Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.