Historia nzuri hakika imenipa sura nzuri ya kunifanya nielewe mambo mengi,very informative story
@Zahirimzee Жыл бұрын
M/mungu akujaalie Kila la kheri Leo na kesho inshallah(baba yangu)Habib mwamba
@br.samwelmparange4986 Жыл бұрын
Babu upo Sawa. Nawasihi wote tuyasahihishe yanayokera ktk mkataba huo ili Kwa pamoja tusonge mbele Kwa umoja wetu tuliorithi toka Kwa Waasisi wetu WA Taiga letu. insha'Allah tutaelewana.
@LeylaMufandish3 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu sheikh Mohammed Said ili tuendelee kunufaika na ujuzi wako labda tutazinduka usingizini maana information is power
@SA-xj8hc Жыл бұрын
Asante Sheikh Mohammed kwa kutujuvya na kutuzindua kumbe kuna madudu makubwa ya serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake wasiokua “ WAKATOLIKI” inakuaje kuweka “ memorandum of understanding “ na Makanisa ya kuwasaidia mabilioni ya fedha ya walipakodi kwa Wakristo tu wakati wanasema serikali haina dini?
@carloskalongo1171 Жыл бұрын
Njaa mbaya sana
@suleimamhamad116 Жыл бұрын
Mwenye enzi Mungu amsema kwenye Qur Ani tukifu kwamba yaliyomo makafiri ni mazito zaidi kama nyinyi mutayaona. Basi hatuwashangai chuki zao zidi ya Waislamu. Mungu azidi atupe Uislamu ushindi. Amen.
@HaulSidney7 ай бұрын
Wazanzibar wanajipendekeza sana kwa waarabu
@ahmedalbalooshi85183 ай бұрын
Sawa sawa na nyinyi munavojipendekeza kwa Wazungu na wamarekani
@simonnjovu586Ай бұрын
Kama hamuupendi muungano mbona huku Tanganyika mmejaa na hamtaki kurudi kwenu?
@tediusmakwara3931 Жыл бұрын
safi shekhe
@ahmedbaamironlinetv47533 ай бұрын
Hii ni njama YA Nyerere na inajulikana musiseme kua musiletewe udini baadhi yenu munao comment,, sisi zanzibar tumechoka na muungano hatuutaki kabisa ipo siku ishaallah Nyerere alitudhihirishia kua haipendi zanzibar haipendi uislam
@jhbakili9483 Жыл бұрын
Umeongea mema matupu hongera mzee, mwenyezi mungu akupe afya na hatima njima.
@salumsuleimankhalfan3414 Жыл бұрын
Sheikh Mohd mm nashauri ufanye kipindi na mama Maria Nyerere atueleze yeye anafahamu nini juu ya mchango wa Waislam kwa mwalim Nyerere.
@ignasmalema8354 Жыл бұрын
Mzee jifunze vizuri historia ,acha kukurupuka
@nashirkamugisha9425 Жыл бұрын
Hakuna gwiji wa hostoria ya kweli tanzania kama mohamed said.
@Mohamed.Suleimanc2 ай бұрын
Huna unachokijua ww kuhusu historia ya Tanzania
@mwalimuali1850 Жыл бұрын
Bora tuvunje muungano maana watanganyika hawana imani na nia njema na wazanzibari.
@derimkongwa5965 Жыл бұрын
Hujaelewa wewe
@ahmedbaamironlinetv47533 ай бұрын
Wala wewe hujaelewa vile vile@@derimkongwa5965
@IlhamKhalid-mt3jp3 ай бұрын
Masha allah
@The199269 Жыл бұрын
Huyu mzee huwa ana udini sana, kila akifungua mdomo lazima alete Ukristo na Uislamu, hizi dini tumeletewa tu jamani sisi sote ni watanzania, tujadili kwa mantiki ya utanzania wetu
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Kama hutaki kumsikiliza zima data unataka tusikilize maneno ya paulo tito 2:13 hatuna sisi ujinga huo bali sisi tutamfuata yesu 17:3 yohana..!
@The199269 Жыл бұрын
@@hassanmfaume4522 wewe mi mpumbavu tu, hizo dini mlizoletewa na waarabu na wazungu zimewasaidia nini zaidi ya kuwagawanya tu?? Stupid
@silvesterrichardhelenya1319 Жыл бұрын
Ongeeni ibovu wa mkataba dini ni vikundi vya kumwendea mwenyezi mungu kila mtu aabudu anachoona ni haki kwake
@gessanabuu99 Жыл бұрын
Mbona viongoz wenu wa juu wa dini wanaweka mbele udini kuliko maslahi ya taifa na hamuwakemei? Huend mnapiga makofi.
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Kwani mkataba si umepelekwa kanisani kujadiliwa nn ..!
@ericsamba464 Жыл бұрын
Daah huyu Mzee Mohamed Said pamoja na kuwa mwanahistoria mzuri sana, lakini huwa hawezi kuangalia jambo lolote bila kuvaa miwani ya dini. Kwa mfano, hili la bandari mbona halina udini wowote jamani?
