Uislam ni dini ya Haki wallah najivunia kuwa Muislam ...Yaa Rabi tyujaalie mwisho mwema na tufe tukiw waislam inshaAllah🙏😍
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah shukran masheikh wetu kwa kazi hii ngumu ya da'waa allah awalipe kila mazuri, uisilamu raha na nidini ya haki najivunia kuzaliwa muisilamu
@faridabakari85116 жыл бұрын
Mashallah mashallah mabrook wallahi masheikh Allah atawalipeni kwakuitanza dini InshaAllah ameen kwasote wote waje Dini na imani yakiislam inshallah ameen 1000x
@vimkhamis2794 Жыл бұрын
Allah awape ulizi wake wa kutosha Mashekhe wetu na Awabariki sana.
@chidistar19444 жыл бұрын
Hudhuni kwa waislam kumuona sheikh Mazinge anazeeka inshaallah mwenyezi mungu amjaalie pepoo.
@ashamasudi94417 жыл бұрын
MashaAllah Allah awape umri zaidi mashekhe wetu tuko mbali lakini nyoyo zetu zafurahika MashaAllah
@mansoorsadiq57217 жыл бұрын
Allah akuhifathi habib mazinge nakupenda kwaajili ya allah Allah akujalieufekwenye kazihio yakueneza dini ya allah
@abdallahamad65966 жыл бұрын
Mansoor Sadiq etyfcjih
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@zeenathabdulaziz59717 жыл бұрын
ALLAH,awazidishie mashekhe wangu!ni neema kua ktk dini hii,maana kila kitu kipo wazi nashangaa kwanini makafiri si waelewa
@kibibimwanamvuamohammadmoh98237 жыл бұрын
Ma shaa Allah....masheikh wangu nawapenda kwa ajili ya Allah subhaanahu wataa'alaa ,naye akulipeni khery kwa kazi mnayo ifanya
@nasraalobaidani31946 жыл бұрын
WaLLAH naupend uislam nampend ALLAH ndomung pekee ukristo niukafir nabiashar tu
@AliAli-kg9ki7 жыл бұрын
Masha allah habib mazinge kiboko wa makafir baraka allahu fiq
@hawawezidianakukushusha7567 жыл бұрын
wallah mi nampenda sana huyu sheikh kinyogoli ivi ana wake wangapi Akasha plz nijibu
@kibibimwanamvuamohammadmoh98237 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@mansoorsadiq57217 жыл бұрын
Viliunanyopingwa na jua uanjani basi namuomba allah siku ya kiama akakufinike na kivulichake siku ambayo hakutakua nakivuli ispokua cha allah amiin yaraby na pamoja na waislam wakweli
mashallah mola awazidishie mzidi kuwalingania watu dini ya ALLAH subhana wataalah
@bosslady17724 жыл бұрын
Gonga like hapa kama unapenda midahalo kama mimi
@nak34774 жыл бұрын
Huzun kwa waisalam..shekhe mazjnge kashazeeka...allah amlipe kheri kwa kaz ngumu anayofanya...
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@maryammakhumo21497 жыл бұрын
mwenyezi mungu awajalie kila kheri na awaepushe na shari na awape umri mrefu wenye sheri na baraka mzidi kuekimisha watu katika njia sahihi
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@manasemwakilasa59313 жыл бұрын
Nashukulu mungu kuwa islam
@princeomar34927 жыл бұрын
mashaallha Allhla awajaalie mashkhe wetu wa kislam
@isumailibalongo48907 жыл бұрын
mungu awape nguvu wahadhiri wetu
@ramadhanidillu96644 жыл бұрын
Masha Allah Allah awazidishie maarifa ya kutufundisha
@KelvnJohn-w5t10 ай бұрын
Mazing pole sana unazan mungu anapenda okoka ubatizw
@mussamahmouud89444 жыл бұрын
Allah sisi waislaam tumekuamin tusamehe makosayetu ya Allah
@hilmialiomar19834 жыл бұрын
Mashallah sheikh mazinge na wenzio kwa kazi ya kheir munayoifanya(dawah),Allah atakujalieni firdous inshallah.
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@khuwailatnassor85217 жыл бұрын
mm naona raha sana kuona hii midahalo ya dini,wallahi uislamu ni dini ya kweli
@sulemanabbas99555 жыл бұрын
Mashallah
@abdulihafidhali53795 жыл бұрын
Masha Allah
@jeanmjimmy4 жыл бұрын
Endelea kujidanganya.
