Please SUPPORT me by joining here; patreon.com/JackWaUSA
@bonnyngowo7567 Жыл бұрын
The way unavyomshirikisha Mungu katika kazi zako you real inspire me🇹🇿
@allfootballscoreliveworld8055 Жыл бұрын
Kiboko ya afrika Allah akupe umri mulefu kaka kazi nzuri maisha popote kambi
@jumakauli Жыл бұрын
Sijambo. Haujambo? Mr. Jack, Hii video ni kazi nzuri. Kwani umetukumbusha kifo kipo kwetu sote. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.
@jackwausa Жыл бұрын
Sijambo pia, namshukuru Mungu. Mungu awabariki!
@petermakubi Жыл бұрын
Oya, let's make a video about applying for a visa to live there and the job opportunities available there.
@janemgella45264 күн бұрын
@@jackwausainakuwaje kwa watu masikini wasio na makazi wanazikwa wapi
@jackwausa Жыл бұрын
Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz
@denistimoth7843 Жыл бұрын
Ok
@gadesbaba Жыл бұрын
Kwani una channel ngapi tena?
@kingstalents3769 Жыл бұрын
NATAMANI SANA NIWE KAMA WEWE BROTHER 🙏😭🙏
@petermakubi Жыл бұрын
Hey tengeneza video ya njisi ya ku apply visa na fursa zilizopo huko bro.
@rashidkachaa3666 Жыл бұрын
Ebu tuambie na namuna ya kufika huko na gharama zake
@johnkiriko7353 Жыл бұрын
Am a Kenyan i appreciates your work bro....these are the contents we need now....kudos!!!!
@frankmpembu Жыл бұрын
Nakukubali sana brother, unajiamimi ile mbaya hivyo ndivyo mtoto wa kiume unatakiwa uwe. Ongera sana brother Mungu akubariki sana.
@ChoroTesla Жыл бұрын
inabid tuwa raise our kids wawe wana jiamin kwenye maisha yetu. ya siku zote tusiwatie uoga hii yote ni juhudi za wazazi wa jack kumraise ili awe hapo alipo
@beatbyrich2891 Жыл бұрын
Waafrica huwa tunajituma kufanya vitu ughaibuni ambavyo Mzyungu hawezi kuja kuchambua graves za kinondoni wala kusema nqmnagani Tanzania wana party. Asante kwa kazi ya uchambuzi wa marekani.
@tumainimchwa2773 Жыл бұрын
Umefanya kazi nzuri sana kamanda kutupa elimu ya namna wenzetu wanavyo ishi na hata baada ya kifo na garama za mazishi"Bg up sana
@dionesebutoyi7256 Жыл бұрын
I follow you from burundi🇧🇮 bro i can't stop telling you that your works are the most apreciated.Umetisha kinoma bro thant you s much🙏🙏
@JovinBrighton-ci3ji Жыл бұрын
Brother be blessed for your work. Ofcourse you make us to keep in learning alot of things in USA
@almuhtaramzamil Жыл бұрын
Sisi Waislamu mtu akifa anatakiwa afanyiwe mambo yafuatayo haraka sana: 1.Aoshwe 2.Akafiniwe (Avishwe Sanda) 3.Aswaliwe (Swala ya Maiti) na 4.Azikwe
@sheckycobb5240 Жыл бұрын
Sawa
@Neema-qm9kk4 күн бұрын
Haijalishi mtu uzikwe ghorofani,uoshwe na kupakwa mafuta mazuri,maombi ya watu kwako vyote hivyo ni staili tu ila tupo palepale ukifa mambo yake yameisha .mimi dhehebu langu linanifundisha kuwa Mungu Hatoi msamaha wa dhambi kwa mtu aliyekufa. Tubu ukiwa hai ukifa ni mahesabu. Hata uombewe vipi Mungu hasikilizi maombi.
@zamzanimakundi25463 күн бұрын
Swala ni hilo eneo
@rashidlwengo6940 Жыл бұрын
We upo vizuri aisee umetufumbua macho big up
@stanymccary7136 Жыл бұрын
Umetisha sana jamaa! Nilipenda ile tour ya st. Monica beach
@salmaseifu4775 Жыл бұрын
Amina kaka unaishi malekani hila nampenda sana imani yako ya kimungu
@jeremiahsumbuka1995 Жыл бұрын
Jack unafanya vzr kazi yako i hop mda si mrefu you will get huge development nakuombea, my opinion, wape mbinu vijana wenye ndoto za kutengeneza settlement huko,hatua kwa hatua utaratibu wa kuja huko,vibali au uraia,na namna ya kutengeneza makazi na ajira, ili wasipatwe na risk yoyote kama kuwa homless au jobless huko usa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante. Pia nitalifanyia kazi hilo suala na kupost video itakayotoa maelezo yote!
