Amen 1 Bwana ni Ngome Yangu Ni Muogope Nani?? 2 Tembea Na Jesus haleluya Amen. 3 Nimefutiwa Deni Mwenzenu Sidaiwi Tena. 4 Nimekombolewa Nae Aliyenirehemiya
@mosesmhina99804 жыл бұрын
tuliolielewa church la huyu mchungaji tujuane kwa kutupia like...then twende tukaimbe wote
@khalfanifarisy73983 жыл бұрын
Nyie mnaimba kwa ruksa ya nani? Hamuoni mnajifananisha na makahaba? Isaya 23:16) Asema Bwana (Yaweh) Mwenyezi-Mungu. Halafu pia hapa siyo Israel. Soma Zaburi 81:1,4) Hapo ndo kwao ilikuwa ruksa. Na siyo wakati wa kusali, alisifiwa Mungu nje ya Salah. Zaburi 150:6)
@mariamjuma29083 жыл бұрын
Kwa hiyo kuimba ni dhambi au
@richardsikazwe91973 жыл бұрын
Ubarikiwe baba
@danielofcars29202 жыл бұрын
Tu ungane tu
@kennethkasese1933 Жыл бұрын
@@khalfanifarisy7398 11
@modesteessau80324 жыл бұрын
Wazee ni hazina mungu akubaliki sana Askofu magembe
@rosemneney32445 ай бұрын
Ni kupondana tu hamfundishi kumcha Mungu ni wivu tu unawasumbua
@emmanuelnnko-dv1th2 күн бұрын
Asante baba magembe nakuombea Mungu akukumbuke siku za mwisho love so much dady by Rev E Nnko
@metridamihama30874 жыл бұрын
Nmecheka San barikiwa San mtumish Mungu aendeelee kukuinua
@jimmlnsn41234 жыл бұрын
Utukufu wa mungu Bado upo hata sasa kwa wing na ofcoz kufanya ulinganifu wa kipind cha nyuma na kipnd hchi kwenye suala zima la wokovu nikukosea hamna tofaut na kujiihesabia haki kujiona you are some how better than others siafiki acha watu wamuimbie mungu mtu anaweza imba amen hallelujah na Bado roho wa mungu akaflow so kuna mentality mbaya sana yakuona wokovu kipind cha sasa hamna kitu siafiki neema ni ile ile nguvu ya wokovu ni ile ile roho wa mungu ni yuleyule
@ELIPHAZAMON-ex9zc10 ай бұрын
Unapotaka kweny maadili ya Mungu lazima wakuonye uache
@bestkatunzi28244 ай бұрын
soma vizuri utamuelewa@@ELIPHAZAMON-ex9zc
@NANKULANGEJRКүн бұрын
Upo sahihi sisi tunasikiliza ujumbe na siyo biti ivyo Mchungaji aache kujiisabia Haki🙏
@nellisongodfrey58473 жыл бұрын
Mungu ndie atapima sikuhio yup aingie ufalme wake na yupi abaki maana wamuabuduo mungu wapaswa kumwabudu mungu kwa roho na kweli
@PrivaNamutala10 ай бұрын
Barikiwa Saana mungu Akupe Maisha marefu
@mitinjemazikuКүн бұрын
Daaa Magembe jamana piga injili upo juu
@saudakabogo3 жыл бұрын
Baba barikiwa sana kwa mafundisho mazuri ya kipentecostal, mpigaji wa vyombo pia ubarikiwe umeziwezea kabisa nyimbo kwaya ya zaman
@traffedrdc35854 жыл бұрын
Mafundisho haya yananikumbusha hali ya Kanisa la kipentekoste. Kweli ni baraka ikiwa tutafuta sote kuongozwa n'a roho mtakatifu katika utungaji wa nyimbo. Mungu si wa kisasa ,ni yule yule Jana,Léo hâta mille Amina
@miltonmachage24628 ай бұрын
Kweli sahivi kuna sifa za kawaida sana yan nyimbo za zamani ni motooo
@josephsibale42834 жыл бұрын
Aaaa mchungaji kumbe unasauti nzuri baba , Nabarikiwa sana kila nikutazamapo .
