asante kwa somo unajua kufundisha nimekuelewa vizuur
@Neemapetro-hu1vr3 ай бұрын
Unafundisha vizuri kipenzi Yani nimekuelewa kabisa❤
@HappyAgilityPuppy-do2hf3 ай бұрын
Asante kwa kutufundisha
@RayaAli-x7z5 ай бұрын
Asante dada mungu akubarik
@rehemamalley95572 жыл бұрын
Sijawahi comment kwa account yyt but for today my c* u did great upo mkweli na umenifanya kuwa unfollow makeup artist wengine maan wanatutisha kwa mazagazaga mengi hadi unaona haya mambo ni magumu na garama sana..so be blessed dada❣❤💪🙏🙏
@GraceMwalwanda-nd8rw Жыл бұрын
Asante sana unajua kufundisha ❤❤❤
@haykermrema Жыл бұрын
Asante pia dear
@fatumashabani7 ай бұрын
Asante dada nimeelewa somo unajua 👊
@apollotee-x5bАй бұрын
Nimekuelewa mnoo ubarikiwe sanaa
@sibuboy5106 Жыл бұрын
Asante my je ni bei gani vitu kama ivo
@GracePeter-r3r11 ай бұрын
Asante dad Kwa SoMo
@PiliMakame2 ай бұрын
Asante
@rosemarysimon59143 жыл бұрын
Asante San
@fanahanassor27954 жыл бұрын
Kweli kabisa unayo. Ongea
@apollotee-x5bАй бұрын
Safi sanaaa
@pastormeshackmbeyale84267 ай бұрын
Nimependa Sana 💪
@pastormeshackmbeyale84267 ай бұрын
Mrs meshach
@MwajumaHaji-y3f3 ай бұрын
Dada mi naomba unitajie ivo vifaa vya kuchonga konsela ilinika nunue
@salmakihinja80964 жыл бұрын
Asante dada kwa mafundisho yako
@ruthjkilimantinde42934 жыл бұрын
Thanks umenifumbua macho love u
@salmasaidi28755 жыл бұрын
Shukran mwalimu wa urembo
@fatumamwinyihijafatumamwin53734 жыл бұрын
Asante mpenzi
@johnmwadime45904 жыл бұрын
Unajua kufunza,Nmekwelewa
@AlveraFrancis2 ай бұрын
Sh ngp hivo vitu muhimu
@moreenmtafi59964 жыл бұрын
Unapatika wapi
@ashasalum96376 жыл бұрын
Asante love
@haykermrema6 жыл бұрын
oky dear
@rehemasaidy43814 жыл бұрын
Mm ni mweupe dada nitumie faundation gan
@KudratShehe6 ай бұрын
Nimekuelewa my dear Sasa mm nataka nipambe lkn sijui vitumuhim nitapata wap naomba unisaidie
@ruthchari17316 жыл бұрын
Your skin is so soft.
@haykermrema6 жыл бұрын
ruth chari thank you dear
@sophiaanangisye49294 ай бұрын
We kiboko yanii nimekuelewa
@haniphaawadhi87066 жыл бұрын
Asantee sn upo vzr ktk kufundisha
@haykermrema6 жыл бұрын
hanipha awadhi asante dear kwa kuangalia
@mariyaal53665 жыл бұрын
@@haykermrema Nimependa sana kufundisha kwako ntajitaidi nami kutumia hivo vitu
@etonyota41836 жыл бұрын
Asante sana dada
@haykermrema6 жыл бұрын
Eto Nyota asante pia karibu
@shamashaibu42425 жыл бұрын
Asante mumy
@dianadeogratias75336 жыл бұрын
thnx
@haykermrema6 жыл бұрын
thankx too dear
@khadijaomar32996 жыл бұрын
Thanks 😍
@haykermrema6 жыл бұрын
thankc too
@hellenbanda70895 жыл бұрын
Asante nimeelewa
@hamisangingo86756 жыл бұрын
Unaweza sana dada
@haykermrema6 жыл бұрын
asante my dear
@queenbae89186 жыл бұрын
umeelekeza vizury sana good
@haykermrema6 жыл бұрын
asante love
@dianamuthoni24445 жыл бұрын
I just everything about you...... Watumia nini you really look nice even without make up.. Plz nataka no plz, I need this video ata Kama utanicharge
@malyambakary82465 жыл бұрын
asante sana Dada naitaj kujifunza kama utojal naomba no plz
@ummamne25586 жыл бұрын
Asante dada nimependa maelezo yako
@haykermrema6 жыл бұрын
asante pia dear
@nicemuba49906 жыл бұрын
athanteeee...
@haykermrema6 жыл бұрын
oky love
@AshuraOthman-h7n Жыл бұрын
Asant dada nilikuwa natamani nijue
@haykermrema Жыл бұрын
oky asante pia
@clementinavictor40756 жыл бұрын
duh asante nmejifunza kitu
@haykermrema6 жыл бұрын
asante pia dear
@happynessmushi56005 жыл бұрын
Aunty samhn nilikuwa nauliza kwamb foundation nzuri ya MTU mweupe inaitwaje
@levinamoshy31486 жыл бұрын
mwalimu mzuri sana
@haykermrema6 жыл бұрын
asante dear
@rowdyrondarouseyfire94766 жыл бұрын
Thanks sweetie I get you very well, God bless my Pretty sisy.
@haykermrema6 жыл бұрын
Miskia Ayallah thank you too my love
@rowdyrondarouseyfire94766 жыл бұрын
haikael mrema Always welcome my sweetie, really you Cute.
@mariamguzo95524 жыл бұрын
Nice
@jenithaheneriko42086 жыл бұрын
asante sana mwana dada ukovizuri nimekupenda bureee
@magdalenamangele33064 жыл бұрын
Nzr
@winifridadeograthias27514 жыл бұрын
Foundation nzr ya mtu mweusi inaitwaje mamy???
