ماشاء الله. وجزاكم الله خيرا وعلما أيضا . سررت لما رأى المناكشة الذي استمر بالغت العربية .
@Salmahvuai63 күн бұрын
My college ❤
@mwalimjecha6893 Жыл бұрын
جميل جدا زاد كم الله العلم
@hummymgaza69152 ай бұрын
Km umeangalia mpk mwisho n hujaelewa kitu gonga like hapa
@ismailosanoomar33262 жыл бұрын
ما شاءالله المناقشة جيدة جدا. ملاحظتي هي أن يتركزّوا في علم النحو.
@mwalimjuma303112 күн бұрын
Ni vizuri lkn wakufunzi wanapaswa kuwaandaa wanafunzi zaidi kabla yakuwaingiza ktk mitandao sawa? nahau ipewe kipaombele ili wanafunzi watamke vizuri
@MahfodhHaji14 күн бұрын
Jaman hawa ndio walim ambao tunategemea allah awaongoze lkn bd xan
@suleimandaudsuleiman28 күн бұрын
Nzuri sana muzidi kuendeleza midahalo mengine.
@madrasaturahmasec34962 ай бұрын
المجادة جميلة ولكن المشكل يحدث في مادة النحو..بفضلكم الأساتذة عليكم بالفتح هذه المادة كي يوجد التصحيح...شكرا لكم و بارك الله فيكم
@mrsultanzimbwe6746 Жыл бұрын
Juhudi nzuri sana lkn anzeni polepole media n baadaye huku msikukimbilie ..kutqkuja kwa wakati wake....
@ibnkhaldoun96948 ай бұрын
Swadakta Akhui, Media sasa ni fitna kubwa.yataka mambo yaendewe pole pole. Kuna makosa ya hapa na pale hutokea,Wapingaji waweza kutumia nafasi hiyo kuwavuruga.
@kdp_tv10413 жыл бұрын
Good work 👍
@AbeidRamadhanАй бұрын
Msemaji wa kwanza mwanamke kama hujaolewa mume nipo
@khayriaahmed1431 Жыл бұрын
MashllAh ❤
@ALBAAN-v5m7 күн бұрын
يا سبحان الله!!! Ikiwa hichi ni chuo cha kiislamu hali ni hii... Je hivyo vyuo visivyokua vakiislaam vitakua ktk hali gani...?
@ukhtymwana49982 жыл бұрын
ماشاء الله مناقشة رائعة
@MohdOthman-yz2wv9 ай бұрын
Mashallah nimependa jins wanafunz walivo onesha ujuzi wao katia dibeti hii na pongez zende kwa walimu wao
@hassankhalid33082 жыл бұрын
Allah awape elimu yenye manufaa ya duniani na akhera Inshaa Allah
@publicrelations4600 Жыл бұрын
Nataka mke hapo Naomba msaada wenu
@rabiaothman-w4m8 ай бұрын
Hongereni lakini kama ni dibet ninavofahamu ni Kila mmoja anaona yy ni Bora basi oneshemi ubora wake na mchangamke sio mnasimama tu onesha actio😢 Ili mtu ajuwe umekusudia nn jitahidini
@YAMALONLINETV-b3v20 күн бұрын
المال افضل من العلم😂
@SheikhYusufOmar Жыл бұрын
الحوار جميل جدا لكن علم النحو أولي من الحوار بغير تطبيق قانون النحوي
@hajingwaliothman695410 ай бұрын
Nimependa, na tuengeze hizi activities Allah akulipeni Kila la kheri
@ZainamavooMavoo11 күн бұрын
Mwalim somesha na hau hawazpat hao
@MAPETEE Жыл бұрын
Nime mpenda uyo Anae wakaribisha wak
@mrsultanzimbwe6746 Жыл бұрын
أولا :طبقوا علم النحو إخوة الأساتذة ولو على نطاق ضيق لأنه في العلم العربي والشرعي بمنزلة ماء في الطعام....ولا نقول أن الطلبة في البداية ....فادلناشئ ينشأ على ما قلده أبواه....ومع هذا فاءن جهدكم مشهودا له ..فسيروا إلى الأمام الله يتولى أسراركم ..أخوكم في العقيدة : أبو الغريب زمبوي سليمان