@lukakyauke32584 жыл бұрын
Mung u akubariki sana mtumishi Magembe Isaya 46;9
@mrambaalphonce21643 жыл бұрын
Bwana yesu alisema zijueni nyakati na majira
@ivodecatarinanapula-gx8ky3 күн бұрын
Amina Mchungaji, Mungu akubariki zaidi
@furahamwemera45703 жыл бұрын
Amina🙏🏽 Mungu azidi kukutiya nguvu Mutumishi wa Mungu!
@shaddybajila76123 күн бұрын
Mbinu kali ambayo adui shetani anatumia sai ni kwa katika nyimbo hizi za kumsifu Mungu ameachiliya chembe ama harufu ya dunia watu wakiwa kwenye kusifu wengine wanapata style ya duniani
@atukuzwegwayovye85042 жыл бұрын
Baba tunakufurahia sana, tunamshukuru Mungu kwa kuwa na wewe Ili kutujulisha njia itupaswayo kuenenda.
@EvelynNgombe9 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba kanisa len lipo sem gan
@glorydenis51114 жыл бұрын
Unaimba vizuri Ila mchungaji. Ila acha kuwaponda waimbaji wengine Hata amen aleluya. Ina maana kubwaa
@lawrencehezronmwakalebela27384 жыл бұрын
Hujamuelewa mchungaji
@WitnessSamson-qc9ie7 ай бұрын
Hujaelewa alichomanisha
@Wamisangi7 ай бұрын
Huyu alikuwa kuruta wa ulozi na uganga wa chienyeji kwa babu yake, bado hajavunja maagano ya kishetani aliyo unganishwa kwayo. Praise and worship akizisikia hirizi za maagano ya kichawi zina muunguza.
@henricamikambi61479 күн бұрын
@@Wamisangijamani!!
@NANKULANGEJRКүн бұрын
Umeongea kweli kabisa labda hasikilizi ujumbe vizuri na ndo anakurupuka kuponda tuuu😢
@ombenimathias52754 жыл бұрын
Kila Jambo na wakati wake,sio Lazima tuwe na style za miaka ya 70 -80......Madam tunamtukuza Mungu katika Roho,hata daudi alimchezea Bna na Style zake amazing ....
@rizikimshindo21774 жыл бұрын
Kwa namna hiyo kea kwenda na usasa injili ya kweli utapoteza kabisa
@dieudonneniyokwizera31244 жыл бұрын
Kanisa la Leo sio kanisa...ni kama guest house...ukubali au usikubali,kanisa ni lazima turudi enzi za kale
@stevenomanga46374 жыл бұрын
Sio lazima tuimbe kama zamani eti ndo mungu anasikia,,
@ombenimathias52754 жыл бұрын
Kanisa ni Kama Guest house ,uliesema hivyo huo ni upumbavu,hauwezi fananisha Kanisa la Mungu na Guest.... Nonsense
@twinkleeddy9263 Жыл бұрын
Baba mchungaj nabalikiwa sana na mahubiri yako
@mariamchimbombwe25712 жыл бұрын
What a voice, Nabarikiwa sana hasa baada ya kusikia sauti ya baba mchungaji
@celestinoluis13262 жыл бұрын
Aleluias Gloria's a Deus. Deus vos abençoe
@irakozefrancine46114 жыл бұрын
He can preach indeed.. God bless him
@teddymwageni17634 жыл бұрын
Nyakati mchungaji,utandawazi unapokuwa na Mambo yanakuwa,hizo ndizo alama za nyakati zilizotabiliwa na manabiii hatuwezi kubaki palepale miaka nenda Rudi,utandawazi unapelekea mabadiliko yoote hayo.Mungu akubariki sana
@pastorjamesmajaliwa78434 жыл бұрын
Baba Mungu hakupe nguvu mpya katika haya unanifanya nitafute jinsi ya kuwafundisha watoto wa Mungu
@mtanzaniahalisimungunimwem6734 жыл бұрын
Yesu nibebe wa Roz ni wimbo mzr saaaana una ujumbe mzr na ubariki wengi
@irenesimon91073 жыл бұрын
Eti dege dege ,Muchungaji Mungu akubaliki
@carolynadhiambo25434 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah mtumishi wa Mungu wamboe mambo yanayo faaa tufanye kwa ukweli mbele za Mungu
@sifaelkikoti31413 жыл бұрын
Wawooohoo najifunza vingi sana kwako
@phubusa2022 Жыл бұрын
Oooooh!! Lord,,,, How will we change from the current; only one option being with the real God!!!!
