hongera sana alika .nami naitaji saport yako .naitaji kuwa mfanya bishara ya mazao. mtaji ndio unanisumbua .
@NelsonMbale-vg7fh8 ай бұрын
Ongera sana kaka king Kiba Mimi ni fan wako Toka Durban South Africa...pia Mimi ni mucongo 🇨🇩🇿🇦
@JustusKoech-us9wh6 ай бұрын
Crown media itabaki kua juu Alikiba uko juu endelea Ivo wasafi down mnakitu kule
@frankchibago32066 ай бұрын
KING 👑👑👑👑👑👑👑👑
@princebenjamin99648 ай бұрын
Alikiba no one artist tajili tanzania
@kisuratundu89538 ай бұрын
hongera sana kiba
@ghulamhaji78568 ай бұрын
Ww Mwinyijaku mfanyakazi wako unamtesa akipewa hela na mkeo unamnyanganya ww mungu anakuona Mwinyijaku
@OfficialA836408 ай бұрын
Eeh hata maigizo nayo unayachukulia serious doh yule sio mfanykz wake ni mdogo wake na pale wanaigiza tu km hujui huoni sura anaficha kukataa kuonekana km ndugu aisee waja😂😂😂😂
@shemelaruhinda61138 ай бұрын
Manshallah🌹♥️🙏
@yonamakeleleilenge25458 ай бұрын
Jamani asheni ni seme ukweli uja kaka mwijaku iko na akili sana siyo duru gisi watu wana mu fikiriya tizama ame jenga gorofa na fatu wengi ma arufu awana ma fanyikiyo kama yake edeleya na piga kazi zako kaka
@kulwamkota24598 ай бұрын
Jaman tuache WVU jumba zur
@dottombilinyi59798 ай бұрын
mimi ni shabik wa king kiba
@LindaMbilinyi-n3n8 ай бұрын
Aliyemzaa hyu naamin kuna mda anajutia,ovyoo kbsaa
@HamisiMagala-yk4cy8 ай бұрын
Nipo Kenya,good king kiba
@ElipendoMasanja6 ай бұрын
❤❤❤
@mohamedmanga83918 ай бұрын
Hili bango la alikiba bovu inahitaji afikirie kubadilisha bango, bango lina fujo za hovyo.
@saidnyaume52148 ай бұрын
Ww unayo yako redio ama nishabiki kama wengine tulia basi
@tungarazalaurent26028 ай бұрын
Gorofa gan lina dirisha za ivo
@RamadhaniShabani-nc5ve8 ай бұрын
❤
@MartinTsuma-t2t8 ай бұрын
Ww mshamba kweli kama hauna content nyamaza
@frankmasakhalia59418 ай бұрын
Uyu Kavita bangi ama
@WahuBackzy8 ай бұрын
ACHA KUDANGANYA IYO VIDEO YA MWAKA JANA NA IYO NI NYUMBA YAKE SIO OFFICE ZA CROMN FM
@chizashungu83648 ай бұрын
Crown FM ,furaha fm,efm,clowds FM wote hawa hawawezi kuifikia WASAFI FM.Wasafi FM tayari ina mizizi mikubwa ni kama ilivyo kwa Diamond Platnumz kumshusha haiwezekani tayari fan base yake uwachanganye waanii wote wa Tanzania na bado hawamfikii.Wasafi media Siku zote itakuwa juu.
@greaterjustin22318 ай бұрын
@@chizashungu8364 ishu sio kushindana ishu ni kila mmoja kufaidika kwa nafasi yake, ko wewe utafanya biashara gani ambayo haifanywi na watu wengne
@babakayla41098 ай бұрын
Acha roho mbaya😂😂
@KaliEkalist7 ай бұрын
Km ishu mizizi ya media hakuna zaidi ya clouds
@denismaleo4068 ай бұрын
Huyu ni chizii ajitambuii Ata kama nikumsifia mtuu unaharbuu kinaonekana kitukoo
@tungarazalaurent26028 ай бұрын
Mbona jumba la kizaman
@kisuratundu89538 ай бұрын
lako lipost tulione
@hanifamziray2778 ай бұрын
Acha sauti ikauke kwa kuongea ujinga
@abdulyabubakar62478 ай бұрын
NILIZANI JUMBA LA MAKUMBUSHO PALE BAGAMOYO MBONA LA KALE HIVYOOO 😂😂😂😂😂
@AnuarOmary-f2e8 ай бұрын
Dharau sio nzur rizq anatoa mungu ndo alopewa ndo rizq yake
@AhmedAdan-po5ps8 ай бұрын
Jitu zima limekuwa kama toto dogo
@LameckBundala7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@yasinimalya40018 ай бұрын
Huyu jamaa mchawi nin? Hiyo haijakaa poa kabisa anfanya kama mtu kafiwa au
@Reflex34458 ай бұрын
Pumbavu zenu mko mbwa
@castomike60378 ай бұрын
Mpumbavu nakukataa
@chizashungu83648 ай бұрын
WASAFI MEDIA Siku zote itakuwa Bora,kings Music imefeli,WASAFI label the best.Ali kiba amefeli,Diamond Platnumz the best.Ali kiba acha uswahili uswahili umri wako umeshaenda.Diamond Platnumz ndiyo shule yenu nyie
@atoshamkingule72588 ай бұрын
Wacha makasiriko,hpa watu wajadili crown,sasa wasafi imeingiaje😂
@jumamussantuiche8 ай бұрын
Dua ya kuku
@MaryKondo-ro7lt8 ай бұрын
Huna jambo punguza makasiriko mbwa ww
@AliDyeka8 ай бұрын
Unamajungu wewe si kwa maneno hayo ya kukatisha taamaa