MH DK MWINYI SISI WANANCHI WA NUNGWI NA MBUZINI TUNATESEKA NA UKATAJI WA UMEME KILA SIKU IYENDAYO KWA MUNGU KWA MASAA MENGI KAMA KUNA SHIDA ZA KIUFUNDI TAFADHALI SN HILO JAMBO LIPO JUU YA UWEXO WAKO TUSAIDIE TUNATESEKA NA WATOTO HASA NYAKATI ZA USIKU KWA JOTO HATUNA UWEXO WA KUNUNUA MAJENERETA.