HAIJAWAHI KUTOKEA ZANZIBAR

  Рет қаралды 8,891

ZINJIBAR TV

ZINJIBAR TV

Күн бұрын

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#HabariZaUhakika #Zinjibartv
Follow Zinjibartv
Facebook | Zinjibartv
INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 772 281 879
+255 773 071 409
Video Zingine:
Angalia hapa -
- HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
• HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

Пікірлер: 37
@Nassor2377
@Nassor2377 Ай бұрын
Huo niwajibu wa serekali sio ajabu ni kodi zetu kwahio miaka 60 leo ndio tunafurahia baadhi ya barara mtihani ...kajitahidi mwinyi na shukran zote mama samia suluhu hassan kutuangali wazanzibar
@kadhyajuma3471
@kadhyajuma3471 Ай бұрын
Nampenda mwinyi piga kazi usizijali fitna na maneno ya mkosaji
@user-zx3he3lp3o
@user-zx3he3lp3o Ай бұрын
Rausi Hussein Mwinyi ni jembe kwa maendeleo ya nchi mfano huduma za jamii zinaletwa kwa mfano maji umeme afya usalsma anafaa kuongiza zanzibar miaka 10 mungu akubariki.
@mahfoudhally2879
@mahfoudhally2879 Ай бұрын
Maendeleo makubwa kavunja shule tano mjini kajenga maduka na mahoteli na ajira zote kwa wageni jua kali imekua ya wamasai hongera sana
@SuleimanSuleiman-w7l
@SuleimanSuleiman-w7l 10 күн бұрын
😂😂😂😂 duh
@AbdulSaid-bn2gi
@AbdulSaid-bn2gi Ай бұрын
Ulaya ikiyoona tu utashangaa tu haijafanana kabisa na Zanzibar
@nassorseif7907
@nassorseif7907 Ай бұрын
Yajayo ni njaaa tupu Wallah
@rashidomar2771
@rashidomar2771 Ай бұрын
Hatari kweli,,au ndio ile hadithi ya kipofu,,alieona jogoo,akadhani hakuna mnyama mkubwa kuliko jogoo Yaani chawa kila pahala,,
@hafia.056
@hafia.056 3 күн бұрын
Sisi waZanzibar wooote The President Hussain Ally Mwinyi please 🙏 please ebu Lete maendeleo iweNON Stop ijenge nchiii yoote mpaka mpaka mpaka vijijini vyoote vya vya vya Unguja Na na Pemba tena tena usijaribu usijaribu kuchoka tumia pesa zooote naKuijenga ZANZIBAR naJibu utaenda peponi peponi Twendeee kazi Twendeee
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn Ай бұрын
JAMANI HII NJAA WATU HAWAIONI AU NI MIMI TU NAONA HAWASEMI RAISI AKASIKIA
@abrahmanhmd2557
@abrahmanhmd2557 Ай бұрын
Waswmaji ndio wajinga kama hawa wanazidi kusifia upumbavu
@user-oj8bk5xn8n
@user-oj8bk5xn8n Ай бұрын
Hawa ni watoto zanzibar hawaijuwi ukionabarabara inajengwe nikodi yako husein mwinyi yup miakamingi na kalelewa akilakodi zawanzibari kasoma kwakodi zawazanzibar mpaka kawawaziri waulinzi fazilayake akatuma Jeshi kujakutuua wewe unazarau roho unasifu barabara
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Ай бұрын
Munasema munaona kama muko ulaya mtu anatoa mfano huo mara hata nairobi hajafika 😂
@FamilyVideos-pt1mo
@FamilyVideos-pt1mo Ай бұрын
Shukran zinjibar tv kutuletea changamoto hizi
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Ай бұрын
Bibi kashapewa ubale wa kanga tatizo pesa mfukoni hakuna vyakula vimepanda bei
@abrahmanhmd2557
@abrahmanhmd2557 Ай бұрын
Achaneni na majisifu ya kifisadi
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 Ай бұрын
Safi sana na cctv mitaani itakua sawa sana ila Nyanya miaka 30 lol 😆 hio hamna km museven na kagame lol ila wazanzibar wana sura mbili
@aliyaaliya7213
@aliyaaliya7213 Ай бұрын
Zenyibar tunaomba uje kibele na sisi tupatee kupaza sauti kupitia nyinyi kuhusu changamoto ya barabara
@karyori69
@karyori69 Ай бұрын