@athumanibakary60294 жыл бұрын
Namshukulumungu kwakuniumba mwisilam uisilam ndio din ya mungu
@fineboyAfrica3 жыл бұрын
@@jeanmjimmy ww ndy unajidanganya mbwa ww na moto ni wenu kabisa Uislamu ndy Dini ya Haki uo Ukiristo ni ubabaishaji na ujinga tu hamn kitu
@zaharanituwano66157 жыл бұрын
maasha Allah shkh mazinge Allah akuingize peponi
@Awatee3 жыл бұрын
Amiin
@swaleheharuna74514 жыл бұрын
Allah awalipe kila lakher
@alibell52463 жыл бұрын
Alhamdullah najivunia kua muislam
@ashababy18147 жыл бұрын
Asalamwalakum awa ma shiekh wanafundish koroani.tunaomba watufundish dini yetu.kwamasimu.
@najmakhamis80523 жыл бұрын
Najikuta namaliza mb naingiza tena kwa maneno matam ya uwislam najijunia kua muislm na asio kua muislm akaribu katika din ya kwly ambayo itaenda kumtetea isha allah
@siamabakwe42744 жыл бұрын
Nawashangaaa wakristo jaamani kubishana namungu basi Allah mkubwa mno
@alimaalima60167 жыл бұрын
masha allah ...wallah naipenda sana dini yetu
@bentybenty23433 жыл бұрын
Masha Allah Mazinge nakupenda buree
@abdulbogoyo12434 жыл бұрын
Hiki kifaa kipya kimetengenezeka vizuri: Shekh mazinge salamu zako.
@زهرغنيه4 жыл бұрын
Najivunia kuwa mwislam
@abdishakurmohamed93944 жыл бұрын
masha Allah mashekhe wetu
@nasraalobaidani31946 жыл бұрын
mbarikiw sana mashekh wetu
@msalabanreko70014 жыл бұрын
Dah yan mbon mnateseka mno kwann
@siamabakwe42744 жыл бұрын
Shukuran baba mazinge basi sana tunapata somo kabisa
Ninashida na namba ya yeyote anaefanya hiz kazi za daawa
@ummyhawaaweis38676 жыл бұрын
Waislam wallah tushukuru alhamdulillah
@SsAa-by2ty3 жыл бұрын
Tackbir
@Awatee3 жыл бұрын
Alhamdulilah
@Awatee3 жыл бұрын
@@SsAa-by2ty Allahu Akbar
@rabiawaziri39023 жыл бұрын
Alhamdulillah
@ashababy18147 жыл бұрын
Sabab tuko mbal.ishallah
@thethreekingstheawadh79797 жыл бұрын
Alhamdilillah we are Muslims
@asmaabdallah40555 жыл бұрын
Wakristo hawana kitu
@asmaabdallah40555 жыл бұрын
Yeso anasema sivyema kutukuwa cha kulala cha watoto kuwatupia mbwa haaaha hamna nafaasi kwa yeso
@simbadume43187 жыл бұрын
Shukran masheikh
@benjaminlijongwa37153 жыл бұрын
HUO SIONMDAHALO MNAONGEA NA WASUKUMA MIKOKOTENI
@swadaqtr10273 жыл бұрын
Mungu awalinde na hasad
@mirajishentembo49625 жыл бұрын
Safii mno
@fatumamohammed61303 жыл бұрын
Mashaĺah
@mamaaaishamamaaaisha75057 жыл бұрын
Masha Allah
@kimwagarajabu28917 жыл бұрын
Hakika wakristo wote mmepotea, km mnabisha nyie endelea kubisha afu mtaona siku ya mwsho nn kinawakuta
@omargbabagbaba42317 жыл бұрын
masha Allah
@saidahmed96883 жыл бұрын
mdahalo mzuri
@rilkabuya65194 жыл бұрын
Mashaallah tabarak allah
@saidahmed96883 жыл бұрын
mdahalo mzufi
@alisengi40124 жыл бұрын
Maashallah
@salehsuleiman85193 жыл бұрын
Takbiiir
@muharamimataula69787 жыл бұрын
Mashaallah
@mwanaishamlima20475 жыл бұрын
Mashallah
@majaliwamaheru53684 жыл бұрын
Yani Kaz ya waislam ni kuwanyoosha wakrsto na makfr katka njia saih lakn Hawa wakrsto na makafr weng wao wamekua na myoyo migumu Sana Sana kuelewa cjui kwann!? Na wale viongoz wao wanajua ukweli lakn Hawatak kusema ila mungu Alisha watambua kwa uroho wao viongoz wa makafr na wakrsto 50:6 yeremia
@hirammbugua75933 жыл бұрын
muhuli wa mungu ni nini,mazinge usindanganye????