@MAPETEE Жыл бұрын
Uyo Alievaa miwqni jaman
@alially28722 жыл бұрын
التي استمرت بالغت العربية
@tenasiotena4600 Жыл бұрын
1 kosa sio la wanafunzi bali la walimu; asili mada hii haikufaa hata kujadiliwa huwezi kujadili kipi bora baina ya elimu na mali kwani kila kimoja kina nafasi yake ni sawa na kusema ni yupi bora baina ya mwana mke na mwanaume? 2 hichi ni chuo cha kiislamu ilifaa uislamu ndio iwe dira ya kujadili mada hii nasio akili kavu mtu anawaza aonavyo yeye kutetea au kupinga 3 kutaja watoto kwenye elimu na manufaa hayo kuwahusu wao kosa la aibu hili kwani hizi ni fikra za kimagahrib elimu inaanza kumfaa mwenye nao leo leo jamiii na vizazi vijavyo 4 wengi wanaonekana wamehifadhi sentesi kabla na hi ndio aibu nimeona ni mtu mmoja tu ambaye kenye faail ana weza maf,uul kwenye majruur ana weka mansuub
@africaonechannel12894 ай бұрын
Practice makes Perfect❤ Inshallah!.
@kichachu63912 жыл бұрын
ينبغي للأستاذة أن يركزوا في جانب التطبيق في تدريسهم علم النحو لأنه هو الركن الأساسي في اللغة العربية ولا فائدة لمن يدرس النحو وهو يلحن لحنا فاحشا في حديثه قلت هذا لما لاحظت من كثرة الأخطاء النحوية لدى كل المتحدثين وآخيرا هذا لا ينقص قدر جهودكم وأتمنى لكم التوفيق والسداد
@choyamutlaq319 Жыл бұрын
Nahc Km Wamekaririshwa hv
@fawziaabdurrahman225112 күн бұрын
Mjadala elimu ni Bora kuliko mali
@abubakaribashiru9454 Жыл бұрын
اريد أن آتي لأتزوج فتاة واحدة من هؤلاء كيف السبيل الي ذالك
@mrsultanzimbwe6746 Жыл бұрын
Hii aibu sana
@ibnkhaldoun96948 ай бұрын
@ Si Aibu Kaka ,Hizi ni juhudi , na ktk kuleta juhudi hupatikana mapungufu, kikubwa ni kuongeza maarifa upande wa Waalimu ili kuepukana na makosa ya hapa na pale.
@africaonechannel12894 ай бұрын
@@ibnkhaldoun9694MAKUSUDIO KTK HILI, NI KUWAPA MAZOEA AND Mazoezi Ya Kuongea; Binafsi naamini Waalimu hawakuanda hili Jambo ili Mshindi APATIKANE●
@rabiaothman-w4m8 ай бұрын
Halafu mnadodosa sana
@ادريسالبلوشي-ل9ي Жыл бұрын
Tunataka namba ya simu ili tuweze kufika hapo chuoni
@cckchannel9617 Жыл бұрын
+255 789 539 782
@Kekulebenzene8 ай бұрын
Hongereni lakini mnakosea sana kutumia aya na hadithi katika debate Hapo mtu anapotosha aya au hadithi makusudi ili atetee upande wake kitu ambacho ni kibaya zaidi Kwa kuwa mnafanya istihzai katika ya na hadithi za mtume (saw) USHAURI Zisitumike aya na hadithi katika debate bali tutumie uwezo wetu binafsi wa kuongea na kutetea hoja Kwa kuwa debate huwa haipimwi kwa uhalisia wa mada (motion) ila kwa uwezo wa kujenga hoja na kukosoa na hapo ndio lugha itakuwa inaimarika
@AllyFaki-w6b18 күн бұрын
mnaitia aibu Zanzibar kwanza someni ndo mje kwenye kamera