@Yusuphrevocatus-g3v4 күн бұрын
Magembe 2024❤
@FainesNditu8 ай бұрын
Mungu akubariki sana pastor.
@goodmanseguke6971Ай бұрын
MAGEMBE MUNGU AKUBARIKI BABA
@isokoyubugingoofficial6264 жыл бұрын
Ubalikiwe sana Muchungaji ongea ukweli na utabalikia
@kawayarajabu34464 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@paul.shilagi65373 жыл бұрын
Hahahha amen be blessed my Pastor injili yako yaponyaaaa
@yohanamgomambeyale94994 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MCH.MOSSES MAGEMBE KWA KULISEMA NENO LA MUNGU BILA KUPINDISHA UKWELI.MUNGU ANA MPANGO NAWEWE
@JaphethMbasaRobert8 ай бұрын
Mtumishi muaminifu mbele za MUNGU. Litukuzwe jina la MUNGU baba na baraka za MUNGU na ziwe juu yako.
@yohanamgomambeyale94994 жыл бұрын
SAIZI WATU WAMEFIKA MBALI MPAKA BONGO FLEVA ZINAIMBWA KANISANI .MCHUNGAJI SEMA UKWELI WATU TUPONE KWENDA MBINGUNI SIO LELEMAMA .
@gadielshedaffa33333 жыл бұрын
Mimi ni mwl wa muziki! ila kweli melody za bongo fleava hazileti uzuri kwenye Gospel
@ayubukilinda633Күн бұрын
Kanisa lililobaki na uimbaji wa kicho na heshima ni Sabato pekee fatilia nyimbo na staili za uimbaji za sabato.
@mgoledaudi60513 жыл бұрын
Nimebarikiwa na ujumbe 👏👏👏
@isayajuliuskaombwe46757 ай бұрын
Huyu ni moja wa wachungaji naohitaji aniwekee mikono yake kuniombea🙏🏻
@phinawatwego72603 жыл бұрын
Amina mchungaji. Sasa hivi kuna kazi.
@MargaretVihenda-c4hАй бұрын
Nakupenda sana Muchangaji naomba number yako
@franaelisumari51084 жыл бұрын
Utukufu ni kwa Mungu.Uhamsho,Uhamsho,Uhamsho.
@sospeternzengo17153 жыл бұрын
Mwachie Mungu mwenyewe ndo ahukumu cyo kusema waimbaji hivo kwani neno la bwana halipo na wangapi wanasikiliza nyimbo hizo na wanabarikiwa na kuokolewa kupitia mapambio
@mathiasstephano81653 жыл бұрын
Hajamhukumu mtu ila anazungumza ukwel, maana kunabaaz yanyimbo zingine zinaibwa kanisani hadi unahisi nimekosea kuja kanisani Mfano Nacheza kidole..... Huu nawenyewe tusemaje?? Kelekele hahaaa.. Tambilamoyo cjui mann yaan dah!!! Tumelichafua kanisa (amos 6:5, muhubili 7:5)
@mathiasstephano81653 жыл бұрын
Kunanyimbo za sifa zingine zikiimbwa had kweli unahisi kubarikiwa Zinabariki Zinafariji Na kugusa mioyo ya watu
@bestkatunzi28244 ай бұрын
@@mathiasstephano8165hata zamani hizo nyimbo zilikuwepo,.hata sasa nyimbo nzuri zipo sema ndio hazina umaarufu, kuhukumu et sasa hakuna nyimbo nzuri Sio kweli na ni dalili ya kujihesabia haki
@davidomari86604 жыл бұрын
Ww ni mtumishi Mungu
@SethCharles-f4o2 күн бұрын
Mchungaji wafundishe watu Ibadan ya kweli isipokuwemo Ibadan ya machezo ni chukizo kwa Mungu lakini pia wafundishe kuitunza siku ya Sabato ambayo ni jumamos ambayo tukifiks mbinguni wote tutapumzika Isaya66:22-23
@hannapatrick4817 Жыл бұрын
Asante baba yangu Magembe
@sarahmathias10674 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Paster,,,,, Mungu azidi kukusimamia
@mrsdeborahurio4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana. Mmebaki wachache wenye kusema ukweli!
