HAJI MANARA AINGILIA KATI UGOMVI WA MO DEWJI NA MANGUNGU AMUOMBA HERSI AINGILIE KATI / WATAUWANA

  Рет қаралды 54,066

Manara TV

Manara TV

Ай бұрын

MAKAVU YA HAJI MANARA ATEMA NYONGO KWA MO DEWJI AMBEBA MANGUNGU | AOMBA HERSI KUINGILIA KATI
#hajimanara #hersi #simbasc #yanga

Пікірлер: 274
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Ай бұрын
Manara unawambia ukweli unaouma,maana hata mh.Rage alishawahi kuwaambia kwamba Mangungu yupo pale kama mfungua na mfunga vikao tu...
@Dully_star
@Dully_star Ай бұрын
LEO NDO NIMEAMINI KUMBE MANGUNGU ANALIPWA NA YANGA😢😢😢
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o Ай бұрын
Duuuu ukifiiria sanaaaa kiundani kamaaaa Kweri vireeeeee
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm Ай бұрын
Sanaa kaka❤❤❤😂😂
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 Ай бұрын
BUGATI ni mmoja tu 💚💛💪💪💪💚💛💪🙏🙏
@SylvesterLyuvale
@SylvesterLyuvale Ай бұрын
Safi Sana kiongozi
@davidarabiy3924
@davidarabiy3924 Ай бұрын
Nakupa salut bro bugat unaongea ukweri kabisa ujawahi feri kabisa wew ni mwamba kabisa
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
BUGATI kama BUGATI HUWA NAKUELEWA SANA HUJAWAHI KUNIANGUSHA BUGATI UMEONGEA KIKUBWA SANA na UMEONGEA KISOKA "
@ziadamuhunzi6210
@ziadamuhunzi6210 Ай бұрын
😂Bugati kama bugati na buga buga big up sana umeongea fact.
@husseinchalamila2624
@husseinchalamila2624 Ай бұрын
Bg up bugat uko vizuri
@MagaliKiswili-bj6yz
@MagaliKiswili-bj6yz Ай бұрын
Makolo.wakiambiwa ukweli wanakasilika cjui.kwa nn baada ya kuyafanyia kaz maoni wana chafukwa
@NelsonElisha-xt3iw
@NelsonElisha-xt3iw Ай бұрын
Bugat unajua sana ww jamaa na jiwe hilo limewafika lazima wabadilike na waache uongo thank brother umetisha
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Ай бұрын
Wanamuonea bure mzee wa watu,na baadhi ya mashabiki wana mdhihaki Mungu akulinde Mangungu
@BoniphasLukas
@BoniphasLukas Ай бұрын
Bwege ww niyanga mnanufaika nae kutuhalibia tim ndiomana mnamsapot ili .muendelee kutamba
@CareenJulias-iu7tf
@CareenJulias-iu7tf Ай бұрын
Manara hakika kwa hili uko vizuri saana. Safi saana👏👏👏
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Ай бұрын
MANARA SIMBA INAVURUGWA NA MO DEWIJI TATIZO KUBWA WANACHAMA WENGI WAO NI MAMBUMBU MBU KABISAA HAWAJUI KM MO DEWIJI NDIO ANAE IUWA SIMBA
@jafetykaberege4948
@jafetykaberege4948 Ай бұрын
Huyu jamaa anaongea kama mwehu flani hivi, kweli shibe mwana malevya. Yaani yeye amuite moh, unadhani MO ni ni muuza vyombo vya dongo kutoka china. Unaweza kumuita tu, mjipange msimu mjao mna shida kubwa sana
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Ай бұрын
Huyu ni Msengelema Fala huyu..
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Ай бұрын
Utashangaa hata msimu ujao mambo ni yaleyale
@clementiddi5708
@clementiddi5708 Ай бұрын
@@angellomarcel5677 kuota mchana ni ugonjwa mbaya sana. Njozi njema lol
@clementiddi5708
@clementiddi5708 Ай бұрын
Obviously your level of understanding is below average.
