HALI ILIVYO DARAJA LA 'TANZANITE' BAADA YA KUANZA KUTUMIKA, WANANCHI WAFUNGUKA...

  Рет қаралды 89,119

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 143
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 жыл бұрын
Mashallah daraja la kimataifa ❤️ Alhamdulillah kwa yote 👏 shukrani Sana Rais wetu huko ulipo magufuli kwa kututengenezea Nchi yetu kuwa nzuri Allah akuhifadhi sehemu stahiki huko ulipo na siku ya hesabu ikifika uwe kwenye kundi la wale watu wema 😭👏kweli nimeamini watu wema hawadumu 😭😭
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 3 жыл бұрын
Asante Rais wetu Mpendwa J.P Magufuli kwa kumbukumbu ya Daraja kwakweli tutakukumbuka Daima Jameni Askari semeni tunamshukuru Rais wetu Mpendwa J.P Magufuli🤲🤲🤲🇹🇿🤲🤲🤲 acheni unafki hili Daraja ni Daraja la Awamu ya tano sio la sita apana
@fatmaally7252
@fatmaally7252 3 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah cjui niseme nini kuhusu baba yetu kipenzi chetu Magufuri mungu akuweke mahala pema peponi Amiin tunakupenda daima
@salumumuhija477
@salumumuhija477 3 жыл бұрын
Rip Jpm daima nitakukumbuka umeniachia somo kubwa sana. Uthubutu wako umelibadirisha taifa hili
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 3 жыл бұрын
Magufulification for life namuona JPM the legend iz back
@aminaam281
@aminaam281 3 жыл бұрын
Hongera mtangazaji kwa kutumia kiswahili kizuri cha kumuenzi rais wetu Dr John pombe magufuli , niwachache niliowaona wakimuezi kwa aliyotuachia pia sijasahau kwaalie malizia baada ya kuachwa jiani na jemedari wetu mungu ailaze roho yake mahala pema pepon....,mungu aendelee kukulinda rais wetu wa awam ya sita.......
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
Amenifurahisha mie pia. Viongozi wa serikali hawataki kabisa kusikia jina la Magu maana wamejaa tamaa ya mali na aliwanyoosha.
@omarmihulu7979
@omarmihulu7979 3 жыл бұрын
M/mungu tunakuomba mpendwa wetu mpemakaazi mema apumzike salama
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 жыл бұрын
Utakumbukwa milele Magufuli kwa Maono haya.sifa na utukufu tunamrudishia Mungu
@zikirination6769
@zikirination6769 3 жыл бұрын
Mtangazaji umeupiga mwingi aisee umesema Nan muanzilishi then awam hii ikamaliza sio mnasifu mnamsahau aliyebuni kisa hayupo sio powa big up wasafi🙏
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 жыл бұрын
Safisana kazi ya hayati jpm lala salama hisia zako tunaziishi
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 3 жыл бұрын
R.I.P JPM kazi yako tunaiona
@thebrainundefeated4792
@thebrainundefeated4792 3 жыл бұрын
DR JOHN MAGUFUL.... BABA WA WATANZANIA
@mariamsudi8845
@mariamsudi8845 3 жыл бұрын
Nitakukumbuka daima raisi mwenye maono j p m ♥❤
@omarmihulu7979
@omarmihulu7979 3 жыл бұрын
Magufuli alikuwa mzalendo wakweli mungu jaalia nchi hii Tanzania tupate mzalendo Tena asogeze kidogo
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 2 жыл бұрын
Wengine waruhusu eti wale kwa urefu wa kamba yao!!!!! Maana yake kila kiongozi ale kwa kiwango cha madaraka yake. Zile kubwa kubwa ale mkubwa na ndogo ndogo ale mdogo bila kuingiliana. RUSHWA NA HUJUMA iwe ya kimadaraka/ukubwa
@barackpeter.3852
@barackpeter.3852 3 жыл бұрын
RIP JPM mzalendo wa kweli.