@martinkisha63074 жыл бұрын
Pastor machachari Sana
@fredkitigwa4364 жыл бұрын
Nakuelewa sana Mch. Maghembe.
@madirishasimon96924 жыл бұрын
Asante mtumishi wa bwana nimebarikiwa
@micamathew25954 жыл бұрын
Mchungaji Bwana akubariki sana!!!
@josiahbota89833 жыл бұрын
Oooh MUNGU atuzaidie manake huwa nashindwa ata tukisiimba aziendi sawa.
@williamuphilipo74474 жыл бұрын
Kwa kweli Kanisa linahitaji mabadiliko makubwa mno, kinachofanyika kwa sasa katika ibada yaani shetani anatucheka na Mungu anatushangaa, inaitwa bora liende style. Roho Mtakatifu tumemuweka pending tunachanja mbuga kwa kutumia akili zetu wenyewe.
🤣🤣 safi pastor, nyimbo za DINI lazima ziwe na ujumbe, hapo kwenye ujumbe wasabato wamefuzu kiasi
@johnfaustinechannel7463 жыл бұрын
Ni kweli
@soloartist_ivanvespalusind16093 жыл бұрын
Hahaha! Hat mimi huwa siielewi kabisa dhana ya " nyimbo za kusifu " na " nyimbo za kuabudu" maana kuabudu na kusifu viko pamoja wakati wote, wimbo wowote anaoimbiwa Mungu ni ibada na sifa kwake. Mawazo ya wanadamu haya, tunayafuata bila kujali Ushuhuda katika Biblia kwamba ni sahihi au la.Yatatupoteza!!!!!
@espoirmlondani-ue2fm Жыл бұрын
Amin nimebarikwa
@adamukiula78922 жыл бұрын
Amina sn my pastor
@tusubilegemtafya55324 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishii...
@nesielias3174 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kutukumbusha
@mbithejustus2462 жыл бұрын
Alleluia ni kusifu
@rehemadaudi5505 күн бұрын
Kapumzike nyumbani mzee, umechoka maana ulikuwa unatumia nguvu nyingi sana
@godfreysanziki14613 ай бұрын
Nasikia kama Nandy ila itakuwa nanii😂 magembe safi sana✓🙏
@winniewairimu38223 жыл бұрын
Baba barikiwa saaaana
@ewhite28063 жыл бұрын
Mchungaji Nakukubali sana Ila nyakati zinabadilika, lazima haya yatokee ili yaliotabiriwa ktk biblia yatimie kikubwa mteule azidi kujitakasa ndivyo neno lisemavyo huwezi kuzuia yasitokee itakuwa Ni kulipinga neno
@piuskusenge-jf2ob Жыл бұрын
Haya ndo madhara ya kuishi generation isiyoyako, Kila kiti utaona wanakosea, hata vyakula wakila utawaambia wanaharibu pesa, Wanakula vitu vya anasa sana. Lakini Siri ya nyimbo ni kumfanya, muimbaji aburudike au ahudhunike hayo yakikosekana, wimbo hakuna maana
@emanuelinaman82403 ай бұрын
Upeo wa juu sana
@lukasemmanuel46144 жыл бұрын
Ubarikiwe
@FlorenceKirigo7 ай бұрын
Ndio naamini postor sikuhizi hakuna real worship I miss those dayys
@willisonelija71622 жыл бұрын
Ameen mchungaji jamani mimi nabarikiwa sana na maneno ya mchungaji huyu japo sijui kanisa lake lilipo
@twinkleeddy9263 Жыл бұрын
Lipo majumba sits njia panda segerea
@samsonnzisabira7684 жыл бұрын
Ooh Mungu nifutie madeni yangu!!
