaniissa5370
@ramadhaniissa5370 3 жыл бұрын
Acha ueongo mi mwentewe nimepewa sana kuku na wa ktiso ni chinje
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
@@ramadhaniissa5370 Hao hao Wakristo jina na siyo Spiritual Christians,siwezi mpa eti Islam anichinjie,mwenyewe nachinja na lslam wanakula sana tu. Acha kujidanganya,tunaona hata mnavyokula kiti MOTO,nyinyi ndio walaji wakubwa.
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Mkichinja mnasemaje waklisto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣kwajina ra baba na Ramwana ama unasemaje 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 2 жыл бұрын
@@shabansalee4924 Aliyekuambia eti ukichinja hadi useme kitu nani? Tatizo mnajihesabia haki sana nyinyi watu,sasa msipende kuhukumu maana na nyinyi mtahukumiwa. Mimi nachinja mwenyewe na waislam wanakula vilevile,maana pia kinapitia mdomoni na kuingia tumboni tu.!!😎😂😅
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 жыл бұрын
Si lazima mtoto kukaa miezi Tisa tumboni, Mtoto mpaka miezi sita anakaa tumboni, Kwa kauli yake Allah, وحمله وفصاله ثلاثون شهرا. Rejea suratul Ahqaaf.
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz 3 жыл бұрын
Biblia mnatoa maneno mnaweka ya kwenu na ndio mchezo wanaofanya hawa mashee kuwadanganya wakristo wasioisoma bible
@peterkasamya3960
@peterkasamya3960 3 жыл бұрын
Nakuuliza swali mazinge kama wakristo atuna dini kwa nn mtume wakati kifo kinamchukiwa alimuomba yesu amsamehe kwa kuwapotosha waumini wake na kwa nn nyinyi waislamu mnamuombea mtume na wakristo wanamuomba yesu na sio kumuombea kama nyinyi waislamu..
@allynassor500
@allynassor500 3 жыл бұрын
Ww umskia wpi mtume kmuomba yesu amsamehe unao ushahidi au unaropoka tuu
@magdalenajohn6564
@magdalenajohn6564 3 жыл бұрын
Badala uhubiri dini yako unakosoa usichokijua.sasa bikira Mariam alipokuwa anapashwa habar alishachukua mimba Elizabeth alienda kumtia moyo.hujui unachoongea .Sasa basi neno la Mungu linasema mueleweshe mjinga atakuelewa Ila mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake.wewe ni mpumbavuuuuuu mkubwa
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz 3 жыл бұрын
Kumbukumbu la Torati 16:14 [14]nawe utafurahi katika sikukuu yako, wewe, na mwanao, na binti yako, na mtumwa wako, na mjakazi wako, na Mlawi, na mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe, walio ndani ya malango yako. Maandiko yameandika hivyo hiyo bible mliotumia ni yakwako Mazinde acha kuweka maneno yako
@neemamaganga9774
@neemamaganga9774 Жыл бұрын
Sio vizuri kujibu vibaya endapo kuna mtu anafafanua juu ya jambo ambalo si la imani yake. Kikubwa ni kuamini na kushikilia ulicho nacho. Usitishwe na maneno ya mtu na Hakuna mtu aliwahi kusema kuwa dini yake ni mbaya. Kikubwa ni kuthamini na kufuata maandiko ya kitabu cha dini yako. Hivyo vingine tunahangaika na maisha ya watu wengine wakati hata ya kwetu hatuyafuati inavyotakiwa.
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 Жыл бұрын
Mpumbavu ww ndio maana siku hizi unajipendekeza kwa Harmonize Ili akuonee huruma akununulie gari.... Nani asiyejua kuwa Yesu hakuzaliwa December? Soma vizuri historia ya Christmas kabla ya kubwabwaja, first, hiyo X ilianza kutumika miaka hii, second, kipindi Christmas inawekwa Ukristo haukuwa dini kubwa na haikuwa dini ya nchi yoyote ile. Third, neno lenyewe Christmas halimaanishi kuzaliwa Kwa Yesu bali linamaanisha Ibada ya Kristo...tarehe ya Yesu kuzaliwa haijulikani so tunachofanya tumeichagua siku hiyo kukumbuka kuzaliwa kwake.....mzeee danganya wajinga wenzako but not me ...Fool
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
Hata hiyo Kumb.ya Torat 14;16 haisemi habari ya Idd labda nikusomee"na bundi,na mumbi,na bundi mkubwa"hapo ldd iko wapi?? Hata hiyo 16;14 inaongelea siku kuu ya Vibanda ni siyo Idd,acha uongo.
@abdallahhangaiko4652
@abdallahhangaiko4652 3 жыл бұрын
Duuuuuuuh kumbe mazinqe akili huna ama kwl wajinqa ndio waliwao soma Bible uelewe usikulupke hahahaha
@neemambotola1139
@neemambotola1139 Жыл бұрын
Ivi Kwa Nini waislamu kazi yenu kufatilia mambo yasio yahusu..ni dalili kwamba hamujiamini Kama unajiamini dini Yako ni ya kweli kwanini usumbuke na dini ya uongo..acheni mambo ya kijinga...tangazeni habari njema kuhusu uzuri wa dini yenu mmbwa ....
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
Anza kusoma Kumb.ya Torat16;13-15 utapata maana,hakuna Idd hapo acha kudanganya waumini wako,ni bora ufundishe kurani yako.
@editrudesmbonde9051
@editrudesmbonde9051 3 жыл бұрын
Hivi mtaacha lini kuongelea mambo ya lmani za wenzenu??hamna kazi ya kufanya?? Hata kama ni watu kumi walikaa wakapanga juu ya X-Mas wewe inakuhusu?? Soma quran,tuache na lmani yetu Biblia haikuhusu wewr,wasomee watu kitabu chako. Huwezi kuushusha Ukristo hata ufanye nini,unajisumbua tu. YESU akusamehe sana.
@abedikabura9637
@abedikabura9637 Жыл бұрын
Sahihi
HABIB MAZINGE   UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 1
30:01
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 156 М.
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 32 МЛН
NDACHA AVULIWA NGUO NA Pro Dt MAZINGE HAAMINI KILICHOMTOKEA
23:35
arkas online tv
Рет қаралды 22 М.
Wakristo wastuka kusikia hakuna kuokoka hapa duniani kumepambazuka
1:25:45
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 14 М.
freemasonry  no 1 mtowa mada ust Suleiman Mazinge , usisahawu Ku subscribe.
9:36
KRISMASI NI KAZI KWISHA!! WAKRISTO WENGI WAMEELEWA KUWA HAIMO KWENYE VITABU
1:33:12
HABIB MAZINGE   UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 4
29:17
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 161 М.
MAZINGE vs GERISHON ODARE..JE PAULO NI MTUME?
1:34:19
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 138 М.