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
Bora wewe umemtaja Magu. Viongozi wa serikali hawamtaji kisa kuua legacy yake. Nasi tunawaambia hata wasipomtaja sisi tunajua ukubwa wake na hautafutika hata vizazi na vizazi. Maana aliyoyafanya hayamithiliki na yaliwatisha mpk mabeberu. RIP MWAMBA MAGUFULI 😭
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
Damu ya magufuli bado iko kwenye mioyo yetu 🙏🙏😢
@rajabumuya4680
@rajabumuya4680 3 жыл бұрын
2014 kikwete ♥️
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
@@rajabumuya4680 kikwete nilikua nasoma sikua na akili nae rais wangu magufuli ndie rais amabae nimempigia kura nikiwa na umri miaka 18 ila asante kwa kunijuza lakini kikwete sina cha kumuelezea🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
@@hamoudcreator6343 tuta mkumbuka shujaa wetu tanzania bila lock down inawezeka, pia bila balakoa inawezekana
@coin9007
@coin9007 3 жыл бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506 PERIOD 😂😂😂😂
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
@@coin9007 hahaha we mzima kweli😂😂😂🤣🤣🤣
@geofreykato3976
@geofreykato3976 3 жыл бұрын
Mtangazaji ulivyotaja tu Magufuli angalia hizo comments za raisi wa Africa JPM. - THE MAN.....
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 3 жыл бұрын
Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu taifa rangu mkubwa la TANZANIA ripo mikononi mwako
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 3 жыл бұрын
Alama alizoziacha magufuli ni kubwa sn km barabara za flyover tu ili daraja ni vitu vikubwa sn ambavyo vitamfanya akumbukwe daima sababu gari zinaongezeka sana na kwa kasi jijin dar,mzee kafanya makubwa sn R.I.P magufuli🙏
@omarmihulu7979
@omarmihulu7979 3 жыл бұрын
Mungu baba ulitunyan'ganya jpm tumesononeka sana bill yakujuwa unamakusudio gani tunakuomba shusha miujiza yako utufute machozi
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 3 жыл бұрын
Kazi ya Mungu haina makosa kikubwa ni kumuombea huko alipo
@berthandollo3227
@berthandollo3227 3 жыл бұрын
Hapana kwa magu ni kazi ya binadamu
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 3 жыл бұрын
😊
@coin9007
@coin9007 3 жыл бұрын
@@berthandollo3227 💔💔💔
@obisanaa6005
@obisanaa6005 3 жыл бұрын
RIP JPM BABA WA WANYONGE , MASKINI NA WAMACHINGA, KAZI ZAKO NA ALAMA ZAKO ZA UZALENDO HAZITAFUTIKA KAMWE,WATANZANIA HATUTAKUSAHAU KAMWE
@jeffchurum1431
@jeffchurum1431 3 жыл бұрын
That is one beautiful bridge. Watching from Kenya.
@agogomgagagigigogo2672
@agogomgagagigigogo2672 3 жыл бұрын
😂😂😂Mtangazaji nimekupenda bure hujapepesa macho ktk kulifafanua,ni kweli ni moja kati ya alama za kukumbwa kwa uwepo wake hapa duniani JPM,R.I.P😭😭😭
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 2 жыл бұрын
Rest In Peace our Beloved Late President J. P. MAGUFULI. Mpenda maendekao wa nchi yake. Baadhi ya viongozi hawaongelei ukweli huo hii inatokana na vinyongo na ubinasfi waliyo nayo.
