Kaka kweli kaka zetu wananuka Sana ,mdomo, tu mwili mzima hawajui kuonga kabisaaaaaaaaa
@mohamedmwavuguto8276 Жыл бұрын
Akhsante sana Shena . Kila kukicha ninapoangalia mahojiano yako , kuna kitu kipya ninajifunza . Mungu akubariki kwa kazi nzuri unayoifanya .
@flaviacharles1348 Жыл бұрын
What a best interview! So honest and transparent! Sijawahi kuweka ku-comment kny hii platform but hii interview imenifanya ni-comment; huyu kaka yuko very bright na amekuwa honest sana, asante sana kaka na asante sana host, mbarikiwe sana. Please mlete tena, ili amalizie kipengele cha relationship! And oooh! YES tuache ubinafsi.
@MARYLembeli10 ай бұрын
Hongeraa sana Elly David kwa mahojiano/ Elimuyote mazuri .
@Lizzyktd10 ай бұрын
Namkubali sana brother anaongea vitu vya msingi sana 🎉🎉🎉🎉
@ShallownHussein3 ай бұрын
Mungu awabariki sana ndugu zetu watanzani nanina furaha kumbwa sana kwakukaa nakusikiliza hiki kipindi sababu hatamimi ninandoto kama hizo mlizo ziongelea na niejifunza mengi kupitia hiki kipidi nanina amini yakwamba nitafanikiwa ndonto zangu kupitia vipindi vyenu kusemakweli na washukuru sana na MUNGU awabariki ila naitaji kujiunga na magrupu yenu yakimitandao🙏
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Apewe mauwa kaka yangu Mungu ambariki sana
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😢😢 kukimbilia mapenzi kuna madhara unajikuta umeolew na mtu asiye na future
@dollymogosi68997 ай бұрын
Yaani nimempenda huyu kijana mpk nimemwambia mwanangu wa kiume asikilize hii interview. Kwa kweli umewafundisha mengi sana vijana wetu wanaotafuta mahusiano always boys dont have focus when it comes to looking for a companion! Big Up my son!
@zwuenakhalfan20986 ай бұрын
Wewe kijana ni very bright continue na wailimishe vijana wenzio
@MARYLembeli10 ай бұрын
Aksante sana shena kwa kazi nzuri unayoifanya,vijana wanazidi kupata Elimu
@maishaforreal7798 Жыл бұрын
Asante nasubiria part 2 kwa hamu brother Elly saa mbili itakuwa vizuri uongeleye ndoa uchumba malezi DNA Canada na kizazi chetu inchi vijana wakiume kuolewa kupenda maisha ya haraka .asante interview za David azipo nyingi KZbin media zinamuongopa
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Wazo zuri
@stanslauskaparangabo8977 Жыл бұрын
Nice
@Hungrydonkey9345 Жыл бұрын
Mbwenu! Oshomire mpaka no class ahead in Canada from Kanyigo!!
@OlyUpowerfuljesus9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@reginakarokola2796 Жыл бұрын
I love you men the way you talk you are so genius dear.
@deuskusaga8156 Жыл бұрын
Safi sana brother umeongea point kubwa,mm nataka nioe mzungu kwa lengo la kutoka Tanzania na nime target nchi mzur usa,uk, Germany, Canada so am just waiting for relationship for my own benefits..safi sana shena🎉
@immaculateakilimali7220 Жыл бұрын
Huyu kaka huwa namuonaga clip zake fb,yuko vizuri kwa kweli,anaongea ukweli kabisaa
@RuthBukuku8 ай бұрын
Jaman asante sn kwa elim hii
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Hongera sana kaka yangu kuwa muwazi Ningelipenda kukutana na wewe mimi nipo USA ndugu yangu .
@fenelamsangi4072 Жыл бұрын
This guy is genius 🙏🏽
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Namkubali sana bro ely davidi na insha allah nitakucheki unisaidie kufika uko
Point sana , Nimejifunza mengi sana sana. Asante dada Shena kwa kutuletea Kaka Elly.
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Nimeipenda hii sana
@MageAwe-hl5zb8 ай бұрын
Umenifurahisha mdogo wangu mimi simpendi mtu anayenuka mdomo
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Jaman sikuzote interviews za huyu kaka yangu ,uwa nazipendaaaaaa MAANA MTAZAMO WAKE KWANGU UWA NI 🔥🔥🔥🔥🔥 NA NI FACT 💯 NO MATTER HOW BITTER IT IS TO MANY BUT FOR ME ITS GREAT AND INSPIRATIONAL . GREAT BROTHER David
@RehemaKiangi-nz9gt10 ай бұрын
Asante sana tumekuelewa Devid
@joasitz9559 Жыл бұрын
Love u so much madam, video zako zinafundisha sana. Thanks brother too for sharing and being genuine.
