Hafla ya Makabidhiano ya Vitabu vya Historia ya Ukombozi Kusini Mwa Afrika kwa Familia ya Mbita

  Рет қаралды 44

AfricanLiberation TV

AfricanLiberation TV

5 ай бұрын

Kituo kimefanya hafla fupi ya kuikabidhi familia ya aliyekuwa Mwanaharakati na Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi wa Afrika, Hayati Brig. Jenerali Hashim Mbita, Juzuu ya vitabu vya Mradi wa SADC (Hashim Mbita Project) ikiwa ni kuenzi mchango mkubwa uliotolewa na Marehemu Mbita wakati wa harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika na kutekeleza kwa vitendo maelekezo ya Mawaziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Maliasili na Utalii, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Elimu, Sayansi na Teknolojia na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.Makabidhianao hayo yalifanywa na Mratibu wa Kituo cha Ukombozi wa Bara la Afrika Ndg. Boniface Kadili kwa niaba ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo katika Ofisi za Kituo cha Ukombozi kilichopo Jijini Dar es Salaam.
Familia imetoa shukrani kwa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa heshima ya kukabidhiwa vitabu hivyo na kumuenzi mpendwa wao.

Пікірлер
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 11 МЛН
HISTORIA YA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA
4:01
AfricanLiberation TV
Рет қаралды 128
KUMBUKIZI YA MIAKA 24 YA MWL J K NYERERE NA SENSA
19:53
Nbs Tanzania
Рет қаралды 894
MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA
13:36
Makambakotc
Рет қаралды 9 М.
Dondoo za Mashuhuda wa Harakati za Ukombozi wa Afrika
2:25
AfricanLiberation TV
Рет қаралды 81
"Tukiuacha Umoja Tutazidi Kuonewa" Nyerere juu ya Umoja Barani Afrika
6:19
Mshike Elimu By Fortune Shimanyi - Sekondari ya Wasichana Collegine,
3:53
Sekondari ya Wasichana Collegine
Рет қаралды 4,8 М.