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 2 жыл бұрын
JPM brain 🧠 🇹🇿✈️💪💪💪
@iddyngaiwa
@iddyngaiwa 3 жыл бұрын
Namuona mzalendo,mpiganaji,jemedali,mtetezi wa wanyonge na kipenzi cha watanzania JPM hakika tutakukumbuka 🤫😭😭😭😭
@jumaabdalla3798
@jumaabdalla3798 3 жыл бұрын
Tunamkumbuka daima
@mudolyomanzil6502
@mudolyomanzil6502 3 жыл бұрын
Jpm salute kwko
@april7teen
@april7teen 3 жыл бұрын
John Pombe Magufuli 🙌💔😭
@anordkingstar5793
@anordkingstar5793 3 жыл бұрын
Safi san haya ndo mambo tunapenda kuona viongoz wetu wanatufanyia wananchi wao,,, sasa bado bwawa la umeme maan kuna watu wameshaanza kuwe uchafu uchafu wa kuchafua serikal ya mama,,, mama jitahidi san kuwa makini na hicho kitu huo mradi nadhani ushamalizika ni jambo la kutoa kauli ili tusonge mbele vinginevyo kutakua na doa kubwa san kwa serikal,,
@mimifineliving2022
@mimifineliving2022 3 жыл бұрын
Mama samia ahsante kutufuta machozi watanzania wengi. Tunakuombea dua utawale salama umalizie miradi yote mlioanzisha na JPM
@himidijenga535
@himidijenga535 3 жыл бұрын
Afadhali wasafi mmemtaja JPM
@Herry-x7k
@Herry-x7k 3 жыл бұрын
Much love from kenya🇰🇪 to Tz🇹🇿 East Africa to the world #nice dvp
@innocentpeter6409
@innocentpeter6409 3 жыл бұрын
Baba jpm kweli ulikua kiongozi ulitukuka lala kwa amani
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 жыл бұрын
R.l.p Magufuli 🙏
@davidkomba9109
@davidkomba9109 3 жыл бұрын
Asante sana MAGUFULI
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 жыл бұрын
Viva magu vivaaaaa
@edsonimkwama8745
@edsonimkwama8745 3 жыл бұрын
Afadhari hata wasafi mmemtaja jpm
@nguruwekikwete1635
@nguruwekikwete1635 3 жыл бұрын
Ni mwiko kumtaja JPM AU NYERERE mama kasema wala kurusha hotuba zao tz
@fauzimohamed5757
@fauzimohamed5757 3 жыл бұрын
@@nguruwekikwete1635 we kweli nguruwe shoga
@isejemedia6760
@isejemedia6760 3 жыл бұрын
Safi sana,,Tanzania yetu
@jumaabdalla3798
@jumaabdalla3798 3 жыл бұрын
Haya ndio matunda ya hayati magufuli
@salumumuhija477
@salumumuhija477 3 жыл бұрын
Rais samia usisikilize washauri wabaya watakuangusha nakuomba umalizie bwawa la umeme kwa faida ya taifa letu.
@ototek8037
@ototek8037 3 жыл бұрын
Mtera maji yanamwagwa sizani kama watamaliza bwawa la nyerere, nahisi likiisha wakinamsoga watapata hasara hawaezi kukubali lazima walihujimu, zaidi ya myaka mitano hatukusikia magenereta kwenye kuzalisha umeme mkubwa...leo Dodoma huko zuzu ni biashara ya mafuta kwa madai ya uzalishaji umeme, wanaikausha nchi hawa jamaa.
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 3 жыл бұрын
Hapana Bwawa lile lazima liishe hakuna namba lilipofikia ni pakubwa haiwezekani wakaliujumu litamaliziwa tu hata iweje pesa imeshatengwa watalichelewesha tu lakini litaisha.