@WinWilly4162 Жыл бұрын
Ahsante sana Elly and Shena...
@JaneKabyemela9 ай бұрын
Please shena no ya Elly
@sinaiurio7950 Жыл бұрын
Habari dada @Shena....natumaini u mzima wa afya..naomba utuambie KZbin channel ya kaka Elly tafadhali
@amneriyami2409 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 pole sana daaaaaaa
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Upo sahihi kabisa asee najifunza vitu vingi kwa kaka elly
@miriamkakwezi7309 Жыл бұрын
Maisha ni bahati my friend...
@praisetashblessed7065 Жыл бұрын
Waaaaoooo Brow God bless you for good advice.
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Thanks for watching
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Mm ninapasiport nataka Kuja canada
@hedwigjohn6276 Жыл бұрын
Uyu kaka ndio nimejua leo kumbe mkewe ni mzungu jamn❤
@naswiruzaharan7 ай бұрын
One❤
@amneriyami2409 Жыл бұрын
wallahi nimekupenda ww mkweli sana sema una Nondo kali sanaaaaa
@BilibwaIbrahim-cp6tf Жыл бұрын
Genius 🔥🔥🔥
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Dada asante uyo ni kaka yangu ningeli pensa hata kuwasiliana naye tu .
@silvanusndisi963610 ай бұрын
Huyo kaka Yuko vizuri sana pia ni kijana amesoma anajiamini natamani nipate mawasiliano yake ili niongee nae mengi
@nellykibukila56773 ай бұрын
Kweli kabisa
@nadiromar9794 Жыл бұрын
nakubali sana mwamba
@Ollykeke Жыл бұрын
Mara 8 na kuna mtu anaomba once na anagive up. Jamani tuna cha kujifunza hapa
@LnmTMDesign Жыл бұрын
For real its just trying until you get it
@LnmTMDesign Жыл бұрын
Sometimes trying atracts luck
@PaulinaPatrick-rm5lz8 ай бұрын
Nimefurahi sana ww ni mkwel
@dhulkarineibabubabuАй бұрын
Jama yuko sawa
@oliverdaudy46429 ай бұрын
Jamani nmecheka
@saysophyfarm1780 Жыл бұрын
Elly weee ni mjinga sanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂
@aysheraden7718 Жыл бұрын
Kaongea vizuri huyu ( 🇬🇧 )
@amneriyami2409 Жыл бұрын
Asante sana
@dinnarandrew1982 Жыл бұрын
Bro uko vizuru mnoo!!!endelea kuchapaaa😂😂😂.
@awardenock7173 Жыл бұрын
Ayo ni kweli kabisa
@flaviacharles1348 Жыл бұрын
Tunasubiri part 2. Please share link za platform zake. Thanks a lot
@glorymasy7687 Жыл бұрын
Unapatikanaje Elly
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Ellyshow
@glorymasy7687 Жыл бұрын
🙏🙏
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Tiktok, Instagram yupo kila Siku anatupiga nondo uko
@upendombaga8715 Жыл бұрын
Nimejifunza leo
@nelsonpaul4618 Жыл бұрын
imetulia sana
@JOYCESAIDIMU-f5x Жыл бұрын
Naomba no ya huyu kaka
@kazigembeleke595811 ай бұрын
Nikonayo au uliishaipata!
@helinahenry2363 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kaka yetu
@fenelata5612 Жыл бұрын
This guy is smart
@mohamedismail2662 Жыл бұрын
Kuna wakati utafika itabidi uchaguwe mapenz mausiano au future yako kama ujajuwa ndoto yako ni nn usikimbilie mapenz maana unaweza kukutana na mtu ambae ndoto zake aziendan na maisha yako ukaaribikiwa kila kitu uko sawa bro
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😢
@NeemaKipande-hr9rz11 ай бұрын
Hapo pskukimbilia kuolewa nakubali kabisa
@jamil154710 ай бұрын
Siyo kila mtanzania bwana sisi wanaume wetu wanaoga janaba
@LoveAron Жыл бұрын
😀😀😀😂😂😂 Hii kweli ni noma sn tem temble tendo la ndoa kwa mumewe daah
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hatari
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
2009 Shikamoo kaka Elly Maana unatuchapa aswaaaaa wanaotaka kuja ughaibun MUENDE KWANZA KARUME PALE MITUMBA NDIO MJE UKU ATUTAKI STRESS SASA 😅
@MissKaliz Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mimi , Shena leo ume tuweza.
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hii ndio Learn and enjoy sasa 😁
@sarahmbilinyi8504 Жыл бұрын
Huyu anatutesa sana huko fb na wwshp anajiona yy ndio kaiwini na yy ndio anajua
@anastaziamathias8861 Жыл бұрын
Anatumia jina gani FB ?