@josephrutta6834 Жыл бұрын
Mzee kanishangaza sana hata Mimi. Kumbe nchi hii kuna watu wana UDINI hivi?? Mimi hata kwenye uchaguzi sijawahi fikiria dini ya mtu kabisaaaa! Nahisi sina wivu na dini yangu, inabidi niamke aisee.
@hamishassan6784 Жыл бұрын
sijui unaelewa au huwelewi au ndio unafanya makusudi. jifiche kwenye hiko kichaka lakini baadae utajutia ubinafsi wako. kwani hujui aliye wasema waislamu na wazanzibar badala ya kujadili mkataba? ikiwa Lema alikiri na kuonesha kuwa Samia ni rais wetu wote kwani hujui alikuwa anamaanisha nini. chokoeni tu nafasi ni yenu
@ritchiemuta1092 Жыл бұрын
Usitegemee jipya kwa huyu ni mdini sana vipi mkataba umepatikanaje??? Udini ni lugha yenu na hasa huyu bw said
@jamesmbata8542 Жыл бұрын
@@josephrutta6834 umeona eeh. Tatizo ss wakristo tunachukulia wote ni watz kumbe wenzetu wana agenda yao pembeni wanawachagua viongozi kwa dini zao😄
@hassanmfaume45223 ай бұрын
Udini upo mbona hampingi mkataba wa MoU wa makanisa na serikali kama ninyi mna tetea maslahi ya nchi mbona hamkulalamikia jueni kuwa nchi hii si yenu kwanza mko wachache sana asilimia zaidi ya sitini ni waislamu tuheshimiane tusidhulumiane wala tusikwazane..!
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Hayo yanini mkataba mubovu hatuutaki chaudini pelekeni huko
@nicolaskalunde Жыл бұрын
Ni mwalimu mzuri wa historia. But hapa ni ishu seriously haitubadilishi mindset. Hapa ni msimamo wangu binfsi sipependi MUUNGANO. Naburuzwa jamani hee!!
@globalpeacesummitstv8825 Жыл бұрын
Mkuu umeongea vizuri lakini hata aliyekuwepo Bandarini Nazri Karamagi ni Muislam. Hapa sio udini tusiendekeze hayo. Hapa ni vipengere vya Mkataba ndo vijadiliwe, lakini pia Kumtaja Rais kusiwepo kwa sababu ahusiki na Makando kando haya. Yeye alimpa Jukumu msaidizi wake (Waziri) naye ana wasaidizi wake Wanasheria ambao nadhani ndo walizembea kupitia Mkataba ule. Naona mambo yanazungumzika na yanajadilika . Tuwe watulivu na tuzungumze wala hatuhutaji kuhesabu Waislam ni wangapi na Wakristo ni wangapi, hebu tutazame Utanzania kwanza.
Chokochoko za kumfanya Nyerere alikuwa kitu kidogo hàziwezi kutusaidia chochote maana ni wazi kwamba alikuwa na marafiki na maadui vile vile. Namuona Mwandishi akijenga hoja ya kuuinua udini zaidi kuliko hoja iliyopo ambayo wengi wanajaribu kuitumia zaidi kuitetea DP World.
@gessanabuu99 Жыл бұрын
Lazima ikuume hpo kwasabb ukweli siku zote mchungu
@kelvinjelas3923 Жыл бұрын
@@gessanabuu99 Tatizo ni matumizi ya akili tu... maana kuna watu wanajifanya waislamu kuliko hata Mtume Muhammad (S. A. W). Kuna haja gani ya kulazimisha tujadili uislam katika mkataba wa DP world. Bahati mbaya kila waislamu wengi wanadhani kila anayeutaja uislamu basi anautetea kumbe wengi wanajificha tu katika uislam kutafuta huruma ya waislam baada ya kutuibia au kutumika na mabepari kama kondomu.
@musa-v3f Жыл бұрын
Mohames Saidi yeye kila siku kuhubiri udini tu Badala ya kujadili mkataba na vipengele vyake vyenye utata mnadjili dini na ukabila mnacheza ngoma ya CCM
@kassimhaji1141 Жыл бұрын
Nimefurahi kuzungumza ukweli
@abdallahabdu8194 Жыл бұрын
Sawa, lakini hili ni biashara inanyonya wa TZ.
@babazungu31803 ай бұрын
Ningepata mtu anifahamishe huu mkataba wa kanisa na serikali ya tz pls
@LucianSanga-q8j Жыл бұрын
Wacristo na Waisilamu Wana tufanya Sisi Tusio Amini Dini zao Kwamba Hatuna haki na Nchi hii
@nardhismhagama6266 Жыл бұрын
Mzeee mshauri mama
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
Fact and true 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@victaboy7273 Жыл бұрын
Waisilam wanapenda kuwazungumzia wakristu.wana udini sana
Labda wee si Mkristo uanaehudhiria Kanisa. Waislamu wawazungumzia Wakristo nje ya Msikiti, ama Wakristo huwazungumzia Waislamu ndani ya Kanisa na nje yake. Kama hujui njoo tukuoneshe.
