Asante apostle kwa somo hili nimerudia tena. Yaani kiukweli unaipenda kazi Mungu aliyokuitia. Unatufundisha kutoka moyoni. Yaani mtu anaelewa na zaidi ya kuelewa. MUNGU AKUTUNZE.
@fatumasaleh94913 жыл бұрын
Thank you God. I love your teachings you always bless me spiritually may God bless you abundantly and your family thank you Jesus Christ Amen
@SAIMONKAYANDA-n3p Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako
@samuelbahati62523 жыл бұрын
Asante baba! Nimefata sana mafundisho yako,yamenibariki saaana. Samuel par Goma/DRC
@everlyneiminza57223 жыл бұрын
Even me from today naanza kuwaza neema ya Mungu tuu, Amina barikiwa sana mtu wa Mungu popote ulipo Mungu akutendee makuu Ktk maisha yako nabarikiwa sana nikisikiza nafundisho yako🇰🇪
@justinenjau79363 жыл бұрын
Mungu akubariki sana, mtumishi wa Mungu anakupenda na kama kanisa tunafurahi ya kwamba unabarikiwa na mafundisho ya mtumishi wa Mungu. tunapenda kukukaribisha pia kwenye ibada zetu kila siku ya jumapili, tutafurahi mno kama kanisa iwapo tutashiriki ibada pamoja na wewe. Unaweza kupiga namba zifuatazo kwa maelekezo zaidi: 0767960901, 0717960901. Kanisa lipo karibu kabisa na chuo cha ardhi mara baada ya mlimani city, njia ya kuelekea makongo juu. Na kituoni kuna bajaji zinazokuleta moja kwa moja mpaka kanisani. Mungu akubariki
@everlyneiminza57223 жыл бұрын
@@justinenjau7936 Amina
@hellenwanyama66083 жыл бұрын
Hallelujah amen neema ya Bwana wetu yesu ya nitosha
@kajujumary67293 жыл бұрын
I love your teaching servant of most high God God bless you.
@alfredmoleli76713 жыл бұрын
Amina mtumishi napokea kwa jina la yesu neema inifunike
@eustacelubazibwa3101 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi.. Mungu akubariki
@sarahwawuda51643 жыл бұрын
Mungu akubariki Apostle nimejifunza.....Neema imefunuliwa kwangu leo🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@rehemamwabukusi11083 жыл бұрын
Ireceive the grace my apostle, umebarikiwa Mwangalizi wetu kwakweli you can teach you can sing what a grace!
@monicabh16683 жыл бұрын
May God of heaven lift you high and higher 🙏🙏be blessed apostle.
@episonfelician76703 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumish Apsotle Man of God nimeupokea ujumbe wako umenibariki sana Naamini Neema ya Mungu itaniwezesha katika maisha yangu kuanzi sas
@edwarddaud67853 жыл бұрын
Thanks for your message cheif Amen
@clairemuchai6233 жыл бұрын
Aamen be blessed mtumishi,,,neema yanitoshaaa
@michaelangwenyi57283 жыл бұрын
I love you my brother for the insight, Revelation, and Application of the Word of God by His grace. God bless you and uplift you like the ark of Noah into salvation and the safest point of the spiritual mountain.
@honestyminde55193 жыл бұрын
Amina sana Mtume. Napokea Neema ya Mungu ya kustahimili kwa jina la Yesu kristo. Ahsante kwa mafundisho.
@mariammpina81033 жыл бұрын
Nimefarijika mimi leo na kujiona kuwa ni mzima wa afya pamoja nina kisukari na Presha ni kwa neema ya MUNGU.Ubarikiwe sana sana na MUNGU akuinue kwa Viwango vya juu saaana ili utufundishe Zaidi Na zaidi Maandiko.
@irenengina2333 жыл бұрын
Napenda sana your sermon..powerful!
@rachelpilos69643 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@glorymbazi80833 жыл бұрын
Haleluyaaaaaaaa, napokea neema kwajinala yesu
@eunicewilomo203 жыл бұрын
Asante kwa neno nzuri mtumishi
@rehemathomas11603 жыл бұрын
mtumishi mungu akubaliki katika maubili haya nahisi ulimenigus sana
@pastornongoli43883 жыл бұрын
Ameen, Nami ninasema Neema ya Mungu jehova-nisi yanitoshaa
@angelatarimo19693 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi Wa Mungu 🙏
@coelastinanangi70723 жыл бұрын
Powerful Sermon.
@janethcharles75943 жыл бұрын
Amen mafundisho mazuri
@michaelngereza49203 жыл бұрын
Chief Mungu azidi kukutumia hili ni langu kabisa🙇🙏🙏🙏
@rehemamusa81993 жыл бұрын
hakika neema ya Mungu yatosha asante mtumishi
@johnsonbagambi19083 жыл бұрын
Asante mtumishi wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@jaredmayaka29933 жыл бұрын
I Thank you pastor for your teachering course itaninua kiroho am from kenya
@susankilontsi19463 жыл бұрын
Amen nimejifunza neema ya Mungu ninapokea neema hii
@honestyminde55193 жыл бұрын
Amina sana Mtume. Ahsante kwa mafundisho.
@rimepeter7893 жыл бұрын
Amen, to God be glory forever and ever for this divine connection, indeed am blessed ,God bless you daddy in christ for this wonderful revelation ❤🙏
@judithkatoto33163 жыл бұрын
Amina baba barikiwa san san na nmepokea jamni weweeeeww asante mungu
@upendomsuya47543 жыл бұрын
Nami nitajisifu kwa udhaifu wangu maana Neema ya Mungu yatosha. Asante sana kwa mafundisho Mtume hakika Neema ya Mungu yatosha.
@revelianalphonce81153 жыл бұрын
nakuelewa sana mtumishi
@annahayasanday71743 жыл бұрын
Amen. Neema yanitosha
@mtanzaniahalisimungunimwem6733 жыл бұрын
Nakuelewa sana.naomba Mungu nisaidie nisijivune kabisaaaa.
@sallygrace14953 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho Ubarikiwe man of God 🙌
@joybitutu24323 жыл бұрын
Asante mjungaji kwa mafundizo mazuri nimeparikiwa
@japhetmkumbwa79143 жыл бұрын
Asante sana nimekuelewa sana nimepata majibu. Ya vitu vilivyo nitesa neema yatosha
@monicabh16683 жыл бұрын
Halleluyah 🙏🙏🙏 kuna kitu nimejifunza leo hakika ni kwa neema ya mungu tuu
@janetfrancis71803 жыл бұрын
Napokea neema ya Mungu katika maisha yangu
@الحمدلله-ذ7م7د3 жыл бұрын
Ameen ubalikiwe 🙏🙏🙏
@proviousnatukunda38922 жыл бұрын
Hallelujah
@gladysgladys73933 жыл бұрын
Amen neema imefunuliwa
@JoshuaMunthuwaka Жыл бұрын
Nalijuwa mutumishi ameen
@gmdecoration60443 жыл бұрын
Napokea neema ya yesu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@marympemba18293 жыл бұрын
Mungu amekuita kwa wakati huu maalumu, mungu ni mwema kwetu kutupatia mtu kama wewe, mtumishi wa mungu ubarikiwe sana.
@jacquelinenyange55493 жыл бұрын
Thank you Apostle 🙏🏿
@JohnvicentVincentjohn-ig1on Жыл бұрын
Uko vizuri saaana Ila kemea hayo msvazi ya waumini wako hasa wa like viduku na suruali nashangaa sana
@leonbwenda19453 жыл бұрын
Asante Apostle....
@rahabnkya82763 жыл бұрын
OOOH JAMANI, POLENI SANA APOSTLE MUTALEMWA. WEWE NI JASIRI NA KWA NEEMA MUNGU AMEKUPONYA. SOOTE TUNA MAPUNGUFU. TUSAMEHENKWA LOLOTENTUKUTENDEALO KWA KUJUANAU KUJUA BABA. NINABARIKIWA BABA NA MAFUNDISHO YAKO THABITI.
@sarahmsangi72433 жыл бұрын
Kwani alikuwa anaumwa ?
@catherineogega83563 жыл бұрын
Amen nitayashinda
@consolataoketch15753 жыл бұрын
How i wish i was there
@proviousnatukunda38922 жыл бұрын
But where is this church located in Tanzania if I may ask because I would like to be a member by the grace of God 🙏
@charleskuyeko16603 жыл бұрын
Wimbo huo wa NEEMA umenikumbusha Big November ya miaka ya 80 pale Jangwani na kweny makanisa yetu ya Kiroho. Mungu akubariku sana Mtumishi wa Mungu. Mimi nakuangalia kwenye KZbin kila siku. Nimekuwa mshirika wako wa siri.
@swagatdebracy64473 жыл бұрын
Wabarikiwe walio lisikia neno hili.
@rosemarymallya44583 жыл бұрын
I RECEIVE GRACE🤲THE GRACE OF GOD IS ENOUGH🤲MORE GRACE🤲🔥🤲🔥
@gladysgladys73933 жыл бұрын
Hooo my God 🙏 the challenge I face I knew now I will solve it through faith and prayer
@sharonnasambu67533 жыл бұрын
Neema ya mungu yanitosha mungu wangu nisaidie nisije nikajisifuu
@elizabethmambai20723 жыл бұрын
Ameen mtumishi wa mungu
@rachelpilos69643 жыл бұрын
Napokea neema ya Mungu
@janiffermueni32133 жыл бұрын
Wah hakika neema ya MUNGU imepita vitu vyote duniani..
@getrudekimaro3 жыл бұрын
Neema yako Mungu yanitosha
@judithmwambe47673 жыл бұрын
Amin pastor
@estellamitamba40853 жыл бұрын
Amen 🙏
@samsonmgonja40143 жыл бұрын
Napokea Neema ktk jina la Yesu
@judithkatoto33163 жыл бұрын
Neema ya mungu yatoshaaaaaaaaaaaaaa
@trainerezekielyessauulungi77843 жыл бұрын
Ameen
@yohanasimtenda7483 жыл бұрын
Nafwatilia, najifunza.
@glorymbazi80833 жыл бұрын
Balikiwa mtumishi kwa mafundisho mazuri
@jakee20412 жыл бұрын
Ameeen. God be Glorified.
@pamphiliamghamba44482 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa na shuhuda za watu walikua na madeni.Najisikia kuwa Imani yangu inakua
@neyhmrs77043 жыл бұрын
AMEEN
@ednasway83683 жыл бұрын
Nabarikiwa mnoo na mahuburi yako Apostle Mtalemwa
@twilumbakabelege34263 жыл бұрын
Amina nimekuelewa sana sana
@neyhmrs77043 жыл бұрын
AMEEEN
@marymachete91523 жыл бұрын
Amen
@judithkatoto33163 жыл бұрын
Neno tamu sana ukisikiliza kwa makin mkubwaaaaaaaaa
@lovenesskapange29043 жыл бұрын
Amen daddy
@peteryukunda92393 жыл бұрын
Kuna wa2 walikuwa mahouse boy uchungi, Mungu akawakumbuka,Leo hii wamemuasi Mungu.Wasubirie kesho yao.
@magrethmathias15463 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho
@johnsonbagambi19083 жыл бұрын
Thank you 🙏🙏🙏🙏
@rosemarymallya44583 жыл бұрын
MORE GRACE🙌🔥🙌I RECEIVE🤲🔥🤲🔥OOH GOD🤲🔥🤲🔥🤲🔥THE GRACE OF GOD🤲🔥🤲🔥 ENOUGH FOR ME🤲🔥🤲🔥🤲🔥
@jakee20412 жыл бұрын
Ameeen.
@rahabnkya82763 жыл бұрын
AMEN MTUMISHI NIMEPOKEA MAFUNDISHO HAYA YANAYOENDELEA.
@gracedamas58832 жыл бұрын
Ameni
@annahayasanday71743 жыл бұрын
Naomba neema ya kustahimili
@fatiahomary19023 жыл бұрын
Amina
@pasteurmardochemwale Жыл бұрын
Baba
@paulpambe90913 жыл бұрын
Naitwa Paulo M Pambe, Niko Mkoa Mwanza na Mpenda huyu Mtumishi, Bwana wa Majeshi namuomba azidi kumpa nguvu na ujasiri asiogope vitisho.
@justinenjau79363 жыл бұрын
Wowwww tunafurahi sana unamfuatilia mtumishi wa Mungu, hata yeye pia anakupenda na anaomba kwa ajili yako. Hata Mwanza pia tuna tawi la kanisa letu. Tutafurahi iwapo utashiriki ibada pamoja na sisi. Ninaomba upige namba hizi 0767960901, 0717960901 kupata maelekezo zaidi.
@hapinessobeth41313 жыл бұрын
Kuna neema kwenye damu yangu nitapona tuu
@basilisamsaka84692 жыл бұрын
Napokeaaa
@judithkatoto33163 жыл бұрын
Naomba neema ya kistahimili ya ustahimilifu
@amosjeremiar80063 жыл бұрын
AMENI MTUME MTALEMWA
@dorayesaya44243 жыл бұрын
Unanibariki jamani acha tuuuu
@maryruhara81563 жыл бұрын
Napokea neema
@daudibuheri20073 жыл бұрын
Nimepokea kwa IMANI NEEMA YA MUNGU uzidi kubarikiwa Sana na Sana mtumishi hakika MUNGU huandaa watu wake wenye kuhubiri ukweli wa Biblia