@hawawezidianakukushusha7567 жыл бұрын
mwendelezo plz
@stevenmanyotax33304 жыл бұрын
Mwaacha kusali uko mwaja bishana mungu c wakuekew vikao kama ivo wte mlioko apo mmepotea polen
Muhammad mwenyewe anadai hajui atakalo fanywa yeye siku mwisho wala hajui watalo fanywa wanaomfwata alafu muingie peponi izo ndoto za hadithi za uongo za mtume wenu.....
@halimasssomar87935 жыл бұрын
Umepotea ww
@tamiah-zm4io5 жыл бұрын
Unauthubitisho n unayoyasema??
@shemsiasalumu92004 жыл бұрын
Umepotea kwa kweli
@Awatee3 жыл бұрын
Allah akuongoze ktk njia ya haki na Mtume muhammad hakuwa muongo na ahad zake si za uongo zinatoka kwa Allah mfalme wa wafalme na Yesu tunamjua kua ni mtume wa Allah au mayahud na manaswara wanaelekua kua mtume hakua muongo tafakar sasa
@myself41286 жыл бұрын
Waislamu watabakia kukariri sababu ndio maana ya quraan(kisomo cha kukariri) hawataielewa biblia mpaka mwisho wa dunia!!! Sababu hawana roho mtakatifu!! Na majini hayawezi kuwasaidia kumuelewa Mungu!!!
@AKASHA.P6 жыл бұрын
Bibilia ipi?
@khalfanhamisi42186 жыл бұрын
C waulizwa na Sheikh wetu bblia IPI?
@halimasssomar87935 жыл бұрын
@@AKASHA.P amuongoze uyo ..ashapotea
@maryamsalim13034 жыл бұрын
Nyinyi wakristo ndo hamuijui biblia yenu hyo mnayoijua nyiny ni manen ya watu mnaowaita viongoz wenu
Wacheni kupotea uache uislam urodi kwa ukafri mola akunusuru kaka
@melithanyati17354 жыл бұрын
Mazinge kazidishisha usanii hawezi kusimama katika hoja
@thaniabas51143 жыл бұрын
Azinge na mwamposa nan msanii???! jib nimwamposa wachen kupotea
@rbagha52802 жыл бұрын
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven. Peace! Ray from Canada
@samuelngogo55723 жыл бұрын
Wacha uongo Mazinge wakati Mohamed anasema anaiweka roho yake mikononi mwana wa Mariam kiama ikisimama
@jeanmjimmy4 жыл бұрын
Wakristo sikilizeni!!! Yesu alisema siku za mwisho kutakuwa na manabii wauongo na Wapinga Kristo. sikiliza sasa kwa umakini baada ya Yesu kuondoka ikaja Roman Catholic nabii wauongo na Ueslamu mpinga Kristo.
@tatukhatibu3174 жыл бұрын
nenda uko wakristo waongo kama nini
@saidmgalula84714 жыл бұрын
@@tatukhatibu317 watapata taabu hao siku ya mwisho Allah atujaalie mwisho ulio mwema waislam wote duniani.
@maryamsalim13034 жыл бұрын
Hata nabii issa mnaemuita yesu alisema juu ya ujio wa mtume muhammad (s.a.w) na ndo mtume wa mwisho
@maryamsalim13034 жыл бұрын
Waislam tunamuamin nabii issa kma mtume lakn si kma mungu mungu ni mmoja tu ambae ni Allah (s.w) ambae hakuzaaa wala hakuzaliwa
Mazinge ameshindwa na hoja ...anapigisha takbir badala ya kuangazia hoja
@hadijamsangi82303 жыл бұрын
Mashaallah,m/mungu awape umri mrefu waweze kuendelea kutoa elimu
@halimanassor73093 жыл бұрын
Mashallah
@faridaali68505 жыл бұрын
Mashaallah
@zenassylvester1256 жыл бұрын
Muhammad mwenyewe anadai hajui atakalo fanywa yeye siku mwisho wala hajui watalo fanywa wanaomfwata alafu muingie peponi izo ndoto za hadithi za uongo za mtume wenu.....
@ramadhanmussa63185 жыл бұрын
Toa andiko
@alwattanihaji98384 жыл бұрын
Wee kasome wewe mwenyewe biblia ya 'mwanzo', sio kusomewa na mchungaji anavotaka yeye..
@maryamsalim13034 жыл бұрын
Nan kakwambia hajui soma vzr then ndo utoe hoja
@zuhulas10364 жыл бұрын
Pole.sana.na.upotofu.mlionao.wazahili
@yusfakhamis92433 жыл бұрын
Mtume Muhammad ataingia peponi na kila anayemuamini Allah na Mtume Muhammad