@hassanmfaume45223 ай бұрын
Wakristo hata ktk vikao vyao wanajadili waislamu na mali zao watapora vipi kupitia mahakama TRA au ugaidi
@ahmedalbalooshi85183 ай бұрын
Ukweli unauma
@mwanjalimfaume6380 Жыл бұрын
Mkataba wa Bandari sio wa Dini Ni wa Kisheria na tueleze mspungufu yake Kisheria na sio kidini
@rayisadesigns2646 Жыл бұрын
hakuna mkataba wa bandari, hizo ni porojo za wapotashsji wasioitakia mema nchi hii. fatilia hutuba za waziri mkuu. na ndiyo maana hakuna yoyote anayeweza kuutoa huo mkataba hadharani na akaonesha mapungufu yake, wanachokifanya ni kuwahadaa watanzania kwa kutumia mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiinchi kati ya Tanzania na Dubai. Hao wapiga porojo wana ajenda ya siri kuwavuruga watanzania ili kuimarsha chama chao na hata kuzuia usimamizi mpya wa kampuni inayotajwa ambayo inaonekana wazi itazuia wezi wanaoiba hapo ambao asilimia kubwa ukichunguza utagundua ni watu wanaotoka ktk kanda inayowaunga mkono wapiga porojo hao, hao ni watu wao wanaonufaika na hiyo hali iliyokuwepo hapo na ndiyo maana hauwezi ukasikia wakiutaja ufisadi unaofanyika bandarini hapo zaidi wao kung'ang'ana na upotoshaji huku wasiojua kuna mchezo gani unaofanyika wanabaki kuwa wasindikizaji kwa kufata mkumbo wakihisi wanasapoti uzalendo kumbe na wao wanasaidia harakati za kuwabakisha wezi bandarini.
@Mweya-87 Жыл бұрын
Umejieleza sana, lakini naweza kusema umetumia vibaya muda wako.
@JumaRamadhani-hf3cm Жыл бұрын
Du kweli watanzania tumekwa.
@freemonhenry3448 Жыл бұрын
Mzee, tuliitaji hekima yako yuu ya swala la bandari na sio udini wako. Watanganyika tunapigania haki ya vizazi vyetu vijavyo.
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Kizazi gn ulichonacho kenge wewe. Wewe ungekuwepo enzi ya Nouh ushakufa tayari nyiye mliomtabisha .
@King_Of_Everything10 ай бұрын
✌️👊👍。
@homeboybeyondtheborders4935 Жыл бұрын
Mbona mzee hazungumzi kuhusu huo mkataba faida na hasara
@nashirkamugisha9425 Жыл бұрын
Serikali ishatoa maelekezo ya kutosha. Haya ni maridhiano mkataba bado. Ila choko2 haziishi, tuache chuki jamani. Tusiangalie muwekezaji kwa dini zao tuangalie uwezo. Karibu mdubai
@SimeonCharles-j5x Жыл бұрын
Some mkataba mzee
@johncharles5450 Жыл бұрын
Ndugu zangu waislamu someni msije mkalishwa matango pori. Ishu sio kwa sababu muwekezaji mwarabu, ishu jinsi mkataba ulivyo. Kama mkataba ungekua haunashida wala hakuna mtu angepinga.
@eugenaxwesso9321 Жыл бұрын
Ubaya wa waislamu ni kumlaribisha sultani wa oman na kuendesha biashara za utumwa na kufungua milango kwa wakoloni historia iko wazi
@kelvinjelas3923 Жыл бұрын
Uislam kama ulivyo ukristo unaharibiwa na wanafiki ndani dini zenyewe.
@eugenaxwesso9321 Жыл бұрын
Hiyo baraza la mitihani kama kweli inadoofisha uislamu imekuwake inaandaa mitihani ya dini ya kiislamu ? Acha kuwa mwongo ndugu
@LucianSanga-q8j Жыл бұрын
Hutumpingi Mwarabu wala Hatuwakatai Waarabu Na Dini sio ya Mwarabu Bali DINI ni ya Mwenyezi MUNGU Wote Tunaipenda sana Tunacho hoji ni Mkataba wenyewe ndio maana wenye Akili wote Wana hoji Pr Lipumba/ shiviji pia wana hoji Tusichonganishwe
@danielkanso Жыл бұрын
Kwa hiyo haya yote mkataba wa namna hii umeletwa na udini maana mimi siamini kuwa katka udini naona kuwa viongozi wetu wawe wapole waache mihemuko maana wananchi wanauliza vifungu vya mkataba ambao unaonyesha kuwa mkataba unatatizo kumbe kuna mambo ya siri
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Wanao chafua nchi hii ni Chadema tu na ndio wanao toa kauli chfu hasa za udini na ukabila
mbona nashindwa kuelewa!!? Mimi nilifikiri hapa cha muhimu zaidi ni mkataba wa DP World! mambo ya dini yanakujaje!!?🤷
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Yote haya bro Yameletwa na wanasisa Pale wanaposema Wa Zanzibar wanauza Tanzania Hivyo yameleta fikra tofauti
@bennymochiwa4800 Жыл бұрын
Acheni porojo za udini chambueni mkataba
@amanilucy Жыл бұрын
Jaman me naamini kunawaisilamu wasomi sana nyie haumuoni mkataba ni mbovu ,mkataba gani hauvunjiki,, mkataba gani hauna consideration ,mkataba gani hauna time,,,, tusilete udini na uzanzibar na ubara ,, dibouti wanalia adi Leo na mkataba wa DP world kwani dijibouti ni nchi ya kikristu
@salimmasoud1253 Жыл бұрын
Shekh Mohd Afuan nauliza nini maana hasa ya maneno "Paukwa, Pakawa"
@philipmarmo3522 Жыл бұрын
Kwa hakika ndugu Mohamed ameongea kwa hisia kali lakini kwa uungwana. Ebu wahusika kwa Nia njema waujadili mkataba ibara kwa ibara bila kileta yale ya Nje Mkataba- Uislamu, Uzanzibar nk. Watu wazima tena wasomi Watanzania wanastahili kuwa na akiba ya maneo, kuwa wakweli na warejee katika dhamira yao ya ndani kabisa.