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 Ай бұрын
Mm Simba damu yani huyu manara kasema ukweli kabisaa . Moo kirusi
@BILALIMSANGI-kw2ki
@BILALIMSANGI-kw2ki Ай бұрын
Mzee anaongea ukweli kinafiki lkn 😂😂😂
@stephansabas215
@stephansabas215 Ай бұрын
Ni Kweli kabisa ingetakiwa kwenye hisa 51 ndo angetakiwa kuwa na Nguvu kuliko 41
@noelmsuya6078
@noelmsuya6078 Ай бұрын
Hapa Manara umeongea kabisaaaa, mimi ni simba na wewe ni Yanga, lakini umeongea kama mpenda soka la Tanzania na Africa kwa ujumla, Big up Bro
@hatujuaniimani4425
@hatujuaniimani4425 Ай бұрын
Yaani Leo kuna vitu viwili Leo nimevielewa kwako,kwanza kuongea ukweli,pili Leo nimeamini kuwa Haji unaipenda xana simba.Kweli upendo wa kweli upo moyoni na sio usoni nakukubali sana haji wewe unaipenda simba kutoka moyoni hakuna ubishi kwenye hilo
@deusifusi5999
@deusifusi5999 Ай бұрын
Bigist manalaa akilii nyingi sana
@user-cq4mz8wn3b
@user-cq4mz8wn3b Ай бұрын
You tell fact my brother bugat
@CalimerotourZanzibar
@CalimerotourZanzibar Ай бұрын
Haji manara kaka unajuwa mpira ila kunawatu hawajui nin football wao wanajuwa kupiga domo na kukutukana tu ila kama wanasimba walewa urudieni kauli ya manara mwiifahamu kwa undani big up bugati
@Maggab-cl5od
@Maggab-cl5od Ай бұрын
Mbona wakati upo simba ulikiri mo dewj kaweka bilion20 Leo unaongea kinafiki unabadilisha kaul
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t Ай бұрын
Lijamaa hili hatakama linatuchaluwa mimi nalipendaaaaa sanaaaaaaaaaaa.jamani
@bilajasho449
@bilajasho449 Ай бұрын
Manara na mo wamegombana kitambo tuuu hata anachokiongea ni kama anamtetea mangungu sababu anajua mangungu yupo simba kwa maslahi ya yanga
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Ай бұрын
Manara anaipenda sana Simba damu damu kweli basi tu imebidi anaina uchungu sana
@SelemaniSaid-ip6se
@SelemaniSaid-ip6se Ай бұрын
😂😂😂sema bugati
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Ай бұрын
Shabiki 1 wa simba alisema 49%zitakuwa kwa wadhamini,40%kwa soko la Hisa,10%kwa mashabiki&1kwa bodi ya wadhamini upande wa club.
@ConfusedMountainLandscap-cw3vj
@ConfusedMountainLandscap-cw3vj Ай бұрын
Simba Yangu inateketea jaman. Mh waziri wa michezo tunaomba uingilie kati . Simba hii imefika hatua mtu amekula mharage yupo nyumbani kwake anaweka bando ya Jero anaingia Instagram nakutangaza ujinga. Kwamba hatuna office? Nimeumia sana kwa Mara yangu ya kwanza kuona Tajiri anakosa maarifa.😭😭😭😭
@patricklaiton8939
@patricklaiton8939 23 күн бұрын
HERS TUSAIDIE SIMBA
@Farida-vg5ry
@Farida-vg5ry Ай бұрын
Ndomana mangungu hatakiwi Yani aondoke tu kwa sabu hana analolijua Wala analolifanya ni mtu ambea yupoyupo tu kawekwa kama msikule na yanga aondoke hana kazi na simba
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 Ай бұрын
Waaache tubusiwape huo ukweli maana wapo wengi wanaobeza uuu huelewi uuuu yanakuhusu nini.? Wanakataa kupokea ushauri
@vladimirngamanya4693
@vladimirngamanya4693 Ай бұрын
Anaijua simba kuliko Mangungu
@SalumuRashidi-in1jz
@SalumuRashidi-in1jz Ай бұрын
Upo sahihi manara na Manara ni mmoja tu Duniani
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
Nikweli mo dewji hata bi 20 alizo sema ameweka toka kile kipndi hajaweka mhindi Nimbahili mno uko viwandani kwake kwenyew ukiingia vumbi kibao atatoa pesa yakutosha kuiendesha Simba
@RomanusBuyokwe
@RomanusBuyokwe Ай бұрын
Ww ni shabiki wa simba au yangu? Mbona simba imekutawala sana? Ongelea mambo yanayoihusu timu yako tu bhana
@eliamathew2968
@eliamathew2968 Ай бұрын
Huyu ni mnyama dam dam bas tu,, Hana namba ndio maana inabid aongee ukweliii kakosea wap kwa maoni yako mbona mm naona kama yuko sawa sanaaa!!!???