@irenesimon91073 жыл бұрын
Mungu akubaliki
@FurahaEliya-df5fo Жыл бұрын
Nimegundua hii dunia hakuna anayafanya vya kwake bila kumponda cha mwenzake hayo tunayaona kwa kila dini na kila dhebehebu pia tunaona kwa waimba wa aina tofauti tofauti kuwa ili nyimbo yake isikilizwe iwe na vijembe.......... Mbona hata weee naweza kukukosoa.....
@GemaAgustino23 күн бұрын
Tutembee na yesu hakika
@malindisamwel41444 жыл бұрын
Ameeee barikiwa sana
@focuseric41094 жыл бұрын
Uyu mzee alitakiwa awe mchekeshaji!!!
@floramajor33814 жыл бұрын
Umeona anachekeshaaa
@elizafumbuka86684 жыл бұрын
Kabisa
@srkkishimbo15584 жыл бұрын
Ok. Ila hata kuhubiri ni Sanaa pia
@YohanaBanaba8 ай бұрын
Ubarikiwe mzee
@JoelyMtewele8 ай бұрын
Namwamini Sana huyu mchungaji tungepata watu 5 kama hwa taifa Zima lingekuwa sawa
@rozinamsigala71632 жыл бұрын
Ameeeeen Ameeeeen Ameeeeen baba🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@aisonnjabula66623 жыл бұрын
Injili iliyohai safi sana baba
@IreneWatson33 жыл бұрын
2 Samweli 6:14 - Daudi akacheza mbele za Bwana kwa nguvu zake zote; na Daudi alikuwa amevaa naivera ya kitani. 2 Samweli 6:21 - Daudi akamwambia Mikali, Ilikuwa mbele za Bwana, aliyenichagua mimi juu ya baba yako, na juu ya nyumba yake, ili kuniweka niwe mkuu juu ya watu wa Bwana, juu ya Israeli; kwa hiyo mimi nitacheza mbele za Bwana. 2 Samweli 6:23 - Basi Mikali, binti Sauli, hakuwa na mtoto hata siku ya kufa kwake.
@PasteurjulienLbn2 ай бұрын
Vizuri sana
@bestinabenard25113 жыл бұрын
Waaaahoooooo9 Ameizng
@sidaryotv88212 ай бұрын
Amina sana pastor
@mechackmarwa57893 жыл бұрын
Amina pastor
@susanmburati85194 жыл бұрын
Mtumishi Kanisa inataka kurudia mungu wa kweli
@esteredward69804 жыл бұрын
Yesu ni yeye jana na leo na hata milele ilimladi anasifiwa ktk roho na kwel
@shukurukihwelo30843 жыл бұрын
Mhubiri nimekueelewa sana tufunue imani
@emmanuelnollo5022 Жыл бұрын
Haaahaa be blessed legend
@RodaTina10 ай бұрын
Pole muchungaji wimbo huo wa unipepe wewe huwelewi,kwa hivyo acha kujisifu.
@patientlazaro69304 жыл бұрын
😁kweli kabisa nilipookoka miaka ya 90 nilikutahuo wimbo Bwana ni ngomeyangu. Na tembea na Yesu🙏
@khalfanifarisy73983 жыл бұрын
Yohana 17:3,4) mnakosea sana Wakristo. Yesu siyo Mungu. Yesu katumwa na alimtukuza sana! Aliyemtuma tena kwa jina lake(Yaweh) Zaburi 68:20) Pia aliomba kwenye milima kwakukesha. Luka 6:12,13) Vipi leo aje kuwa Mungu ategemewe. Tumieni akiri mnaposoma maandiko. Kufuata mkumbo hakufai.
@agnesminja96123 жыл бұрын
Amen hakika kuna mafundisho mazuri hapo kwenye kumuimbia Mungu