@mwanache Жыл бұрын
Mzee kila ulichokisema kinadhihilisha tatizo la udini ambalo waislamu mnataka kulileta ndani ya nchi. Mimi ni mkristo na maisha yangu yote miaka 56 marafiki zangu wengi ni waislamu na hatujakuwa na tatizo la kidini. Wakristo hatuna shida wala muda wa kuiongelea kuran au uislamu MARA nyingi nimeona ndugu zetu waislamu wakiwaongelea wakristo na kuongelea biblia. Wote tunajua kuwa dini ikiingizwa kwenye siasa ni HATARI KUBWA… ndio maana tukasema nchi yetu haina dini. Na serikali haihusiani kabisa na swala la kujenga shule au vyuo vya kidini hilo ni swala la taasisi, waumini, na dini husika. Swala la mkataba linahojiwa na watu wote waislamu na wakristo… wote hawapingi waarabu kuja kusaidia kuboresha utendaji na ufanisi wa Bandari zetu KINACHOHOJIWA ni baadhi ya vipengere vilivyomo ktk mkataba kuwa havina tija kwa Taifa. Mzee unaonyesha kuwa ulitaka Nyerere alete udini kisa alishirikiana na waislamu ktk Uhuru wetu… Nyerere hakuamini ktk kuendesha nchi ktk misingi ya kidini… kuwepo kwa wakristo wengi wenye Elimu ndani ya serikali wakati huo ilikuwa sio Nyerere alilileta bali lilitokana na wakristo wengi walikuwa na Elimu nzuri kutoka ktk shule za wamisionari. Tatizo waislamu wengi wakati huo walijikita sana ktk Elimu ya madrasa/dini. Ningesema mengi ila nadhani unapotosha umma na sio kitu kizuri… UNALETA UDINI KTK SWALA HALIHUSIANI KABISA NA DINI ZETU… madhara ya mkataba hayatajali dini ya mtu, yanaathari kubwa kwa wote waislamu/wakristo.
@danielkanso Жыл бұрын
Huyu mzee sijamuelewa maana tunazungumzia kuwa kunavifungu vya mkataba wenyewe haupo sawa yaani kuna tatizo sasa yeye ndiyo kaleta zaidi mambo ya udini badala angesisitiza watu kuwa pamoja
@MishoAdeMahanyu Жыл бұрын
Halafu huyu mzee anataka atuthibitishie kwamba Dini ya Ukristo ni ya ubaguzi wa rangi akidai kwamba Uislamu hauna ubaguzi wa rangi. Mbona sasa Waarabu walifanya Biashara ya Watumwa kwa Babu zetu kama hawana ubaguzi wa rangi? Wote Wazungu na Waarabu na watu weupe walitubagua na kututawala na hii wala haihusiani chochote na Dini. Kwanza hao DP World anaozungumzia watendaji wengi ni Wazungu na watu wa nje wala sio Waarabu kama anavyodhani. Kwani Mkataba wa DP World utakunufaisha nini wewe kama Mwislamu au Mkristo? Nimeishi Arabuni wengi hawana elimu bali wanatumia Wazungu na Wahindi kufanya kazi za Kitaalamu. Watu weusi wengi wanabaguliwa sana.