@jeremiahsumbuka1995 Жыл бұрын
Itakuwa vyema kaka.
@carloskato1088 Жыл бұрын
Nipende kukazia aliyosema brother Jeremiah Naona utakuwa umetupa mwanga kwenye angle Hiyo maana living in US is a dream for some of us.apart from that Good work brother jack.
@jeremiahsumbuka1995 Жыл бұрын
Absollutely, Video Ya Vibali Alitoa But Bado Masuala ya nauli, Na namna Ya Kufit Mazingira Ya Us Kama Mgeni.
@faridakinyaga8179 Жыл бұрын
Hakika pumzi haiuzwi God I'm so grateful for my life
@azizsaid6177 Жыл бұрын
Wangu kazi nzuri, many peoples d'nt knows the situations in Us. From you, now they get an image. Why didnt u go to Pac's cementary? I expected it
@mussangowengo946319 күн бұрын
Excellent Bro! Continue to expose more and more whatever good/bad you think. Ili sisi wenye ndogo tupate kujifunza zaidi before. Safi sana kaka.
@habib514 Жыл бұрын
You don't quit when you're tired, u quit when ur done...Thank u Brother
@jackwausa Жыл бұрын
That's right!!🙏🏾
@mbaganewslinetv Жыл бұрын
kaka naomba unipe mchongo nije uko kaka
@ImanChannel648 Жыл бұрын
bro nambie naomba namba ya demu wa kizungu
@Team-t6k Жыл бұрын
AFRICAN kwetu tuna neema nyingi saana na piya katika Uwislam piya tuna neema nyingi saana Alhamdulillah to born Muslim so big up kijana kwa kazi yako na Allah akufanyiye wepesi kunako uzito 🤲
@mushken65 Жыл бұрын
Dini sikitu cha kujivunia. Dini ni vitu kaundwa na binadamu. It's not an achievement to be Muslim or Christian. Heri hata unelikywa unaabudu mlima kilimanjaro hiyo ingelikuwa kitu cha kujivunia. Tafakari hayo 🇰🇪
@Team-t6k Жыл бұрын
@@mushken65 Tatizo sio dini Tatizo hujapewa hekima ya kuelewa lolote so huwezi kuwa na iyo level ya ufahamu
@golebenson45979 күн бұрын
@@mushken65kaka hongera unauelewa mkubwa.wanasahau dini zimeletwa na wazungu na waarabu Kibiashara wao wapo bize kutengezeza nchi zao sisi kelele za makanisa na misikiti kila cona
@golebenson45979 күн бұрын
Bado upo nyuma sana.kama unaamini dini zakuletewa 😂😂😂
@patrickmwaniki3835 Жыл бұрын
I really appreciate your work, very educative. Nairobi Kenya.
@vickyshangwe7339 Жыл бұрын
This is incredible work! Adventure at my own coach 😉😃 Your character and your work, perfect match!! 👌
@jackwausa Жыл бұрын
Thank you so much 😀
@chrysanthushakaunga6560 Жыл бұрын
Jack hongera sana umekuwa muhimu sana asante asante na nipejifunza mbo makubwa sana
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
So educative!!! Thank you brother!
@richiemakini Жыл бұрын
Napenda kazi na unavyozidi kutupa moyo na kututia nguvu,,mola akuzidishie mengi maishani mwako
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
sauti yako jack inafanana na richi mitindo hongera kwa kazi zuri
@egkisini5753 Жыл бұрын
I like your speech at end God bless you kweli don't give up cos bado unaishi
@piusundisputed Жыл бұрын
Unafanya kazi nzuri sana brother,keep it up!!
@hikupskikons8914 Жыл бұрын
tunajifunza mengi keep going kazi nzuri
@mohamedhamisi9766 Жыл бұрын
Mungu akubariki bro kuna vitu vingi tunajifunza kutoka kwako
@GracieTyno Жыл бұрын
Aisee! Ahsante sana jack,next naomba uende desney land please!
