pole mama Alla ni hakimu waache wapite na ving'ora waache walindwe kuna siku hajutakua na mlinzi wala askari Alla ndie mfalme siku hio
@nailamohd7693 Жыл бұрын
Allah atakupeni subra wazee wetu inaskitisha na inaumiza 😢
@msabahaali758 Жыл бұрын
kijana aliuwawa kwa kuchota mchanga baada ya uchaguzi hakika inauma Sana watu wa zanzibar kuuwawa kama vinyama tu kama sisi tumeumbiwa mateso Basi sawa Alla atatulipia siku ya kiama siku ambayo hakuna atakae kids haki yake
@OmarNasorКүн бұрын
Alla atawalipa
@queenzey8173Ай бұрын
ALLAH N MBORA WAKUHUKUMU
@fatmamansour676 Жыл бұрын
Maskin maumivu mawili kwa wakat mmoja mana mh Abuu bakar khamis kauwawa ni ndugu yao na huyu kauwawa ni mtto wao
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii mtihani mkubwa huo mungu atunusuru na shida hizo mm sihitaji kupinga kura kwa chama chochote kile siwezi kumuamini binadam siyo watu wazur ni wanyama asili mia mia bora nitafute kazi nifanywe kulikoni siasa sihitaji😮😢