@imraniqbal00765 Жыл бұрын
Tatizo hili alisha lisema marehemu ilunga,tatizo kubwa lililopo ni mfumo ukiristo ndio unao ila tanzania 🇹🇿 tatizo mfuko ukiristo
@majaliwaphilipo8277 Жыл бұрын
Aina ya Mkataba na Muda wa Mkataba
@EvelineKalinga-c9q Жыл бұрын
Mzee ongelea mkataba huu wa sasa na sio historia,ongelea mkataba mzee
@Azikiwe-qi6jd Жыл бұрын
Hawa watu wamejaaa udini sijawahi ona, kumbe lengo sio kujadili mkataba bali udini, nyie mtaacha lini udini
@adilalzay9160 Жыл бұрын
Changamoto inabaki kuwa muda ushapita na watu washachukua mkondo mwengine kabisa wa historia ya nchi hii. Hata mambo kama haya ni kama paukwa tu na Shekh anaonekana kama mtu anayezusha tu khabari hizo. Wapo waliotaka tufike hapa, na huenda hata huyo Nyerere akifufuka leo atapinga kila kitu [ tujadili na mashinikizo ya Makoloni yalikuwepo tangu ]. Kilichobaki sio kuzungumza juu ya makosa ya wakristo wala kudhulumiwa kwa waislamu ila kuliunganisha taifa pamoja .Mimi nawaza hivi habari hizi wakristo wanapozisikia watachukua mkondo gani angali nao mamboa wameyakuta tu? MTU ASIYEJUA HISTORIA YAKE AKIVUTWA HUKU ANAKWENDA , AKIVUTWA KULE ANAKWENDA
@soudmoshmnyika5813 Жыл бұрын
Labda nikuambie kitu kadinari pengo anayafaham haya na wengi katika wakristo walio na nyadhifa kukwa wanayajua haya , sheikh kajaribu kuwarejesha watanzania katika ummoja kwani wamesikika viongozi kadha wa kisiasa kama mboe akisema suala la udini na ukabila akifingamanisha na DP WORLD, nawakati yeye alitakiwa kuzungumza mkataba tuu , sio mafungamano ya udini na ukabila nawakati watu wanajua historia kubwa jinsi waislam walivyo pambania uhuru
@derimkongwa5965 Жыл бұрын
Shdq yenu mmekalia kuzungumzia udini. Kikawaida huwezi kuwa muasisi bila kuwa na sapoti mzee kwani mlitaka awe mwenyew ndio mumsifu
@allyamri5028 Жыл бұрын
Acheni kabisa hizo mambo kwani ninyi ndio mnaanzisha mambo ya udini. Zungumzieni mambo ya MKATABA TU. SAWA NDUNGU ZANGU WAISLAM?
@salimmasoud1253 Жыл бұрын
Yaani Shekh Mohd wewe madini ya Tanzania nzima yawekwe kushoto na ww ukae kulia basi bado ww unathamani zaidi kuliko hayo madini.
@hemedabubakar-cb1nq Жыл бұрын
Mashallah
@michaelmillinga5064 Жыл бұрын
Sioni Logic ya haya maongezi, ninachoona ni wazanzibari wawili wanajadili mambo ya Tanganyika tuu.. kama wadubai wazuri wapeni bandari yenu huko Zanzibar.. na huu muungano Bora ufe.. badala ya kujadili maisha nyie mnajadili dini
@abuutasniym2675 Жыл бұрын
Uyo mzee sio mzanzibari bali nimtu wa mainland (Tanganyika) upande wa Tanga kwahio ondoa chuki zako dhidi ya Zanzibar
@ahmedalbalooshi85183 ай бұрын
Sikiliza kwa makini na kama unawazo la kupinga,basi andika
@ElizabethKimbi Жыл бұрын
Tunaomba copy za mkataba wa makanisa na serikali tuijadili hapa
@Lky589 Жыл бұрын
Ili waislamu nawawo waingie mkataba na oac.
@salimmasoud1253 Жыл бұрын
Tatizo ni kuficha historia ya ukweli na misha halisi aliopatia uraisi M/Nyerere ikifuatiwa na khiana baada ya Uhuru.
@emanuelkimaro195 Жыл бұрын
Mazungumzo haya yamiasha hisia za wengi waliosikia na watakao sikia ninawaomba tuwe makini kunapojadili tuvumiliane hizi chokochoko za udini ni hatari kwa usalama wa taifa siyo jambo la kufanyia ushabiki. Na viongozi wetu waache kutumia udini kama silaha. Wakemee mjadala wa kidini. Tunafanya uchanguzi tangu uhuru kiongozi huchanguliwa na waislamu na wakristo hakuna udini. Wote bila kujali dini tukutane kwenye masilahi ya taifa Kwa vizazi vijavyo. Dini isitufanye tuwe wajinga.
@mwigaadam1179 Жыл бұрын
Udini unakuja wanapo jadili masuala haya waislamu tu Kaka?? Mbona askofu mwakipesile anaongea mazito juu ya udin hasa uislam na hakuna and dauti acha udini we nakujiona wakiristo mupo swa mapuwa ww
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Wakiristo Siku zote wanajizima data Wao Wakijadili Maslahi ya Kitaifa kidini dini wanaona sio Udini ila kwa wengine ndio unazuka Udini Nashindwa Kuelewa
@soudmoshmnyika5813 Жыл бұрын
Msituone wajinga kukaa kimya tunajua mengi , tukiamua tunaweza waislam, wakristo ndio chimbuko la yote haya
@edgarmbegu1974 Жыл бұрын
Waislamu tatizo lenu ni uongo. Katibu mkuu wa baraza la mitihani la taifa ni muislamu. Nini kimebadilika? Halafu wewe mzee mbona tunawalaumu wazungu kwa ubeberu? Huyu mzee anafikiri DP Wotld ni ya waislamu, anafikiri inakuja kujenga misikiti au itakuwa inagawa pesa na ajira kwa waislamu. Hiyo ni kampuni ya watu wenye hisa toka mataifa na dini mbali mbali. Lengo lao ni kupata faida ya pesa na siyo kueneza dini. Ni mzee asiye na busara hata kidogoo. Yaani kuikataa DP World ni kukataa waislamu? Na watu wanachopinga, ni vipengee vya mkataba. Anavyoongea, utafikiri ni mwarabu. Pambafu kweli na mwongo mkubwa.