@omarimustapha796 Жыл бұрын
Salute bro...Allah bless you🙏
@Coleunlimited1 Жыл бұрын
Nice content Mr Jack💪🏽
@Kengele Жыл бұрын
FIRST TIME HERE FROM KENYA #KENGELE
@ngaboespoir4580 Жыл бұрын
Keep keep pushing brz
@allyfatma7359 Жыл бұрын
Bro.hiyo camera 🙌.wanaotupostia video wengi video zao haziko na quality nzuri.hungera bro.good job. Thanks jack.
@victorchris5144 Жыл бұрын
Maneno ya mwisho mwisho kwenye video yamekuwa zaidi ya somo kwenye maisha yetu ya kila siku, keep it up Jack … I really appreciate what you do 🫡
@jackwausa Жыл бұрын
🙏🏾
@starjay3052 Жыл бұрын
💪 safi sana broo
@daktariwakienyeji Жыл бұрын
Great work Mheshimiwa 👍
@eliyajohn43884 ай бұрын
Mungu akulindee chief
@RachelShoo-og6sk18 күн бұрын
Hongera kaka tunajifunza maisha ya wenzetu na Neema tuliyonayo Tz
@zamberimturi5593 Жыл бұрын
Good bro nakufatilia kwa makini sana bampa2bampa
@onesmomasawe3331 Жыл бұрын
Nakukubali kaka napia unatufundisha vitu vingi sana good work
@jackwausa Жыл бұрын
Asante!!
@ramaboy2390 Жыл бұрын
Big up bro that why I love from Mombasa Kenya Tuko pamoja
@oscarmbwilo-l3k7 күн бұрын
Hongera san kwa kaz nxur jack
@lirastanley390 Жыл бұрын
Safi mkali, USA hakuna ubabaifu yani na mambo sio ya kubahatisha,,unaingia upatakapo sio kama huku unaenda sehemu unakua na hofu sana a lot of questions wakat hatuko duniani
@patriciatumain172 Жыл бұрын
Brother unatupa madini mengi mazuri toka huko USA TANZANIA TUNAKUKUBALI SANA KAKA KWA KAZI ZAKO GOD BLESS YOU WITH YOUR ALL THINGS YOU DOING
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!!
@amanmaleko3085 Жыл бұрын
Pamoja brother
@musaguga Жыл бұрын
We jamaa Leo umeamua kutukumbusha kifo, well well well
@samtandarus7458 Жыл бұрын
Nimeioenda hii quotation... You don't quit when you are tired, You quit when you done
@jackwausa Жыл бұрын
Yeah, keep moving untill you make it!
@dionesebutoyi7256 Жыл бұрын
I follow you from burundi bro i can't stop telling you that your works are the most apreciated.
@jackwausa Жыл бұрын
Thank you for watching!🙏🏾
@phabiansteven7947 Жыл бұрын
Nipatie mawasiliano bro
@phabiansteven7947 Жыл бұрын
From tz
@Vees12 Жыл бұрын
Umetisha sana
@richardscofeld9136 Жыл бұрын
Appreciate sir 👍 thanks so much for this content
@sadockmganga4630 Жыл бұрын
Mimi ni sadock wa ubungo nimependa injli ya kutukumbusha wajibu wetu barikiwa bro.
@nizigiyimanalongin7011 Жыл бұрын
keep up brother. kazi safi sana
@jackwausa Жыл бұрын
Asante!!
@josehaulee1508 Жыл бұрын
Safii sana mtz mwezetu unatutoa ushamba
@myhlmn3701 Жыл бұрын
Tunakubali saf1i sana big up tunatembea na ww mbona
@Maulambo Жыл бұрын
Marekani kila kitu gharama kweli sio poa
@joleal7941 Жыл бұрын
Courage kaka kwa kutupa habari za marekani
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
UBARIKIWE...Kaka Mr Jack..🙏
@jackwausa Жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe pia!
@MJM52 Жыл бұрын
Mwamba umetisha sana
@boazkofficial2247 Жыл бұрын
good job brother worching from Kenya bro
@judywaciuri6278 Жыл бұрын
Thanks Jack for educating us
@directorFEROU Жыл бұрын
Kazi nzuri sana kaka
@ibrashani8012 Жыл бұрын
Big up jack
@angelasenga796 Жыл бұрын
Daah barikiwa mno
@salomeyuvenali3700 Жыл бұрын
🙏🙏🇹🇿big up my bro'
@happykimaya6631 Жыл бұрын
Asante Jack
@bitecastory2137 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kakaangu jack
@jackwausa Жыл бұрын
Amina!🙏🏾
@mosesboy5576 Жыл бұрын
duuuuh my friend ukifia USA kamahuko vizuri kifedha my friend moses from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@kingtabley3405 Жыл бұрын
Upo makin bro
@mirajiboe6133 Жыл бұрын
Jack kaz yko nailewa kinoma an
@pastitutamogaka7776 Жыл бұрын
God bless you kwa kazi unayofanya bro really i can't say anything
@jackwausa Жыл бұрын
Amen!