Barabara bila lanea demarcation ni chini ya kiwango!
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Ай бұрын
Miaka 30 😂😂😂 bibi vipi ushaonja!!!!
@funnysmile8666
@funnysmile8666 Ай бұрын
naona wana sifuu tuu hakuna alie zungumziaa kuusu skuliya buyu na changa motozakee kiwanja pia kisha uzwa mm nimkaazii wabuyuu kiwanja chetu cha shule ya buyu kime sha uzwaa na wapiga jiii
@allykhatib660
@allykhatib660 Ай бұрын
Uyo mama mshamba sana Hao walopita na hawakufanya kitu je tuwazungumzieje Uwo ni ulazima wa serikali naniela zetu wenyewe
@rashidalihamad7228
@rashidalihamad7228 Ай бұрын
Njaa, eti alipo yupo ulaya😂
@FamilyVideos-pt1mo
@FamilyVideos-pt1mo Ай бұрын
17:40 jamaa kaeleza ukweli mtupu 😂😂😂
@Samsungjprime-ww9ve
@Samsungjprime-ww9ve Ай бұрын
MASHAALLAH
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Ай бұрын
10 years only by law
@FamilyVideos-pt1mo
@FamilyVideos-pt1mo Ай бұрын
Hizi comments zinanifurahisha- hawa wote walohojiwa wanasifu kisha wanatoa changamoto hapo hapo 😂
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Ай бұрын
HATA MKIMSIFU HUYO DR MWINYI JAMBAZI LA MKURANGA, LAKINI WAZANZIBARI HAWATAKI MAANA NI MWIZI NA JAMBAZIIIII👁️👁️
@abedomar5183
@abedomar5183 Ай бұрын
Nonsense
@SuleimanSuleiman-w7l
@SuleimanSuleiman-w7l 10 күн бұрын
Hahaaaaaa 😂😂😂 lolo
@mangofish9079
@mangofish9079 Ай бұрын
Kwani na hao waliopita akina Shein na wenzake si walisifiwa kwa maendeleo hivyo hivyo au mbona binadam tunasahau mapema sana na ataekuja mwengine atasifiwa kuliko huyu aliepo sasa.
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Ай бұрын
Mwinyi Anapasiwa Pesa kutoka Bara kwa Samia kama hamjui ndio mjue leo. Huko Zanzibar pesa zinatoka wapi? Mbona hamjiulizi hayo? Mapato gani ya Zanzibar ya kujenga Barabara kilomita 50-100, Mashule ya maghorofa, mahospitali na mataa, hamjiulizi?
@SuleimanSuleiman-w7l
@SuleimanSuleiman-w7l 10 күн бұрын
Punguza roho mbaya fala wewe
@themasimbi2
@themasimbi2 Ай бұрын
Kujenga Unguja t ila Pemba Aaah
@shamissuleyman4894
@shamissuleyman4894 Ай бұрын
Jee wale wanao tafuta riziki pembeni mwa barabarani sahivi wanabomolewa vp rais anayo habari kwa kazi anayofanya mazuri nahisi hajui kuvunjiwa kwa hao wanaovunjiwa
@AbdulSaid-bn2gi
@AbdulSaid-bn2gi Ай бұрын
Sasa tunatembea bara bara ila tuna njaaa Kali tutakula hizo bara bara
@mangofish9079
@mangofish9079 Ай бұрын
Hizo barabara alianza kujenga alau kwa kiasi chake kidogo Amani Karume wa ccm halafu munakaa miaka 20 na ushee munamsifu rais wa ccm tena kwa hizo hizo barabara sasa hayo mengine yatafanywa kwa karne ngapi?
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 74 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 119 МЛН
JINA LA MTOTO _ Kachara/Naomba/Kigwaru
13:59
Jufe Film Production
Рет қаралды 132 М.
HIVI NDIVYO MADAKTARI WALIVYOTUMBULIWA ZANZIBAR
11:57
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 25 М.
SERIKALI YAFANYA MSAKO WA WAGANGA ZANZIBAR
6:25
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 7 М.
WAKE ZANGU |1| New Swahili Series | Adam Leo | Bongo Movies 2024
36:43
Adam Leo Studios
Рет қаралды 58 М.
LIVE_:SABABU YA KUPATA RIZIKI
40:51
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 836
#ZANZIBAR NA MRADI MKUBWA AFRIKA MASHARIKI
28:17
IsleBlogTv
Рет қаралды 2,5 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 119 МЛН