@HassanHassan-sn5cj Жыл бұрын
Nyerere alipokua anapiga kelele za udini alimasnisha waislam Wakae kimya hata wakifanywa chochote tatizo hamumjui kwasababu kauweka ugalatia juu akaukanyaga uislam uliomueka juu someni vitabu vyake alivyotunga mwenyewe au kile cha (jimbo kuu la daresalam) mwenyewe amesema nilazima kanisa aliweke juu wakati akimjibu pedre John sivalon wakati alipo muuliza utalifanyia nini kanisa?! Nakweli katudhalilisha sana waislam wenyewe tunajua! Nahata viongozi wakubwa wamekua wakitamka wazi hadharani wakionesha chuki zao juu ya uislam akiwemo Lukuvi tena akiwa kanisani !! Kama hamjui chuo kikuu cha Dar ni cha waislam muhimbili ya waislam mpaka ikulu ya Dar ilikua chuo cha Kil Islam sema wengi hawajui ila ipo siku haki itakaa juu kama sio sisi basi wajao wataiweka hakii juu !!!
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Pole sanaaaa shekhe wewe acha udini na ukabila hapa ni swala la bandari tu hatuwataki waarabu wache wachukue srdhi wewe una kazi ya ngonjera tu
@lambomayenga6151 Жыл бұрын
Hivi wahariri wrote wa magazeti yaliyomshambulia Mwinyi walikuwa waisiliamu? Jamani tuwe wakweli . Hivi serikali sasa na bunge ni vya wakiristo tu.Wewe mzee ndiyo unaanzisha matatizo ya ubaguzi. Kwa nini ufikirie kujengewa misikiti na DP World.
@kabhikachambala33923 ай бұрын
Kwa nini usifikirie kwamba suala la kupata misikiti kupitia DW ni suala udini??
@gessanabuu99 Жыл бұрын
Waambie hao wapumbavu wanaoibeza dini ya uislam ilihali imefanya kaz kubwa ktk kuleta uhuru wa nchi hii lakin leo anaonekana nyerere tu
@happinessmwenda2773 Жыл бұрын
JAMANI JE HAO WENGINE WAMEKULA MATUNDA YA CAKE YA TANZANIA???
@MzeeKigogo_4 ай бұрын
Upumbavu wa huyu mzee unatokana na kuangalia mambo kwa miwani ya udini. Anasujudu sana waarabu
@sulyshaaban9392 Жыл бұрын
Emotions apart, " vyombo husika" using sober professional cadres wazungumze na huyu Ustaadh kwa nia njema ya kujenga Mama Tz..na kisha kuishauri Govt..waache vitisho..These are issues C za KUPUUZA!!😮😮
@salimmasoud1253 Жыл бұрын
Good advise
@sabraham5308 Жыл бұрын
Sheria na nguvu za kuitawala Tanzania ilitengenezwa toka baada ya uhuru na serikali ya mwanzo ya Nyerere,iliyolipa nguvu kanisa,kuingia mkataba kama wa MOA,wa kuliaaidia kanisa kwa pesa za walipa kodi,leo ubalozi wa Vaticani upo Dar,waislamu wanazuuliwa hata kujiunga na jumuiya ya kimataifa ya kiislamu,OIC,mkataba wa bandari mwezi huu wa Zanzibar chini ya ufaransa/wazungu/wagalatia/wakristo hujasikia pingamizi,kwa kuwa kama ulivyosema mkataba wa Dar chini ya Dubai/waarabu/waislamu,ndio imekuwa shida???,kuwa na imani hii sio haki.
@ahmedbaamironlinetv47533 ай бұрын
Mumekua na kiburi Sana wakiristo Sasa hivi Tena munatuonesha hadhara nnasi
@listonjiwe3467 Жыл бұрын
Hakuna udini ninachoona hapa marumbano wenzetu wanaojua sheria wanasema mkataba ni mbovu kwani bala hakuna waislamu watanzania wote bala na visiwani tuwe makini kwenye suala hili la bandali ili wanasiasa wasitugawe kwa propaganda wanazoleta kuingiza udini kwenye ishu inayohusu maisha yetu na vizazi vyetu kama watanzania nilichoona mbinu nyingi ovu zinatumika na wanasiasa wasiopenda muungano wetu kwa kujalibu kuingiza suala la bandali na udini tuwe waangalifu na tuache kutumiwa
@ericsallu3237 Жыл бұрын
Mbona Kama Mnazalisha hoja njingine?