@tumainimchwa2773 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kamanda
@jackwausa Жыл бұрын
Amina. Ubarikiwe pia!
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Nimeipenda sana video yako, na pia mazingira yalivyo ,ya usafi na pia mpangilio wake, kwani ndivyo inavyotakiwa kumthamini mtu hadi alipolazwa bado pana thamani inabaki kumbukumbu daima, waendelee kupumzika kwa amani. 22.02.23.
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Kumthamini mtu Kwa kumchoma?
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
@@jumakapilima7295 nimesema yale mazingira yalivyo pale walipozikwa ni mazuri wamezika kwa mpangilio na pia ni pasafi, ndio maana nikasema wanawathamini marehemu wao. sasa hayo ya kuwachoma umesema wewe. na pia kuchoma inakuwaga ni agizo la mtu, kuwa nikifa nichomwe.
@NuruHasa-zp6cn Жыл бұрын
Ohoo safi Iv ukitaka mtu akutumie mzigo kutoka uko marekani utaratibu ukoje na ndugu yangu uko ila yeye ajui anitumie vipi
@waltersesuru43 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana.mungu akupe maisha malefu
@jackwausa Жыл бұрын
Amina na Asante. Ubarikiwe pia!
@hallin9561 Жыл бұрын
safi kaka, nawaalika watu wengi zaid kuifuatilia channel yako, you do the best kaka
@jackwausa Жыл бұрын
Asante sana kwa support!
@christianmtexas556 Жыл бұрын
Upo njema sana chief
@justinstiga6664 Жыл бұрын
Brother nimekuelewa xnaa kwa kutuonyesha huko USA wanafanyaje
@zawadisisto8188 Жыл бұрын
Nakuelewa sana ndugu
@ameirdarueshi2593 Жыл бұрын
One love aoo tausi wanarangi ya Tanzania tuletee aoo wa kwetu
@phighbeats Жыл бұрын
Noma sana
@hikupskikons8914 Жыл бұрын
safi sana
@taifocuscompany9246 Жыл бұрын
Safi sana kiongozi kwa taarifa
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwamba
@jackwausa Жыл бұрын
Amina!
@Lukube_john Жыл бұрын
Nimekuwa inspired sana na hiii video aseee💔💔💔 ulaya so poa
@feresianlugera-it8vh Жыл бұрын
Safi Kaka Nimefurahi Sana Yaan Ni Kama Vile Nipo Na Ww Huko
@official_gakankara Жыл бұрын
Mwanang nipenda sana channel yako 💪💪💪
@jackwausa Жыл бұрын
Asante na karibu sana katika channel yangu!
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Kinacho mata ni umefanya nn ulipo kua hai. Uzuri wa kaburi hauna maana yoyote, hata liwe limejengwa kwa dhahabu tupu.
@fatmasaid4381 Жыл бұрын
Well said tuko. Pamoja from Mombasa Kenya...
@dennisswitbert9606 Жыл бұрын
Hi. Fatma. Nice to see your comment,, I love it. God bless you,, bye, bye.
@HassanHassan-sr3fq Жыл бұрын
nitafute Fatma Niko Zanzibar
@fatmasaid4381 Жыл бұрын
. Mimi niko Mombasa siko zanzibar brother..
@HassanHassan-sr3fq Жыл бұрын
@@fatmasaid4381 tungewasiliana
@johnkeya3293 Жыл бұрын
Good job
@keshenidaniel770 Жыл бұрын
Bro unafanya ktu kizur Sana Unajua ni ndoto ya kila binadamu kufika USA tupe Raman how can we reach to USA?
@thechiefafrica798 Жыл бұрын
kabisa
@espinosapaemn4765 Жыл бұрын
Hiyo ndoto wanawaza wachache sio wote
@espinosapaemn4765 Жыл бұрын
Hiyo ndoto wanawaza wachache sio wote
@christonchristian7448 Жыл бұрын
@@espinosapaemn4765 sawa
@gadesbaba Жыл бұрын
Sio kila binadamu ambae anatamani kufika umarekani mimi wala sipendi kuishi uko me napenda zangu huku jermany