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 Ай бұрын
Ni shabiki wa mpira wa TZ anasemeya hk ya mpira wa TZ
@user-tu1fw2hh6x
@user-tu1fw2hh6x Ай бұрын
Acha uchawa kwani kwenu kumetulia au kwa sababu mnapata matokeo mlipata matokeo mabovu shirikisho huyo kiongozi akawaita wala mihogo palikuwa hapatoshi ndiyo aje kutatua simba
@rossemsuya2698
@rossemsuya2698 Ай бұрын
Wao ndiyo wamtambue kuwa huyu ndiye Mwenyekiti wa Vilabu vyote Africa. Hivyo wakitambua wamuone, ila akienda tu watahisi atawavuruga zaidi.
@NaftalMagabe
@NaftalMagabe Ай бұрын
Uko vizuri bro umewambia ukweli
@dyanakibauri3068
@dyanakibauri3068 Ай бұрын
yanayo muhusu heris ni uwakilishi wa vilub caf na si migololo ya ndani ya vilub mbwa wèwe
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Nimekuelewa sana Manara uko sawa
@jumamulunga2899
@jumamulunga2899 Ай бұрын
Hapana unaongea kwa mapenzi makubwa na timu yako ya simba ila mshauri waziri anayehusika na michezo awapatanishe hao viongozi wa simba kama unavyodhani lakini Siyo kiongozi wa yanga hapo unaongea kinazi
@YUSUPHHAMZAHUSSEIN
@YUSUPHHAMZAHUSSEIN 20 күн бұрын
UNAZUNGUUKA TU YANGA HAKUNA MTU MNAE MUOGOPA KAMA MOR NA MANGUNGU NDO MTU WENU SASA SISI HATUMFULUZI ILA TUNA MDHIBITI WEWE NI PRO TUU
@freemonhenry3448
@freemonhenry3448 Ай бұрын
Mbona watu wa Yanga mnamtetea sana Mangubgu ? Kunakitu nyuma ya pazia juu ya huyu mzee na Yanga. Haijawahi tokea hii hali, Leo hii kiongozi wa Simba kutetewa na Yanga-wanasimba Tujiulize sana juu ya hili. Binafsi naamini kuna maslahi ambayo Yanga wanayapata kupitia Mangungu, si bule kabisa.
@HamamyMohd
@HamamyMohd Ай бұрын
Tunajua kama umetumwa,ila hayawahusu😷.....
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 Ай бұрын
Manara mbona mimi nilikua nakuamini kumbe nawe c chochote, famula ya hisa mwenye au uwekezaji ni mwenye hisa 49 huwa ni muunda bodi yaani mwenyekiti lzm atokane na wale wenye hisa 49
@yummaskitchen6167
@yummaskitchen6167 Ай бұрын
Shule umesomwa wapi ww??😅😅
@YUSUPHHAMZAHUSSEIN
@YUSUPHHAMZAHUSSEIN Ай бұрын
Sasa nikiongozi gani hajui tunamlaumu kwakua hajui umepiga chini unaona tutamtoa MTU wenu pumbavu kabisa
@YUSUPHHAMZAHUSSEIN
@YUSUPHHAMZAHUSSEIN Ай бұрын
UNAZINGUA PUMBAVU WEE MANGUNGU TUNAMTOA ACHA UNAFUKI NYAUWEEE
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Ай бұрын
Unamtetea nini sasa ajiuzulu aseme sina nguvu huwezi kuweka pesa yako hata wewe manara wasimamie pesa yako usiowajua
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 Ай бұрын
Manara wewe kwanini usifunge mdomo wako, wewe yanakuhusu nini mambo ya Simba?