@caashamacalini3887 Жыл бұрын
Shekhe hapa tunashauriana habari ya mkataba sio dini jamani hiyo history mbona unaisumulia mara nyingi kwasasa tunaongelea mkataba wa DP world 🌎 sio dini msitake watu kuanzisha vitu vingine please tuko na mkataba!!!!
@allyamri5028 Жыл бұрын
Kikweli watanzani hawajazungumzia dini. Watu wanazungumzia masharti mabovu ya mkataba. Ninyi mnapata wapi hahari ya dini?. Waislam tusipoacha mambo ya kuzuazua basi sisi ndio tutaanzisha mambo ya udini ndani ya tanzania. MASHEHE ZETU ACHENI MAMBO HAYO!!!!!.
@faza4023 Жыл бұрын
Sahihi kabisa..kama ni waarabu kuwekeza wapo mbugani tokea mwaka 92, kujengwa bwawa la Nyerere lipo chini ya Misri..mara hii jibu kwa hoja mkataba una mapungufu au hauna sio unasema Tu udini
@joycemkeka3769 Жыл бұрын
Hakika kaka mimi nakuelewa sana unasema kweli jamani ebu tuache kuingiza mambo ya udini kwenye ilijambo tatizo ketu sio dini wala uislam
@AliAbdullah-oy6yo8 ай бұрын
Kwa hiyo huu ukweli anaouzungumza ww uliwahi kumsikia Nyerere anasema? Kwani si kulikuwa na jumuiya ya Kiislaam kiongozi wake Sheikh Swaleh Bin Ameir Nyerere kwa kuona maendeleo mazuri kwa Uislaam akaivunja? Na Mali za wa Islaam kutaifishwa? Sasa ww hoja yako nn kutuhumu Waislaam? Fuatilia historia vizuri.
@Mohamed.Suleimanc2 ай бұрын
@@AliAbdullah-oy6yohuyo hajielewi kaka inaonekana hauijui dini yake vzr
@Mohamed.Suleimanc2 ай бұрын
@@AliAbdullah-oy6yohuyo hajielewi kaka inaonekana haijui dini yake vzr
@hamzakimaro37643 ай бұрын
Mohamed saidi si mdini kama mayo coment!!ila siku zote ukiongelea kuhusu uislam u,utaitwa mdini!!l Maana maana ya udini kwa tsfsiri ni kuutaja UISLAM!!
@ElizabethKimbi Жыл бұрын
Labda tuache kabisa mkataba wa kuendeleza bandari tusiwape wala waarabu au wazungu
@mfaumemetta-vr1cl Жыл бұрын
Bwana Ibin Saidi kuna mambo unachanganya vibaya hivyo akiwa mwislaam atuibie tu akitujengea miskiti inatosha? Hapana hivyo unasema mkataba hauna dosari?
@msellemseif3102 Жыл бұрын
TUMEFIKIA HAPA KWA SABABU YA MFUMO KRISTO HUWO NDIO UKWELI.
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Ebu fafanuwa vizuri unachokisema
@hamzakimaro37643 ай бұрын
wakiristo walikuwa hawana haja ya kugombana na wazungu wakoloni,maana wazungu walikuwa wakiwapa watu wa makanisa good chase!na kanisa likisaidiana na wazungu ktk kutawala!!!
@routesale2577 Жыл бұрын
Mzee Anaeleza Ukweli Nani Waliodai Uhuru nani Walianzisha Harakat hizo Ajenda yenu Imejificha Mboe Kasema Habar Kumbagua Rais Mbona Akiongoza Mkristo Mko Kimya
@RaymondZindah-ow7wr Жыл бұрын
Acha hizo wewe hauoni huyu mama anavyo uza lasili Mali zetu?
@nantaembanusurupia5674 Жыл бұрын
Haya mkianza hivyo vita zitaanzia kwenye nyumba zetu😢
@ElizabethKimbi Жыл бұрын
Sahau Tanzania hakuna dini familia tumeungana mpaka kufikia baba muisilamu watoto wakristo mama hana dini hujawahi kuona familia kama hizi hapa tanganyika labda zanzibar hakuna lakini hapa tuko wengi
@hamishassan6784 Жыл бұрын
Inaliza , inahudhunisha. jambo hili wala sio dogo. Niombe tushikamane maana asiye pitiwa na ubaguzi hawezi jua hili
@EvelineKalinga-c9q Жыл бұрын
Jamani kinachochanganya watu ni mkataba na sio uislamu wala.ukristo hata angekuja mkristo kama mkataba haipo wazi lazima ingeleta shida sasa mbona mnalazimisha kuongelea udini???
@BernardKitundu-hi3jx Жыл бұрын
Huna la kutuambia watanzania, huko nyuma ni ya wakati huo, watu wameamka huwezi kutuambia tugawe rasilimali za nchi kisa kiongozi kaamua. Nenda wanaojua kusoma mkataba, acha mambo ya udini, hivi dini itatusaidia nini na kizazi kijacho?
