Tunajifaharisha kwa tulivyonavyo na sio kusaidiana kwenye matatizo
Пікірлер: 16
@SalmaNelima9 ай бұрын
+254 Allah Akuhfadh Nakupend kwa Ajil ya Allah ❤❤ Na kuombea khery na Afya Inshallah
@saumusalimuhassan24999 ай бұрын
Ameen Yarabb 🙏
@a.8569 ай бұрын
Jazakallah khayran
@jimjam-xg7rv9 ай бұрын
YARABI anisamehe thambi zangu naza wazazi wangu na utujaaliye mwisho mwema. Amin amin YARABI amin YARAB amin 🤲🤲🤲🤲
@azizaalnaamani7539 ай бұрын
Masha Allah shekh wetu Allah barik Allah akulinde na Shari za viumbe
@saumusalimuhassan24999 ай бұрын
Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim, Allah akulipe Jannah inshallah 🙏
@Khkh-fx9ry9 ай бұрын
Asalamaalaykum warahmatullah wa Barakatuh
@waheedaw19539 ай бұрын
Allah ATUHIDI YAMII Muslim inshaAllah LAAHAULA wala quwwati ila bilah Subhanallah
@sabihaibrahim1439 ай бұрын
niliomba msaada wa tende ramadhani moja nikaona nipeleke msikitini kwetu nikazisafirisha mpaka pemba ni nyingi zikagawiwa na kuwekwa msikitini kwa ftari weee he kilichonikuta mungu ndo anajua kwanza yalianza maneno nataka sifa yakafata na mengine nalia kila siku mpaka leo
@fatmaally72529 ай бұрын
Sema Alhamdulilah alafu mwachie jabari asema nao tu
@hilalkhalfan14529 ай бұрын
Skuizi bora ukae na punda au jini utapata rafiki wa kweli kuliko adui mtu 😂
@hilalkhalfan14529 ай бұрын
Skuizi bora ukae na punda au jini utapata rafiki wa kweli kuliko adui mtu 😂
@ummuraw63729 ай бұрын
Usilie wala usijute
@zainarashid10249 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakat. Mara nyengine kama umejitaja usijitaje binaadam hatupendeleani mema hata ufanyenye roho zetu hazisafiki.