@sarahmbilinyi8504 Жыл бұрын
Anatumia elly david
@kevinmary712910 ай бұрын
Matured love is all about logic not childish feeling and emotions which only last for 1 to 2 years after marriage/wedding day
@neemamahimbo4711 Жыл бұрын
Hii interview inahitajika kwenye platforms zoooooote,tukiacha chuki na ubishi,hii ni nzito ni kubwa,imejaaa
@WouldayMohammer Жыл бұрын
Huyu kaka yupo vzuri mnoooo ana mawazo na anaongea fact kwa mwenye akili
@amneriyami2409 Жыл бұрын
A/alaykum ingia sema undani wote tunajifinza
@mamelithaemmanuel2976 Жыл бұрын
Pole mdogowangu
@asharamadhani3462 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jamani nimecheka sana kaka yangu anaongea sana ukweli jamani
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Mnooo
@luchekayoohy Жыл бұрын
Good job 👍
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Thank you! Cheers!
@homeandaway2811 Жыл бұрын
Hongera sana dada ODA, channel yako inazidi kuleta mafunzo ya maana sana.Umeshawahi kufikiria kubadili jina la ODA? ni zuri ila kama halielezi vizuri kilichomo humu, to me it feels like unatoa assistance ya dating tu, mwingine anaweza akaona haimhusu au hayuko interested, ila kumbe channel yako ina MADINI mengi mnooo,hii assistance ni service mojawapo tu, anyway ni mtazamo tu, Mungu aendelee kukuinua, napenda sana content zak
Hapo kwa usafi wa wanaume kaka umeweza. Wanaume wengi wa bongo wananuka vibaya mno. Wanavaa boxer moja wiki. Usafi wa mwili wengi ni zero kabisa. Na akioga anarudia nguo chafu inayonuka jasho. Wao huangalia usafi wa nguo kwa nje. Wengi kwenye usafi wamelelewa hovyo kabisa. Yukeeees
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hatari 😁
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Jamani sio lwa wote
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
@@angelalyimo2862 hakuna mahali nimesema ni wote dear
@successmbio8789 ай бұрын
Nampendaga proffer yuko real na anapendaga ukweli
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Ningependa kuwasiliana naye
@Lizzyktd10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@zaydelabay9776 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 timetable
@glorymasy7687 Жыл бұрын
Jmn nimechelewaaa 😢
@Evakibira Жыл бұрын
😂😂😂😢❤
@amneriyami2409 Жыл бұрын
my habibt shena pls nataka no yako mie naishi falme za kiarabu mascat oman
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
+4367764790884 Karibu
@josephmay4260 Жыл бұрын
nilposikia mhaya
@hassankhamis3449 ай бұрын
Kaka wanakwambiya uwonge kiswahili kwasababu hawapati kitu unawaachanjiyani hapo
@sekikigosi826511 ай бұрын
Haki ckutegemea kucheka ila Elly ni comedian hajui tu .Alafu ni mkweli sana nimempenda bure.
@dafrosahabil5598 Жыл бұрын
I attended Elly’s wedding back in 2019 alioa a Ugandan lady that was a German citizen I wonder what happened to that marriage 🤔🤔🤔!
@jamil154710 ай бұрын
Vipi mnawajua watu wanaweza kusaidia visa ya New Zealand?
@kevinmary712910 ай бұрын
No shikamoo kwa wapenz na wanandoa ni habari, za leo ,mambo etc.
@godliverdennis8723 Жыл бұрын
🤣😂😄😅mbona kunuka mdomo
@jovovichmedia94249 ай бұрын
Hao wazungu wenyewe ni wachafu wanaoga mara Moja kwa wiki
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Unakutana na changamoto host😂 Mara 3
@inongee1141 Жыл бұрын
Pande zote za dunia kuna watu wasafi na wachafu vile vile
@chitukusahappy7145 Жыл бұрын
Huyu kaka tumpe mauwa yake ..na arudi tena tafahali.
@ReginaSolia10 ай бұрын
Nimekupenda bure kaka nitafutie kazi huko
@shamimhayat7637 Жыл бұрын
Mimi nitakutafuta Elly wewe wa kwetu
@rahmaqasim5143 Жыл бұрын
Nimeipenda hii acha nihifadhi kwa akili itanisaidia badae
@sovajulius38709 ай бұрын
Elly Kama Elly atafika mbali sana huyu kijana
@successmbio8789 ай бұрын
Kweli kabisa atafika mbali
@saidali5894 Жыл бұрын
Nipe namba ya agent ama anwani katika mtandao
@swahilitherapytv38469 ай бұрын
Tutampataje huyu jamaa online...??
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Sisi watanzania wengi wetu hatujui kingereza, mtatusaidia sana mkiwa mnjieleza kiswahili..ili tuwaelewe..