@sashoright8213
@sashoright8213 2 жыл бұрын
Tunashukuru Mungu kua Kuna ili swala la kukatwa na tunakatwaa kwel ad roho inaumaa mnoo Sasa pesa zinazokatwa tujengwe nyumba nzurii za kupangaa na ma Moll ya serikali na especially kwnye nyumba ziww nyingii mnoo Ila wajenge nyingi na mzuri majiko ndan kwa ndan na sehem ya kufulia ndani kwa ndani
@deokafulu4332
@deokafulu4332 3 жыл бұрын
Mzee alikuwa ana ndoto za mbal xana
@nguruwekikwete1635
@nguruwekikwete1635 3 жыл бұрын
The great jpm
@EK-kp2np
@EK-kp2np 3 жыл бұрын
😆😆Jina lako nani???😁😁
@mwambajr7679
@mwambajr7679 3 жыл бұрын
R.I.P MAGUFULI raisi wa kweli kiongozi wa watu maskin
@homeboy2307
@homeboy2307 3 жыл бұрын
asante MUNGU kwa kutuletea magufuri
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 3 жыл бұрын
Duuuh.. .Maashaallah...no jambo la kumshkuru Mungu
@robertmgore3653
@robertmgore3653 3 жыл бұрын
Jpm milele atabaki
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 жыл бұрын
Ukiambiwa alopigania hayaoni haya leo dahhh Allah akurehem Rais wetu kipenzi cha wanyonge hakika ulijua kutupenda lkn Allah amekuita mapema mno
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 3 жыл бұрын
R l P Magufuli, hongera Rais Samia kazi iendelee
@mawaidhatz5183
@mawaidhatz5183 3 жыл бұрын
Pongezi kwa wote waliofanikisha hili 👏👏👏
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
Amazing 👌🏽👌🏽👌🏽
@kichuyamajaliwa1539
@kichuyamajaliwa1539 3 жыл бұрын
Magufuli umeenda mapema sana kiongozi
@Frazztraveller
@Frazztraveller 2 жыл бұрын
Hongera Raisi Samia suluhu
@martinkigua8627
@martinkigua8627 3 жыл бұрын
Magufuli oyeeeeeee RIP
@michaeljohnkitalama5896
@michaeljohnkitalama5896 3 жыл бұрын
Rip chuma
@abdullherry3072
@abdullherry3072 2 жыл бұрын
rest easy j.p.m
@abedomar5183
@abedomar5183 3 жыл бұрын
RIP Magufuli
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 жыл бұрын
Magufuli baba wa taifa bado tunakulilia hao wengine waloochukua madaraka ivi wameboresha nn jmn toka magufuli atutoke
@gangmore9091
@gangmore9091 3 жыл бұрын
Hongera Tanganyika
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Ahsante mama samia kwa kuendeleza kazi 🙏 🪦 jpm
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
Mpongeze magufuli
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 3 жыл бұрын
Maono, na nguvu ya Ayati John Pombe Magufuli Mzalendo wa Taifa hili uliko tunakuenzi na bado atujaamini kuwa ulikufa kwa ajili ya maradhi Bali ni kwa mikono ya watu waovu wasiopenda maendeleo katika Taifa hili
@Tariqxxtenations
@Tariqxxtenations 3 жыл бұрын
Amazing.magu Na Samia💪🏽
@chifumapro5066
@chifumapro5066 2 жыл бұрын
Amina San hapa Kaz tu
@fettyramadhan622
@fettyramadhan622 3 жыл бұрын
Daima tuna kukumbuka rip jpm
@mikaelikamili3108
@mikaelikamili3108 2 жыл бұрын
magu oye yeye ndo Alie nifanya niwe ccm Ila kwasasa🧐
@christinamsuya5492
@christinamsuya5492 3 жыл бұрын
Pumzka kwa amani magufuli wetu hakika umetuachia alama ambazo kamwe haziwezi futika mioyon mwetu...lala salama baba
@talibsaid8081
@talibsaid8081 3 жыл бұрын
Jamani mbona chadema wanopenda kusema kila kitu hili hawajalisema yuko wapi lissu leo mpumbavu wa jamhuri ya Tanzania
@kalla4alex146
@kalla4alex146 3 жыл бұрын
Sjui niseme nn mungu mlaze baba yetu Mahali pema pepon
@homemohammed3244
@homemohammed3244 2 жыл бұрын
Hakuna atakaye kuwa kama magufuli kwa sasa nchi imekuwa ya hovyo watu wanauwawa hovyo ukatil umekithir Hal ngumu km hakuna rais
@robertwarkoi7353
@robertwarkoi7353 3 жыл бұрын
Mama anapambana sana jaman,
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 жыл бұрын
Duh!! kumbe mchakato wa ujenzi wake ulianza tangia awamu ya mzee Kikwete 2014, na 2015 akauendeleza mzee Magufuli na hatimae umekamilika kipindi cha mama Samia? Huu kumbe ndo uhalisia wenyewe, shukran kwa kutujuza tusiojua. Ewe Mwenyezi walipe kila la heri viongozi wetu.
