Utunzi mzuri.Tukitunze na kukienzi Kiswahili. Ni Tunu ya Taifa letu. Hongera Mpoto
@mathiasswai70062 ай бұрын
Hongera sana kwa jwtz, hongera kaka mpoto kwa utunzi mzuri
@allyndebeye9053Ай бұрын
Na sisi watu wa Kibiti tunasema Asante Jwtz. Tunamshukuru Amri jeshi mkuu
@basilkaslingi4412 ай бұрын
Asante Mrisho hii ndio Sanaa ya mafunzo vina na mizani vimezingatiwa
@husseinshabani95222 ай бұрын
Mungu Ibariki Afrika Wabariki viongozi Wake.. Wape Busara zaidi zakutuongoza.Wape Afya na Nguvu .Wape Amani katika familia zao. Wapate kututumikia kwa Amani na Utulivu.......(Machozi yamenitoka Walai! Utunzi Bora Sana Mpoto Mungu Awape Busara zaidi zakuijenga Nchi yetu kwa Tunzi zenu Bora Awape Afya njema Ninyi na familia zenu.Mungu tunakushukuru na Tunasema.. Amin Rab Amin In sha Allah Allah Atufanyie Wepesi sote hapa Duniani na kesho Akhera In sha Allah.
@suleimanbalemba3348Ай бұрын
Asante mama kutoka mkoani Ruvuma kutuzalia hichi kichwa Cha mrisho mpoto
@pascalvitalis2 ай бұрын
Utumzi mzuri, kwenye hii nchi kitu cha kwanza nachokipenda ni JWTZ🎉🎉
@CharlesEdwardCvanoedward2 ай бұрын
Amani na Upendo Tanzania 🇹🇿
@EliaHilukaАй бұрын
Msimtanie Mungu ninyi wazalimu
@jeffhard5773Ай бұрын
CHaWA pro max mzee yusufu bwana eti eeeeh bora yeshee
@leoncebenjamin81072 ай бұрын
Hakuna kitu hapo badala uwakemee juu ya utekaji wew unasifia
@DrswalehOmarry2 ай бұрын
Nani aliekuuliza
@husseinshabani95222 ай бұрын
Bona Wewe Ujatekwa.?
@jeffhard5773Ай бұрын
@@husseinshabani9522sio lazima atekwe yeye akitekwa hata NDUGU yako yeyote Itatosha tu
@GastoneGeorge-bj2fpАй бұрын
Come on Mrisho hujawahi kukosea...
@FadhirMagembe2 ай бұрын
Ongera tc mpoto
@CharlesEdwardCvanoedward2 ай бұрын
Ahsante JWTZ 🫡🫡
@RBMBAKARI-bv6wnАй бұрын
Hili ni jabali la utunzi wa mashari
@Kulwakisansa-zk5yg2 ай бұрын
Namuona mzee wa msoga kuleni nchi tu mfalume wa wafalume anawasubiri
@EliaHilukaАй бұрын
Anaetoa baraka ni mmoja tu ambaye Mungu pekee mpito usimpake mafuta mfalme wakati mauaji yanaendelea nchini na utekaji watu
@shaibchat8054Ай бұрын
Mrisho anajua sanaa
@sharonkamau67892 ай бұрын
Naipenda taifa langu nalipenda jeshi langu
@mmassyferguson49592 ай бұрын
Naipenda inchi yangu ma kujivunia
@MakuoeJafary2 ай бұрын
Abdala twalipo yao of tunduru safi mpoto najeshi letu nizaidi ya majeshi africa asanteni
@linyamakasim1912 ай бұрын
Tunduru hii hii ninayoijua
@calveenykevoo53992 ай бұрын
Kama mmeona ka memo alikopewa chalamila na mama apo mwanzani.. tujuene hapa
@SMEDIA2982 ай бұрын
Sio memo karanga
@erickbenda22462 ай бұрын
Sio rais huyo aliyempa
@Allyhujjat2 ай бұрын
Mtoto wa mama uyoo
@rahmazahor43332 ай бұрын
Kipaji mjomba sio mchezo hongera sana
@MatokeoJoseph.Fonkol2 ай бұрын
Tanzania nzima huyu ndie msanii ninae mkubali na kumuerewa
@nyumbumjanja2 ай бұрын
Utunzi mkubwa sana huu. One day nitafanya kitu na wewe anko #mpoto🔥🔥
@YusufLubangula-yn6tq2 ай бұрын
Huyu jamaa ni M bunifu sana! Kila muda Anabadiri muonekano😂
@NyamtigaIbrahim2 ай бұрын
Nilitaka Kuongea Kitu Nimeona Ila Nikikumbuka Walipo Wakina Nyundo Na Hata Wakili Cna Bora Nikae Tu Kimya 😅😅😅
@fauzishabani26222 ай бұрын
Imetulia .