@ErastoOmari-ij1zs
@ErastoOmari-ij1zs Ай бұрын
Simba Nitawi Letu Yanga Kwamsiyejua Fatilieni Timu Iliyoongoza kumpa Yanga Point Ni Simba
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
​@@ErastoOmari-ij1zsKUPITIA MANGUNGU MACHOGO FC NYIE
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Ай бұрын
anaongea km mwandishi na maneno yake hayabadilishi kitu
@OmarrySingano-kf9il
@OmarrySingano-kf9il Ай бұрын
Kwann yanga mnatetea mangungu kwasababu kauza Gori Tano hatumtaki
@user-pf2cf4hp6w
@user-pf2cf4hp6w Ай бұрын
Kumbe mliuza
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
​​@@user-pf2cf4hp6wMANGUNGU KAUZA SIO SIMBA MACHOGO MWENZENU YULE
@AdanHumbe-os8dg
@AdanHumbe-os8dg Ай бұрын
Simba mbovu haiwezi shindana na yanga
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Ай бұрын
@@AdanHumbe-os8dg MBOVU MKUNDU WAKO NA MANGUNGU KUMA NYIE
@yasminmohamed604
@yasminmohamed604 Ай бұрын
Kwenda ukoo unaisemeaje ssc inakuhuuu ht usemaje hatukutaki na sie tunakujuwa vzr😅😅
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 Ай бұрын
We Kafie mbali huna jipya bado inakuuma sana kuondoka Simba. Ukisikia mwanamke alieachwa na mume wake akiendelea kumtaja na kuzungumzia ujue bado inamuuma. Hovyoo nenda kwa wachimba madini wakakute viungo mshenzi mkubwa.
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 Ай бұрын
Acha maneno hayo. Hujafa hujaumbika. Hujui mkeo atatoka wapi/ametoka wapi? Huenda akawa na dalili za ualbino.
@heaventv4668
@heaventv4668 Ай бұрын
Manara bado ni mwanachama wa simba
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 14 күн бұрын
Wewe ni simba damdam nauna uchungu wasimba mzee magoma ukosahihi
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Ай бұрын
Yanga haikwenda Robo in Mwaka Mmoja imehangaika miaka 86 ndo imeingia mara Moja...Shortly wewe Mwenyewe ni Mnafiki uliyahamasisha Haya ukiwepo hapo..acha Maneno ya Kimalaya Malaya
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Ай бұрын
Kasome upya yanga ndio mwanzili wa hizi mambo yanga ana robo 3 kbla ya hii ya juzi una smart phone 🤳 pitia tarifa hii robo kwa yanga sio mara ya kwanza nakurahisishia 69,70,98,24 hizo ndio robo za yanga
@mubarakaally3741
@mubarakaally3741 Ай бұрын
😂😂😂 moja wapo ni ww py maan wot waongo😂😂
@costantinestephen2594
@costantinestephen2594 Ай бұрын
Manara anajua sn.
@jonasnzemya7700
@jonasnzemya7700 Ай бұрын
Mpira ni pesa Mzee,wanachama hawana pesa
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
ee sawa kabisa mikia fc lazima awasuluhishe makolo
@saidbawazir2879
@saidbawazir2879 Ай бұрын
Hakuna ungozi wa kibinadamu wa kweli la pili ww manara ni wakwanza ulieivuruga simba acha unafiki kesho utawadharau yanga hiyo ni tabia yako
@ramadhaniomary7083
@ramadhaniomary7083 Ай бұрын
Simba ina kuuma sana kaka mo atatoaje pesa wakati mchakato bado wewe huwezi kuipongeza simba hata ingefanya vizuri lazima uisifie yanga si ndio inayokupa pesa
@mlungumasaba1786
@mlungumasaba1786 Ай бұрын
Bungati wewe ni munyama sematu unajitoaga data unyama oyeee bugatti oyee makolo oyeee ilanakushauli bugatti ludi ukoloni kumenoga❤❤❤😂
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Ай бұрын
SAFII SANA
@BoniphasLukas
@BoniphasLukas Ай бұрын
Huyu manara choko tu yeye namangungu lao moja wanalipwa kuibomoa simba kwan kama watu hawana iman naww siuwachie timu yao kwann ang'ang'anie huyo mangungu achie marais wanaachia nchi mawazir wakuu wanaachia nyazifa vp yeye hatak kuachia timu kunanini anafaidika nn
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k Ай бұрын
Upo vizuri waambie ukweli
@Marjeby
@Marjeby Ай бұрын
Mie binafsi sijawahi kuona mtu wa hovyo kabisa kama huyu jamaa jamani jamani tusomeshe watoto wetu huyu jamaa tatizo lake ni shulee tuu jamaa hili kama hamjalifatilia vizuri kama huwa lina hubiri ubaguzi tu sasa mambo ya ushomvi yanaingiaje hapo kama sio uchizi. Albino huwa ni watu wema sana na wenye uwezo mzuri ila kwa huyu jamaa huwa nashangaa sana
@user-lx9jl7de3m
@user-lx9jl7de3m Ай бұрын
🐶🐕
@user-rs3gq5kd3n
@user-rs3gq5kd3n Ай бұрын
Simba inakuuma sana
@ndoanirahaonlinetv5031
@ndoanirahaonlinetv5031 Ай бұрын
JAMANI MANARA ANA UCHUNGU NA SIMBA ANASTUA VIONGOZI😂😂😂 PIA , MANARA ANAJUA MANGUNGU NI NANI NA WANA SIMBA MNAJUA
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Ай бұрын
Mbona nguvu nyingi inakutoka km.siyo mtu wenu.tumemshtukia atumtaki .atatoka kivyovyote
@user-cq4mz8wn3b
@user-cq4mz8wn3b Ай бұрын
Guy congore take flower❤❤❤❤❤❤❤
@user-ny9jx9zc4e
@user-ny9jx9zc4e Ай бұрын
Tunajua elimuyako uliosoma in propaganda na umetumwa kujakutetea hao mamluki wayanga tuachie simbayetu na njaazako
@ramadhaniraphael6955
@ramadhaniraphael6955 Ай бұрын
Zungu pori huna unachokijua kaa kimya pimbi ww na bora ufungiwe miwili tena
@user-yr4pv2vj7m
@user-yr4pv2vj7m Ай бұрын
Wewe Koro una akiri
@user-yr4pv2vj7m
@user-yr4pv2vj7m Ай бұрын
Makoro oyeeee😂😂😂😂😂
@aishashaban7942
@aishashaban7942 Ай бұрын
Anachoongea manara ni fact sana
@abdulnasuma9729
@abdulnasuma9729 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂haji daaaaaa
@user-bs2nr7gz5p
@user-bs2nr7gz5p Ай бұрын
Wewe bado simba ipo kwenye kichwa chako wala haita kutoka abadani
@user-ip2we5uc7n
@user-ip2we5uc7n Ай бұрын
FACTS, MANARA UNAJUA SANA
@issamohamedi9225
@issamohamedi9225 Ай бұрын
Nyie ni washenzi tu na mbinu zenu za kucheza nnje ya uwanja
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Ай бұрын
Manara anaipenda sana simba basi tu
@benjaminkilepo8489
@benjaminkilepo8489 Ай бұрын
Ana uchungu na simba, huyu ni mwanasimba kabisa
@kingsniper9769
@kingsniper9769 Ай бұрын
Manara ndo mtu wa mpira bhn ,arudi tu simba bado ana kitu alipitia tu changamoto
@hamidmussa838
@hamidmussa838 Ай бұрын
Nani alionyoka Mwedeshaji ni mmja.
@patrickimran2645
@patrickimran2645 Ай бұрын
Masura mengine hajapendeza kwa watoto wa boss bwana
@allenmsigwa1639
@allenmsigwa1639 Ай бұрын
Hufi Leo mpaka kesho HAJI
@YUSUPHHAMZAHUSSEIN
@YUSUPHHAMZAHUSSEIN 20 күн бұрын
WEWE NI MNYELA FC HATA IWEJE WEWE NIMNYELATUU NARABUKUZENU
@MussaMgomi
@MussaMgomi Ай бұрын
Huyu mwamba ukimzingatia unaona uhalisia
@kichenjewillian5720
@kichenjewillian5720 Ай бұрын
Mwenye simba yake ndo huyu sasa
@mbakijonas5647
@mbakijonas5647 Ай бұрын
Mtu kama huyu mwenye uwezo mkubwa wa kuongea ni ngumu sana kujua kama yupo sahihi au la. But all in all mimi naamini Taasisi kuwa na migogoro ni jambo ambalo halikwepeki, na taasisi moja kutofautiana kiuongozi na taasisi nyingine ni jambo la kawaida sana, so naiamini Simba na naamini viongozi wa simba na naamini hizi ni changamoto wakikaa chini watazitatua.