@hassanshunda3640
@hassanshunda3640 3 жыл бұрын
Wachakata sana magufuli kaka kujenga
@deogratiuskweka8488
@deogratiuskweka8488 3 жыл бұрын
Shida sio kuanza mchakato, shida ni utekelezaji… kama ni master ya mchakato basi waliopita walikuwa nayo. Hata flyover ya tazara mchakato ulianza 2005 hivi…
@romanambelle6356
@romanambelle6356 3 жыл бұрын
Michakato ilikuwa inaanza na haikuwa na udhubutu. Jemedari la africa kila mchakato ulikiwa ni kuweka kwa vitendo. RILP Magu wetu. 🙏
@canibalgazaboy8325
@canibalgazaboy8325 3 жыл бұрын
ukiangalia mjomba aliandikiwa vitu vingi sana vya kimkakati lakini hakuwa anavisoma anaviacha tu ko mzee baba alivochukua nchi yeye akapitia makablasha yote yalikuwa yapo ofsini bila kusomwa akasoma na akakutana na mambo mazuri kama hayo yeye akawa anatekeleza tu ukiangalia ata Sgr,mwendo kasi,fly over ,bwawa la nyerere ni.vitu ambavyo vilishafanyiwa mchakato lakini vilikuwepo tu bila kufanyiwa kazi mzee baba yeye hakutaka maneno nikutekeleza tu
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
Unaweza kuwa na mchakato,ila ukaishia mezani.Bwawa la umeme,mchakato wake ulianza enzi za Nyerere kwa taarifa yako.Mchakato wa kuhamia Dodoma,ulianza enzi za Nyerere .Kuna michato miiingi tu.Ni mtu mmoja tu ,aliyeweza kuifanya michakato hii kuwa uhalisia,JPM. Kila awamu inge fanya uhalisia wa michakato ilyopo mezani,TZ ingekua mbali kama Singapore! Wakati tunapata uhuru ,walikua masikini kuliko TZ..sasa hivi ,wanatupa misaada,kiasi kwama mafuta ya kula TZ,asilimia kubwa yanatoka Singapore,wakati tunauwezo wakulima na kuzalisha mafuta...Ila mchakato upo mezani...lol
@shabanikamsawa181
@shabanikamsawa181 3 жыл бұрын
Wakati magu alikuwa anawaza ataendeshaga nchi walio baki wanawaza 2025 watapataje kura na kuwatafuta watakao msaidia kupata kura na siyo kuwaza wakina sisi tunahitaji nini
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 3 жыл бұрын
Kumbe mtendaji mkuu wa Tanroad yupo😁
@nicolastitus568
@nicolastitus568 3 жыл бұрын
Hongereni serikari
@ludobudege1662
@ludobudege1662 3 жыл бұрын
Magufuli mmemsahau kweli ngozi nyeusi shida tupu bila ya magufuli daraja lingepatikana mi naipongeza awamu ya tano bila kumumunya maneno
@deuslucas2256
@deuslucas2256 3 жыл бұрын
JPM tutakukumbuka daima
@mariamali1887
@mariamali1887 3 жыл бұрын
Big up👌👌👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jayjay4313
@jayjay4313 2 жыл бұрын
Walichosahau hapo ni kujenga kituo kidogo cha polis mwanzo WA daraja. Katikati na mwisho. Nipe mwezi tu usikie habari ya vibaka ama watoka speed. Japp hatuombei ila vibaka wao akili zao betri linacharge na gear ya reverse.
