No video

HADITHI YA WATU WATATU(3)WATAKAO HISABIWA MWANZO SIKU YA KUFUFULIWA/SHEKH:MSELEM WA UWSHO

  Рет қаралды 29,615

Adil TV

Adil TV

Күн бұрын

#AdilAbdallah #DarsaLaShekhShahran
Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246

Пікірлер: 30
@jumannemwaye4060
@jumannemwaye4060 3 жыл бұрын
Tunataka masheikh km hawa sio wakuraddiana kwenye mitandao kila siku
@ahmedmuhamed4379
@ahmedmuhamed4379 3 жыл бұрын
Ausio
@aliissahaji33
@aliissahaji33 3 жыл бұрын
kweli kabisa
@fahadali4188
@fahadali4188 3 жыл бұрын
ss unatak mtu akipotosha watu hadharani tu aaa lazima watokee watu wabainisha UKWELI ila unaonekana hujafahamu maan ya RADDI
@abdallahmasoud6104
@abdallahmasoud6104 2 жыл бұрын
Mungu ni.muweza.hata wazungu wasema. HIS able
@ishakafaki3501
@ishakafaki3501 3 жыл бұрын
ALLAAH ATUJALIE TUWE MIONGONI MWAWENYE KUPATA MANUFA KATIKA DUA YETU NA AKHERA YETUU .
@qurankareem2275
@qurankareem2275 Жыл бұрын
Ametakasika Mwenyezi Mungu Alieumba mbingu 7 bila YA NGUZO
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 жыл бұрын
Sheikh Allah akuhifadhi
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Mashallahu tu nafarajika sana baada ya kurejeya nyumban Allah awakinge na kla shar awape kauli sabity vpenz vat tunawapenda sana
@iralibinismaili9346
@iralibinismaili9346 Жыл бұрын
Jazakallahu kheir
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 3 жыл бұрын
Allah azidi kukuhifadhi sheikh wetu tuli miss tafsir za aya z Qur'an
@bakarihassani9601
@bakarihassani9601 3 жыл бұрын
Subhana llah, Alla atufanyie wepesi siku hiyo ngumu kuliko maelezo yoyote yalioelezwa, yanayoelezwa, yatakayoelezwa,maghfira ndio Kila kitu.
@aboubakarmabrouq5027
@aboubakarmabrouq5027 3 жыл бұрын
Allah atujaalie tuwe miongon mwa wanaofanya kheir kwa ajil ya Allah il kesho tukapate salama kwake
@rahmasaleh1984
@rahmasaleh1984 3 жыл бұрын
Allahuma ameen ya Raab
@abdallahamisi2954
@abdallahamisi2954 3 жыл бұрын
Mungu atujazie iklas katika nyoyo zetu tutende kwa ajili yake
@yussuphshilingi3258
@yussuphshilingi3258 2 жыл бұрын
Maashaallah Allah akuzidishie elimu na sisi tufaidike kwa elimu yako
@allyseif6320
@allyseif6320 3 жыл бұрын
Sheikh Mselem Ali huwa namuelewa zaidi, Allah amzidishie afya na umri ili waja wapate faida.
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 3 жыл бұрын
Amiin
@jumakumala1337
@jumakumala1337 3 жыл бұрын
Mashee wa Tanzania watakiwa muige shee huu , wacheni kuleta ishu za ALELUYA eti ni swa na Lla illah illah Allah , msituchangane , wacheni kutuzengua nikiwa Qatar
@allynasri5849
@allynasri5849 3 жыл бұрын
Tulikuwa tumemiss sana mawaidha yako.tunataka mashekh wajifunzi kwa mselimu ally sio hawa mashekh mitandao
@hassanyahya4182
@hassanyahya4182 3 жыл бұрын
ما ساء الله
@roddybob6871
@roddybob6871 3 жыл бұрын
Tuliku miss sana mashaalah
@jumaabasss3115
@jumaabasss3115 2 жыл бұрын
Asalamu alaiku shkhe naomba kuuliza wakati hukumu inaendelea kwenye masuali na majibu ya mwenyezi mumgu na mwa nadamu,jee mwanadamu atakua anamuona Allah?
@suleimanabdallah9823
@suleimanabdallah9823 3 жыл бұрын
Maashallah
@jumaabdallah6061
@jumaabdallah6061 3 жыл бұрын
Mashallah Allah akupe maisha marefu yenye faida hapa dunia n kexho Akhera
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Mashallah Allah
@maryamshuraim4163
@maryamshuraim4163 3 жыл бұрын
Ndo hao wanaoraddiana ili waonekane mitandaoni
@mustafakombo5721
@mustafakombo5721 3 жыл бұрын
mashaAllah sheik wetu Allah akuhifadhi na maadui waliokuzunguka
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Inategemea na nia zao na ww huezi kuzijua ila Allah pekee.
@humoudmohammad3125
@humoudmohammad3125 3 жыл бұрын
.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 21 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 57 МЛН
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 22 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 37 МЛН
Sheikh Hassan Ahmed -  Kisa cha mama na mwanawe
3:04
Thamaratul Jannah Tv
Рет қаралды 1,1 М.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 21 МЛН