@mashakakitwana2824
@mashakakitwana2824 Ай бұрын
Madafu yamefanya nn manara 😂😂😂 na mabusha
@kasimuhamidu8467
@kasimuhamidu8467 Ай бұрын
Akatatue magomvi ya yanga
@BACHAATRAVELTOURING
@BACHAATRAVELTOURING Ай бұрын
Duh! Huyu akisema ukweli wengine munakereka? Akisema kocha mwenda, Gb64, miraji, mzee Saidi, dk Mohamed wote Hawa wanajuwa kukosoa lkn huyu manara akiongea ukweli ni kosa? Kumbe bado hatujatambua kuwa kosa lipo kwenye katiba
@IvanSaid-ef8tb
@IvanSaid-ef8tb Ай бұрын
Hawa bado vichwa vyao vigum sana
@KangwaJumasaidi
@KangwaJumasaidi Ай бұрын
Ivi mana siku izi umeajiliwa kwa mala yapili kuwa msemaji wa Simba tuache na Simba yetu leo yanga imeigiza hasala bilioni moja mbona husemi
@abednego3876
@abednego3876 Ай бұрын
Big brain
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Ай бұрын
Wekeni pesa yanga tuone
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Ай бұрын
Mangungu si kasema atalipa mishahara
@alitante4279
@alitante4279 Ай бұрын
Eti hersi atatue subutu hv kunamtu anaeweza kuchomwa katika moto wa kuni alaf akachochea mwenyew ili aungue uzr!!! 😂😂😂😂
@emlongetcha88
@emlongetcha88 Ай бұрын
UKO YANGA, IBADILISHE KWANZA YANGA ILI GSM ASIWE NA NGUVU YA KUFANYA ANATOCHO TAKA. YANGA nayo ni kama SIMBA tu.... KWELI MANARA NI MJINGA ANAFIKIRI wanasimba ni waJinga kama WEWE. (Huyo mwenyekiti labda atusaidie kwanda kuzimu)😅😅😅
@user-mo8pq4pt3r
@user-mo8pq4pt3r Ай бұрын
Eti makolo oyeeee😂😂😂😂
@user-bu9wj5pi3t
@user-bu9wj5pi3t Ай бұрын
Facts lakini NDANI YAKE kuna unafki
@Dully_star
@Dully_star Ай бұрын
Hawa yanga wanatetea jamaa abaki wanamlipa ndoman Yani mangungu ni yanga
@user-vw2pr7wm8u
@user-vw2pr7wm8u Ай бұрын
Nilichogundua Manara anaipenda sana simba na hii kitu inamla na kumuumiza sana
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 Ай бұрын
Akili ya manara ni vichwa vya wachezaji 30 wa simba ## big up brother nimeamini unajua kweli kuchambua soka😂😂😂😂😂😂😂😂😂
HAJI MANARA KAPANIKI "UNANILETEA UYANGA WAKO MIMI? TUNAWAJUA"
5:22
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 43 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 63 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 10 МЛН
PROF JANABI AMSANUA MAKONDA KUHUSU HUDUMA YA KUSHUSHA KORODANI,.
9:25
Bila Uoga Haji Manara aanika chanzo cha sakata la kufungiwa na TFF
1:02:32
AMIR FARID AMWELEZA RAIS MWINYI IPI ARAFA SAHIHI
18:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 74 М.
Скромный парень НАКАЗАЛ ЧЕЧЕНЦА за дерзость 😡
1:00
Роман Авдал атакуейшн! Али Хейбати оборонейшн.
0:11
Bellingham Brothers 🤩
0:18
Fearron
Рет қаралды 7 МЛН
Хабиб НЕЖДАНУЛ ФАНАТА #мма
0:32
Тайна ММА
Рет қаралды 6 МЛН