@hevenlightruta28926 жыл бұрын
Naomba no yako dada nijifunze zaidi maana uso wangu wa mafuta nateseka kweli
@haykermrema6 жыл бұрын
ni dm insta nikupe number @ haykermrema
@priscillahlemma77606 жыл бұрын
I think uanzishe group LA WhatsApp tujifunze zaidi
@queenbibisha19616 жыл бұрын
Uko vizuri kabisa kwa kutuelewesha
@haykermrema6 жыл бұрын
Bibisha mt asante dada angu nashukuru
@leylamohd48595 жыл бұрын
Habari yako nahitaji kuji funza hhi kitu je nifanyeje nijuee
@leylamohd48595 жыл бұрын
K
@ikhtihsaanomari54474 жыл бұрын
Mdad hongera upo god azisha grp la wsp 2jifunze zaid
@fatmamushi88866 жыл бұрын
asanteee sanaaa
@haykermrema6 жыл бұрын
fatma mushi asante dear kwa kuangalia
@vumiliamatchu3704 жыл бұрын
Dada naitaji namba yako
@neemaelisha97495 жыл бұрын
Nimekupenda mamy
@khadijahussein55565 жыл бұрын
Matumizi mengine ya conslar
@mercyshapili24175 жыл бұрын
Asante dada
@iptithamhassan40065 жыл бұрын
Naomba namba ya cm ya huyo dada plz
@tecklahmshana59386 жыл бұрын
Xooo nice mamy
@daluualfadhil40575 жыл бұрын
Naomba namba yako
@beatricekamengekamenge55436 жыл бұрын
Hongera sanaa dear
@haykermrema6 жыл бұрын
Beatrice Kamenge kamenge asante love
@victoriavicent87295 жыл бұрын
Nimeinjoe
@babymuyenzi55756 жыл бұрын
naomba namba yako
@beatricekamengekamenge55436 жыл бұрын
Dear praima innakazi gani please
@haykermrema6 жыл бұрын
primer inakazi ya ku moisture ngozi ili iweze kupokea foundation na vitu vyote utavyopaka
@modestaabeli33896 жыл бұрын
Safi cn mdada
@wahabungonyani95414 жыл бұрын
Asante Dada nimekupenda bure, unaelekeza vizuri hadi rahaa
Halima Kambi natamani sana ila vitu ni vingiii plz jaribu kusoma majina utajua
@queenbae89186 жыл бұрын
my daer
@haykermrema6 жыл бұрын
babe
@lucymayelias31145 жыл бұрын
Nme enjoy wallah uno vzur kwasomo maana huwa najiuliza nianzie wapi
@fathiyalukole15784 жыл бұрын
Yani we mm kabisa mpaka nachanganyikiwa
@fatmachapa33373 жыл бұрын
Na Kama hivyo ulivyotaja vya muhim Ni Kam sh ngap
@mgenikhamis36976 жыл бұрын
Unaongea sanaaa be straight...bt unajua kufanya make up
@haykermrema6 жыл бұрын
ulitaka niongeaje au niwaje straight.kama huna kichwa cha kuelewa huna tu ata ningeongea straight aje...
@mgenikhamis36976 жыл бұрын
@@haykermrema i never know ur rude...mi ni fan yako lzma nikwambie bt km uko rude hvyooo ata sikufatilii tena na hiyo.channel yako naiunsubscribe 😏
@haykermrema6 жыл бұрын
@@mgenikhamis3697 tena umechelewa ku unsubscribe ungefanya ivo kabla hata uja comment...mimi nafanya nacho jisikia siwezi kumlizisha kila mtu anaeangalia kuna ulazima gani wa ku coment kuwa naongea sana je kama ndivyo ninavyoongea ulitaka niwaje au nifanyaje..this is my channel ukiona nakuboa ji unsubscribie mwenyewe fasta ili nisiweze endelea kukuboa..kuna wengine mind zenu ziko negative hata mtu ajitaijije kufanya kazi yake mtakosoa tu..bye
@mgenikhamis36976 жыл бұрын
Take ur time
@uwimananadia60665 жыл бұрын
Naomba ni ulize dada kitu gani mwanzo kabisa cakupaka kabla ya make up ili ngozi yako isiwe na madhara yeyote. asante
@najmaaniry84315 жыл бұрын
Prima
@anitamghamba45816 жыл бұрын
Wewe ni mpare mwenzang dada angu uko vizur
@haykermrema6 жыл бұрын
hahahaha mi mchaga ni mtani wako...asante dear
@upendonkaila39716 жыл бұрын
Nataka nifike dukan kwako unapatikan kariakoo sehem gani mm huwa nanunua vitu vyang pale msimbaz nielekez nije nikuungish
@haykermrema6 жыл бұрын
ni follow insta nikupe contact @haykermrema
@hamidamustafa71646 жыл бұрын
Mi naomba nifahamu kuhusu hatua ya kwaza kabisa kabla ya chochote
@haykermrema6 жыл бұрын
Hamida Mustafa kila mtu anaanza na anachoweza kuna wanaoanza na wanja,wengine wanaanza na eyeshadow wengine foundation so hakuna kanuni wala njia sahihi ya kuanza ni wewe na mazoea yako
@mwajeidullah32426 жыл бұрын
Wow mamy Kwel wew n noma I love you
@suzanshilole20036 жыл бұрын
nimeipenda wewe ni mwalim mnzuri sn
@haykermrema6 жыл бұрын
asante mpenzi
@ashamohd6984 жыл бұрын
.
@beatriceulomi72214 жыл бұрын
Asante mdogo wangu. Ila niite nije kukusuka fund wako ajakupatia.0656147473