Ushuhuda huu una mambo mengi sana ya kujifunza, hongera sana Mtumishi kwa ushindi huu. Singles tarehe 30/9 tusikosee uwanja wa Tanganyika packers Kawe-Dar es salaam. Mungu atatenda jambo jipya kwetu.
@betsebamwenda43792 жыл бұрын
Maombi huwa hayafeli. Cheki shetani alivyomwongo eti mambo yataenda vizuri. Hongera mtumishi kwa ushuhuda huu watu wa Mungu tumkimbie shetani.