@sarllemmtunze405
@sarllemmtunze405 3 жыл бұрын
Wale wanafiki waliokuwa wakihoji mikopo ya Magufuli bungeni bado hawaja pata jibu tu? Uozo nikwamba unafiki unalipa Tanzania asikuambie mtu kwani wengine wametunukiwa uwaziri tayari kwa unafiki wa hovyo.☹️
@rajabujacksoni9240
@rajabujacksoni9240 3 жыл бұрын
Omary acha unafi nauyo mwenzio aliyofanya iyokazi nimagufuri wala sio samia
@chazy7ya216
@chazy7ya216 3 жыл бұрын
Jembe letu jmn jpm
@davidliwawa6044
@davidliwawa6044 3 жыл бұрын
JPM 😭😭😭
@seifnassor3729
@seifnassor3729 3 жыл бұрын
Kumbe umetumika mkopo kulijenga, kuna watu walidai na kuendelea kudai hakukuwa na mikopo katika miradi hii.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Trafiki kwenye daraja ana fanya kaz gani?
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
Angekuwepo Jembe mwenyewe hata SGR tungekua tuapanda!.SASA hivi unaambia majaribio mwezi after mwezi...Why did Sir God mchukua JPM...bas tuu
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 2 жыл бұрын
Pesa angetoa Wapi?,maana nchi ilishafika pabaya!,Mama katurudisha kwenye Reli,tulishapotea!
@obisanaa6005
@obisanaa6005 3 жыл бұрын
Mtajeni JPM
@jumannemrisho3517
@jumannemrisho3517 3 жыл бұрын
Nimemsikia kiongozi hapo akisema mchakato wakujengwa daraja ulianza 2014 nadhani wakati huwo alikua mkwele tusijisahaulishe yule mzee alifanya kazi kubwa hata kigamboni nakumbuka kajenga yeye ongela kwa viongozi wetu wote
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 жыл бұрын
Kumbukumbu ya milele kwa watanzania
@salumumakombo9136
@salumumakombo9136 3 жыл бұрын
machozi yananitoka
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 3 жыл бұрын
JPM
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Mna sizitiza eti daraja lina tumika bure😂😂 kwani kodi zetu zna enda wap
@idyjumanne9796
@idyjumanne9796 3 жыл бұрын
Awamu ya sita broo
@amedeusmodestikimey9888
@amedeusmodestikimey9888 3 жыл бұрын
MAGUFULI ALIKUWA MWAMBA HIVI NDIO VITU VYAKUKUMBUKWA
@Doreen_ONLINE
@Doreen_ONLINE 3 жыл бұрын
jamaa kafrahi sana yan ad raha
@barakarobert1029
@barakarobert1029 3 жыл бұрын
Nafuu ww umesema kwel jpm siyo poa
@imakitori399
@imakitori399 3 жыл бұрын
Sasa huy traffic anafany nn apo
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 3 жыл бұрын
Bongo wanakuja kali..Kenya tujipange upya
@derrickmutuma7185
@derrickmutuma7185 3 жыл бұрын
Tunajipanga kisawasawa. Mwache, Mteza, Nyali bridge 2, Mombasa gate bridge, Makupa bridge ziko kwenye pipeline.
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 3 жыл бұрын
@@derrickmutuma7185 yeah am from Mombasa too and you’re spot on
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
How does Starlink Satellite Internet Work?📡☄🖥
28:09
Branch Education
Рет қаралды 8 МЛН
Inside the V3 Nazi Super Gun
19:52
Blue Paw Print
Рет қаралды 2,6 МЛН
Putin urgently interrupted a meeting / Change of power in Ukraine
14:46
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН