USIPUUZE NDOTO

  Рет қаралды 74,703

Apostle Mtalemwa Bushiri

Apostle Mtalemwa Bushiri

Күн бұрын

Пікірлер: 641
@maryjoseph6571
@maryjoseph6571 2 жыл бұрын
Asante prophet apostLe mtalemwa mm naitwa Mary Joseph paschal nakuwa naota ndoto nyingi nahuwa sijui maana zake hata watu walokufa huwa nawaota naongea nao lakini cjui nikwann naomba niombee prophet Apostle 🤲🤲🤲🤲🙏
@annekangai7115
@annekangai7115 2 жыл бұрын
Nashukuru. Mungu aku barikiwa zaidi Mwalimu /apostle. Amen.. Na Endelea.
@kababaacomedy9459
@kababaacomedy9459 2 жыл бұрын
Hakika nmejifunza mengi kutoka kwako...mungu akuzidishie hekima...you always hit the nail on its head...
@sekelamwaifunga8122
@sekelamwaifunga8122 2 жыл бұрын
Asante sana Sana Apostle na MUNGU aendelee kukutumia. Powerful
@denisekatungukarambika2431
@denisekatungukarambika2431 2 жыл бұрын
Endelea kufundisha baba Apostle 👏👏
@bahatisekile3780
@bahatisekile3780 8 ай бұрын
Mungu akubariki sna nakumbuka kuna siku niliota ndoto juu ya mchumba nliekuwa nae amekuja na anamimba na kweli sku anakuja kuna siku tulienda kupima nikakuta nikweli anaujauzito niliumia sana 😢 kwasabau nilimpenda lakini kumbe ni Mungu alinionesha kuwa sio muaminifu
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 жыл бұрын
Endelea.im blased.God bles you Pastor Mtalemwa.
@lydiashisia2169
@lydiashisia2169 2 жыл бұрын
Am watching frm kenya 🇰🇪, kwa hakika nimejifunza mambo muhimu kuputia haya mafundisho blessed b the LORD .🙏
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 2 жыл бұрын
God bless you man of God imenifuza kitu I'm good now nimejiuwa penye Niko ilove venye umfudisha amen
@amisfidele135
@amisfidele135 Жыл бұрын
Amen amen pastor,nasema tena endeleeeeeya kwa zaidi.mimi nimebarikiwa zaidi kuliko wote...
@joankibodya8144
@joankibodya8144 2 жыл бұрын
Eh Mungu nisaidie ku-master ndoto in Jesus name 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@eddahkitindi2277
@eddahkitindi2277 2 жыл бұрын
Endelea
@rehemaamani289
@rehemaamani289 Жыл бұрын
Eee mungu nisaidie namimi kukumbuka ndoto zangu zoote
@faustinriziki6787
@faustinriziki6787 2 жыл бұрын
AMEN 🙏 Asante Mungu kwa ndoto yangu ya leo , MUNGU naomba itimie . Apostle Mtalemwa MUNGU azidi kukuinua tupate kufunguka na sisi wengine 🙏🙏🙏🙏
@veronicambelesero407
@veronicambelesero407 2 жыл бұрын
Endelea mtumishi
@leerimoy5477
@leerimoy5477 2 жыл бұрын
Yaan This Revelation here is Huge 🙌🙌🙌! One of the Things That I have Been Praying So Much to God for it never To depart from my Life is my DREAMS!There is so Much Power In DREAMS! Actually Dreams Carry someone’s Destiny and Future! MTUMISHI WA MUNGU! Nilikuwa naota ila Kukumbuka Nilichoota Ilikuwa Si Rahisi nikawa najua mimi siotagi kumbe si kweli ! Mungu Ninakushukuru kwa Kunifungua Kupitia Mtumishi WAKO 🙏🙏🙏!
@alesiakapande7747
@alesiakapande7747 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri, Roho wa Bwana aendelee kukutumia ili tuliowengi tupone katika Roho na Mwili, Barikiwa mtumishi wa Mungu.
@FlorensiaNuru
@FlorensiaNuru 7 ай бұрын
Amina Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu, Je ukitaka kupata mawasiliano zaidi ntapataje
@edwardlaizer5142
@edwardlaizer5142 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwalimu kwa ujumbe wa baraka sana,.
@jkilenga
@jkilenga Жыл бұрын
Somo nzuri mtumishi
@cutemamy9602
@cutemamy9602 2 жыл бұрын
Hili SoMo langu kabisaa hili 🙏🏾 Ubarikiwe apostle
@fgkl8200
@fgkl8200 2 жыл бұрын
Nimebalikiwa sana mtumishi asantii kwa funzo la wakati mungu anizaidie kuelewa makuzudi yake
@renathaphilipo1417
@renathaphilipo1417 2 жыл бұрын
Jnj
@renathaphilipo1417
@renathaphilipo1417 2 жыл бұрын
N n. O
@susumakomanya9762
@susumakomanya9762 21 күн бұрын
Asante Roho mtakatifu kwa kuniongoza kurudia tena kuangalia mafundisho haya,maana nimeota ndoto usiku zikanichanganya sana akili yangu,ila nimefungua tu KZbin nakutana na haya mafundisho! Asante sana Roho Mtakatifu. Amen
@gracerishandumilema278
@gracerishandumilema278 2 жыл бұрын
Amen,endelea mtumish,kwani lipo eneo nahama moja kwa moja kupitia mafundisho yako,barikiwa mno
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 9 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi sijachelewa kusikia mahubiri haya, wakati sahihi ni huu ambapo nimelisikia leo neno lako. Mungu nisaidie kusikia na unijaalie uaminifu katika kuyasikia maneno yako kupitia watumishi wako ulio wakusudia.🙏
@episonfelician7670
@episonfelician7670 2 жыл бұрын
Apostle Uzid kuinuliwa Sana mafundisho yako yametoa Mbali na kunifaidisha kwa viwangu mpaka sas nilivyo Mungu azidi kunionekania katika ndoto na nisizisahau Amen
@episonfelician7670
@episonfelician7670 2 жыл бұрын
Nimeona ukuu wa Mungu katika ndoto Mara kwa Mara
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 2 жыл бұрын
Mungu akubaliki mtumishi kwa. Ujumbe..nimebarikiwa .sana ..tusipuuzie.ndoto bari tujali
@MaryMbodze-nd4ue
@MaryMbodze-nd4ue 7 ай бұрын
Amen amen endelea ,nabarikiwa na huduma Yako pastor.
@happymlay4696
@happymlay4696 2 жыл бұрын
Nafufua ndoto njema ndoto za kuniepusha ndoto njema zirejee Kwa jina la Yesu
@happymlay4696
@happymlay4696 2 жыл бұрын
Yusuph asingezingatia Yesu asingepona wangemuua pamoja na wale watoto Wa kiume waliokua wanauawa ,na tusingekua na mwokozi Yesu kristo
@nellybrownsinarinzi8089
@nellybrownsinarinzi8089 2 жыл бұрын
Ubarikiwe baba
@suzanalemau6601
@suzanalemau6601 2 жыл бұрын
Powerful am derivered thank you God of Major 1
@zawadijoel7516
@zawadijoel7516 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana, tena sana mtumishi wa Mungu
@joankibodya8144
@joankibodya8144 2 жыл бұрын
Endelea mtumishi 🙌🏾🙌🏾
@mariethamkami3736
@mariethamkami3736 2 жыл бұрын
Endelea mahubiri yanatufundisha vzr
@lukiamtweve6079
@lukiamtweve6079 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi umenifumbua mambo mengi sana kupitia somo hili.
@stellangowa1893
@stellangowa1893 2 жыл бұрын
Amina Chief Apostle nimefungukaaaaa.
@madammesatalks6913
@madammesatalks6913 Жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu, hakika nimejifunza kitu juu ya ndoto sitapuuza tena juu ya ndoto🙏🙏
@elishaakongwa6790
@elishaakongwa6790 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi apost Mtelemwa nimesaidika sanaa kupitia halya mafundisho ya ndoto
@gladnessphinias9495
@gladnessphinias9495 2 жыл бұрын
Asante kwa somo nzuri, and I'm healed in Jesus name,, Amen🙏🙏
@joycemakungwa1307
@joycemakungwa1307 2 жыл бұрын
Asante muñgu kwa mafundisho ya mpakwa mafuta wako mim uwa naota mume wangu Ana mwanamke meingine Mara kwa mara
@brjohnmutisya25
@brjohnmutisya25 Жыл бұрын
Good teachings...hongera mchungaji
@samwelelifuraha432
@samwelelifuraha432 2 жыл бұрын
This is amazing lesson thank you much I understand 🙏🙏
@priscachangoma333
@priscachangoma333 2 жыл бұрын
Somo zuri sana Baba barikiwa
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 2 жыл бұрын
Amen,Uzidi kubarikiwa somo hili hakika limenigusa na nimefunguka🙏
@roserichard8802
@roserichard8802 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe baba. Baba mm nimeota kua nimeenda mtoni kuchota maji bibi mmoja akaniambia huko unakoenda utarudi salama maana huko kuna wachuna ngozi lakini mm nilienda tu kufika mtoni nikakutana na kijana mmoja anakitambaa ananiomba anichotee maji nikawa nakataa akachukua kile kitambaa ili aninusishe puani wakati anapambana na mimi nikataja kwa damu ya yesu nikashangaa nimepata nguvu na kuchukua kile kitambaa na kumnusisha hadi akafa na baadae nikamtupa huko mtoni na baadae nikashtuka baba hii ndoto inamaana gani baba yangu
@mariethamkami3736
@mariethamkami3736 Жыл бұрын
Amina mtumishi mungu awe pamoja nawe uzidi kutufundisha mambo makuu
@happymlay4696
@happymlay4696 2 жыл бұрын
Napoke kurudishiwa kila ndoto nlikua nimesahau napokea kukumbuka Kwa jina la Yesu
@rispersammy2684
@rispersammy2684 Жыл бұрын
Endelea
@birih8801
@birih8801 2 жыл бұрын
Thanks Soo much mtumishi wa mungu I have learned something nitafanyia kazi 🙏🙏
@SMKF4
@SMKF4 2 жыл бұрын
Endelea sure ndy nilivyo na unabii juu , naweza ota au nikaota kitu kwako na kikatokea ,na kutafili ,lete ndoto yoyote ntakwambia maana yake , MUNGU amenisaidia Sana kwenye eneo hili ,hata Nini kinacho taka nitokea ntajuwa tu MUNGU Asante umenipenda zaidi ya upendo
@agathaladislaus8991
@agathaladislaus8991 2 жыл бұрын
Nisaidie cku chache zmepta nimeota ninaoga ila maji ambayo nayaoga Ni yamefanana rangi na harufu yaSan na mkojo,ila nilikuw naoga hivo2 huk moyon haun aman nasema hiv mbona naog mkojo,baad y kumalz kuog mtu akayaweka maji ambayo masafi nilipoyaon nikaenda kuoga na sabuni mim n watoto Wang huk najickia rah Mara nikashtuk,nikajiuliz maan ninin?
@ChristinaNyakachewa
@ChristinaNyakachewa 8 ай бұрын
Endelea mjoli wa Mungu
@ChristinaNyakachewa
@ChristinaNyakachewa 8 ай бұрын
Siku mbili zimepita nimeona tumejenga nyumba ya ghorofa Moja tumehamia Kuna mtoto mdogo wa kike nilimshika ghafla akatoka mkononi akaanza kucheza kwenye korido akawa amaelekea kwenye dirisha kubwa la kioo kumbe halikufungwa lock nikiwa namfuata ni mrudishe ghafla akachomoka nikawa namaumivu makali lanini nikiwa naangalia chini atakapoangukia alidodoka kwa kusimama na hakuumia ila alipata vumbi TU situka mtumishi nimepata shida kwenye kupata maana nisaidi.
@lillianngao1974
@lillianngao1974 Жыл бұрын
Amen Mtumish wa Mungu umefundisha tu kunihusu Mungu anisaidie
@benjaminmwakipesile1743
@benjaminmwakipesile1743 2 жыл бұрын
Barikiwa saaana apostle 🙏🙏🙏
@newgeneration9524
@newgeneration9524 2 жыл бұрын
Inawezekana huamini manabii, na ndoto nazo 😂🙌🏽
@josephinachrisy1780
@josephinachrisy1780 2 жыл бұрын
Huwa naelewa sana somo lako mtumish ubarikiwe,
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana baba Somo zuri sana.
@loycekatorogo828
@loycekatorogo828 Жыл бұрын
Mungu akupe miaka mingi ili uedelee kutupa neno amina
@magrethkaduma1989
@magrethkaduma1989 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Somo hilo muhimu kwangu, nimesikiliza jana, usiku huohuo nikapata NDOTO ambao asubuhi nikaona live. Asante sana
@preciousmercy9215
@preciousmercy9215 2 жыл бұрын
Amen Amen. Powerful message. Glory to GOD. Thankyou pastor for this timely message
@esthermwaigwisya1775
@esthermwaigwisya1775 2 жыл бұрын
Very timely
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Wooow nimejifunza kitu mungu akuzidishie ili uzidi kutufundisha mm mara nyingine hawa naota tena nasahau
@thobiethalibutu1465
@thobiethalibutu1465 9 ай бұрын
Please Continue apostle. you speak to me directly 😢 I want to be heal today
@salomekemunto8217
@salomekemunto8217 Жыл бұрын
Amen this's my lovely preaching of dreams
@Masokabya08
@Masokabya08 2 жыл бұрын
asante sana kwa mafudisho ma nzuri mungu akubariki.
@vaahsophy7456
@vaahsophy7456 2 жыл бұрын
endelea ..naomba mawasiliano .kuna ndoto mbaya sana nimeota muta mchache ulopita usiku huu. na sijaielewa.tafadhali baba
@liliankidahyap7257
@liliankidahyap7257 2 жыл бұрын
Powerful, Mungu akubariki apostle 🙏
@Mama-A
@Mama-A 2 жыл бұрын
Am stuck in between forcing my way to get a job opportunity and trying left and right without giving up.good preaching man of God
@mubakenyamikita4359
@mubakenyamikita4359 Жыл бұрын
I receved
@re.emmanuelmdoe3345
@re.emmanuelmdoe3345 Жыл бұрын
Mungu akutendee mema sana Apostle
@israelilunde9618
@israelilunde9618 2 жыл бұрын
Nakuelewa vema sana Pastor
@janejoram4559
@janejoram4559 2 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri sana. Ubarikiwe.
@joycemaige8683
@joycemaige8683 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU yani unaweza kujiona Upo kijijini ndotoni unakuta ndoto moja lakini inavipengele hata vitatu
@hadijamshimbula7616
@hadijamshimbula7616 2 жыл бұрын
Mmmh wewe ni mwenzangu kabisa namimi hizo ndio mdoto zangu kila siku MUNGU atusaidie
@joycemaige8683
@joycemaige8683 2 жыл бұрын
@@hadijamshimbula7616 Yesu mpendwa palipo na ufunuo ujuwe Mungu anataka usimame na maombi uwenda una paombeaga sasa Mungu anakupa pch iliyo kamili uzidi kuombea
@GladyMusa-ee3se
@GladyMusa-ee3se 10 ай бұрын
Jaman mi naota nipo shule mara kwa mara nini maana yake
@AnnethLonas-jh9go
@AnnethLonas-jh9go 8 ай бұрын
Unaludishwa nyuma kimaendeleo
@albetahmuthoni5277
@albetahmuthoni5277 2 жыл бұрын
Edelea mungu akubariki .
@godymushy6047
@godymushy6047 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana mtumishi
@denisekatungukarambika2431
@denisekatungukarambika2431 2 жыл бұрын
Ahsante sana Mtumishi wa Mungu aliye Hai. 🙏🏻🙏🏻🇨🇩🇨🇩
@jkilenga
@jkilenga Жыл бұрын
Endelea
@JofreyDamson-nm6ec
@JofreyDamson-nm6ec 4 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi na uwe namaisha marefu
@emanuel1269
@emanuel1269 2 жыл бұрын
Endelea katika YESU kristo kufundisha Neno la Mungu
@nellybrownsinarinzi8089
@nellybrownsinarinzi8089 2 жыл бұрын
Amen
@leahmungure6538
@leahmungure6538 2 жыл бұрын
Endelea baba
@leahmakingi9094
@leahmakingi9094 2 жыл бұрын
Endelea mtumishi
@juliethkahwa3047
@juliethkahwa3047 2 жыл бұрын
amen asnte sna Mtume,napona kwakweli
@flavianarwebangira6726
@flavianarwebangira6726 2 жыл бұрын
Barikiwa sana kwa somo hili la ndoto tuziotazo.
@wycliffmtivalindweye1634
@wycliffmtivalindweye1634 Жыл бұрын
Umenikomboa mahali kupitia mafundisho ya Leo, from Kenya
@mutanunzuka4401
@mutanunzuka4401 2 жыл бұрын
Yes son of major much love from Kenya Jesus nation tunatamba
@boazymsemwa
@boazymsemwa 6 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu
@happinesstimothy6120
@happinesstimothy6120 Ай бұрын
Ubarikiwe saana apostle
@dayannatheonest8461
@dayannatheonest8461 2 жыл бұрын
endelea mtumishi
@samuelfedos8544
@samuelfedos8544 2 жыл бұрын
Asante sana mtushi was Mungu na niukweli Mungu wetu anaongea nasisi katindoto
@bettywanjala5630
@bettywanjala5630 2 жыл бұрын
Endelea pastor nko Nairobi pastor 🙌 🙏 👏
@mariethamkami3736
@mariethamkami3736 2 жыл бұрын
Amina nikweli wengi tunasahau sana ndoto zetu
@dianaalphonce
@dianaalphonce 2 жыл бұрын
Mafundisho mazuri ubalikiwe nimejifunza kitu asante sana mtumishi
@paulsurungu1979
@paulsurungu1979 2 жыл бұрын
Servant of God, continue with this lesson as it has taught us a lot about dreams
@sarahnafula6024
@sarahnafula6024 2 жыл бұрын
Endelea
@isayasanga1069
@isayasanga1069 9 ай бұрын
Endelea❤
@rosemarymallya4458
@rosemarymallya4458 2 жыл бұрын
VERY TRUE TUNALIPA GHARAMA KUUBWA KWA KUWA TULIPUUZA NDOTO😩TULIAMUA KWA HISIA ZETU😭IT COST ALOOT🙌🙌🙌GOD HV MERCY 🤲🤲🤲🤲
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 Жыл бұрын
Ameen
@AgnessNyansambo
@AgnessNyansambo 7 ай бұрын
Jamani kama mimi Mungu wangu nasahau Sana hata nikijitahidi kukumbuka Yesu weee nisaidie jamani
@ZAINABLUGOGO
@ZAINABLUGOGO 7 ай бұрын
Mafundisho mazuri, mngu akubarki tu sana,, natoka Kenya, Kwale fcounty
@magdalenakagoma1458
@magdalenakagoma1458 2 жыл бұрын
Amen napokea kukumbuka ndoto
@happymlay4696
@happymlay4696 2 жыл бұрын
Napokea uponyaji Kwa jina la Yesuu
@janengaga2928
@janengaga2928 2 жыл бұрын
Endelea mtumishi.Mungu anitetee ktk maisha yangu anibariki na familia yangu
@mariamkatete1336
@mariamkatete1336 2 жыл бұрын
Amina napokea uponyaji leo
@studentagency2185
@studentagency2185 2 жыл бұрын
Amen my Apostle
@neemawillrick5949
@neemawillrick5949 2 жыл бұрын
Endelea chief
@neemamtawa7099
@neemamtawa7099 2 жыл бұрын
Endelea Apostle
@mamafavor9283
@mamafavor9283 2 жыл бұрын
Nimefunguliwa kupitia somo hili,ASANTE YESU,MUNGU AKUBARIKI MTUME.
@vumijosephu
@vumijosephu Жыл бұрын
Uabarikiwe Sana mtumishi
@hmunisy
@hmunisy 9 ай бұрын
Masomo ya Apostle yanaruka chanel gani kwenye Tv, wapendwa.?
@stellaamos2412
@stellaamos2412 2 жыл бұрын
Amen asantee mtumish wa mungu mung akusaidie
@esterdonald5497
@esterdonald5497 Жыл бұрын
We Mungu nikumbushe kuxikumbuka ndoto zangu
@twinaweloyceissack6076
@twinaweloyceissack6076 2 жыл бұрын
Endeleaaaaaaa Mtumishi wa Mungu
@happynessisack7918
@happynessisack7918 2 жыл бұрын
Endeleeeee
@mussanjivai7582
@mussanjivai7582 2 жыл бұрын
Asantee mtumishi wa mungu nimejifunzaa mungu akubariki sana
@antoniamushi8532
@antoniamushi8532 2 жыл бұрын
Mungu wabariki watoto wangu wawe vichwa sio mikia
VITA VYA KIROHO
33:13
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 9 М.
KUIMARISHA  AGANO(1st Reason for your blessings)
52:50
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 4,8 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 71 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 10 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
DALILI 20 ZA KUCHUKULIWA KICHAWI [MSUKULE] PART 1
1:54:43
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 53 М.
TABIA ZITOKANAZO NA UCHAWI
1:14:09
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 26 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 21 М.
NDOTO KATIKA UHALISIA ( NAFSI ) PASTOR SUNBELLA KYANDO
52:52
Reality of Christ Church
Рет қаралды 7 М.
BILA MAMBO HAYA 10 MAISHA YAKO YANAHARIBIKA
1:14:31
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 42 М.
SIRI ZILIZOKO WAKATI WA ASUBUHI
1:09:02
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 94 М.
USIPUUZE NDOTO HIZI MWAKA 2022. Na Mch. David Mbaga
1:40:01
SAVP TV
Рет қаралды 56 М.
KUWAFUTA WACHAWI KATIKA MJI
1:14:07
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 24 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 71 МЛН