Waoooh our God is amazing God Congratulations winner 🎉🎉❤❤
@tanzaniahomes4308 Жыл бұрын
Congratulations Nsia kwa kuvuka hapo, Mungu aendelee kukuinua kwa kufanya kusudi lake.
@carolineg.3276 Жыл бұрын
Mungu ni mwema sana na Mungu ni halisi sana, ni kuamua na kutekeleza. Mungu sitaki kupoteza muda tena yatosha nilivyozunguka. Mungu akubariki sana winner
@VeronicaHeaveniel-zu9hi Жыл бұрын
Awesome...! Glory to God
@brendakavishe3320 Жыл бұрын
Ameeeen
@tumainijoshua5090 Жыл бұрын
NIKWELI KABISA HATUWEZI KUBALANCE MAISHA YA TV NA IMANI LAZMA TUKIACHIE KIMOJA
@joanelvalentina9956 Жыл бұрын
waooh atukuzwe Mungu maana hakutaka mtoto wake asitembee kwwnye nafasi ametumia kila namna kuhakikisha anamweka kweye nafasi na anafanya kusudi lake.Roho Mtakatifu aendelee kukuongoza na kukusimamia mtoa shuhuda