@miltonjohn9779Ай бұрын
Chawa mpoto naye anataka atauliwe!
@hassanmpandaАй бұрын
❤
@KibaraKwetu2 ай бұрын
Wewe chawa
@rayisadesigns26462 ай бұрын
ACHA ROHO MBAYA... MUACHE MNDEGEREKO ATEKELEZE WAJIBU WAKE WA KULITUMIKIA TAIFA LAKE KWA SANAA YAKE...
@husseinshabani95222 ай бұрын
Ulitakaje? Ulishasikiaga Jeshi la Tanzania limemuonea Mtu?au kushuudia kwa macho yako mawili? Acha Maneno yako bwana...Amani na Utulivu Mungu Ameishikilia kwa kupitia Wao..Uoni mifano kwa Nchi zingine?
@johnurio19002 ай бұрын
Yaani Hawa chawa Hawa ni hatari sana
@manchalijob96002 ай бұрын
HAHAHA MJOMBA KAWA CHAWA
@miltonjohn9779Ай бұрын
Yes
@RaymondKilomeyeАй бұрын
Chawa yupo kazin
@mlewamlewa976Ай бұрын
Uko birthday
@sirielsamweli2 ай бұрын
Khaaaaa si aimbeeee kwani ameambiwa aongeeee
@emanuelmargwe70872 ай бұрын
Mpoto amekuwa bonge la chawa.
@AgnesJohn-f1r2 ай бұрын
😂
@husseinshabani95222 ай бұрын
Ulitakaje?
@kidatokassim76162 ай бұрын
Mrisho mpoto state functions zote ni zake hana mpinzani kwa hio sector😂
@EliaHilukaАй бұрын
Unaimba wimbo upi mboto
@shabaniramadhani80262 ай бұрын
Shida hao waganga wa kienyeji wanaokutuma utembee pekupeku. 😅
@sadickjuma72642 ай бұрын
Weka ujimbe wako usiojielewa tu lakini mwenzio anapiga hela😂
@AliSalum-g3o2 ай бұрын
❤❤
@MsevenSaudisaidi2 ай бұрын
Nchi huru watu wanatekwa kila aiku
@YamusahSudy2 ай бұрын
Tanzania inavituko jamani wasanii wao sasa 😂😂😂
@jeremiahcharles60272 ай бұрын
Ila moto,,au basi,,,?????? Kawa????
@LoiteyoAmakoMako2 ай бұрын
Machawa wako kazini😂
@Jonathantewa2 ай бұрын
😮😮😮
@Kabwela7762 ай бұрын
Nchi ya maigizo watu wanatekwa Na nchi Na ushenzi nchi nzima wao wako ikulu wanaburudika
@husseinshabani95222 ай бұрын
Ulitakaje?
@AgnesJohn-f1r2 ай бұрын
Chawa promax 😂
@Kulwakisansa-zk5yg2 ай бұрын
Amani karume afya yake ina dorola
@salem98742 ай бұрын
Age binadam ni kama jani
@AllyMaya-yj3xd2 ай бұрын
Sio afya kudorora ni umri eti karume mkubwa
@ChireGriffin2 ай бұрын
Useless.njaa
@AllyMaya-yj3xd2 ай бұрын
Kila mwenye tumbo ana njaa we haujapata tu nafasi ku express njaa yako
@SurprisedFullMoon-gg9vu2 ай бұрын
Huna lolote"njaa tu
@AllyMaya-yj3xd2 ай бұрын
Kila mwenye tumbo ana njaa hata wewe ni haujapata nafasi tu ya kuonyesha njaa yako