@sadih5333 Жыл бұрын
Pwani ni kwetu si kwenu zungumzieni huko mnakotoka hii bandari na maeneo yake nikwetu.
@christopherkomba7782 Жыл бұрын
Unaelewa nini ww kaa kimya subiri kufa tuache vijana wetu wakuwe nyinyi ndiyo mliwabeba mabwana watu kibao na mnambeba bwana mmoja mnakuuzwa mtu mmoja anawauza
@josephrutta6834 Жыл бұрын
Haaaa! Mbona inatisha, kumbe hii ndo sababu ya kuleta mkataba huu japo una matatizo ya masharti?? Hii si sawa kabisa. Watu wanapambana na MASHARTI mabaya, wengine wanafikiria DINI za wanaoleta masharti??? Aiseee! Kumbe kuna watu wana UDINI hivi??? KAZI IPO.
@hamisimkoma7380 Жыл бұрын
Na tumeamua sasa na wakati ni sasa
@faza4023 Жыл бұрын
😅 wanachekesha sana
@ElizabethKimbi Жыл бұрын
Kuhusu elimu kumbuka nyerere alitaifisha shule zote za wakristu na Mali zao zungumzia na hilo
@hazaaahmadhazaa2770 Жыл бұрын
sio zote alitaifisha za mission za seminary zikabaki!
@eugenaxwesso9321 Жыл бұрын
Na vitabu unavyovisema ni vile vinavyofundisha uendeshaji wa dola na utoaji haki kwa misingi ya kiislamu
@bensonkilupa5660 Жыл бұрын
Ongeeni namba ya kutatua tatizo maswala ya dini nani kaongea ? Pelekeni maoni yenu serikalini. Swala ni mkataba mbovu na si vinginevyo.
@josephrutta6834 Жыл бұрын
Kumbe nchi hii kuna watu wana UDINI hivi?? Mimi hata kwenye uchaguzi sijawahi fikiria dini ya mtu kabisaaaa! Nahisi sina wivu na dini yangu, inabidi niamke aisee. Heee! Anafikiria mpaka sensa kwenye madaraka?? Mwenyezi Mungu aturehemu Tanzania.
@SA-xj8hc Жыл бұрын
Hata mimi nimeamka serikali kusema haina dini huku mlango wa nyuma wanaweka “ memorandum of understanding “ kusaidia makanisa kwa kutumia mabilioni ya walipakodi! Du , tutaanzisha movement ya kupinga hichi mpaka ieleweke.
@mkude Жыл бұрын
Hata mimi nlikuwa najua hii nchi Haina udini kabisa lakini nnachokiona sasa hivi dini yenu mnavyompinga mama Samia duuh ilinishangaza sanaaa
Achani kufikiri kua waislam watafaidi ikiwa bandali yetu watgawiwa waarabu bure kinacho daiwa ni mkataba mbovu ambao unagawa mali ya nchi bure kwa waarabu wa dubai
@philomenastephen3364 Жыл бұрын
MGOGORO WA BANDARI TATIZO LAKE NI VIFUNGU VIBOVU VILIVYOMO NA SIYO TOFAUTI ZA KII AMANI. UELEWE VEMA JAMANI. KUNA WAISLAM WALIO UELEWA MKATABA NAO WANAUPINGA.
@amanilucy Жыл бұрын
Dijibout mbona Hawa dp world nishida
@hamisimkoma7380 Жыл бұрын
Hivo vifungu unavyosenea vina maslahi kwetu ....sasa mnasemaje ????? Kisasi ni sasa
@allyamri5028 Жыл бұрын
Ninavyojua mimi wanaotajwa ni waarabu kwa kua mkataba huu unahusisha mwatanania na waarabu, napenda ieleweke kua uisilam ni uislam na waarabu ni waarabu. Tusizue mambo. Huo ni uchonganishi. ACHENI KABISA!!!!.
@jambo3751 Жыл бұрын
Akili yako haiwezi kugundua hilo na ndio maana huoni kwa undani wa mambo. Jiulize kwanini makanisa yamecharuka kuhusu suala la bandari! Kwa upande wa CHADEMA wao walizungumza kisiasa zaidi hawakuleta udini bali walijaribu kuziteka akili za watanganyika ndio maana wakaleta habari za Uzanzibari na Utanganyika na pia kwavile hawakubaliki Kule Zanzibar wakaona kusema SAMIA hana uchungu na maliasili za Tanganyika watavutia watanganyika wengi sana kihisia. Makanisa Tanzania kila akiwa madarakani muislamu basi wanaleta tafrani.
@edgarmbegu1974 Жыл бұрын
Mbona hata waislamu wako kwenye mkataba wa PPP na serikali. Hujui?
@charlesmakuri7923 ай бұрын
Na hizo pesa ndio zilileta vita somalia mpaka sasa vita hijaisha Nyerere alisababisha nchi ikatulia
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Ma ustadhi mdichanganye mambo hakuna anaelataa DP world kinachokataliwa ni mkataba shehel hapo kuna wahuni wanapiga upatu sio lingine ndugu zangu kwa upande wangu ninavuoelewa !!!!!